Wachezaji Washambuliaji Simba waache Ubinafsi kwa kila mmoja kutaka kufunga. Ushindi watambue ni kwa Timu. Awesu ni mchezaji muhimu sana ktk kuchezesha Simba. Wachezaji wote ni wazuri sana Ushirikiano ni Lazima, pasi za haraka langoni ni muhimu.❤
Simba yetu bado haijakaa sawa lkn mdogo mdogo watu wanakufa na itakuja kuwa hatari mpanzu akijakuonekana uwanjani, maana jamaa kakamilika, kiuchezesha, kutoa assist na kiufungaji kwaiyo wana lunyasi tuendelee kupata raha tuwaachie yanga wajadili ushindi wetu.
Mechi ngumu....Simba walikamiwa kwani 30M iliwekwa mezani kwa Dodoma Jiji; uchovu pia umechangia. Mukwala kucheza kama winga au midfielder imelipa. Kocha Fadlu aendelee kumuamini. Tumepata pointi 3....Mungu ni mwema.
Friji Bovi silute. Upo vzr kaka.maua yangu pokea🌹❤️
Ni kweli umependeza friji
Wachezaji Washambuliaji Simba waache Ubinafsi kwa kila mmoja kutaka kufunga. Ushindi watambue ni kwa Timu. Awesu ni mchezaji muhimu sana ktk kuchezesha Simba. Wachezaji wote ni wazuri sana Ushirikiano ni Lazima, pasi za haraka langoni ni muhimu.❤
Uko vizuri kwa asiyejua mpira atasema sio penalty ni kweli mpira haukwenda mbali zaidi baada ya kucheza miguu ya shabalala mpira uliguswa kidogo
Hii game ilikuwa na pressure sana atacheza mda bado acha kujifanya unajuwa kuliko kocha
Me napend acheze chasamb lkn waaap😢fadlu anazingua bhuana
Bando anapikwa na ligi bado sana yule dogo ni miquesson aliye poa kidog
Yani kaka nakukubali kwa kweli uko na kumbukumbu kuhusu simba
Hans rudi Wasafi kwa washabiki wenzio
Wapewe hiyo pesa 😃😃😃
Mzee baba wafundishe waliopanik kuwa simba imebebwa
Hujui mpira wewe tulia. Kwanini tubebwe???
@@jascinthakameleki104 soma comment vzr nasemea waliopanik kuwa penat tumebebwa ndio wafundishwe
Mukwala ni mzuri tatizo simba haina kiungo mzuri mchezeshaji. Kila mara tutalaumu wafungaji.
Eti hawana kiungo mchezeshaji wachambuzi wa kibongo
Simba yetu bado haijakaa sawa lkn mdogo mdogo watu wanakufa na itakuja kuwa hatari mpanzu akijakuonekana uwanjani, maana jamaa kakamilika, kiuchezesha, kutoa assist na kiufungaji kwaiyo wana lunyasi tuendelee kupata raha tuwaachie yanga wajadili ushindi wetu.
Atacheza tu usijaliii
Fliji unajua kuchambua
Mimi nimefurahi sana kucheza mukwala na Ateba nilikuwa natamani sana lkn nimeridhika sana kwamba mkwala bado hawezi kuwa msaada kwa Ateba
Mechi ngumu....Simba walikamiwa kwani 30M iliwekwa mezani kwa Dodoma Jiji; uchovu pia umechangia. Mukwala kucheza kama winga au midfielder imelipa. Kocha Fadlu aendelee kumuamini. Tumepata pointi 3....Mungu ni mwema.
Chasambi anapikwa
Timu haijapata muda wa kupumzika.Siku 2 na kusafiri sio mchezo.
Sure kabisaa
Friji mpira unaujua kuuchambua nakuaminia
Hakuna cha golinyingi wala nini
Uto chupi chini
WEWE FRIJI BOVU HUJIELEWI TUNAKUJUWA FIKA KAMA WEWE NI KOLO MTIIFU HAYA SIMBA KWA MPIRA GANI WALIOUCHEZA?PENALT YA MCHONGO HIYO