Msaidizi wa Lissu afunguka mazito dhidi ya Wenje

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 134

  • @paulinebogohe-pi8gn
    @paulinebogohe-pi8gn День назад +18

    Ni kweli Lissu ni mwaminifu sana

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 23 часа назад +9

    Lisu hana tabia ya rushwa

  • @Valerianshad
    @Valerianshad 9 часов назад +1

    Hivii abduli kawa special guest wa chadema siyooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rogersiddy
    @rogersiddy День назад +10

    Mungu ndo kila kitu wanamzunguusha malipo yake ipo siku haki itatendeka tu

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 День назад +8

    Yaani akina mbowe wachukue fedha sisi watutumie kuandamana!chadema Kama amumchagui Lissu kwisha habari yenu.

  • @ANDERTETEMEKO-z6j
    @ANDERTETEMEKO-z6j День назад +12

    Lisu ni mkweli na ndo maana anakemea hadharani

  • @TheobardTheonest-hx9sz
    @TheobardTheonest-hx9sz День назад +6

    We mwandishi ulisomea wapi unahoji nini sasa🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 22 часа назад +1

      @@TheobardTheonest-hx9sz fala tu muandishi😡😡

  • @ThomasMwarukaKeya
    @ThomasMwarukaKeya 23 часа назад +5

    Kwa Maelezo haya tu ya MSHAURI MAALUM wa Lissu David Jumbe ni Kwamba Mbowe hafai tena Kuwa Kiongozi Mkuu (Mwenyekiti wa CHADEMA) Kwani atakuwa ANAKIONGOZA CHADEMA Kama (CCM - B) Kwa Sababu ya KUONJESHWA Asali ya Mama Samia Suluhu Hassan na Mwanaye Abdul, hivyo hawezi tena Kuwa Sauti Mbadala Kwa Watanzania..!

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h День назад +7

    Sugu nilikuamini kumbe na wewe unahongeka ndio maana upo kimyaaa

  • @franklwakatarevideos
    @franklwakatarevideos День назад +7

    Ni wazi kwamba Chama kishaingiliwa aise. CHADEMA is never the same again.

    • @knight6757
      @knight6757 20 часов назад

      Pesa...💪 Tamaa.. 💪💪 kitamponza yeyote asie na ari !!!

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 17 часов назад

      Hakika​@@knight6757

  • @joycengoda6567
    @joycengoda6567 19 часов назад

    Twende na Tundu Lissu wapendwa wangu ❤❤

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 День назад +4

    Land Dwellers muwe mnaajiri watu (waandishi) wenye uelewa, siyo kama huyu! Huyu ambaye anajibiwa swali analouliza lakini haoni kama amejibiwa bila shaka huyu ni mbumbumbu tu

  • @rashadwiser2584
    @rashadwiser2584 8 часов назад

    Waadishi wa habari mtihani

  • @francismwantolwa2329
    @francismwantolwa2329 13 часов назад

    Tunaenda Tundu Lisu

  • @FelixLubango-j3q
    @FelixLubango-j3q 17 часов назад +1

    SaSA WATU WANTAKA UKWELI. MWEUPE AU MWEKUNDU

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 14 часов назад +1

    Lisu bado ni mkweri ndo maana anaongea adharani

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 21 час назад +2

    Watanzania tuna Akili ingawa hazifanani ndiyo maana kuna watu kama kina wenje lakini ninavyo amini mimi mwenye akili hahitaji ufafanunuzi zaidi ya huo uliotolewa na Jumbe. Hivyo ni juu yake amuamini wenje ikiwa naye ni kama wenje

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 День назад +3

    Hii issue kwa nchi za haki basi mtt abdul anakamatwa na mama mtt anatakiwa ahojiwe kwa tuhuma za rushwa na abdul jela mamaake ajiuzulu kama mama kakutwa kashiriki jela . Ntiaji na mpokeaji rushwa wote. Huyu wenje hafai kuongoza kama kathubutu kuwa sehemu ya mipango ya rushwa ni part ya muhalifu. Hii yute nikuonye tuna inchi ya aina gani serekali wanaitwa polisi . Waziri wa ndani . Takokuru kimya like nothing happened

