Mabrukin dada Saada. Shikran kwa kutukumbusha mbali lakini bado nakulaumu kwa kutotimiza ahadi kuhusu kutuletea nyimbo zingine za Black Star Musical Club na Lucky Star zote za Tanga. Nyimbo zingine zimo RUclips lakini zingine hazipo. Nyimbo kama MAJUTO YAMENIPATA na VIVA SAMORA na zingine naomba utuwekee tukumbuke mbali.
Pendo kaziye tunaoojuwana hatuli cha mtu ya nini khiyana
Mashallah bi Saada❤
Wanokasirika watafanya nini litakolo zuka kazi ya Manani
Mabrukin dada Saada. Shikran kwa kutukumbusha mbali lakini bado nakulaumu kwa kutotimiza ahadi kuhusu kutuletea nyimbo zingine za Black Star Musical Club na Lucky Star zote za Tanga. Nyimbo zingine zimo RUclips lakini zingine hazipo. Nyimbo kama MAJUTO YAMENIPATA na VIVA SAMORA na zingine naomba utuwekee tukumbuke mbali.
Mdogo amini Mungu nimezitafuta sana lkn sukuzipata
ruclips.net/video/pJrtRsVf1d8/видео.htmlsi=uXbGWcEbh77lelzW 0:23