Huu wimbo ni mzuri na unaimbwa hadi mvibguni. Mlipo kosea nasisitiza mlipokosea ni mavazi ya wanawake mikono mifupi. Mi binafsi sipendi nachukia hadi natapika. Nyimbo za kanisa zivaliwe na nguo nzuri labda zile nyimbo za asili au tamaduni.
6th time am listening to this song today, 20th September 2021! It’s so blessing to me! God brings equality in our society. How many likes for the composer?
Wimbo huu jameni wazungumza bayana kile ambacho hufanyika katika maisha yetu ya kila siku. Hakika funzo kubwa hapa ni kwamba, tujifunze kumdhamini kila mmoja katika haya maisha kwani hakika tunategemeana kwa njia moja au nyingine.
Huu wimbo ni mzuri na unaimbwa hadi mvibguni.
Mlipo kosea nasisitiza mlipokosea ni mavazi ya wanawake mikono mifupi. Mi binafsi sipendi nachukia hadi natapika.
Nyimbo za kanisa zivaliwe na nguo nzuri labda zile nyimbo za asili au tamaduni.
Barikiwa sana Mungu
Mimi sio muumini wa dhehebu la Romani katoliki (R.C) ila wimbo huu ni moja ya nyimbo bora kabisa kuwahi kutungwa na kuimbwa .MBARIKIWE SANA
Asante sana.mbarikiwa sana
Asnte pia..ila nimeuskia leo kwa kanisa la kijijini petu la Romani katoliki,nkaona niutafte RUclips.nmeupenda haki
Hssgsmhekdhrjgrkegekeyskgeke eyeing off ejjegejgekeyoeyeeiteka💞💕🎈💖👭sgksyd@@bern1229
Kharonomebo
Kharonomebo
Good song,❤
Good song ❤❤❤❤❤❤❤❤
Waah 🤗🤗 ❤️❤️❤️
Wimbo umenitafakarisha sanaaa
Hongera sana🎉🎉🎉Mungu Hawabariki na❤❤❤❤wake.
Heshima ya tajiri inaletwa na maskina 😢❤❤❤❤wimbo mzuri sana
Mimi nami nimeguswa kweli.. ujumbe unaenda Moja Kwa Moja hadi kwenye nafsi.🔥🔥🔥
Wimbo mzuri sana na una message I love my Catholic songs
sikumbuki huu wimbo nimerudia kuusikiliza mara ngapi unanibariki na kunifunza mengi
Mbele ya mungu sisi wote tu sawa,nimebarikiwa,kazi kuntu kabisa
6th time am listening to this song today, 20th September 2021!
It’s so blessing to me! God brings equality in our society.
How many likes for the composer?
💔
Damn!!!! I love it
Wonderful 🎉🎉🎉🎉
Good job mbarikiwe sana
Hongereni saaaana 🎉🎉🎉🎉
Very true. Mizani ya maisha
Wonderful song. Hongera Sana. Hii ni tafakari ya kina. Bigup mtunzi na waimbaji. Lwit Kila mtu angesikia, kusingekuwa na tofauti. Bwana awabariki.
Amina wale wa kudharau wenzao wajue hili😢😢
Wimbo poa binadamu tunaishi kutegemeana
I really love this song
Great song I love it very educative 👍
Well spoken and my fellow parishioners in st. Patrick's Thika. God bless you family, Numbers6:24-27
Wimbo mzuri saana
Wonderful we need one another
Sema Magima family wanaimba buana
Good song in front of God all of us we are equal.
This song is touching
Bass mnashikilia background vizuri😍 ..wimbo mtamu Sana ....kweli maisha ni mizani .
With headphones kwanza 🎉🎉🎉
Kazi Nzuri Sana......Mnaenda Mbali 💯💯💯
Thanks. Amen
The song humbles me to the earth ❤
Wonderful song full of teachings ❤❤
Who is here from TikTok, , a very strong message. God bless you.
Nyimbo nzuri
Mungu awe nanyi
Amina
Kazi nzuri ❤❤❤
The song is so touching. Do not undermine those who dont have, you never know tomorrow
I love this song very much.good work keep it up.
