Hosana - Cosmas Chidumule (Official Music).

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 24

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681 6 месяцев назад +6

    Nakupenda sana BWANA YESU...Nakupenda mkombozi wangu wewe uliyekufa kwa ajili yangu HOSSANA NDIYE MUNGU WETU ❤

  • @mariahaule1400
    @mariahaule1400 6 месяцев назад +1

    Yes, kaka umejua hasa!Hossana ndiwe MUNGU WETU!

  • @tumainikaluwa8133
    @tumainikaluwa8133 9 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, kwa wimbo wa sifa kwa Mungu wetu hakika utukufu una yeye, na hakika Hossana ndiye Mungu wetu

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 Год назад

    Hallelujah Hosanna Ndiwe MUNGU Wetu Hatuna MUNGU Mwingine Anayeokoa.

  • @edinafaustinez8514
    @edinafaustinez8514 5 месяцев назад

    Amina sana hii nyimbo nikisikia tu nabarikiwa sana mtumishi wa mungu aleruya ❤❤❤❤

  • @isabelmalunga178
    @isabelmalunga178 Год назад +1

    ALELUIA, AMÉM AMÉM AMÉM. GLÓRIA A DEUS PAI TODO PODEROSO. GLÓRIA A JESUS CRISTO E GLÓRIA AO ESPÍRITO SANTO. Muito obrigada MEU DEUS PAI CELESTIAL PELA TUA BONDADE E MISERICÓRDIA

  • @BarakaGabriel-p7x
    @BarakaGabriel-p7x 4 месяца назад +1

    Kwenye misiba huu wimbo unawafariji sana watu

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 Год назад

    Bora babaangu umekuja nilitamani sana sana ubarikiwe.

  • @Nathan44Nathan75-ti7we
    @Nathan44Nathan75-ti7we Месяц назад

    Hallelujah ❤❤❤

  • @barakamwawa3469
    @barakamwawa3469 7 месяцев назад

    baba mungu akuongezeee siku za kuishi kweli umekua baraka sana kwetu

  • @godfreymacha9414
    @godfreymacha9414 9 месяцев назад +1

    amen kweli utuondoshee na machungu yote

  • @KelvinHinzano
    @KelvinHinzano 7 месяцев назад

    Nnahisi kubarikiwa sana ninapo sikiliza wimbo huu

  • @judithfrancis-n6n
    @judithfrancis-n6n 5 месяцев назад

    Hosana hosana ndiwe Mungu wetu

  • @DanielDani-lr2sy
    @DanielDani-lr2sy Год назад

    Mungu akubariki sana nakumbuka sana ulipokujaga sgd kanisani kwa mchungaji mwakitalima ukatumia ukumbi wa mwenge sc nili enjoy sana shoo yako

  • @bennykituyi796
    @bennykituyi796 2 месяца назад

    Good song

  • @johnsaidi1181
    @johnsaidi1181 3 месяца назад

    Tunasubiri video za nyimbo zako mtu wa Mungu

  • @vylmahsila734
    @vylmahsila734 Год назад

    Hallelujah....Hosanna....Milele...Mungu wetu

  • @isabelmalunga178
    @isabelmalunga178 Год назад

    AMÉM AMÉM AMÉM, OH GLÓRIA A JESUS CRISTO E GLÓRIA AO ESPÍRITO SANTO 🙏🙏🙏❤❤❤🇦🇴🇦🇴🇦🇴

  • @victoriamunisi6862
    @victoriamunisi6862 Месяц назад

    ❤❤

  • @NeuphtalieNIYUKURI
    @NeuphtalieNIYUKURI 17 дней назад

  • @emmanuelmayala3190
    @emmanuelmayala3190 4 месяца назад

    Asante

  • @BuzakeYvonne-cc4ge
    @BuzakeYvonne-cc4ge 7 месяцев назад

    Sifa ni zako bwana una stahili