KWA SASA MACHO na DUA ni KARIAKOO -HALI ILIVYO MUDA HUU wa USIKU - VIKOSI vya UOKOAJI VINAENDELEA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 5

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 часа назад

    ​​JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @FatimaAbdulla-s4i
    @FatimaAbdulla-s4i Час назад

    Poleni kwa mkasa

  • @GraceAbraham-l9h
    @GraceAbraham-l9h 2 часа назад +1

    Mungu nakosa neno la kusema nisije nikakufuru lkn nimapenzi yako Mungu watu waokolewe kwa neema yako tenda jambo tusamehe Sisi makosa yetu tunaomba toba juu ya wenzetu na Sisi pia tunaomba toba juu ya ardhi Tanzania na mlango tukio ufungua kwamwovu adui shetani ninaomba toba😢 juu ya viongozi, wa serikali na wakiroho maana umesema hakuna aliyemtimilifu tusamehe Mungu muumba wa ardhi NA MBINGU okoa watu wako kwa utukufu wako kwa jina la YESU KRISTO MNAZARETH usiruhusu mabaya ulimfufua Razalo hata Leo hujabadilika tenda jambo jipya kwa utukufu wako shetani namawakala wake waaibike maana huu si mpango wako tuhurumie eeeh YAHWEH.

  • @TonnyMaster
    @TonnyMaster 3 часа назад

    Pole sana watanzania

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 2 часа назад

    Hii barabara ichimbuliwe ili Waokoaji waweze kuwafika walokwama chini ya jengo.