Tatizo la ncho yetu sasa wahusika wote watajazana hapo na kila kiongozi atakae kuja japo anakuja na lake siku zote mko wapi na kila siku tunaona majengo yskijengwa bila ufatiliaji wakipewa kitu kidogo basi mambo yanaendelea kama kawaida tujifunze kwa hili
Uko vizuri, umegusia sub-topic ya Monitoring and Evaluation. Good explanation
Afande uko vizuri sana umeelezea kisomi zaidi
Haikujengwa kwa umahili wizi mtupu, Mungu awarehemu
Mungu awatie nguvu
Hongera safi afande.. kaz nzuli
Ujenzi chini ya viwango hatua kali zichukuliwe kwa walio husika
BABA ANA HEKIMA KUBWA SANA!!! AMEONGEA VZR KWA UPOLE,KWA UTULIVU AMEELEWEKA VZR SANA!! MUNGU AKUTUNZE AFANDE
Tatizo la ncho yetu sasa wahusika wote watajazana hapo na kila kiongozi atakae kuja japo anakuja na lake siku zote mko wapi na kila siku tunaona majengo yskijengwa bila ufatiliaji wakipewa kitu kidogo basi mambo yanaendelea kama kawaida tujifunze kwa hili
Kamanda uko vizuri sana kweli jengo hilo linaonekana limechakaa halafu mizigo nayo imezidi lazma lianguke kabisa
Tanzania kila office źa serekali kuna jokes hakutaja walokufa kataja walookowa tu i😂😂😂
Upo vzr Afande umeeleweka vema
Poleni ndugu zetu
Leo vibaka sherehe yao
Majengo yamekuwa stoo, mizigo mizito majengo hayana ubora
Magorofa yote ya kkoo ni magodaini
Alafu hizo ramani pia wapewe fire brigade nao wapitishe ili majanga yakitokea kama haya wawe wanajua wapi waanzie
Majengo yakaguliwe😢
Mbona mnatukatisha tamaa kwa kichwa cha habari wakati kamanda anasema hali inakwenda vizuri? Mnataka jamii ipanick ili iweje?
Majengo mengi yamefanywa kuwa store na kusababisha kuwa overloaded manyumba yamegeuzwa kuwa magodown
Majengo ya kariakoo mengi yamechoka yangevunjwa tu,mwenye uwezo ajenge upya asiye na uwezo auze kwa wenye hela.
Sahihi sna
Mm langu Siuzi
Ili waje kufa watu eti @@NgamelaYussuph
@@NgamelaYussuph saw basi lirekebishe sawa kama halo Sawa na kma limeoza basi jenga tena kwa maslahi yako na wenzio pia mkuu
@@NgamelaYussuph😂😂😂😂😂
Well done kamanda kwa ufafanuzi
Duuu MUNGU simama nasi