MANGE KIMAMBI AFICHUA SABABU ZA ZUCHU KUTAKA KUONDOKA WASAFI, 'KUNA KIONGOZI MKUBWA ANAMTAKA ZUCHU '

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 27

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 2 дня назад +5

    Just let her be Zuchu to the world,we will follow her and she's beautiful,
    Sio lazima akuwe na Diamond .😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤

  • @kariaagness4213
    @kariaagness4213 3 дня назад +7

    Ondokazuuuu Tunakufuata zuu 🌹🌹🌹🌹🌹

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 3 дня назад +7

    Hata kama kamtoa chini ndo amtese anampa kupato kidogo yeye anawanyoya wasani wake yeye anatajirika mwenywe tu si vizuri

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 3 дня назад +2

      mwenzako kamdanganya kamuingiza kwa 18 zake anamkula huku anamfubasha akichoka anamuacha zuchu hakutumia akili alitumia hisia zake

  • @MelaniaKulaya-eg3qo
    @MelaniaKulaya-eg3qo День назад

    Kwahiyo zuchu anatishia kuondoka wcb kwasababu yakuolewa nadaimond duu makubwa haya 😂😂😂

  • @esternyoni5043
    @esternyoni5043 2 дня назад +1

    Kama waliweza kwa Fei Toto na Yanga hawashindwi kwa Zuu na WCB . Hii nchi inapumulia Zanzibar tafadhali heshima ifuate mkondo 😂.

  • @kariaagness4213
    @kariaagness4213 3 дня назад +2

    Daimondi fanya jambo zuu Anaondok duuuu umekwisha

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 дня назад +1

    Mange na wewe akili zenu ziko sawa.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 дня назад

    Si wanasema domo katangaza kumuoa😂😂😂

  • @HawaHawakudura
    @HawaHawakudura 2 дня назад

    Basi hao wakubwa walipeni hiyo 500, 000,000. Naaondoke.

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 3 дня назад +5

    Zuchu hata akiondoka hakitabadilika kitu, WCB kam maji, msanii akisepa asepe tu....

    • @kanezajoella6663
      @kanezajoella6663 2 дня назад

      Akiondoka kiukweri sizani kama music wake utafanya vizuri kabisa labda apate mzungu waku musaidia

    • @blessmimi
      @blessmimi День назад +2

      Without Zuchu right now at WCB ..it’s boring and no one cares about Diamond because Diamond with his filth reputation and ruined the lives of many women have turned many off to like his music ..that’s why he have been harvesting on Zuchu energy to win the heart of Tanzania women . Enough is Enough.

    • @blessmimi
      @blessmimi День назад +1

      @@kanezajoella6663 Zuchu will make outside WCB because her talents is God given not human. Harmonize and Rayvanny are still doing ok when they left WCB . WCB is not God remember that

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 дня назад +1

    Aendee hata konde alitoka na WCB bd ipo 😂😂

  • @xhampoza_25
    @xhampoza_25 2 дня назад

    Tushawachoka hao kawaida yao

  • @xhampoza_25
    @xhampoza_25 2 дня назад

    Huo kwa diamond hachomoki

  • @ZakiaShidhani
    @ZakiaShidhani 3 дня назад +4

    Aondoke tu kwani yeye ndio anampa pumzi mondi . Aondoke kama walivyoondoka wengine. Kijuso nfoa hailazimishwi.

    • @MozahMozah-j5b
      @MozahMozah-j5b 3 дня назад +3

      Kijuso niwewe na wambea wenzenu.msio jielewa rohombaya tu ndozinawasumbua

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 дня назад

      Kweli ndoa hailazimishwi ndio maana walopita wamezalishwa bila ya NDOA maskini. Diamond hodari hapo Tanzania kwa kuchezea watoto wa Watu. Mtihani mkubwa kwa nyote siyo Zuchu tuu. Ngoma ikivuma sana basi hupasuka.

  • @KikundiFils
    @KikundiFils 3 дня назад +1

    Mange sikupendake Ila iyo unaongea ikuwe ukweli tunampenda zuchu sana APA Congo Kinshasa tunampenda APA mtu atakaye mpa furaha

  • @ChireGriffin
    @ChireGriffin 3 дня назад

    Zuchu awezi kuondoka.....ni vitisho

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 3 дня назад

    Nyota yake itafifia

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 3 дня назад

    Aliondoka.tembo na chui. Ndo iwe.yy.digidig zuchu aondoke.tu wapewe tm na wengine ila wasafi pia itabaki kama alivyoikuta tu

  • @Ashasalum-j1j
    @Ashasalum-j1j 3 дня назад +1

    Zuchu andika vizuri nyimbo kwisha habari hapo

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 дня назад

    Huyo ndo Mange 😂😂😂😂 mbona kama wakuchorwa ni Muhindi au ni Mu Africa