  • @rogersiddy
    @rogersiddy День назад +5

    Mtangazi nawe boya sana maelezo ya mwanzo Jumbe amesema alitaka kumpa usafiri na kumsaidia sasa amsaidie nini?wakati ana pesa zake kwanini wanamzunguusha siwamlipe au wanaogopa atapata nguvu?au umetumwa?😡😡😡😡

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 21 час назад +3

    Hivi kwanini Lisu hakumrecord Abdul wakati alijua kabisa kuwa anakuja nyumbani kwake na haelewi kinachomleta. Angerecord ubabaishaji wa Wenje wote ungetoweka. Lakini kwakuwa hakurekodi watu wanabaki na mashaka kwa pande zote bila kujua mkweli ni yupi.

    • @zidadumbepo1486
      @zidadumbepo1486 17 часов назад

      Kabisa

    • @ShedrackFaustin
      @ShedrackFaustin 15 часов назад +1

      Wana record ila hairuhusiwi kisheria

    • @BeniMwengo
      @BeniMwengo 14 часов назад +1

      Unataka record ya nini wakati mtuhumiwa ameshakiri hadharani?

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu День назад +8

    😂😂😂Wenje kama si kuwadi basi ni mshenga, ila Abdul kaleta balaa ndani ya CHADEMA 🎉🎉🎉🎉

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi День назад

      Sasa kaleta balaa gani izoo ndio akilii za matakoni azina maono

  • @Doctortv-y7i
    @Doctortv-y7i День назад +3

    CHADEMA MMEKUFA SIKU NYINGI SANA MJIZIKE TU KABLA HAMJAOZA MAANA SASAIVI MNACHOFANYA MNATEMBEZA HARUFU YENU TU NA KUTIA AIBU OH ABDUL ABDUL KWAIO ABDUL KAUA CHAMA?

  • @godsson5954
    @godsson5954 17 часов назад +1

    MBOWE HAKUPELEKA SABAB YA WIVU NDO MAANA ALITAKA WAUNGANISHE MADAI YA CHAMA NA YA TAL😅😂

  • @wallacemngoma794
    @wallacemngoma794 День назад +1

    Mtangazaji inaonekana rushwa haioni kuwa ni jambo hatari kwa yeyote yule.

  • @chachakichonge1285
    @chachakichonge1285 16 часов назад +1

    Hata sugu atakua ameramba asali

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 День назад +3

    Mungu wangu Mbowe gaidi

  • @xxl5239
    @xxl5239 2 часа назад

    Ndugu zetu wa Bara kwao hakuna upinzani kabisa, wao wanatafuta maslahi tu, kwasababu hawana lengo fulani wanalolipigania isipokuwa maisha yao binafsi. Huu hauitwi upinzani, kwasababu ukiletewa hayo maslahi binafsi unanunulika tu.

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 21 час назад +1

    Kwa staili hii naiona ACT wanashika atamu ya kuwa Chama kikuu cha Upinzani.

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 20 часов назад

    Koh ina maana hata SUGU MOTO CHINI naye nu mnufaika wa pesa za Abdul 😂😂😂😂😂😂

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 13 часов назад

    Huo ulikuwa mtego kwa Lisu ili baadae wamgeuke kuwa walimpa rushwa ila ashukuliwe Mungu Lisu alishitukia mpango mzima

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips День назад +2

    Muandish huna maswali ya maana

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 День назад +2

    Mauwongo mengi sana

  • @rogersiddy
    @rogersiddy День назад +3

    Huyu sasa ndo msema kweli sasa wenje alikuwa anaongea kwa panic sababu anajua mpango mzima sasa imebumburuka plesha juu juu Mungu atuepushe na fitna na zambi za dunia🙏🤲

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips День назад +2

    Huyu mwandishi anahoji ninibona maswali km hujasoma

  • @195941233
    @195941233 День назад +1

    Wewe mwandishi Ufahamu wako ni mdogo sana. Unashindwa kuelewa unachoelezwa!

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 13 часов назад

    Kwa Mwanza kama Wenje anacheo chochote chadema avuliwe mara moja.

