BREEDER LW - "ALL CAPS" | BIG BABA FRIDAYZ | EPISODE 9 | MAKE IT RAIN - FAT JOE Ft Lil Wayne
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Buy/Stream "BAZENGA MENTALITY" The Album.
linktr.ee/bree...
Lyrics.
Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile Beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga,
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha,
Big Fucking Baba Weka All In Caps Ukiiiandika
Naskia Vera saa hii ako single naeza dai ibaki hivo,
Me and her can be item ndio Brand iongeze Mauzo
Ikikam kwa ile mchezo nina skills set ya Gaucho,
I'm a lake side boy na nimenonesha mfuko
Flow ni ya 2007 but naileta ikiwa fresh
Enzi Prezzo alikua na Nikki alafu pulse ilikua gazzet
Lil Wayne akiwa The Best, Cater 3 ilikua on deck
Sasa mbona Undertaker me ni beef na likobe
Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile Beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga,
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha,
Big Fucking Baba Weka All In Caps Ukiiiandika
Step on dem like a hood rat,
High table nakuja kukuja ,
Pockets deeper and too fat
Na huezi nipima , I'm too smart
Skanking ka hio parking ya quickmart watchie anashindwa ni nini amenusa
Cause I didn't have J's on my shoe rack me huvaa ndulla niki tupa ka toothbrush
V6 na nishajaza coolant
Mpepe ni ganji imetumwa
Wid a peng ting, kama sutra kwa sauna,
Enjoying the view, si ni flora na fauna,
Na Top ndani ya drop top ka bonus
Paper chasing me ntado the honors
After mboka ma sura walionwaa,
Imebaki wameficha ka cure ya ebola
Kila Ghetto yut si ni super star, super star
Mbling na mapetco na ma super car,
Keja na garden, pool room kadhaa,
Bado underration ndio si ukataa,
Mungu ni nani, In God we trust
Mahali nimetoka jo ni so far
Siitaki kama sii ideserve
Put in work ntaiwai ka nimei earn
Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile Beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga,
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha,
Big Fucking Baba Weka All In Caps Ukiiiandika.
The official RUclips channel of BREEDER LW. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
#BreederLW #AllCaps #BigBabaFridayz
Weka ALL CAPS UKIANDIKA✍🏾💯🔥
Noma sana the undertaker wapige matomb stones
🎉🎉🎉🎉❤
Hii ni ngori si ati nni
VILE INAFAAA BIG BABA🎉
Noma sana
Ishakua deadly🚶🔒
Omeraa bia bia big bah
You kelwaa
Noma🎉🎉🎉
Big baba najua ni genjee
Beast
Wow hii Ngoma 🙌 iko fiti
another wani fidi ladies
NOW THIS IS WHAT WE CALL CONSISSTENCY, VERSATILITY AND DOPENESS ALL IN ONE
Huyu ameji reinvent 😅😅
@@martin_oduor BIG BABA huyu😅
@@martin_oduorameji re invent walai🔥🔥
@@martin_oduorbut he's always been a top tier rapper
@@markoloo887 underrated probably .. .he is the 🐐
TK TK🚀🔥
Tuko on waiting...
Big baba
Salute manze
Nimeona Metroooooooooo
Clap clap
Eeeish...Acha Big BABA aitwe Big BABA🔥🙌👏💥🤣
People better show this luv sn 2 😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉 lkn Bado nangoja bigbabafriday ep 9
BIG BABAAAAAAAAAAAA
2 Mbili👊🏾🔥
All champs weka katapila mzime Elisha elai awache kucheza na big baba😂
Naskia Vera saa hii ako single naeza dai ibaki hivo,
Me and her can be item ndio Brand iongeze Mauzo.......joh🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Moootoooo💥💥💥💥❤❤❤
mzee mnyama
Breeder's consistence is putting him on a map, day by day, let's gooooooo
True..Big Baba🔥🔥
The fact that BREEDER can rap to any beat makes him a legend of our era...
Big Baba🔥🔥
Legendary bars......deep from the bones
Big baba🔥
Wapi likes zangu kwa breeder lw bana
#TKNATION💯🔥🇰🇪👊🏾 LINE GANI NOMA?
