HAPA NDIPO ALIPOFELI PASTER NDACHA KWA DR SULE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 130

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 4 месяца назад +1

    Dr. Sule [Assalam aly-kum warah-wabarakatuh!!] Maa-sha - Allah

  • @JamaliJuma-w8d
    @JamaliJuma-w8d Год назад +5

    Mashalaaa docta sule nakukubali baba mpaka basi mungu akupe maisha marefu kutetea uislam

  • @AlfredMusemakweri
    @AlfredMusemakweri 9 месяцев назад +5

    Mchungaji Ndacha Mungu akubaliki sana mtumishi wa Mungu mimi ninakupenda tena tunakuombea sana wewe nichombo cha thamini

    • @mejja670
      @mejja670 7 месяцев назад

      Ila nyie mnaojiita wakristo mtafungua lini macho yenu na akili zenu ili mtambue ukweli?!🤔😤

  • @EdwinyWillbroad
    @EdwinyWillbroad 2 месяца назад

    Yan siju ilo neno doctor sule amepwa na nani akiri ndogo yan anafanya kubadilisha maandiko,,,, paster ndacha akiri mingii hawakuwezii👏👏👏👏👏🙌🙌🙌

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 4 месяца назад

    Very tallent Dr. Sule maasha Allah

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 8 месяцев назад +4

    Ukristo siyo dini ni imani anaye.mwamini Yesu kristo amepata njia

  • @JeanpaulIssa-o8i
    @JeanpaulIssa-o8i Год назад +2

    Docta Allah aku ifazi ni SADAM MOUSA MAZINGE Congo.

  • @SalmaMkileri-ls2le
    @SalmaMkileri-ls2le 6 месяцев назад

    Doctor sulley mashallah unawachapa fimboo we n mtaalam wa elimu wallah Allah akupe umri mref uendelee kuwafundixh njia iliyo ya kwwlly inxhaallah

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 4 месяца назад

    Haaa!! Maa-sha Allah Dr. Sule una mtetemesha ndacha kama maji kwa chupa vile

  • @hassansimbira3916
    @hassansimbira3916 4 месяца назад

    👍sule nakuelewa sana

  • @KhamisiJuma-xd7il
    @KhamisiJuma-xd7il 7 месяцев назад +4

    Dr sule mfundishe huyo kafiri asiye jua maandiko

  • @smadon5638
    @smadon5638 Год назад +2

    Mashallah Daktari Sule

  • @MrsHim-vl8cd
    @MrsHim-vl8cd 8 месяцев назад +4

    Kubalini tu kuwa dini ya haki ni uislam.

  • @AzizaJuma-p4c
    @AzizaJuma-p4c 4 месяца назад

    Ndacha mungu hafananishi na kiumbe chochote

  • @RadhiaRahmaDeus
    @RadhiaRahmaDeus 8 месяцев назад +4

    Huyu Ndacha anakufuru sana,hajijui tu😢

    • @FelisterImenza
      @FelisterImenza 6 месяцев назад

      Ataki kua muislamu Kwa maslai yake anajua anachopata Kwa ukristo huyo anjua ukweli wote

    • @adamissa6972
      @adamissa6972 6 месяцев назад

      Si ni mpumbavu tu haelewi hata anachokiongea ni kama dishi chaneli zimeyumba

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 Год назад +2

    Sule ❤

  • @HassanNzaro-dd3wp
    @HassanNzaro-dd3wp Месяц назад

    Imani zenu ndizo zitakazo wasaidia 2

  • @MakameSilima-y4f
    @MakameSilima-y4f 3 месяца назад

    Dah!!! ndacha leobka njwa uji wa mtama moto!!!!

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 8 месяцев назад

    Yesu ni Mungu mm nashangaa macca mji mnaosema mtakatifu unafamiwa na manzige waislamu bado hamstuki sawa

  • @GideonfaridAbdirahim
    @GideonfaridAbdirahim 11 месяцев назад

    Ndacha bless you

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 4 месяца назад

    Dr. Sule mpe nondo ndacha hadi maji ayaite m'ma uyo !!!

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 8 месяцев назад

    Maa shaa Allah tunakuombea sana doctor sule ❤

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 8 месяцев назад +1

    Yan mashehe wote kwa mchungaji mmoja mazinge ,shaffii sule cjui nan vs ndacha yan mwenye macho ajionee

  • @hazratseleharuna.6141
    @hazratseleharuna.6141 3 дня назад

    Jamani kusilim ni bure, karibuni katika Islamic Kingdom.