  • @MihayoMageta-k4n
    @MihayoMageta-k4n День назад +6

    😂😂😂😂Wenje Jaluo noma😂😂😂😂

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu День назад +2

    Halafu wadanganyika mnambiwa muingie barabarani upiganie chama cha CHADEMA. Amkeni vijana hakuna mwanasiasa anaepigania haki yako na uhakika ndio huo tuanaouona kutoka kwa viongozi "makini" wa CHADEMA. 😂😂😂

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h День назад +2

    Wenje umeaibika shenzi wewe

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 День назад +1

    Hela za waarabu hizo na ndio zinazoinunua nchi

  • @BrayanEdwin-v5v
    @BrayanEdwin-v5v День назад +2

    Nihatar haya mambo

  • @IssumailRashid
    @IssumailRashid 20 часов назад +1

    Uyu jamaa ni mkweli,

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 19 часов назад

    But kwa nini hamkurekord jamani.we next time.msikose hilo.pls pls pls

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 19 часов назад

    Mtego wa CCM umenasa kabisa Ngoja tuone cdm inavyopukutika kama chama cha caf

  • @chachakichonge1285
    @chachakichonge1285 16 часов назад

    Lissu ni mwaminifu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 8 часов назад

    Yote haya nyerere aliyatabili,lissu anachukiwa kwa sababu ya misimamo yake ya kizalendo.

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 День назад +1

    kwn kasema kua aaaminiwe yy. muandishi unaboa

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 День назад +2

    Huyu mlinzi yuko vizuri maana hata kwenye account za lisu anaingia kujua miamala inaingiaje. Duuuh

    • @franciscomasungulwa3575
      @franciscomasungulwa3575 День назад +1

      Huyo siyo MLANZI ni msaidizi wa LISSU....Kitaaluma ni engineer...na wakati yuko chuo aliwahi kuwa RAIS wa serikali ya wanafunzi....He is smart

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 20 часов назад

    Yupo makinsana

  • @MzeeBonge
    @MzeeBonge День назад +1

    Mwandishi mbona kama umetumwa

  • @nestor384
    @nestor384 13 часов назад

    Uwezo wa interviewer ni mdogo sana anauliza swali ilhali majibu ameshapewa mapema!

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 23 часа назад

    Abdul alikuja vibaya ila alidunda,babu kubwa mr lisu.

  • @Felix72282
    @Felix72282 22 часа назад

    CHADEMA!

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 21 час назад

    Mwndishi ana IQ ndogo. Kuelewa kwake mambo ni kudogo sana. Hata hoja zake ni dhaifu.

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 13 часов назад

    Gapo cha kufanya ni kupiga chini Mboe vinginevyo mtu mwenye akili timamu hawezi kuipigis kuura tena chadema Mboe hatakiwi kupngoza chama nyupo pale kupiga dili wala hana ukweli wowote anacheza na akili za watu.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 21 час назад

    Yani hata kumpa dereva wenje syooo

  • @knight6757
    @knight6757 20 часов назад

    Mzama maji hu tapatapa.... wenye akili watajua hao wano tapatapa !!

  • @StellahSteven
    @StellahSteven День назад +1

    Anayehoji hajui kuhoji. Hajauliza maswali ya msingi.

    • @PATRICKKIPARA
      @PATRICKKIPARA День назад

      Maswali yapi ulitaka aulize,,?

    • @schniderlivin
      @schniderlivin День назад

      Anaehoji anafeliii bana 😂

    • @schniderlivin
      @schniderlivin День назад

      Critical and relevant questions​@@PATRICKKIPARA

  • @FarajaZambiawaka
    @FarajaZambiawaka 17 часов назад

    Huyu mwandishi alivyo kaa kwenye kitu na upara wake unaweza ukazani kweli ni mwandishi kumbe ni makajanja tu hana uwezo wa kuhoji kabisa

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 22 часа назад

    We mtangazaji sisi wananchi ndiyo tunapima mazungumzo ya wote tunajua nani mkweli nani muongo

  • @allanbhujo8736
    @allanbhujo8736 22 часа назад

    Kwa watu wenye akili timamu kadri maneno yanavyozidi kuongeleka ukweli na uongo utajitenga

  • @JumanneSalumu-w3g
    @JumanneSalumu-w3g 20 часов назад

    Hujama ametokea wapi

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x День назад +1

    Kwann mbowe anamkumbatia wenje

    • @kigesomichael8061
      @kigesomichael8061 День назад

      Kit kmj

    • @samsonsamwel8782
      @samsonsamwel8782 День назад

      Ndo maana kamwmbia agombee nafac y lissu na yey kabet yake 😅😅

    • @wilfredmlaki822
      @wilfredmlaki822 День назад

      Wenje akiwa makamu Dili zake zitaenda bila longolongo.

