PT 1// MADAI YA MCH. PAUL SEMBA KUHUSU WANAMATENGENEZO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • PT 1// MADAI YA MCH. PAUL SEMBA KUHUSU WANAMATENGENEZO

Комментарии • 96

  • @Simonthomas-t9q
    @Simonthomas-t9q 8 дней назад +1

    Mtumishi ubarikiwe kwa kuuweka uongo huu wazi, kabla sjaanza kusoma nilikuwa namwamini sana Paul semba baada ya kuanza kusoma nikagundua vitu vingi huwa anadanganya either kwa kujua au kutokujua, Mungu amsaidie awe na uelewa kulingana na neno la Mungu sio kutisha watu kwa sauti kubwa huku akiombwa mijadala ahahepa

  • @khomeshapaul5470
    @khomeshapaul5470 9 дней назад +1

    Ubarikiwe mtumishi, ni saa ya tarumbeta za wajumbe wa kweli kutoa sauti zake kwa usahihi. Uasi umefunika madhehebu.

  • @mahonandulu7208
    @mahonandulu7208 6 дней назад +1

    Mithali 18:1
    [1]Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe;
    Hushindana na kila shauri jema.
    Through desire a man, having separated himself, seeketh and intermeddleth with all wisdom.

  • @happycharles2880-i7h
    @happycharles2880-i7h 10 дней назад +1

    Bwana akubariki sana mtu wa Mungu kwa kujitokeza kumsaidia au kuwasaidia Hawa walio kwenye Marengo makubwa.

  • @samsonjacob4240
    @samsonjacob4240 9 дней назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Baba

  • @ChakaWelington
    @ChakaWelington 3 дня назад +1

    Huyo p ni muhuni amelewa mapato ya aibu

  • @mamalaozphilemonmtawali.8467
    @mamalaozphilemonmtawali.8467 10 дней назад +2

    Amen ubarikiwe sana mtumishi.

  • @themessage3508
    @themessage3508 10 дней назад +2

    UBARIKIWE SANA MJOLI

  • @GeshanKiwovele
    @GeshanKiwovele 6 дней назад +1

    Tujitahidi sana kusoma maandiko na sikuwa wasikilizaji tu, tupunguze kuyumbishwa na kupunguza utafiti nani anahubiri vizuri/ukweli..

  • @mahonandulu7208
    @mahonandulu7208 6 дней назад +1

    Zaburi 73:27
    [27]Maana wajitengao nawe watapotea;
    Umewaangamiza wote waliokuacha Wewe.
    For, lo, they that are far from thee shall perish: thou hast destroyed all them that go a whoring from thee.

  • @EstaMganda
    @EstaMganda 9 дней назад +1

    Barikiwa sana mtumishi, Mungu yuko na watu wake hata utimilifu wa dahari na ukweli utahubiriwa either ni kwa furaha au machozi, ukweli utapenya

  • @imanikilongo1558
    @imanikilongo1558 5 дней назад +1

    Ninyi mnaojiita matengenezo na watu wa kanisa nani anamsema vibaya mwenzake ko mkiguswa tu eti mmeonewa tafakali yesu alisema ishu ya kibanzi na boliti

  • @debbohkawaka9222
    @debbohkawaka9222 10 дней назад +1

    Barikiwa mjoli wa Mungu 🙏🏾

  • @ZawadiSeva
    @ZawadiSeva 9 дней назад +1

    Amina 🙏 Mtumishi

  • @johnmayunga4445
    @johnmayunga4445 6 дней назад

    Good thing is to concentrate on Jesus Christ, such things may also appear among reformers.

  • @josephomollo1451
    @josephomollo1451 10 дней назад +3

    Uyu mchungaji ana kiburi Mungu amsaidie, ajue ukweli ili ajiunge na wanamatangenezo, ukweli ni kwamba anapigania mishahara

    • @SittaLuka
      @SittaLuka 10 дней назад

      Hayo ni mawazo yako Rudi kanisani

    • @ronaldhelmott8379
      @ronaldhelmott8379 9 дней назад

      Nyie ndo Mungu awasaidie ndg maana hamjui mnachokiamini.