  • @yakoboebongon8621
    @yakoboebongon8621 Год назад

    Ndugu zangu waislamu washeni kushanganyikiwa kujeni kwa yesu mpate kuwa Wana wa mungu

    • @ChachiMwaka
      @ChachiMwaka 9 месяцев назад

      Ww ndo umechanganikiwa Mungu Ana watoto😮a

  • @LatifaAbbas-f3m
    @LatifaAbbas-f3m Год назад

    Mashaallah❤❤

  • @mustafamustafa5039
    @mustafamustafa5039 10 месяцев назад +1

    Ndacha unajua kama dini ya haki ni uislam usibabaishe watu Kuna uhai na umauti acha kusoma Aya nusu nusu panapokupendesha ww

  • @georgevumbu4476
    @georgevumbu4476 15 дней назад

    Sule habari za ukristo zipo kwenye Biblia na siyo vitabi vingine hiyo Yehova matatani siyo Biblia elewa usitumie mda wako mwingi kipotosha maana huo upotoshaji siku moja utautolea hesabu mbele za Yesu

  • @AbduliAmbrose
    @AbduliAmbrose Год назад

    Mungu usamehe madhambi ya waja zake ndacha tubu mapema slimu kuwa muislamu ili upate kusalimika na moto😢😢😢

  • @AzizaJuma-p4c
    @AzizaJuma-p4c 4 месяца назад

    Docter sule msilimishe huyo 😂

  • @SadikiShekiondo
    @SadikiShekiondo 4 месяца назад

    ndacha hamna kitu kabisaa kuna siku atakubali tu saiv muachen kwanza

  • @EdwinyWillbroad
    @EdwinyWillbroad 2 месяца назад

    Doctor sule muhuni tu uyoo anachanganya maandiko tu atawaumiza kichwa tu hana hoja ata mm naweza kumjibu maswali yake

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory Год назад +1

    Waislam ni waongooo😂😂😂😂😂 sana

    • @ChachiMwaka
      @ChachiMwaka 9 месяцев назад

      Wachungaji wenu ndo waongo wanaokulazimisheni kuamini Yesu ni Mungu hadi hii Leo hawana ushaidi wa andiko lolote

  • @johngitonga-tq1cj
    @johngitonga-tq1cj 8 месяцев назад

    Very easy, kwanza ,tunatumia bibilia ama koroan

  • @Sober200
    @Sober200 7 месяцев назад

    Sule alipo uliza hivi yesu ni Mungu,jamaa katoa andiko kwamba "Mimi ni wa Juu",hapo Rohoo mtakatifu kawajibu.

  • @ShadidaHussein-x7v
    @ShadidaHussein-x7v Год назад +5

    Jaman mshawah kuskia masheh wakubwa kutoka katika dini ya uislam kuingia ktk ukristo mm cjwah kuskia wala kuon ilaa wakiristo wakubwa kuingia ktk uislam nikawaida 2 mana huwa wanajuwa kila kit kuwa uislam ni dining ya haki

    • @samwelingasa1638
      @samwelingasa1638 8 месяцев назад

      Fuatilia mfalme wa Kuwait ametubu Irani misikiti 50000 imefungwa macca Kuna mapanzi yanavamia ww changaa

    • @AntonyManeno
      @AntonyManeno 3 месяца назад

      Sisi Wakristo Tuki Batiza Mwisilam Hatuna Shobo Kama Matangazo Ya Kifo Kwa Sababu Twajua Mliekewa Sheria Na Mhabadi Mtu Akitoka Usilam Shart Auwawe😢Kwani Haujui Hi Sheria Ya Mtume Wenu Ya Kuwa😢 Tatizo Wasomewa Qorowan Badala Ya Kusoma Mwenyewe Ndio Mana Wana Kuficha Mengine😂Na Hili Lamajini Nalo Vp😂😂😂

  • @gerphasntaziha4475
    @gerphasntaziha4475 10 месяцев назад +1

    Ndacha hawezi kushindwa na swali la waislam, labda vya kubishana maana habishani anafundisha

  • @MaulidKamesa
    @MaulidKamesa 10 дней назад

    Ukristo ni Uwongo Wala sutaki kuanzisha mlolongo

  • @daarularqammkaku153
    @daarularqammkaku153 Год назад

    Mashaalah❤

  • @mossimachaano
    @mossimachaano 9 месяцев назад

    MUSLIM❤💫

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un 7 месяцев назад +1

    Ndacha analopa tu amekula ugolo huyu

  • @omarytobaomary7148
    @omarytobaomary7148 Год назад +1

    Wakrito niwabishitu ilawanaelewa sana

  • @SasentyNtiMaWake
    @SasentyNtiMaWake 6 месяцев назад

    Sule . Wameitwa kwa mara ya kwanza. Borra nikwombee duah upthe roho ntakatifu ili uwelewe bible. Mbona unakuja na wivu

