- Видео 268
- Просмотров 461 657
Saada @sweetmenthol
Оман
Добавлен 18 июн 2020
Karibuni wapenzi wa taarab. Hapa utapata nyimbo za zamani. Kwa hisani yako usisahau kulike kucomment na kushare. Nawapenda nyoteni
MIMI NA YEYE @sweetmenthol1083
Mimi na yeye ni nyimbo aloimba bibie Sabaha Salum akiwa na kikundi All Stars
# #kinemaster
#oldisgold
#thumbnail
# #kinemaster
#oldisgold
#thumbnail
Просмотров: 171
Видео
VIVA SAMORA @sweetmenthol
Просмотров 863 месяца назад
VIVA Samora - black star from tanga #kinemaster #thumbnail
PENDO KAZIYE @sweetmenthol
Просмотров 2114 месяца назад
Pendo kaziye tunapoojuwana hatuli cha mtu ya nini khiyana - Mazrui #kinemaster #thumbnail #zubeidamlamali #taarab
HATA HAIKUWA @ sweetmenthol
Просмотров 2845 месяцев назад
Hata haikuwa - Khadija Salim with Nadi Ikhwan swafaa #kinemaster #taarab #ikhwanswafaa #ahlanwasahlan #sweetmenthol
SAKATA LAKO @sweetmenthol
Просмотров 9676 месяцев назад
Sakata lako - Mwanahawa Ali #sakata #melody #thumbnail #kinemaster #mwanahawaali #sweetmenthol
MSEMA KWELI @sweetmenthol
Просмотров 1196 месяцев назад
Msema kweli ana eleza wafanya kazi wanaokuja Oman kufanya kazi za ndani na kutoroka. - @sweetmenthol #sweetmenthol #ahlanwasahlan #umbeya
WASIWASI WAKO @sweetmenthol
Просмотров 2776 месяцев назад
Wasiwasi wako @ sweetmenthol - Zuhura Shaaban #thumbnail #kinemaster #taarab #zuhura
NATOSHEKA NA NDONDO @sweetmenthol
Просмотров 8387 месяцев назад
Natosheka na ndondo wewe wataka chururu- Rukiya Ramadhan #zubeidamlamali #jafferbhai #taarab #kinemaster #sweetmenthol
IT'S TOO LATE @sweetmenthol
Просмотров 6359 месяцев назад
ruclips.net/video/SW0XhOnDV0g/видео.htmlsi=Jg8d7rC-bwUSrRbi It's too late - wimbo umeimbwa na marehemu kipenzi chetu Bkhadija Baramia #taarab zuhurashaaban kinemaster #zubeidamalamali #thumbnail #bablezo
WACHA ANGURUME SIMBA @sweetmenthol
Просмотров 37410 месяцев назад
ruclips.net/video/s6Ax3JDvfPk/видео.htmlsi=PRQ0FDBv3XKwHamb Wacha angurume simba - Cholo Ganuni ft Nassor Hussein #taarab #thumbnail #kinemaster #cholo #ganuni
HUISHI KUNUNA @sweetmenthol
Просмотров 91910 месяцев назад
Huishi kununa - Mazrui @sweetmenthol #taarab #mazrui #kinemaster #thumbnail #huishikununa
BAHATI KUIPINDUWA @sweetmenthol
Просмотров 68611 месяцев назад
ruclips.net/video/bHT43K-D-wk/видео.htmlsi=jPgACE-hSw1jMIS6 Bahati kuipinduwa - Rukiya Ramadhan with East African melody #kinemaster #thumbnail #oldisgold #rukiya #taarab #bahati
CHOYO @sweetmenthol
Просмотров 41011 месяцев назад
ruclips.net/video/xd8gX-4WZL0/видео.htmlsi=UZp82WF1YSAJWYc- Choyo - Cholo Ganuni #taarab #kinemaster #thumbnail #chologanuni
NYOTA @sweetmenthol
Просмотров 71911 месяцев назад