    • @benrecsonlct1822
      @benrecsonlct1822 7 дней назад

      Ungetusomea fungu ama nukuu , maneno makavu hayasaidii kitu . Acha ushabiki

  • @kabialomsn
    @kabialomsn 7 дней назад

    Mimi bado nipo SDA chini ya GC lakini hawa wanamatengenezo nawakubali sana. Wao wanasema kweli tupu bila kupindisha. Kanisa letu kwa sasa lina mapokeo mengi sana

  • @JoaquimJoao-wk5hx
    @JoaquimJoao-wk5hx 8 дней назад +1

    Assante Tuko pamoja

  • @JosphineSila
    @JosphineSila 10 дней назад +2

    Mtumishi download iko aje? Ujumbe uko sawa

  • @AsheriKagezi
    @AsheriKagezi 2 дня назад

    Kila pando asilolipanda Bwana litang'olewa na ninyi si pando la Bwana mtang'olewa Tu ni suala la Muda mligawanyika na mnagawanyika sana

  • @joshuamulati1561
    @joshuamulati1561 8 дней назад +1

    Mtakufa kwa dhambi zenu ninyi wenye masikio ya utafiti usio wa maana

  • @gilbertelking9919
    @gilbertelking9919 10 дней назад +2

    Mmeliacha kanisa la Mungu kweli,

    • @wilsonwacira6917
      @wilsonwacira6917 10 дней назад

      Kanisa ni nini

    • @jamesombaso9493
      @jamesombaso9493 9 дней назад

      Nina uakika umekimbia kucomment bila kusikiza ungezikisha ungeita GC kanisa la mungu

  • @marthajames-fn7nm
    @marthajames-fn7nm 5 дней назад

    Kuvurugwa kubaya jamani,😁😁😁, ety kuombea maombi kwa sanduku ni sarakasi, Eee MUNGU nipe Hekima na Ufahamu juu ya neno lako.🎉

  • @jessicaesthermakungu1693
    @jessicaesthermakungu1693 10 дней назад +1

    Diaspora getting you loud and clear

  • @AbrahamDonardDonard
    @AbrahamDonardDonard 10 дней назад +2

    Ndugu Frank Onyango, Makusudi Yako ni mabaya tu Tena Mungu Hajakutuma kabisa halafu upo kinyume na Biblia na Roho ya Unabii hapo ulipo umeongezewa nguvu ya upotevu sababu umejiweka katika upotevu , Kama hauta kanusha na kutubu hayo uliyo wasilisha kinyume na uongozi wa Roho Mtakatifu utakufa katika upotevu Yesu anakuja upesi tengenezeni upya maana hayo mlo fanya Mungu hajawatuma

    • @samsonjacob4240
      @samsonjacob4240 9 дней назад

      Una maandiko au shutuma tu kana shetan alivyokuwa akishutumu?

    • @nchemuwilfredwilfred9572
      @nchemuwilfredwilfred9572 8 дней назад

      Ni kweli waadiventista wa kwanza walitumia fundamental principals kinyume na wa sasa? Hapo nimeshangaa... Onyango ako sawa kabisa

    • @AsheriKagezi
      @AsheriKagezi 2 дня назад

      Tatizo unajihesabia Haki, 1kor4:5-6 mbona mnapita yaliyoandikwa? Roho ya unabii haijakuambia kuliita kanisa la SDA babeli na wala SDA haiwezi kuwa Babeli na wala Roho ya unabii haitambui vikundi vidogo vidogo kama nyie, kanisa la mungu liko vitani Lina maadui kila Kona ndani na nje kama nyie hamko vitani mko salama basi ninyi si kanisa la Mungu

