WIKI BAADA YA KIFO full movie final

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 165

  • @NancyAkinyi-nw4zj
    @NancyAkinyi-nw4zj 9 часов назад

    YAANI KIPESILE WEWE UMETISHA BABANGU🥰🥰🥰🥰 FEEL LOVED FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Ann-d9v9v
    @Ann-d9v9v 3 месяца назад +9

    Kipesile nakupenda sanaa aky mungu akubariki kwenye sanaa yako❤

  • @LawrenceSaitoti
    @LawrenceSaitoti 4 месяца назад +4

    Hongereni sana kuwaza I really love kipesile 😅😅 am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @CalnessJacob
    @CalnessJacob 5 дней назад

    Mama vero ni shuja sana katika muv kufa na kufufuka ameigiza vizur sana namwombea azid kufika mbali katika snema zetu zatanzania

  • @Richard-m6p6y
    @Richard-m6p6y 2 месяца назад +3

    Movie safi sana yenye mafunzo kwa maisha yetu. Shani mwenyewe anakaa tu mchawi 😂😂. Sijui mbona mliamua kumuuwa Budah😢. Following from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MaryKanini-x2z
    @MaryKanini-x2z 9 дней назад

    Hongera kipisile kwa uwigizaji wako mzuri hakika utakuwa mtu bora kwa kuigiza

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 4 месяца назад +3

    Shan nmempenda bule dada unakipaji hongera kwakuvaa uhalisia Kazi nzuli na funzo

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 4 месяца назад +6

    Kipesile Kazi nzuli sana ameonyesha kipaji kikubwa sana kuliko umli wake mungu ampe afya njema

  • @EsterTem
    @EsterTem 4 месяца назад +3

    Hongereni sana sana.kwatamthilia yenye mafundisho.ipovizuri.kula tano.kipesile unatisha upovizuri je kipesile nimwanamke au.anastahili kua mwanajeshi yupo vizuri

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 4 месяца назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂 Kazi nzuli sana jaman hongeren sana Yan mtafika mbali mnakipaji camera imetulia director yupo vizuli sana 😂😂 Ila tumbombo apewe maua yake

  • @TeddyJoseph-w5h
    @TeddyJoseph-w5h Месяц назад

    Yaani kipesile ana kili sana kumzidi ata shani maana anajua utu nini.pokea maua yako mdogo wangu kipesile 🎉🎉🎉🎉🎉🎉.

  • @MafedhaSpallo
    @MafedhaSpallo 3 месяца назад +3

    Mko vizuri Sana sema punguzeni kelele zamzik wapenzi alafu punguzeni sekunde za mziki

  • @FatumaMsuya-j5u
    @FatumaMsuya-j5u 20 дней назад

    Kazi nzuri mmmmno🎉🎉

  • @jeremiahngao4846
    @jeremiahngao4846 4 месяца назад +5

    Bona Shani aendelee kuua.. kufikia hapo sitawai aminii mtesi wangu/adui/mchawi ..

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 4 месяца назад +4

    Hii movie nilikuwa naipita kumbe ni Kali sana Pokea maua yenu ❤❤❤❤

    • @Sally-j4p
      @Sally-j4p 4 месяца назад

      Kama mm aky naipita tu daily

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 4 месяца назад +1

    Hii movie nimeipita kwa mda kumbe ni mambo mbaya hivi kibesile ndiye ataamua haya maneno❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelKenyanya-yx6ho
    @EmmanuelKenyanya-yx6ho 2 месяца назад

