Thanks so much ☺️ You made my day ❣️.Im on cloud nine 💗 because I have been using this word in a wrong way ❣️✨ Fortunately I have learned it today 😁😁 Be blessed Ma'am.
Samahani dada naweza kushare kidogo vitu nilivokaririgi kidogo vinanisaidia mfano ta_ inaenda na will nitaenda, nge_ inaenda na would ningeenda,napaswa _inaenda na should ,naweza inaenda na can.ngeweza inaenda na could .huenda nikafanya huenda na may .huenda ninge inaenda na might .lazima uenda na must ukikalili hivi vinasaidia Sana
Asante mwalimu ila kaxi ya( the) inakua inatumika sehemu gani maana tunaonaga tu unasema the bag on the house hapo hatujui imekaa the kwasababu ipi au kivipi
Unafundisha vizuri ubarikiwe
Mwalimu utufundishe polepole asante
Safi sans Hilo somo
The computer lesson teacher is nice, I finish my work quickly, and I go to listen.I love you so much my teacher.
Unafundisha vizuri sana nakupenda
Napenda Hilo somo nikitoka burundi 11:47
Thanks teacher my god bless u
Thank 🔥🔥
Asante mwalimu kwa video ndefu ongezea hsta ya lisaa limoja
Ukovizuri sana mwalimu tunakuelewa
Thanks for this lesson i will be following you to know more about English conversation
Naomba urudie SoMo la l sh we au kuunda sentensi Kwa wakati uliopo na ujao Asante dada
Asante sana nakuelewa vizuri
May God bless you my teacher
I love you teach
thnkx tichar😘
Thank you so much
Thank you Ms Dorothy 😘
Thanks so much teacher
Safi teacher
Asante Sana na taka nielewa zaid na zaid
Thank u my lovely dada
Thanks so much ☺️ You made my day ❣️.Im on cloud nine 💗 because I have been using this word in a wrong way ❣️✨ Fortunately I have learned it today 😁😁 Be blessed Ma'am.
You are so welcome
Tufundishe Future perfect
We're inatamkwaje
Sister Dory you are a good teacher
Naomba admn uniunge kwenye group
very thanks
my teacher I love you for nothing
God bless you a lot 🙏
Ubarikiwe dada na Mimi nakufuata
HongerSans
Asaatisana mwalimu niko kwa darasa kabisa
Nice
Thank you 😊
Madam how are you me nashindwa kuunganisha maswal
Habari Mwalimu naomba ufundishe the use of (for)
If we had practiced we could have won
We could have won if we had practiced.
Jaman unatusaidia San madam
Jamani tunao soma kwa teacher Dorothy kwanini tusiunge group letu ili tuwe tunajifunza zaidi please guys tutajua jaid😊
kabisa nikoteali
Mambo ,, mlifanikiwa kuunda hilo group? Na mimi nahitaji
Namimi muni Inde kwenye groupe
Sawaaaaa wazo zuri pia
Hii nzuri
safi sana "Excuse me , could you speak more loudly?"
Alafu tengeza namba special watssapp ya sisi tu wanafunzi wako ili upate kutufundisha.
Ni kweli mjomba
My carcould fit six people
Ukitaka kusem gar langu lingeweza kuchukuwa watu 6 unasemaje?
Ivi hivi viwakilishi, vinautofauti? Would/ could
Namba zako
Dorothy mm naomba ufundishe jinsi y kuhesabu pesa kw kingereza pia somo lingne tufundshe kujua aina ya vyakula na matunda mboga mboga Kwa kingereza
Wazo zuri sana. Nitafundisha. Asante
Jamani mm kichwa zangu sijui kipojee ety sielewii hauna s3hemu unayofundishia live
Fanya mazoezi
Samahani dada naweza kushare kidogo vitu nilivokaririgi kidogo vinanisaidia mfano ta_ inaenda na will nitaenda, nge_ inaenda na would ningeenda,napaswa _inaenda na should ,naweza inaenda na can.ngeweza inaenda na could .huenda nikafanya huenda na may .huenda ninge inaenda na might .lazima uenda na must ukikalili hivi vinasaidia Sana
Teacher Dorothy tunahitaji masomo mengine
Teacher Dorothy naona unachelewa Sana kutoa masomo vp
Tunaitaji idioms pia
Teacher Dorothy tunahitaji somo la 41
I could leave this year but my contact ends next year
Naomba namba yako nataka uwe unanifundisha nakuripa
Mnaomba namba za mwl za nini sasa fuatilia somo kwa makini waweza rudia hata mara kumi,wengine watatuharibia kwa kumtongoza mwisho asuse
Mwalim weka namba ya Whatsapp ili tukupate kirahisi wana fuz wako hususani kwa sisi wangen
Asante mwalimu ila kaxi ya( the) inakua inatumika sehemu gani maana tunaonaga tu unasema the bag on the house hapo hatujui imekaa the kwasababu ipi au kivipi
Tunakuomba utoe masomo mengine
Sister we also needs articles (3)
Nagufatiliya Nokia burundi
Unajua kingereza ila Hujui kufundisha.
Kakojoe ulale
If I had a good teacher I could have passed .
Is it correct to say this
Yes
@@jifunzekiingerezanadorothy it's kind of you teacher .
Samahn una wez kunitumia namb yako
Tumuombe tuwe na online class
Habari. Jaza hii fomu: docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLScdPI010whxjhdx6fgBJovi5rPRr1h7vqGR513I43HCVjIwuA/viewform?usp=send_form
Natamani nipate za mwanzo yaani
Zipo. Tafuta Somo la 1
Kipenzi mimi nashidwa kuelewa maana ya sentesi yapo kusoma kwasasa naweza kwa kiasi ila kuelewa maana bado sijuwi nakwamawapo nisaidie
Je kama ukisema, excuse me CAN you speak more slowly? Ni sahh au sio
Ndiyo
Naomba namba za Whatspp
Hi Doro !!! CoULd I hAve yOur phOne nUmber?
Nice
You are reard