    • @AsheriKagezi
      @AsheriKagezi 2 дня назад

      Sasa huyo Dada white amekuwa kigeugeu? Leo aseme kanisa la SDA haiwezi kuwa Babeli halafu Kesho aseme SDA ni Babeli je huyo ni nabii wa Mungu kweli au unalazimisha maandiko

    • @AsheriKagezi
      @AsheriKagezi 2 дня назад

      Kwa hiyo wakati anasema SD A haiwezi kuwa Babeli alikuwa anabahatisha? Je mungu hanauhakika na ana chokisema je mungu ni kigeugeu

  • @kabialomsn
    @kabialomsn 7 дней назад

    Hawa wachungaji wa mshahara hawana jipya. Huko chuoni wanakoenda ndio wanaenda kutuletea mapokeo yao.

  • @danielthomasmsigwa31
    @danielthomasmsigwa31 7 дней назад

    Nalipenda sana kanisa la SDA limeniunganisha na kweli pamoja na roho ya unabii, napenda kuabudu pamoja tukiimba Nyimbo Za KRISTO pamoja; Ila viongozi wengi wanawaprogram washiriki kuheshimu kauli zao kuliko Za manabii wa Mungu!

  • @isayaogola8733
    @isayaogola8733 8 дней назад

    viongozi wa wanamatengenezo ni bora mkabatizwe upya

  • @danielthomasmsigwa31
    @danielthomasmsigwa31 7 дней назад

    Nakosa faraja ya ushirika lakini napata Nguvu ya Ajabu kwa maonyo ya Yohana toka jangwani

  • @erastohenry7948
    @erastohenry7948 7 дней назад

    Mwenye kanisa alisema yaacheni magugu na ngano zikuwe pamoja, sio kazi yenu kuchambua magugu na ngano hiyo ni kazi ya mwenye kanisa

    • @Qkamba
      @Qkamba 7 дней назад

      Magugu na ngano haiwezi kuwa mahali hakuna mvua. Kwanza jiulize magugu na ngano zipo wapi ? General conference hamna mvua ya masika huko. Magugu na ngano ni dhambi ya mtu binafsi sio dhambi ya mvumo. Mfano ni Yudasi na wanafunzi wengine. Wote walikuwa na Imani moja lakini Yudasi akafanya dhambi

  • @NelsonNassary-b5h
    @NelsonNassary-b5h 10 дней назад +5

    Mfundisha huyu semba maana amepotea vile ajui

    • @ZariaAtanasi
      @ZariaAtanasi 10 дней назад +1

      Na anazidi kupoteza na wengine pia

    • @NelsonNassary-b5h
      @NelsonNassary-b5h 10 дней назад +2

      Ukwel nlikua mtu mmoja nlikua napenda sana mafumdisho yake ila siku alipo sema et mtu ambae anakataa UTATU mtakatifu amepotea ndio nkachoka yaan TRINITY fundisho la Roma Catholic skumftilia tena

    • @ZariaAtanasi
      @ZariaAtanasi 10 дней назад +1

      Kiongozi kipofu, na hajui kuwa yeye ni kipofu

    • @NelsonNassary-b5h
      @NelsonNassary-b5h 10 дней назад +2

      Alinikwaza sana bas tu na anazid kupotea

    • @josephomollo1451
      @josephomollo1451 10 дней назад

      Ni uchungu sana​@@ZariaAtanasi

  • @jacksonyiapas
    @jacksonyiapas 10 дней назад +1

    Ellen White also cautions those calling his Church Babilon.

    • @benrecsonlct1822
      @benrecsonlct1822 7 дней назад

      Time and place to be considered. When was that???

  • @StephenMwijage
    @StephenMwijage 9 дней назад

    Kanisa limejengwa juu manabii na Mitume na Kristo Yesu akiwa mkuu wa Kanisa kwaiyo wanamatengenezo ni waongo mbona hakuna mtume aliyetoka ndani ya Hekalu Matendo ya Mitume 2 : 46

  • @TitusSabu-ec4tn
    @TitusSabu-ec4tn 2 дня назад

    Swali kwako onyango, ujumbe kama hufwati jinsia maandiko pia hapo ni motoni,huwwzi kuwa na wanawake wengi ilhali unasema uko salama hamna,

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin8014 9 дней назад

    Sikiliza kwa makini ujumbe wa maandiko. Maandiko hayo yako wazi kuliko Semba .

