Cha kwanza hizo m.90 ziwe zimeshikwa papo hapo ziwe kielelezo no. 1 zenye kuandikwa namba zote za hizo noti. Bila ya hivyo vielelezo hiyo ni kesi ya kufikirika tu inayotokana na maumivu ya yule anaye shitaki ambaye ni mkwepaji wa kodi.
Kwa huyo sabaya kesi ya kisiasa IPI mbona ni kada wa CCM tena kama wewe tu na ni DC anayefanya vizuri labda useme serikali imemchoka huyu boss inawezekana in mdokozi
Wanaonewa haoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mmmh picha mnayo chezea sabaya mtahukumiwa kwa Mungu,,
Kolumba Ze babaZ " TZA, hahahaaaaa umenikumbusha mbali sana bro Mzee wangu alikuwaga na gari aina ya Land Rover TZA 701
Kama ana makosa ashughulikiwe kwa Mujibu wa Sheria....no body is above the law
Ni kama wanamushutumu Hayati Magufuli.
Si walitumwa toka ngazi za juu jaman kazi iendelee sisi tuanataka katiba mpya ndo inasaababisha haya yote kubebana tu hata majmbazi mnayapa uongozi
Cha kwanza hizo m.90 ziwe zimeshikwa papo hapo ziwe kielelezo no. 1 zenye kuandikwa namba zote za hizo noti. Bila ya hivyo vielelezo hiyo ni kesi ya kufikirika tu inayotokana na maumivu ya yule anaye shitaki ambaye ni mkwepaji wa kodi.
Nilikuwa nmemic kuckia saut yako ukiriport kesi ya Sabaya
Ikiwa tunasubiri "judgement" October 2, mnamshitaki tena. Naomba HAKI itendeke.
Sis wananchi wa hai tunataka mkuu wa wilaya mwingine
Na huyo mliyenaye mnampeleka wapi?
Arudishe hizo pesa abakiye kuwa huruu bass
Duuu noma kwel.
Arudishe alicho iba arud uraian
Kaisha kwakweli hii nikesi mpya uyu jamaa ni kwikwi kumbeee
Kweli mfungwa so mtu huru dah!
Arudishe pesa za watu bass achiwe kumbe huyo sabaya ni mshenzi sana
Uongozi ni zamana tenda mema ukimaliza ukale bata na raia
Hee
Mbona hayomakosa yote yanafanana kwa nn lisiwe Lisa moja tu
Kwaufupi alikuwa jambazi alijificha kweny serikali .so aliiba sehemu tofautitofauti
duh jamani hebu muacheni apumue kwanza
Shelia nikichekesho eti mkulugenzi wa ATC kaitia hasala selikali ya mabilioni hukumu inatoka kpgwa faini milioni8au jela miaka5halafu tz ufisadi ukome?aketihasalaya mabilioni hukumu alipe zaidiya iliyoibwa
Sina uakika na izo kesi niuongo wakisiyasa
Kwa huyo sabaya kesi ya kisiasa IPI mbona ni kada wa CCM tena kama wewe tu na ni DC anayefanya vizuri labda useme serikali imemchoka huyu boss inawezekana in mdokozi
😁😂😂😂alikula izo nijasho LA wale waliziba pumzi zao ili wakusanyie watoto wao yeye anaenda kuchootatu ata taga