ruclips.net/video/L2Hx8iD31Ms/видео.htmlsi=f9iVwBHunrO3BzH- Nyota lining taanguka chini - mazrui #remix #kinemaster #taarab #thumbnail #oldisgold
NIMEMUACHA KWA KHIYARI @sweetmenthol
Просмотров 93811 месяцев назад
ruclips.net/video/dqBKXhGfNGM/видео.htmlsi=nEPt7fZQaxy9wWyR Nimemuacha kwa khiyari yangu - Mossi Suleiman #taarab #thumbnail #kinemaster #mossi #mossi
Hii nyimbo kaimba nan
Taleh 7 usku wang wa zawad hii ngoma c inafaa jomon nmeipenf ila kuimb sjuw😢😢
I❤ this song
Naupenda San huu wimb jamn Rizik mtoaj mungu 2024 bado nasikiliz gong like twend saw
Jamani mbona nikitaka kuichukia inagoma
ASSALAMU ALAYKUM,, JAMANI TAFADHARINI NAOMBA NYIMBO YAKE HUYU MZEE INAITWA SUBIRA YAVUTA KHERI ALIIMBA NA TOTI MIAKA ILE YA 1990 SIIYONI KWENYE RUclips
Jmn jimbo sio pw😂
Nsaidie kpenz naipend kuimb sjui taleh 7 nna jamb lang
14:30
Ujumbeeeee kama ujumbeeeee! Waliroga nakuwanga wakamsahau Mungu😢Mambo wameyabananga napata Ridhiki yangu..Acha nitembee kwa kuringa❤
😂😂😂😂
I really love this mambo ya vinjamvi Tanga moja❤
Wimbo mzuri sana. Lakini hauna sauti. Hausikiki.
Iliendelea..kunipa..moyo..wa.kupambana.mko..poa
Mwanamtama amir enzi hizo na ToT taarab
TEAM 2024 MUKO WAPI MUWAPE UJUMBE HUU WOYEE........TEAM 2024 WOYEEE..... !...
Big up, miaka ya 90
Jackson Brian Brown Ruth Thompson Kevin
Brown Sarah Rodriguez Shirley Miller Brenda
Latifa salum Mtoto wa Mwembetanga Ungujani Binti anajuwa sana kuimba Ausee
Kabisa ji song limeenda shule bana 😘😘🎤😘
Sheshibeshi ile ya leyla hewallah bibi
Young Timothy Moore Ruth Anderson Shirley
tutilie. nyimbo inaitwa nishani yangu ya shani ksima sihaba juma
❤❤❤
Mbn inasumbua kudownload
Dawa ya moto n motoo🎉
🔥
Sorry dada Saada tuntaka sote twasaka riziki by Mosi suleimani
Napenda nyimbo za subah 😍thena kwa saaana❤
❤❤
Pmbe sana
Kheri niokoe nyoka Sio ww mwenakwenda😂😂
Ujawai kosea dada
❤❤❤❤❤akuchomaeeee chezea huu ndo mwaka wanguuu
Mbona inagoma kudanlod ety
Mbn inakataa kudanlod jmn
Shikamoooo hadija kopa
Shukraan saana ndugu mpnzi Unasema Kweli ILOVE U💕💕
🇴🇲❤👏
❤
10000000 likes
Hakuna kubwa kwa Mungu.
Naam mbuzi yake majani na nyama yake Simba Mashallah.
Hongera
Mashallah bi Saada❤
❤❤
Mbn nikiichikuwa yagoma
Nasma ni hbr nyingine jmn khaa. Mungu amlaze mahala pema pema peponi
Penda sana taalabu
Mashallah bi rukia hizi ndo twarqb bwana nakumbuka zamani saa nane
Mabrukin dada Saada. Shikran kwa kutukumbusha mbali lakini bado nakulaumu kwa kutotimiza ahadi kuhusu kutuletea nyimbo zingine za Black Star Musical Club na Lucky Star zote za Tanga. Nyimbo zingine zimo RUclips lakini zingine hazipo. Nyimbo kama MAJUTO YAMENIPATA na VIVA SAMORA na zingine naomba utuwekee tukumbuke mbali.
Mdogo amini Mungu nimezitafuta sana lkn sukuzipata
ruclips.net/video/pJrtRsVf1d8/видео.htmlsi=uXbGWcEbh77lelzW 0:23