  • @drsamsonkibona371
    @drsamsonkibona371 10 дней назад +1

    Mbona mnaelewa na kutafsiri tofauti aya na dondoo hizo dah? Kumbe tatizo ni uelewa wa kutafsiri neno la Mungu.

  • @MulewaKenga
    @MulewaKenga 4 дня назад

    Nimekusikiza ila sikuelewi kabisa

  • @JumaMikachizima
    @JumaMikachizima 10 дней назад +2

    Anaesema pl semba mahubili yake so ya kweli uyo haijui biblia maana hakuna wachungaji naowakubali au naowapenda mahubili yao kama semba rudia kusoma vizury roho ya unabii

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 10 дней назад

    Hyu Semba me nilikua namfatilia sana, ila ndani yke kuna kakiburi na kujifanya msomi na kutumia kifua kama mislamu, na mbn akiambiwa wafanye mjadala anakwepa kama yeye ni mkweli?? Na si eti hajui ukweli anajua vizur sana, Sema anatetea kanisa lisabaritike! Ndo utasikia kaenu humu humu ndo kwenye ukweli😂! Tuliwasikiza zaman sai no! Tumekataa.

  • @JapharyBBudal
    @JapharyBBudal 9 дней назад

    Onyango huwa nawafuatilia ila nanyi mnapotosha sana.

  • @alexkilyenyi5763
    @alexkilyenyi5763 9 дней назад

    Nmekufatilia hadi dakik ya 20 nimegundua ndomaana umekonda.... ni shida znakumaliza

  • @SittaLuka
    @SittaLuka 10 дней назад

    Ludini kanisani nyie mbona mnajidanganya mtakufa bila tumaini

  • @ZariaAtanasi
    @ZariaAtanasi 10 дней назад

    Mbona hii video haina download

  • @MARCOFURAHA
    @MARCOFURAHA 10 дней назад

    Haaa ni utoto tu unawasumbua acha uongoo usidhani sisi hatu somi danganya hao ila onyoo semba amesha wapi nje ya kambi mtalambwa na moto

  • @JumaMikachizima
    @JumaMikachizima 10 дней назад +1

    Taifa litaondoka kitapigana na taifa lenzake

  • @MARCOFURAHA
    @MARCOFURAHA 10 дней назад

    Hatuwezi sikiliza ujinga kama huo sisi na semba mbele tu haaaaa wala haturundi nyuma nje ya kambi mtalambwa na moto

  • @vincentkyalo2538
    @vincentkyalo2538 9 дней назад

    Wanamatengenezo yaani offshoots

  • @isaacyator6183
    @isaacyator6183 День назад

    Na ulikuwa uko tu

  • @AsheriKagezi
    @AsheriKagezi 5 дней назад

    Ninyi mnaojiita wanamatengenezo hakuna mnachotengeneza bali mnabomoa yaliyotengezwa mmejaa chuki, kiburi, hasira, mkiongea mnakuwa wakali na wala hamheshimu yaliyoandikwa Biblia inasema mjifunze kutokupita yaliyoandikwa 1kor 4:5-6 inasema msipite yaliyoadikwa sda haiwezi kuwa babeli

    • @AsheriKagezi
      @AsheriKagezi 5 дней назад

      Tatizo mnasoma maandiko kwa lengo la kumpinga Mungu anawaacha anawaletea nguvu ya upotevu mkauamini uongo mkahukumiwe