    Good job kipesile and your strong team 🎉🎉🎉🎉

  • @VinyCent-tz1dz
    @VinyCent-tz1dz 2 месяца назад

    pendo kichogo miss u ♥♥♥ kazi mzur mwanangu🌹♥♥

  • @andrewkasiga
    @andrewkasiga 4 месяца назад +34

    Gonga like.. kama tupo pamoja.. kwenye movie hii

  • @Saidmlako336
    @Saidmlako336 3 месяца назад +4

    Huyo shani atisha kama mchawi kweli vile😂

  • @EdwinOgega-f8f
    @EdwinOgega-f8f 23 дня назад

    i love this❤❤❤❤

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 4 месяца назад +6

    Woooow mpaka kielewwke like kwa adery

  • @GlitterTz-hl1xo
    @GlitterTz-hl1xo 2 месяца назад +1

    Adery daah chuma zko n zamoto kak be blessed blood 🇹🇿

  • @samnnko5997
    @samnnko5997 Месяц назад

    Mzee wangu kazi nzuri

  • @DouglasOmbima-b2f
    @DouglasOmbima-b2f 3 месяца назад +1

    Fay from nairobi love kipesile❤❤

  • @FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI
    @FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI 3 месяца назад +2

    😂😂eti kipara kama jiwe la kiama 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Nkurunzizarobert2
    @Nkurunzizarobert2 3 месяца назад +1

    Jamani mbona hilo pala nimbaya sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Nkurunzizarobert2
    @Nkurunzizarobert2 3 месяца назад +3

    Sematu ila wanawake mkinyowa upala muvichwa mbaya sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 like zangu jamani mi napitatu

  • @GetrudaAndrea-ny4ku
    @GetrudaAndrea-ny4ku 4 месяца назад +2

    😂😂😂😂 kipesile na huyo pengo kichongo wanafulahisha sana😂😂

    • @Djf2hb
      @Djf2hb 4 месяца назад +2

      😂😂😂😂😂huyu kafata penzi😂😂😂😂

  • @samnnko5997
    @samnnko5997 Месяц назад

    Kipesile noma

  • @Mosesleonard-ny2kv
    @Mosesleonard-ny2kv Месяц назад +1

    Hii move mpya kipesile haiendeleii

    • @aderymasta
      @aderymasta  Месяц назад

      Hii ilikuepo kabla ya Kipesile...

  • @Lillianlii-c3c
    @Lillianlii-c3c 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤waoooooooooo napenda sana

  • @NiyonkuruSolange-u7t
    @NiyonkuruSolange-u7t 3 месяца назад +1

    Waoooooooo Kipesile pambana mwanangu utafika mbali

  • @happinesskerubo6472
    @happinesskerubo6472 Месяц назад

    Kipesile ongela mamangu❤❤

  • @RehemaKarani-x4x3r
    @RehemaKarani-x4x3r День назад

    Kwanini nani alimnyoa Shani jamani ila so mbaya❤❤❤

  • @SophiaJoseph-n4o
    @SophiaJoseph-n4o 2 месяца назад

    Nimesikia sasa braza sasa mbona kweny kipesile mnamvalisha sketi c jambo zuri kabisaa

  • @NancyBushangala-ur6sd
    @NancyBushangala-ur6sd 4 месяца назад +1

    Hongera Budah😂😊

  • @siyadiiadan5419
    @siyadiiadan5419 Месяц назад

    ❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪

  • @AwzaMstafa
    @AwzaMstafa 4 месяца назад +1

    Hongereni kwa kazi nzuri

  • @David-sy8hh
    @David-sy8hh 4 месяца назад +2

    Ilo pala sasa niatare. Mchawi alafi anapala ni noma

  • @Lichadifelisiani-gb9kc
    @Lichadifelisiani-gb9kc 4 месяца назад +6

    Hahika uyu mtoto Kiukweli kanikosha Na atakua MTU Mkubwa kwenye uigizaji Kiukweli kipesile anajua kuigiza

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kipesile umejua kweli kunichekesh eti asalamaleko na kutoka kiongozi wa uchawi adi kiongozi wa dini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimejia kweli kunifulahisha