Shimanyi ni balaa
❤wimbo mzuri wenye hekima na busara kweli, hii ndo inaitwa Mizani ya maisha
Message delivered to all people kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤
Hongeren sana Kwa ujmbe mzr, na huyo mtoto aliyeigiza kama masking Yuko vzr sana namuombea awe na muendelezo mzr.
Mungu atukuzwe milele
Very touching song and beautiful
My God bless you guys ❤❤❤❤
Pauline from 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪
This song teaching me that is good to remember where onces kommer from and is good to remember about our life.
To keep God first .❤❤❤❤❤
No man is an island.good sana
Maneno mazuri sana. Hongera sana composer.
Ujumbe mzuri sana. 👏👏
Wimbo huu jameni wazungumza bayana kile ambacho hufanyika katika maisha yetu ya kila siku. Hakika funzo kubwa hapa ni kwamba, tujifunze kumdhamini kila mmoja katika haya maisha kwani hakika tunategemeana kwa njia moja au nyingine.
Great message
Wimbo mzuri sana
Wimbo tamu sana.
Wimbo mtamu kweli......be blessed
Eliachato naupenda wimbo huu❤
2024 still rocking. The message is quite clear to everybody waoohh
Amina sana kwajumbe nzuri
The song is a blessing for me sure everybody is important
Hakika nimebarikiwa sana!
Wimbo mzur Sana Kila mtu na umuhimu kwenye nafas yake
Heard this song on Radio Maria Nyeri for the first timei and I had to stop driving first not to miss out on any word.The song is wisdom packed.
Shimanyi never disappoint❤
The message of in the song, we depend on each other in this world😘
i love the song the message the clarity of the music is dope
A very beautiful song...ave listened to it over n again. Kudos 👏
Midhan ya maisha yang
Just came across this song today ❤❤ very nice
Wimbo mzueri sana
Naipenda sana
Nice song,my first time listening.Keep it up.
wimbo mzuri sana,. naomba namba ya skiza tune
Mbona huu wimbo vidimate haupo jmn nashindwa kudownlod
❤❤❤❤true
God continue bless you guys fortnite creative good luck to all songs that make me happy
Mubarikiwe kwa kumsifu Mungu
Uhakika Mungu anakusudi na kila mwanadamu.
Asante.. ujumbe mzuri sana... Well sung.. and a very creative video...👏👏👏🔥🔥🔥❤️
Lovely ❤❤❤
Kazi saaafi. Holy family mko lit👏👏👏👏
Nice song indeed...good message
A beautiful well worded song I love it.
Preaching thru singing....my favorite
🎉🎉🎉🎉 félicitations
The harmony, message, dramatisation is the best🤝🤝🤝 I would be happier if i could be one of the team. Singing is my second name.
Lovely song, congratulations on the great work.
Getting solace in this song. God bless such Gospel works to reach a larger population. We all have a place on this earth. Thank you Shimanyi and Co.
Aiseee!! Nimependa wimbo huu !! Jumbe safi, harmony , melody kila kitu poa sana!!! Mbarikiwe sana
Mungu awabariki sanaaaa. Wimbo umenibariki mnooo.
Very lit
I like the message, congratulations to composer and singers. God bless you guys
Good reminder always 🎉good mentorship 🎉❤🎉
My choir master we did glory to GOd moyo wa yesu back at Mku
Great,great, song. May God guide you to keep producing more songs
Amen
It's true maisha ni mizani,,,,,I always admire you guys😅😅 congratulations I wish to join a family resembling this one day🔥🔥👊
I love the message 👌👌
Wow, nice song 💖💖
✨✨✨✨👍Amazing
Barikiwa saaana na Mungu
Amina .asante
AMINA 🙏🙏
Wonderful song.
Congratulations guys, keep it up, a good message 🥰🥰
Ahsateni sana kwa ujumbe wenu umenigisa kuliko hat
Karibu sana. Kindly share the message with others
muhimu sana.....great messege in this song