  • @vincentkyalo2538
    @vincentkyalo2538 9 дней назад

    Wafuasi wa mpotevu Ndacha na Onyango 😂

  • @danielthomasmsigwa31
    @danielthomasmsigwa31 7 дней назад

    Lakini tusisahau kwamba anasisitiza atakuwa na SDA mpaka mwisho au nadanganya? Off course, aliahidi kuwa na Israel milele twajua Israel ya kiroho sasa

  • @JumaMikachizima
    @JumaMikachizima 10 дней назад +1

    Maana semba anawaambia watu live kabisa bila kuogopa lakin mshaanza kutoa maneno hao wachungaji wanao jificha hao hawafai toa onyo bila kuogopa acheni kuwaogopa watu

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin8014 9 дней назад

    Waadventista Wasabato, , humna sababu ya kufanya ushabiki. Sikiliza kwa makini ujumbe wa mandolin kama unavyosomwa na Pr. Frank Onyango. Kumbeza kwa sababu ya kumtetea Pr. Semba ni sana na kukanyaga chini ujumbe uliovuviwa wa maonyo kwa utumishi wa Sister White.

  • @ZariaAtanasi
    @ZariaAtanasi 10 дней назад

    Mtumishi hiyo nukuu ya Nell C Willison kwamba alitangaza Trinity nimetafuta Katika gazeti la Review and Herald, hiyo nukuu haipo Mtumishi @Frank Onyango.

    • @PTLPMTV
      @PTLPMTV  10 дней назад

      Ipo Kabisa

    • @JuliusMathew-b8l
      @JuliusMathew-b8l 10 дней назад

      Review and Herald zipo nyingi tafuta taratibu ipo

    • @ZariaAtanasi
      @ZariaAtanasi 10 дней назад

      Katika Adventist Review, Machi 5, 1981, ukr. 3, neno "Trinity" halipo kabisa, ila neno catholic ndilo lipo, chunguza utakubaliana na mimi.

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 9 дней назад

      Does Jesus mention the Trinity?
      Neither the word “Trinity” nor the explicit doctrine appears in the New Testament, nor did Jesus and his followers intend to contradict the Shema in the Hebrew Scriptures: “Hear, O Israel: The Lord our God is one Lord” (Deuteronomy 6:4).

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 9 дней назад

    Does Jesus mention the Trinity?
    Neither the word “Trinity” nor the explicit doctrine appears in the New Testament, nor did Jesus and his followers intend to contradict the Shema in the Hebrew Scriptures: “Hear, O Israel: The Lord our God is one Lord” (Deuteronomy 6:4).

  • @shijanathani2209
    @shijanathani2209 9 дней назад +1

    Acha kuchanganya watu wewe.
    The Lord has not given you a message to call the Seventh-day Adventists Babylon, and to call the people of God to come out of her. All the reasons you may present cannot have weight with me on this subject, because the Lord has given me decided light that is opposed to such a message.... LDE 51.2
    I know that the Lord loves His church. It is not to be disorganized or broken up into independent atoms. There is not the least consistency in this; there is not the least evidence that such a thing will be.-Selected Messages 2:63, 68, 69 (1893)

    • @PTLPMTV
      @PTLPMTV  9 дней назад

      UNASOMA NUKUU ZA AWALI WAKATI UONGOZI ULIKUWA HAUJAJIUNGA BABELI. AMESEMA HIVI
      1 SM 57.2 Regarding the testimonies, nothing is ignored; nothing is cast aside; but time and place must be considered
      ALIONA HATARI MBELE
      We are in danger of becoming a sister to fallen Babylon, of allowing our churches to become corrupted, and filled with every foul spirit, a cage for every unclean and hateful bird; and will we be clear unless we make decided movements to cure the existing evil? 21MR 380.1

    • @shijanathani2209
      @shijanathani2209 9 дней назад

      UBABAISHAJI
      “Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.

      - Mathayo 13:30 (Biblia Takatifu)

  • @NelsonNassary-b5h
    @NelsonNassary-b5h 10 дней назад

    Isubirie wiki Moja ad mwili itakuja ilikua live mda sio mrefu