    • @Valerianshad
      @Valerianshad 9 часов назад

      Mura elewa neno abduli na pesa 😂😂😂😂😂😂

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 22 часа назад

    Lisu anatosha wakimzingua tunahama nae, walitudanganya zito na kitila hawafai kumbe wanafaa kuliko wao wamebaki na ujinga wao komaa kamanda hata gobore huna,!, kwenye pesa wanabaki na kimange na wenje na watoto wao,, hawana pa kutokea tena , hadi ccm inawashinda hawana ukaabila

  • @johnndunguru2080
    @johnndunguru2080 23 часа назад

    Kichwa kigumu muandishi wa habari

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 День назад +1

    Mwandishi uliza maswali yenye mantiki mbona maswali yako ni ya kitapeli zaidi hueleweki .

  • @johnndunguru2080
    @johnndunguru2080 23 часа назад

    Wewe Mwandishi wa habari umeishia darasa la nne.

  • @FelixLubango-j3q
    @FelixLubango-j3q 16 часов назад

    Wapiga kura UCHAGU ZI, WA MWENYEKITI MSIANZE KURUMBANA NYINYI SI NDIYO WAPIGA KURA. NA NYINYI SIMUNAPIGIWA ,KURA TAFAKARI SAAAANA ,KURA YENU NI MUHIMU.

  • @benny4345
    @benny4345 19 часов назад

    Huyu mwandishi boya kabisa!

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 День назад

    Chama cha Chadema kimeshaingiliwa imekua ni kupokea na kugawana 😃

  • @ProperGandatv-b1p
    @ProperGandatv-b1p День назад +2

    Abdul anasaidiaje mtu mmoja mmoja?. Siapeleke misaada kwa wasiojiweza uko, ajui kunawatu ata mlo wa Day one hawana?

    • @schniderlivin
      @schniderlivin День назад +1

      Si ndio Sasa...anisaidie hata Mimi bana 😂

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 День назад +1

    Abduli alikuwa sahihi maana Mzazi akiwa kiongozi tena wakitaifa watoto walio wengi huumia sana anaposemwa vibaya mzazi wao. Hata ningekuwa mimi ningetamani kuona njia ya kutuliza amani ya moyo.

  • @jubajewilson18
    @jubajewilson18 22 часа назад

    Huyu mwandishi anaonyesha chuki binafsi na TAL.

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 13 часов назад

    Tuone takukuru inavyanya kazi haya ni mambo ambayo takukuru hawana haja hata ya kuambiwa chunguzeni lakini sijaona watoke kwa vyombo vya habali waseme wanafanya uchunguzi au haya hayastahili kuchunguzwa na takukuru ?

  • @francemlwilo1586
    @francemlwilo1586 21 час назад

    Mwandishi umetuangusha banaaa umeboa kifupi

  • @tam5262
    @tam5262 18 часов назад

    Kuwe na semina na kozi fupi fupi za waandishi wa habari wote wa mitandaoni. La sivyo kama hawana mafunzo wasiruhusiwe kufungua majukwaa ya habari mitandaoni. Mtu unajibiwa swali moja zaidi ya mara tatu, huelewi! Unamaliza muda na mbs za watu bure!

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 15 часов назад

    *Ewe msaidizi wa Lissu, Djumbe, Lissu amewahi kutuambia kuwa alimwambia Abdul kitu kama, "shenzi, toka hapa na pesa zako." Je, ni kweli? Je, alitamka hivyo siku hiyo ya kukutana?*

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 День назад

    Land Dwellers mtakosa contents kwa kuwa na waandishi kama hawa

  • @drjbmsige4098
    @drjbmsige4098 День назад +1

    Hakuna rushwa hapo lisu ametwist agenda kwa wenye akili timamu walikuwa wanamsaidia kupata pesa zake

  • @MichaelMeshack-i2r
    @MichaelMeshack-i2r День назад +1

    WAONGO NYINYI

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy День назад +1

    Wenje nimjinga tu kama wajinga wengine tulizanizinamtosha kumbe nipunguwani chawa

