MARIOO afunguka JUX KUVUNJA MAHUSIANO YAKE NA MIMI MARS - "HATUJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 май 2023
  • MARIOO afunguka JUX KUVUNJA MAHUSIANO YAKE NA MIMI MARS - "HATUJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 19

  • @bakarikisuda4948
    @bakarikisuda4948 11 месяцев назад

    Marioo unafanya mziki mzuri sana. Ila Kwa haya mambo unayo shughulika nayo,saiv! Unajizika mwenyewe

  • @chany9950
    @chany9950 Год назад +2

    Mario Love you 😘

  • @imelda6495
    @imelda6495 Год назад +1

    Mimi niliumia sana marioo kuachana na mimi mars

  • @keem_17
    @keem_17 Год назад +10

    Mimi ndo wa kwanza naombeni like zangu

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Год назад +1

      Mimi Mars ama 😂

    • @djbestseries5634
      @djbestseries5634 Год назад +1

      @@BigZhumbe 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ljk4006
      @ljk4006 Год назад

      Hii nayo imekua ka fashion,, kila video unakuta mtu kacomment kuomba like😂

  • @uzune5887
    @uzune5887 Год назад +6

    Mwamba anajua sana kukana😅

    • @ljk4006
      @ljk4006 Год назад

      Hata hivyo Mimi Mars hajawahi kukili kua kwenye mahusiano na Marioo

  • @user-ux5tp5fb2u
    @user-ux5tp5fb2u Год назад +1

    Baaaad 💪💪💪☠️

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 Год назад +5

    Lil Ommy huwa Ana maswali ya kijinga sana hayana maana kabisaaa alafu sasa anatumiaga muda mwingi kuuliza swali moja kuliko hata majibu yenyewe daaah

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Год назад +3

      We huelewi Tu inatokana na Aina ya swali

  • @DCUTEMAHELLAHMAHELLAH-iw8wx
    @DCUTEMAHELLAHMAHELLAH-iw8wx Год назад

    Mmmh 🤯 unaju kukana kizwazwa acha ulimbukeni alikua anakufanya utoe macho kama kipaka kinakata roho

  • @KissaMbughi-dv3tw
    @KissaMbughi-dv3tw Год назад

    Mh, jamn mapenz sir ya wawir wapendanao

  • @official_fabio
    @official_fabio Год назад

    Hao walikuwa wapenzi

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy Год назад +1

    Wivu kwaajili ya paula

  • @mpoletzd7168
    @mpoletzd7168 Год назад

    KAMA SHABIKI WA MARIOO NATAKA KUJUA KUA NYUMBA ANAYO KAA NI YAKWAKE AMA KAPANGA???