Big Fvcking baba kama jina yangu🔥🔥
25 nilishika mita🔥💥
Cobra punchlines
Vera ako single na unge penda ibaki hivyo 😂😂😂😂
Zote Big Baba
Nani anazitema kama si Breeder⭐️🔥🔥you already know😅
Hatari sana jahome
Premier gang , wapi likes za big papa
Aloh 🔥🔥🔥 Huanga 😊🎉
Big baba nomasana
Kutemaa kutemaa💥 #theundertaka
Before nidedi lazima juniamafia itafanya collabo na breeder. Inshallah 🙏
HAVING THIS SONG ON REPEAT WITH BEATS BY DRE IS MAD 🔥🔥🔥🔥
BIG BABA 🔥 🔥 💯
ALL CAPS⭐⭐⭐⭐⭐hii title ni Noma wapi likes zake
TK hajawahi tuangusha🔥🔥🔥🔥🔥much respect
Ianguke🔥🔥🔥✨😂
TK clan siku zote...👊👊
Aauuuuuuuuuu!!!!😂😂, Big Baba I love that sound, it's just a beast ❤
Mkuu 🔥🔥🔥
BIG BABA
Oyah Big Baba 🔥🔥Mtaa nayo Jina ilishafika💰 TK💪📌
One of the hits listening from South Sudan... Great joy❤❤❤
International 🔥
Big baba anakaa burna boy mnono😂
Kobra👽
Norgombotoma mjembeteshi
Big BABA🇰🇪🐐
"Ikikam kwa Ile mchezo Nina skillset ya Gaucho"🥵🥵🥵🔥🔥🔥🐐BIG BABA🙌🔥🔥🐐
Beast
It's high time big papa be Africa best rapper then Khali Jones 💪🐐👑
Big Baba 🔥🔥🔥💥
Breeder LW🔥🔥
B.R.E.E.D.E.R 🔥
Carter 3 ilikuwa 🔥🔥
We have to certify breeder as the new GOAT of hip hop.....mandem on fire 🔥 🔥💯
weweeeeeeeee .... big fucking baba ,,take nomaa ,,,, noooooma
Noma
This is zemwidick ❤️ Top fun breeder
Underration ndio kitu si hukataaa ❤bazenga heavy wait
Big father ❤
Doba ❤️🔥🔥🔥genje 🔥 nakumbuka zile enzi 😂😂
Brand yake aongeze whaaaaat😂
Nomaa mbaya🙌🔥
BIG BABA SIKU ZOTE
This man is talented and so consistent at his work ,TK CLAN to the world
🔥🔥
clean
MBAYAAA
Bazenga daddy 💪💪🎉
pia ma,neighbour wamedai hawataki stori zangu kwa sababu nashinda nikichachisha na hii banger😁😁💣💣
Undertaker maliza ngori 😂😂🔥🔥
#Bazenga 🎉
Big up👊
Big Baba Bazenga Dadii 🦾💥
Clap 👏 👏 👏
Big baba😂😂🎉
This guy the goat of this rapshit my new favorite
I approve of this no cap
Huyu ni mbaya dadi😂😂😂
Hii nayo ni dope kama Wazimu.. 🔥🔥🔥🔥🔥🚒🚒🚒
23 Nlikuwa bazenga jina kila mtaa ilifika 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mafosa joh ni maziwa
Vera sai ako single 🎉🎉😂
BIGGEST MADDEST🔥🔥🔥🔥🔥⚡️⚡️
Khali Bazuu
Damn ka umeroga I make it rain breeder we ndo breeder si diamond mwenye continent.
@BREEDERLW forcer nii maziwa wipe io lense John ukipiga picha😂😂
Breeder F W and the F is for finish em! 😂😂🔥🔥
Unakuja kukuja big babaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Vile beat inabang kwa speaker🔥🔥
Kwela inaeza clap nayo muhimu
All hip hop artists in TZ have gone into hiding, Respect to Breeder LW
They can't test the beast😅
F TZ rappers
This is true,wanadhani ni OG hehe
Buda budaaaaaaaaa kali
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha.
Fresh na imeiva kare tu sana bazunga
LW MZEE MZIMA
Kobra ni kama bedbag😂 unauma bila huruma 🔥
Nomaaa 💯 🤟 ati shingo inamwagika silver #cash money 🤑
Way up!!!! 🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀
baddest producer artist chemistry🔥🔥
Big bazenga🔥💯💯kuwa malisia kuaua
all caaaapss🔥🔥🔥🔥🔥