  • @RamadhaniKaholi-os3tn
    @RamadhaniKaholi-os3tn Год назад

    😂😂😂😂 Dr Sule

  • @MeshackKraveri-k5t
    @MeshackKraveri-k5t Год назад +2

    Mungu akubariki ndacha

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ Год назад

      😂😂😂😂 mungu gani huyo ambariki kafiri😂😂😂😂😂a muna laana nyote makafiri 😂😂😂😂😂😂

    • @saddybrezzy9777
      @saddybrezzy9777 Год назад

      😂😂😂😂😂 kitabu chenu ni chaushirikina hakina ukweli

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Год назад

      Masikini usilolijua litakusumbua

    • @86blizzo
      @86blizzo Год назад

      😂😂😂ktabu chenu chenyewe knasema mmetokana na upagani ambao ni ukafiri
      😂😂😂😂😂😂 Na mmeruhusu ushoga juu

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 8 месяцев назад

    Wakirisito wabishi sana wanajua dini ya haki kabisa ni uisilim ila hawataki tu kuingia wanataka tu kupotea pole zenu

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 7 месяцев назад

      😂😂😂😂sisi tunajua ni dini ya majini na wafuga majini

  • @ShadidaHussein-x7v
    @ShadidaHussein-x7v Год назад

    Ndacho anajibebesha majukum jmn

  • @hassanshabani-d5j
    @hassanshabani-d5j Год назад

    io.yehova matatani kimetoka wapi mbona sikijui

  • @titojb4703
    @titojb4703 6 месяцев назад

    Mwanzilishi wa imani fulani, wale wanaofuata imani hiyo wataitwa wafulani, kiufupi hakuna dini.
    Kama wa Luther inatokana na Bwana Luther alipingana kuhusu watu kutokuzaana na akakubaliwa hivyo wafuasi wake wakaitwa wa Luther.

  • @MwashEric-wg9dx
    @MwashEric-wg9dx Год назад +1

    Kumbe Muhammad aliweka nafsi yake mikononi mwa YESU😂😂😂

    • @86blizzo
      @86blizzo Год назад

      😂😂😂wakristo embu acheni kukaza fuvu bhn
      Biblia yenu wnyw inasema mmetokana na upagani
      Dini imepangwa na wapagani na wnyw mnasema kuw ni makafir kla ktu kpo wazi
      Usipo slim xhv umejitakia mwnyw hukumu ya Mungu kali xn ya kikafiri

    • @AntonyManeno
      @AntonyManeno 3 месяца назад

      Hicho Ni Kitabu Cha Mkorofi Alicho Andika Hayo Matusi Wala Siyo Bibilia Wacheni Kujitetea Na Kitabu Cha Pastor Mkorof. Sisi Kitabu Tunacho Amin N Bibilia❤❤❤ Hata Qorowan Yenyew Mhamad Ana Sema Ni Uchawi Nyini Wajivunia Nini😢

  • @erickjairo5021
    @erickjairo5021 Год назад +1

    Hizi vitu zenu mnakata kata tu nusu nusu...Dini ya uislamu ni la shetani ndugu zangu mruke juu muanguke chini....C ya Mungu hata nanyi mnafahamu ni kukubali hamuwezi😢

    • @rashidyusuf7221
      @rashidyusuf7221 Год назад

      Ndugu xoma biblia vzr zote alf utajua nn kipo ndini ya biblia alaf utajua dini ya kweli ipo uxkulupuke tu kuxema dini ya kixlamu maxhetani

    • @musaramadhan5636
      @musaramadhan5636 Год назад

      Bado muta kataa uislamu dini ya haki vitabu vyenu vina wakataa

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un 7 месяцев назад

    Kumbe ukristo ni upagani na ukafiri

  • @nicksonmboya1892
    @nicksonmboya1892 8 месяцев назад

    Uyu Pasta kichwa Chak kigumu
    Si she kasema ukristo wa leo

  • @AliyKuno
    @AliyKuno 4 месяца назад

    Ndch elimik uislmu kuingia ni bure

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory Год назад

    Ndacha anajua waislam ni waongo sana ❤😂😂😂 ndacha alisema watakatakata video na watashindwa kuzilinda hoja

  • @mathewlive77
    @mathewlive77 5 месяцев назад

    Waislam wanatumia nguvu sana... Nguvu ikitumika akili inalala

  • @v-boyman9917
    @v-boyman9917 Год назад

    Daaaa kwakweli kimeumanaaaa

  • @hassanarbow9227
    @hassanarbow9227 8 месяцев назад

    Wacheni kuwa na haraka hvyo kana kwamba , Shillingi ina upande mbili.