  • @kassiAmos
    @kassiAmos 2 месяца назад

    Mwamba amekimbiya 😂😂😂😂Nimecheka aise 😂😂

  • @norickobelo1911
    @norickobelo1911 4 месяца назад +8

    Hii kitu imebamba sana mkuu

  • @LinerCherokony
    @LinerCherokony 2 месяца назад

    Wooii kipesile anafanya niogope sana

  • @shantelshanne12
    @shantelshanne12 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂 kipesile toto dogo 😂😂😂nipee pia maarifa

  • @estherngewa
    @estherngewa 2 месяца назад +1

    Jaman shani anakaa tu uchawi

  • @HanifahHamadi-su6yp
    @HanifahHamadi-su6yp 2 месяца назад

    Adery nnaomba uniambie maana ya "kudadeki please 🙏🙏

  • @DennisSampuli
    @DennisSampuli 4 месяца назад +1

    Naikubali sna hii movie

  • @ruthmueni-sn3ir
    @ruthmueni-sn3ir 3 месяца назад +1

    Kipesile nakupenda tu mbure ila ninaswali, wewe ni msichana ama mvulana🤔

  • @RamaKenga-u9h
    @RamaKenga-u9h 24 дня назад

    Kazi nzuri

  • @RajabuSelemani-s4n
    @RajabuSelemani-s4n 2 месяца назад

    Kali sana

  • @JohnWakhungu-dq6hu
    @JohnWakhungu-dq6hu 4 месяца назад +9

    nipeni like zangu🎉

  • @MajaniZaza
    @MajaniZaza 3 месяца назад

    Nimekubal🎉🎉🎉🎉

  • @CeciliaMoni-rt9ct
    @CeciliaMoni-rt9ct 2 месяца назад

    Kipesile wee sawa babaa

  • @millicentmuyuku
    @millicentmuyuku 4 месяца назад +1

    Next episode nataka kuona adery akifa

  • @CarolynCarosy
    @CarolynCarosy 2 месяца назад

    😮😅😢nakwambia hko poa sana

  • @berinminayo
    @berinminayo 2 месяца назад

    Nice ❤❤❤❤

  • @MaryMwende-r4w
    @MaryMwende-r4w 4 месяца назад +2

    Duuuh tamu sana

  • @jafarirajabukemo1218
    @jafarirajabukemo1218 24 дня назад

    Huyo Dada alieigiza kama Mama Vero nahitaji mawasiliano yake.

  • @FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI
    @FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI 3 месяца назад

    Chombombo umenifurahisha +na hayo meno yako😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪

  • @JannipherOtwori
    @JannipherOtwori 3 месяца назад

    Kipesile❤❤❤good guy

  • @oliverhKevone
    @oliverhKevone 13 дней назад

    Good work

  • @SalihatKaui
    @SalihatKaui 6 дней назад

    Jamani shani hiyo migoko kama mwanaume ilivo komaa

  • @emes602
    @emes602 3 месяца назад

    Mganga anataka penzi 😂😂😂😂

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 2 месяца назад

    We shani unatupigia kele tu wakati muuwaji mwenyew shetani mmoja ww mnafiki kweli anajiliza wakat ww ndio muuaji

  • @irenevihenda763
    @irenevihenda763 4 месяца назад

    Vida iko sawa kabisa

  • @luckyfamilytv.9513
    @luckyfamilytv.9513 Месяц назад +1

    Kumbe hata wachawi huteseka baada ya kutesa wenzao duh

  • @olivierhemed3590
    @olivierhemed3590 4 месяца назад +2

    Shan bangi zimozimo😂

  • @Rith-qo6nw
    @Rith-qo6nw 3 месяца назад

    Good work keep it up

  • @KefamuhiniAlpha
    @KefamuhiniAlpha 2 месяца назад

    Audi Hana rangi kweli mamaeeeee

  • @jentrixgongai2483
    @jentrixgongai2483 2 месяца назад

    Who else is watching while reading the comments 😅

  • @HilaryWambiliangakhaemba
    @HilaryWambiliangakhaemba 4 месяца назад +3

    Kazi nzuri sanaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Nkurunzizarobert2
    @Nkurunzizarobert2 3 месяца назад

