LINEX POLE, UMEJIRUSHA JUKWAANI MASHABIKI WAKAKUPISHA😂, UTARUDIA TENA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии •

  • @anoldngemela1537
    @anoldngemela1537 2 года назад +1

    Oya we Fabi ni msenge sana 😂😂...eti "kwa nini unawashtukiza watu kwenye swala la kujirusha" nimecheka kifalaa🤣🤣🤣

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад +4

    Noma sana

  • @ebeatitembo5471
    @ebeatitembo5471 2 года назад

    Fabian unazingua sana ujue 😀😀😀😀😀fara sana we kijana utakuja upigwe 😁😁😁😁😁nimejikuta nacheka tyu eti oya mashabiki najirusha 😀😀😀😀

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 29 дней назад

    Nimependa sana majibu ya linex kuhusu kujirusha tena

  • @husseinmdwangi8966
    @husseinmdwangi8966 2 года назад +4

    Dah wasanii wetu wanachanganyikiwa jamani!

  • @jumaabdalah2438
    @jumaabdalah2438 2 года назад +4

    Haha due unazingua eti utajirusha tena😀😂. Mnafiki sanaa

  • @idinado4524
    @idinado4524 2 года назад +1

    Ushauli kwa wasanii msiludie tena maana atupo ulaya uku amjatuzoeza ivyo kujilusha kinacho fata nikuvunjika viuno 😂😂😂

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 года назад +4

    Linex Anafanana na Chamilion yule wa Uganda 🇺🇬

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 года назад +1

    Kujirusha ni sehemu ya kiki ili aendelee kujilikana,sasa asingevunjika mguu mngemuhoji lini....mm mwenyewe nilikuwa nimemsahau kiukweli
    Still looking good

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 года назад

      Yan ata mimi nilimsahau

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 2 года назад +2

    😂😂😂eti hukuwaandaaa

  • @justinekashililika6329
    @justinekashililika6329 2 года назад +4

    Aibu sana msani unajirusha afu awakudaki duh!

  • @husseinmagari3245
    @husseinmagari3245 2 года назад +1

    Acha aumie tu maana hata yeye huwa anatuacha kukomenti au kujibu tukikomenti kwake

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 года назад +1

    Pole

  • @hakimsashamusic
    @hakimsashamusic 2 года назад

    Play don't worry by hakim sasha.

  • @moseserasto7011
    @moseserasto7011 Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 2 года назад +1

    Hhhh tidi walimpukutisha vyote

  • @kelvinkimari1008
    @kelvinkimari1008 2 года назад +1

    Hahaha make Kwanza apo nicheke ...

  • @Zwangendaba97
    @Zwangendaba97 2 года назад

    Alkuwa amelewa uyo msenge

  • @raphaelnambombi3709
    @raphaelnambombi3709 2 года назад

    Bangi mbaya

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 года назад +2

    People loves me😂

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 2 года назад +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @astonymathews6136
    @astonymathews6136 2 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @worldwide9207
    @worldwide9207 2 года назад

    Mtangazaji eti utajirusha tena

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 2 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @ainesndubula8361
    @ainesndubula8361 2 года назад +1

    Bang

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 года назад

    Yaani kiufupi Linex mashabiki walimkataa au sio!

  • @chilubafedrick5740
    @chilubafedrick5740 2 года назад +1

    utajirusha tena??

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 2 года назад +1

    🤣🤣

  • @newsongalert
    @newsongalert 2 года назад +1

    Chiiii