  • @ikotilissu5380
    @ikotilissu5380 День назад +1

    Mwanahabari uwezo mdogo sana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 День назад +2

    Mtangazaji wewe mshenzi sana kafie mbali PUMBAVU

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 20 часов назад

    Hivi takukuru hii tarifa wanaifutilia na ikiwa wanaifuatilia wana maamuzi gani juu ya uhuni wa viongozi wa CDM au kwa vile hiyo rushua inamgusa mtoto wa malkia moja kwa moja? Embu takukuru nanyi fanyeni kazi kwa mujbu wa sheria kwn mpo hapo kwa mujbu wa sheria

  • @ALFREDMTUNDU
    @ALFREDMTUNDU День назад

    Mwandishi uwe unajianda Kwa maswali, anayejibu Yuko smart kuliko muulizaji.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 21 час назад

    Mbowe out maramoja

  • @joycengoda6567
    @joycengoda6567 19 часов назад

    Mwandishi mpumbavu sana hajaenda shule kabisa

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 День назад

    Huyu mwandishi mwehu

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 День назад

    Eeeh ndugu mwandishi kwani mwanamme akitaka kumfanya mwanamke Kwa mara ya kwanza atamwabia njoo geto nije nikufanye siatamwambia aende akamtembelee na akishaingiq ndani akammbamiza ,we mwandishi sanuka

  • @ProperGandatv-b1p
    @ProperGandatv-b1p День назад

    Mambo na kusaidiana 🤓

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 День назад

    Hata sugu

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c День назад +2

    Kitendo cha Magufuli kufa nchi imekuwa ya hovyo sana rushwa imetamalaki

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole День назад

    💉💯

  • @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI
    @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI День назад

    acha usanii

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 20 часов назад

    Duuh, huyu mtangazaji ni very unprofessional. Hawezi kusimamia na kuendesha interview. Anapewa jibu la swali kisha anauliza tena swali hilohilo tena na tena na tena!!

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 День назад

    DREVER WA LISSU YUKO WAPI ? ĶÀZI KWENU WAPIGA KÙRA CĤADEMA !!

  • @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI
    @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI День назад

    steven umeona jamaa anakwepa

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 День назад +1

    Mawasiliano ya Wenje na Lisu ya simu unayasikiaje wewe?

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x День назад

      Nafikiri umeelewa usijitoe ufaham Kwan hawaambiani kwamba nimepigiwa cm naambiwa hivi na hiv

    • @elialugano1679
      @elialugano1679 22 часа назад

      Nadhani kama umesikiliza vizuri kwa uelewa huyu mhojiwa ni Msaidizi wa Mh Lissu, so watu wengi LAZIMA wapitie kwake na kiitifaki ndiye anatoa taarifa za lini wakutane baada ya kupewa ratiba ya nafasi ya Lissu
      Na ilivyo Sasa na mitifuano LAZIMA mtu wako wa karibu awe backed up na Kila kitu, so anajua mengi

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 День назад

    Mnaushaidi gani kama rushwa imepokelewa,au niuchaguzi ulitumia pesa nyingi,mbona mambo ya ajabu mnaongea

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 День назад +2

    Lissu anamtuma Abdul akamwambie mama amsaidie alipwe mafao yake. Sasa hapa Lisu anamwomba Abdul asiyekuwa mtumishi wa Serikali amsaidie kama nani? Nyaraka ziko Ubeljiji lakini anampa nyàraka ili aipeleke kwa mama hii imepatikana kutoka wapi? Lisu anasema aliwafukuza sasa mpaka kumpa nyàraka aliwafukuzaje?

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba День назад

      Ko wew unataka kusemje hapo

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 День назад +2

      Ndio maana ccm Huwa nawaita wapumbavu maana reasoning capacity yenu ni ndogo sana kama ni betry la simu ni too low.

    • @barnaba3037
      @barnaba3037 День назад +2

      Sikiliza tena bro! Utumie ubongo vizuri wakati unasikiliza

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn День назад

      Waza ubongo wako ukiwa ndani ya kichwa utaelewa

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 День назад

      Alimjibu sawa sawa na ujio wake