    Shan bangi nyingi sana

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 2 месяца назад

    Tumalizieeni kipesile jaman

  • @ZuhuraShabani-x1z
    @ZuhuraShabani-x1z 3 месяца назад

    Kipesile❤❤❤❤❤❤❤

  • @SwedyJoka
    @SwedyJoka 3 месяца назад

    Maneno mengi sana hadi yanaboa

  • @GraceAbel-h3v
    @GraceAbel-h3v 2 дня назад

    Naitaji no ya stev ni kaka angu tumepotezana muda sana. Naomba kama unayo nitumie au mwambie mdogo wako grace isanje anakutafuta. Yule wa kurasini. Nawatafuta sana jamani. Martin,dada yao na mdogo wao.

  • @mwajumaally8374
    @mwajumaally8374 4 месяца назад +3

    Kipesile 😂😂😂😂

  • @Saidmlako336
    @Saidmlako336 3 месяца назад

    Tumbumbu simu hio imeenda kwa maji juu tuh ya zawadi

  • @jentrixgongai2483
    @jentrixgongai2483 2 месяца назад

    Hii part ya kipesile na Shani 2:40 amegeuka omba omba😂😂wanapigania food

  • @NkobaDaniel
    @NkobaDaniel 4 месяца назад +1

    Apo mmetisha wakuu

  • @EliasJosephat-n4p
    @EliasJosephat-n4p 2 месяца назад

    Naomba ikitoka niwe wakwanza kuipata

  • @SamwelMamwamloka
    @SamwelMamwamloka 3 месяца назад

    Tulushie 16 imefikapatam mnachelewesha

  • @VailethFrancis-ew6ro
    @VailethFrancis-ew6ro 3 месяца назад +1

    Napenda kipesile

  • @leosilva8888s
    @leosilva8888s 2 месяца назад

    Nice

  • @RuznatQuinta
    @RuznatQuinta 2 месяца назад

    Mwisho wa ubaya aibu

  • @SwaumuIsambi
    @SwaumuIsambi 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JeskaKayange
    @JeskaKayange 4 месяца назад +1

    Movie kal sana

    • @aderymasta
      @aderymasta  4 месяца назад +1

      Mambo ? KIPESILE hapa , asante kwa kufuatilia filamu YETU ... Tafadhari nakuomba Usubscribe maana muda so mrefu tunakuletea mwendelezo

  • @NeemaAlly-l1b
    @NeemaAlly-l1b 4 месяца назад +1

    Jmn mekupenda bule kipesil

  • @Nkurunzizarobert2
    @Nkurunzizarobert2 3 месяца назад

    Yani siku zote muchawi nimuchawitu

  • @gabrielmasitiniwafula9679
    @gabrielmasitiniwafula9679 4 месяца назад +1

    ❤❤❤kipesile😅😅😅

  • @RuthMlacha
    @RuthMlacha 4 месяца назад +1

    naomben muendelezo wa movie

  • @sierabravo848
    @sierabravo848 3 месяца назад

    Kipesile twaisubiri mbona mmechelewa

  • @KulwaKulwamtasima
    @KulwaKulwamtasima 4 месяца назад +1

    Wewe mtoto ni nyoko we nibaraa

  • @PokeaMwampashi
    @PokeaMwampashi 4 месяца назад +1

    Tuko pamoja

  • @fakihhassan5800
    @fakihhassan5800 4 месяца назад

    Wah mpaka kieleweke

  • @ZaiSaid-d7i
    @ZaiSaid-d7i 4 месяца назад +1

    Mwalimu nae kumbe yumo😅😅😅

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 4 месяца назад

    DOGO huyu anaigiza sirias kama ni live unapatia sana dogo

  • @JuliusPola
    @JuliusPola 3 месяца назад

    Kwani shani dada ya nani😊