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory Год назад

    Amefeli wapi ndacha alisema waislam watakata kata video❤❤😂😂😂😂😂😂 yaani waislam niwaongo sana

  • @mditimalandoj.4704
    @mditimalandoj.4704 Год назад

    Kinachosumbua ni vile waislamu hawaujui ukristo na wakristo hawaujui uislamu

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola Год назад +3

    Hahahahahah ndacha kumbe nae ni hovyo 😂😂😂😂

  • @hassanarbow9227
    @hassanarbow9227 8 месяцев назад

    Ndacha anahepa hepa statement

  • @DennisMungai-pf6rb
    @DennisMungai-pf6rb Год назад

    Hawa mashekh wa ni wasaniii kinoma

  • @RadhiaRahmaDeus
    @RadhiaRahmaDeus 8 месяцев назад

    Wapagani wa zamaniii😂

    • @YohanaAbdalla
      @YohanaAbdalla 6 месяцев назад

      Yesu muokoe mazinge hajui kuwa wewe ndiwe Mungu mkuu

  • @GodfreyMasaka-pf5sg
    @GodfreyMasaka-pf5sg 8 месяцев назад

    Mbona sule hasome hasomi kwenye Kulian wala biblia anatumia kitabu cha nabii mkolof

  • @muhinabakali7377
    @muhinabakali7377 Год назад +1

    Ndacha uxipo xilimu ukifa katika ukafili jikoni hutoki

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 Год назад

      Ukafiri Sasa si ndio huo uislamu?Au Muhammad anasema uongo?

    • @86blizzo
      @86blizzo Год назад

      ​@@edwardntamaboko3414biblia yenu pia hamtaki kuifata 😂😂😂
      Na highlight kdg "mmetokana na wapagani, na ni ukafiri"
      Sasa unakaza kichwa cha nn tn
      Toka huko kaka hakufaii

  • @killianjohn4794
    @killianjohn4794 6 месяцев назад

    Njia sio Dini, njia ni uelekeo wa mahali fulani,…Sasa YESU alikua ndio uelekeo wenyewe kwa MUNGU BABA, Maana alisema hakuna majuae BABA zaidi ya MWANA na hakuna amjuae MWANA zaidi ya BABA.
    Mathayo 11:27
    Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
    So jibu ni: Njia ya kufika kwa MUNGU BABA ni MUNGU MWANA tu ndio njia sahihi. Ukitaka kufika kwa MUNGU BABA(JEHOVAH) basi mfwate MUNGU MWANA(YESU).
    Najua waislam wataichukia hii comment sana!

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 4 месяца назад

    Ndacha apo hautoboi

  • @hassanshabani-d5j
    @hassanshabani-d5j Год назад

    wakirto wanabishana kwahoja waisilam wanapiga kelele hawaeleweki

  • @JumaMwanga-wq6me
    @JumaMwanga-wq6me Год назад

    Mh iyo hadidh ndacha umefundishwa n nan kutafsir kichwa chin miguu juu ivyoo...acha ujanja wa kishetan

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ Год назад

      Ndivyo alivyo na ana aminiwa anavyo tafsiri mavunga mavunga😂😂😂😂😂😂😂

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 Год назад

    Razimisheni miyo yenu kukubali hali kukubarii

  • @hassanarbow9227
    @hassanarbow9227 8 месяцев назад

    Islam was there even before Issa

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 9 месяцев назад

    Yani waisilamu wamepotea kabisa

  • @erickjairo5021
    @erickjairo5021 Год назад

    Sikieni hoja hii kufunga akili mtafanya mpaka liniii???

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 Год назад

    Ndacha anadanganya watu ole wake na adhabu kwa Allah.

    • @hoseakigembe4568
      @hoseakigembe4568 Год назад

      Usidangaye brother, huna hoja!

    • @charoharrison219
      @charoharrison219 Год назад +1

      Mohammed ni muomba majini

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Год назад

      Lau ungalimjua huyo Mtume Muhammad (s.a.w) wallaahi ungalisilimu, lakini masikini kwa bahati mbaya humjui.

