Vijana kauti ya Nandi waandamana hadi afisi za kaunti kuwasilisha malalamishi dhidi ukosefu wa ajira

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 июл 2024
  • Baada ya maandamano ya kitaifa yaliyoilazimisha rais William Ruto kufutilia mbali mswada wa kifedha wa mwaka 2024, vijana wa Gen Z sasa wanaonekana kuelekeza darubini yao katika utendakazi wa serikali za kaunti. Mamia ya vijana katika kauti ya Nandi waliandamana hadi Afisi za kaunti hiyo mjini Kapsabet kuwasilisha malalamishi yao ikiwemo ukosefu wa ajira huku baadhi yao wakisema wanahisi kaunti hiyo haijawajibika katika utendakazi.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии • 11

  • @johnmakumi1452
    @johnmakumi1452 17 дней назад +4

    Wow! It's very impressive to see Kenyans from all walks to demand accountability from their leaders

  • @krystynaha2455
    @krystynaha2455 17 дней назад +3

    Ati Nandi hakuna ni Ruto must go.......bati wamutoe huyo governor

  • @user-hy4zb3eg1z
    @user-hy4zb3eg1z 17 дней назад +2

    Hampangwingwi...au namna gani vijana

  • @immaculatemutinda5496
    @immaculatemutinda5496 16 дней назад

    Utajua haujui....

  • @kilima_njaro
    @kilima_njaro 16 дней назад +1

    Nandi county has to be among the worst ran

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 16 дней назад +2

    Nandi wameweza sio kama homabay

  • @munduwaruiru2624
    @munduwaruiru2624 17 дней назад +1

    😂😂😂 counterbilties

  • @ErickKairu-mr9dp
    @ErickKairu-mr9dp 17 дней назад

    Tk on

  • @euniceombogo5712
    @euniceombogo5712 17 дней назад

    😂😂😂😂😂

  • @samuelmumbi2778
    @samuelmumbi2778 16 дней назад

    @ Hazel Jelimo...come see this one

    • @samuelmumbi2778
      @samuelmumbi2778 16 дней назад

      Hazel Jelimo, hahaaaaa I told you this is not tribalism but Ruto has no capacity of running the country.