Mimi ni mmoja katika Tabligh na msikiti wangu nimeweka ukuta kutofautisha baina ya ukuta na kaburi pili tuko na halaqaat za kiilimu tatu kila mwezi twaenda vijiji jirani kwa daawa kisha lengo la kutoka ni tahriikul Imaan ili kile utakichokissoma ukilete kivitendo ucha mungu na Ilmu ni vitu viwili tofauti leo kina wasomi walevi, wazinifu, waizi n.k kwa hivyo kusoma si kila kitu kwa mazoezi ya kimazingira ya msikiti kukaa mda mrefu kuskiza Ilmul fadhwail na Ilmul Haal
Huku kenya vijiji vyingi tumewaongoza katika shirk tukawatia katikaTawhiid na mimi binasfsi Nimekuwa sababu ya kuozesha ndoa zaidi ya Ishirini na walikuwa wakizini
Moshi uliingizia maneno ambayo hayapo kwenye muntakhab kwamba kuna mambo ya kaburi na hayo hayakuandikwa na wasomi wapo wengi kwa daawa mimi mmoja nasomesha usuulu thathala, Ahkamuu tajweed n.k katika msikiti wangu na wote wanaokaa ni Tabligh
Malizia aya je Hamzingatii n Aya nyengine wanapoulizwa nani Ameumba mbigu na ... wasema ni Allah Allah hayo ni mazingatio kwa wanao Amini mwisho wa Ayah si makafikiri hawana mazingatio Ibn Baaz asema kuamrisha mema ni kw Aam kama hajui kutawadha waambiwa mpeleke kwa Imaam musome nyote
Tablik ni kazi wa ambiaa na mitume woote walipotumwa na Allah.na zinaenea duniani licha za kuzuiliwa na wasomi wa elimu wa juu.naeleme za mashekhe zinabaki kwa mimbra. Wasomi wa elemu endeleeni kukaa kwa mimbr na kuwatukana watu wa mwalidi na watu daawa na bida.tablig na mwalidi zitaendelea licha vileumedai hawana elimu.
Utaratibu wote uko kwenye kitabu na sunnah kasome hayaatu swahaba ya muhamad yusuf iliyofanyiwa Tahqiiq na Albaany soma mujaladaat zote tatu sio juu juu
Namuomba Allah akuhifadh sheikh..
Pia nakupenda ya sheikh.....allah akubarik
Ewe Allah....mbariki huyu sheikh....mkinge huyu shaikh....anaongea ukwel......tunanufaika san alhamdulillah
Amiin
Ameen
Amiin
Aamin Yaa Rabb
Amiin
ALLAH akuhifadhi shekhe wetu JazaakaNLLAH khayrah
Allah akuhifadh shekhe Abuu fadhil
Allah akuhifadhi hata kwa kiumri yaa shaikhanal fadhil
sheikh Allah akupe afya siha
Mimi ni mmoja katika Tabligh na msikiti wangu nimeweka ukuta kutofautisha baina ya ukuta na kaburi pili tuko na halaqaat za kiilimu tatu kila mwezi twaenda vijiji jirani kwa daawa kisha lengo la kutoka ni tahriikul Imaan ili kile utakichokissoma ukilete kivitendo ucha mungu na Ilmu ni vitu viwili tofauti leo kina wasomi walevi, wazinifu, waizi n.k kwa hivyo kusoma si kila kitu kwa mazoezi ya kimazingira ya msikiti kukaa mda mrefu kuskiza Ilmul fadhwail na Ilmul Haal
Kwa Maana yako Mtu aweza Kuwa Mchamungu Bila Elimu??
Allahu Akbar hii Audio niliisikia kitambo na ndo ilinipelekea kuachana na Jamaat Tabligh. Na kuanza kuijua Dawat Salafiyah.
Heri wamarekani kuliko wasaudia Hawa wasaudia ndie walimkimbiza Mtume S.A.W.
Huku kenya vijiji vyingi tumewaongoza katika shirk tukawatia katikaTawhiid na mimi binasfsi Nimekuwa sababu ya kuozesha ndoa zaidi ya Ishirini na walikuwa wakizini
Moshi uliingizia maneno ambayo hayapo kwenye muntakhab kwamba kuna mambo ya kaburi na hayo hayakuandikwa na wasomi wapo wengi kwa daawa mimi mmoja nasomesha usuulu thathala, Ahkamuu tajweed n.k katika msikiti wangu na wote wanaokaa ni Tabligh
Malizia aya je Hamzingatii n Aya nyengine wanapoulizwa nani Ameumba mbigu na ... wasema ni Allah Allah hayo ni mazingatio kwa wanao Amini mwisho wa Ayah si makafikiri hawana mazingatio Ibn Baaz asema kuamrisha mema ni kw Aam kama hajui kutawadha waambiwa mpeleke kwa Imaam musome nyote
Sasa moshi sokoni kuna mitihani mingi sana ya kiiman na hujawahawi kutembelea wala wanafunzi hawaendi
Alafu misikiti yote ina Maimamu ukimchukua mtu na hajui kuswali muhusishe Imaamu wa msikiti mujifunze nyote ndivyo wanazofundishwa
Tablighi Haijaanza Jana Twaijua zaidi ya Miaka 20 Sidhani kama Kuna Jipya Utakaloliongea ambalo halijulikani!
Tablik ni kazi wa ambiaa na mitume woote walipotumwa na Allah.na zinaenea duniani licha za kuzuiliwa na wasomi wa elimu wa juu.naeleme za mashekhe zinabaki kwa mimbra.
Wasomi wa elemu endeleeni kukaa kwa mimbr na kuwatukana watu wa mwalidi na watu daawa na bida.tablig na mwalidi zitaendelea licha vileumedai hawana elimu.
😂 zero brain