  • @productdemos4682
    @productdemos4682 Год назад +11

    Kuamini kwamba Yesu ni Mungu na Ukiristo ni dini ya Yesu ni dalili ya ugonjwa wa akili

    • @juliusjamanda7313
      @juliusjamanda7313 Год назад

      Toa kaswende yenye inamaliza akili zako.....Uislam sio dini ya mwenyezi Mungu Uislam ni dini ya Muhammad....

    • @AishaNassor-i8g
      @AishaNassor-i8g 10 месяцев назад

      ​Allah akuokoe kutoka ktk Imani hIo potofu

    • @juliusjamanda7313
      @juliusjamanda7313 10 месяцев назад

      Uko na shida ya kiakili wakati ukijua ukweli utaamka katika usingizi.

    • @samwelingasa1638
      @samwelingasa1638 8 месяцев назад

      Kama ni uislamu ni dini ya Mungu na macca ni mji mtakatifu Yale manzige yaliovamia macca ni laana ya Mungu Kwa uislamu

    • @DhaharaniJongo-gt2un
      @DhaharaniJongo-gt2un 7 месяцев назад

      Ni kwel kbisa

  • @FestomatheoLusomyo
    @FestomatheoLusomyo 10 месяцев назад

    Waislam mpokeeni Yesu mkabatizwe

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory Год назад

    Uislam ni majini na mashetan na uislam niuongo sana 😂😂😂😂 wanabisha bisha tuu

    • @musaramadhan5636
      @musaramadhan5636 Год назад

      Kweli dini yenu ni ya Malaika nyinyi ni watu wa pepo

  • @juliusjamanda7313
    @juliusjamanda7313 Год назад

    Mbona waislam wakipanda juu ya jukwaa lazima wawe na vijikaratasi...

  • @salamashaaban-o1x
    @salamashaaban-o1x Год назад

    Mashallah

  • @zhshsh-us8tf
    @zhshsh-us8tf Год назад

    Ndacha kuwa muislamu wacha kushindana uta samehewa madhambi yako ya kupotosha watu kwa ukirisito zulufa kutoka kenya

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ Год назад

      Huyo ame ikumbatia dunia hawezi kuslimu kattu

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 Год назад

      ​@@سعدياقوت-ت2خBora aikumbatie dunia ambayo Mungu alimpa mamlaka ya kumiliki viumbe kuliko kujishikamanisha na uislamu ambako hakuna Mungu

    • @saddybrezzy9777
      @saddybrezzy9777 Год назад

      Ukirisito😂😂😂😂🙌 Kuma nina bado hamjasema

  • @MwashEric-wg9dx
    @MwashEric-wg9dx Год назад

    Kumbe dini ya shetani ni uislam maana mtume kasema alimsimisha shetani kumbe duuuu Leo nimejifunza uislamu ni dini ya shetani na maneno haya c yangu Niya Quran yenu.

    • @mabenzimabenzi4348
      @mabenzimabenzi4348 Год назад

      Kwan alosilimishwa si kaacha ushetani ila mashetan ambao hawajasilimu ndio hawa wabaya kwan nyie wakristo mtu akiukoka bado tena ni mtu mbaya au ashakua mtu mzuri acha ushabiki na mawazo finyu kwan ukiokoka ww inamaanisha wakristo wote wameokoka?

    • @FunnyChurros-ve5mo
      @FunnyChurros-ve5mo Год назад

      Kafir mkubwa soma kwanza uelewe hapo uliposoma majini wanaakili wanajua hii haki nahii sio haki wengine wakiijua haki wananyenyekea kwa aliyewaumba

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory Год назад +1

    kuamini uislam ni uongooo na ujinga mtupuuu

  • @EmmanuelMandela-f7k
    @EmmanuelMandela-f7k 7 месяцев назад

    Suley nimjinga sana

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 4 месяца назад +1

    Very tallent Dr. Sule maasha Allah

  • @EdwinyWillbroad
    @EdwinyWillbroad 2 месяца назад

    Doctor sule muhuni tu uyoo anachanganya maandiko tu atawaumiza kichwa tu hana hoja ata mm naweza kumjibu maswali yake

  • @RadhiaRahmaDeus
    @RadhiaRahmaDeus 8 месяцев назад

    Wapagani wa zamaniii😂

  • @EdwinyWillbroad
    @EdwinyWillbroad 2 месяца назад

    Doctor sule muhuni tu uyoo anachanganya maandiko tu atawaumiza kichwa tu hana hoja ata mm naweza kumjibu maswali yake

  • @EdwinyWillbroad
    @EdwinyWillbroad 2 месяца назад

    Doctor sule muhuni tu uyoo anachanganya maandiko tu atawaumiza kichwa tu hana hoja ata mm naweza kumjibu maswali yake