@@dalalihakweahakweya6662 lazima tuthaminishe unavoleta nyumba na bei tunaangalia vigezo thamani ya sehemu hadhi ya wilaya ambapo nyumba ipo Sasa wewe ukukta nyumba imepakwa rangi tu labda karangi kazuri unakurupuka na bonge bei!! Hahaha sijui unajua humu wote ni wazaramo? ivi kunanyumba ya milioni 80 hapo kweli? Ujenzi wenyewe hapo ni milioni 28 haya kiwanja ndyo icho chakupita ubavu mmoja mahali penyewe wilaya ya temeke sehemu yombo dovya huko.. Ebu toka hapa kwanza umenikera kweli
Walykumu msalam warhatuallah wabarakatuh
@@Sarah-e1o9k Allhamdullyrah
Wow dalali Mimi nimeipenda nataka kununua 4 real Niko kenya
Nzuri sana inaonekana kapata mtihani mwenyewe mungu ampe salama
Mwenyenzi Mungu aniwezeshe ipo siku nitanunua ya kwangu Dalal wetu wa ukweli
Ishallah Mwenyezi Mungu namini ata simama na wewe katika ufanikishaji wa jambo hilo Mungu ata kubariki
Amina sijawah kuona dalali kama wewe unatutia moyo sana , ahasante sana Dalal wetu Mungu akupe afya njema.
Mujaribu kufafanuwa kwa wanunuzi ambao sirahiya waki Tanzania masharti ya tz
Sawa
Nyumba nzuri imetulia
Asante kwa sapoty yako
Ingekuwa Dar
nyumba safi
Asante boss
Ipo nanyumbu mtwara vijijiñi
Ipo wapi ninaitaka
Boss kama Boss kwa hiyo hapo nimesha iyuza tayar boss cheki nyingine zipo kar kuliko hiyo hapo boss
Ipo hiyo
@@dalalihakweahakweya6662naweza pata ramani yake na kwa bei gn
Ipo sehemu gani hiyo nyumba??
Maelezo yapo hapo mbagala chamazi
bado 2000 nikutafute kaka
Wewe njoo ntakuongezea usjar
Iyopesa kwa dola ni ngapi ?
dola elfu 28
Is this available
Yes
Nyumba yakawaida sana ujenzi wake namazingira yakiwanja mahali ilipo thamani ya iyo nyumba milioni 55 tu
@@MonicaBeni Sawa unge tuonesha ya kwako sio kulopokatu
@@dalalihakweahakweya6662 lazima tuthaminishe unavoleta nyumba na bei tunaangalia vigezo thamani ya sehemu hadhi ya wilaya ambapo nyumba ipo Sasa wewe ukukta nyumba imepakwa rangi tu labda karangi kazuri unakurupuka na bonge bei!! Hahaha sijui unajua humu wote ni wazaramo? ivi kunanyumba ya milioni 80 hapo kweli? Ujenzi wenyewe hapo ni milioni 28 haya kiwanja ndyo icho chakupita ubavu mmoja mahali penyewe wilaya ya temeke sehemu yombo dovya huko.. Ebu toka hapa kwanza umenikera kweli
Bado ipo wazi hii ??? Naomba nijulishe mkuu
Boss hiyo tayar nimesha uza hiyo ispo kua ipo mbadara ya hiyo
Iko mtaa gani
Sasa iko mtaa gani wilaya gani
Iko sehemu gani
Boss nimesha uza tayar boss
Heee hii nyumba k8boko nineipenda bure
Sawa boss nimesha uzatayar
Unsongea sanaa😮
Chakuku jibu sina
Bado ipo
Yah bado ipo
Dalali kama dalali
Boss umeadimika saba upo wangu