Sifa Za Mti Mkuu Kiboko Ya Wachawi / Ondoa Uchawi Nyumbani Kwako Kwa Mti Huu/ Ustaidh Jafar Mchawi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025
  • Sifa Za Mti Mkuu Kiboko Ya Wachawi / Ondoa Uchawi Nyumbani Kwako Kwa Mti Huu/ Ustaidh Jafar Mchawi
    Mashaa Allah Sheikh Jafar Mchawi akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Sifa Za Mti Mkuu Kiboko Ya Wachawi / Ondoa Uchawi Nyumbani Kwako Kwa Mti Huu/ Ustaidh Jafar Mchawi
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    RUclips @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

Комментарии • 34

  • @ffed1876
    @ffed1876 Год назад +3

    Shukran sheikh Mola akujaze kheri nyingi na anijaalie nikifika inshaAllah ntakutafuta inshaAllah.

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 Год назад

    Mungu atie rehma zake tushakunywa , kukoga kazi kwenu wachawi sasa, Mashallah sheikh majibu nayaona

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 8 месяцев назад

      Umeupata wap my huo.mti

  • @rahmeersalmeen7229
    @rahmeersalmeen7229 Год назад

    Na mimi natafuta nusra sheikh dua zenu inshaa Allah

  • @MaimunaMohamed-b1n
    @MaimunaMohamed-b1n Год назад

    Shukurani sana shekhe

  • @bahatihamadi
    @bahatihamadi Год назад

    Mashallah nimewapenda bure Mungu awape maisha marefu

  • @josephmoyo5617
    @josephmoyo5617 Год назад

    Asante sana kwa Elimu nzuri.

  • @pascalndimubanzi
    @pascalndimubanzi Год назад +1

    Jambo tunakufyata saana samahani mukuwe naonesha mti zote kuhusu mafasrio kuhusu fahamu tuko goma congo

  • @mbonimayange627
    @mbonimayange627 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤

    • @muniramunira4829
      @muniramunira4829 Год назад +1

      Shukrani sana wa kaka zangu nawapenda sana tena mshikamane mkono kwa mkono hadi peponi wallahi

    • @muniramunira4829
      @muniramunira4829 Год назад

      Unajua kwanini dawa za waganga wengi hazitumik lol nihatari kaka yangu wanazini wagojwa sasa iyo dawa itatumik sangapi?.sala kwanza hakuna ?uongo mwingi.piya wanaomba pesa nyingi.yaani wengi wao ni waog tuu Allah awabadirishe na fasi zao kbsa ni ayibu

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 7 месяцев назад +1

    Kama Niko mbali na Tanzania

  • @jamilarajab4610
    @jamilarajab4610 Год назад

    wachawi washakuwa wengi shv tutashkur tunateseka sn hawa wanga na shv wadogo vijana wamo kwenye ngoma bei gn uwo mti mkuu

  • @manuelarlindo7837
    @manuelarlindo7837 Год назад

    Salamoaleco Mimi ninachida nhu mbani visanga avishi namanisha uachaui mti mku uko namnagani

  • @abdallahshariff2983
    @abdallahshariff2983 Год назад

    Asalam aleikum, W,W,Sheikh nitapataje hii dawa,niko Kenya maeneo ya Kisumu.

  • @hamidasalim1271
    @hamidasalim1271 Год назад

    Poa. Sana

  • @GodfreyMabojala
    @GodfreyMabojala Год назад

    Yani ww unawaharibiaa wa Gangawezako mbwembwe yasanda sasa inakuhunn kutibu niufunuo kilamumoja anapewa tofauti

  • @mohammedinyumbwe6665
    @mohammedinyumbwe6665 6 месяцев назад

    Bei gani na tunaipata wapi?

  • @fatnazainabo5184
    @fatnazainabo5184 Год назад

    Asalam alaikum warahmatullah,sheikh naomba namba yako ya sim

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Год назад

    Asalam aleikum naitaka jamani

  • @manuelarlindo7837
    @manuelarlindo7837 Год назад

    Nauao mbeya maysha mema

  • @maimyahkassim4299
    @maimyahkassim4299 Год назад

    Nauliza sheikh,ukiupanda nyumbani kwako ni sawa au itakuwa umewapa nafasi wachawi kuhifadhi vitu vyao kwenye mti huo?

  • @jesusislord2178
    @jesusislord2178 Год назад

    Can anybody tell me the name of that tree in English?

    • @aminak6727
      @aminak6727 9 месяцев назад

      Did you get the answer?

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 7 месяцев назад

    👍👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 4 месяца назад

    Bei yake

  • @ASHASHABANI-bo4ul
    @ASHASHABANI-bo4ul 5 месяцев назад

    Shingap shee daw iyo

  • @ElvinaUnda
    @ElvinaUnda Год назад +1

    Mm sielewi ni mtii gani huu

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan 8 месяцев назад

    Unapatikana wap shekhe mti?

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  8 месяцев назад

      Namba ziko hapo kwenye video piga

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 10 месяцев назад

    Kwaiyo kuwauwa huna makosa wachawi

  • @lomeolomeo1422
    @lomeolomeo1422 11 месяцев назад

    Tunaomba number zenu please