Jux Afunguka kukosa Mtoto na Ex zake wote, Jackie, Vanessa Mdee wala Karen! Part 5
HTML-код
- Опубликовано: 11 апр 2024
- Swala la Jux kupata mtoto limekua stori kubwa pia kwa Msanii wa RNB Jux African Boy, katika interview hii, Jux amemaliza utata wa swali la kwanini hakuwa kupata mtoto na Ex zake wote, Jackie, Vanessa Mdee wala Karen!
Tazama full interview ya Jux hapa
Subscribe, Like, Comment & Share - Развлечения
I love the way Jux knows who he's and what he wants in life. Kila la kheri wake. 😊
Umeongea point hapo kwenye kuhandle family alafu unakuwa na mtu kwaajil ya mapenz,mi nimeweza hilo ila nmeona watu wengi wananiambia najitesa ningetafuta mtu anisaidie kulea but mi natambua Mungu ananisimamia hata km nina umri mdogo na mume wangu amefarik nikiwa na 20something hadi leo,Nakuombea Jux upate mtu mwenye kujielewa,mpambanaji,msimamizi mzuri na hofu ya Mungu🙏
Jux jamani mie nakukubali kinoma, hunaga zarau unahekima sana, MUNGU akupiganie usijebadilika ❤
This is the best part of the interview out of them all
I wish I could meet this guy ❤one day
jux kuwa makin sana kuanzia leo wanawake watajitegesha hili mladi tu wapate mimba kwakuwa tu wewe umesema upo tayar
Uwo ndo uanaume baba nakusapoti sana😮❤❤
Jamani nampenda jux sema nimezaa ananizidi umri walah angenioa tunaendana nae kabisa lakini ndio hivyo Niko usd😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
Used😅
Ety used jaman!!!
While excessive stress isn't good for your overall health, there's no evidence that stress results in miscarriage. About 10% to 20% of known pregnancies end in miscarriage. But the actual number is likely higher because many miscarriages occur before the pregnancy is recognized.
Insha'Allah Allah yupo pamoja nawe
Facts🎉
Juma nakuomba plz unipigie nakupenda San
😂😂
Pia jamaa hajatambua nin anataka. Anasema mwanamke aweze kusimamia familia asipokuwepo. At the same time ata provide kila ktu kwake.😅 how does that even sound in the same sentence
It does bro.. mm pia napenda mwanamke independent ambae anaweza kusimama hata nisipokuepo, but that doesn't affect the fact that am a man na nitatakiwa kuprovide kila kitu. Mtu ambae hajielew ata ukiwa unaprovide unaweza usione faida yake yoyote na kua na mtu anaejielewa/fighter, hata ukiwa na kidogo unaona impact kubwa
Huyu ni mimi kabisaaaaaaaa yani kabisaaaaaaa❤❤🔥🔥✌🏾
❤❤❤❤
Kaka uko ready sasa mad huo ndo una henda kupata ki TUMA njiya!! Pole lakini kwa ma fans-!!!
🔥🔥🔥
Mayai viza itakua ...
Haya maswali ya watoto wacheni kuliza uliza watu juu Mungu ni yeye anapewa watoto sio kwa bidii zetu watu wakajuwa hivyo wangenyamaza
interview bovu kinoma yaan
Ili chokoo tu
Hata usipotaja huyo ni vee coz alishawahi sema interview moja hawezi beba mimba coz hayuko tayari bado anatafuta pia ana stress nyingi za utafutaji😂😂
hahahahha mwamba anaachika yy tyu daily 😢
Wewe muongo jux ulivyo mzr iv mtu asizae na ww itoke mimi hapa siwez kuacha kubeba mimba ako ata iweje nazaaa😂
Huyu ni Mimi kabisa
Huyu ni shoga hazai
Unauhakika? ushawai kulala nae?
nakupenda ww mmbwa
Uyu bwana Hana mbegu
Machoko bhna Huwa wanaona kama wanaongea points
Aah wote