Amen mm nko Saudi Arabia Riyadh sahizi nko Na safari ngumu Muno Kwa Maisha yangu si kifedha Watoto wangu pia wanateseka tui need your prayers even am not know you please pastor ineed change to my life
Ninapo sikiza izi nyimbo najikuta nkilia sana na uchungu 😭😭😭😭😭 ju ya family yangu wamenitenga 😢😢😢sina mtetezi ila wewe mwenyezi Mungu 🙏🙏🙏🙏nakuomba unilinde kwenye hii ichi ya uarabuni ulinde watoto wangu linda mume wangu ndoa yangu pia mikononi mwako eee mungu wangu,,wensetu wanauwawa bila sababu 😭😭😭😭 mungu funika kila mkenya ambae alikuja Saud Arabia kwa ajili ya family yake tuepushe na mauti tuepushe na miungu zao za ngiza in Jesus name 🙏🙏🙏🙏 amen
Nice worship,it connects God's spirit,,,I like to join you🙏🙏 to praise God grace,, I like worship than others "man of God,,be blessed wherever go, you do and I pray that may your songs heal,bless and also help to know God than anything else 🙏🙏🙏 be blessed all.
Hallelujah glory to God 🙏 ever since i came across this worship indeed am blessed sincerely speaking my spiritual life has been lifted even though here in Saudi Arabia there's no church but i have found my church here be blessed min, DANIEL SIFUNA all day with you in you tube with my earphones ❤❤❤🙏🙏🙏🙏
The songs are consoling, giving hope and future by uplifting one spirit.my helps comes from the Lord JESUS CHRIST.so much blessed by these worshiping songs.be blessed for touching many souls
Amen pastor,naomba uniweke kwa maombi pamoja na watoto wangu,Niko Dubai ,hata mipango ninayo panga iendelee na watoto wasome katika jina la yesu mkombozi wetu Amen🙏🙏
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana,nyimbo zako mzuri sana,nlikua nmegive up na maisha yangu karibu njitoa uhai lkn kupitia hizi nyimbo zako,nko sawa, Amen 🙏🙏🙏
Ni mara ya Kwanza kusikia worship songs,,,nilikua nimepoteza matumaini tangu niskie this songs am getting blessed day by day thanks mtumishi was mungu,munguakujaze baraka uzidi kuubiria watu wenye walipoteza matumaini am really blessed the ma of God

Take heart dea n believe in God 🙏
Amen 0746298853
May God intervine,tunapitiaga mengi ,tunahitaji maombi a lot tulikuwa atateda
@@danielsifuna7377pray 4 as,pia mmi nko Saudi napitia mengi watoi my mbani ni magonjwa 😢 nateseka huku pia nyu mbani I have depression
@@danielsifuna7377.... Waooooh!! Nyimbo Yako nimuzur sana Rafiki 🤝🤝
Mungu ni mwaminifu wakati wote tuzidi kumtafuta maana hatuna kimbilio yeye ndie kimbilio
Naomba uniombe niache uvijana nipate bibi mpoa mwenye royangu itapenda
Amen Amen asante kwa wimbo. Barikiwa sana Mungu atufungulia njia.
Asante mwokozi,nakuamini unafahamu hatuna tumaini lingine ila ni wewe
barikiwa xana nyimbo sako simeguza moyo wangu xana never let down 🤲🤲
More Grace my brother
Nairobi blessed with that annointed worship
Ninapo sikiza izi nyimbo najikuta nkilia sana na uchungu 😭😭😭😭😭 ju ya family yangu wamenitenga 😢😢😢sina mtetezi ila wewe mwenyezi Mungu 🙏🙏🙏🙏nakuomba unilinde kwenye hii ichi ya uarabuni ulinde watoto wangu linda mume wangu ndoa yangu pia mikononi mwako eee mungu wangu,,wensetu wanauwawa bila sababu 😭😭😭😭 mungu funika kila mkenya ambae alikuja Saud Arabia kwa ajili ya family yake tuepushe na mauti tuepushe na miungu zao za ngiza in Jesus name 🙏🙏🙏🙏 amen
God bless you man of God
Am much blessed, they have really lifted me I was very down
Barikiwa mtumishi
Barikiwa sana nyimbo zako zimeguza moyo wangu sitakata tamaa sasa
Nimebarikiwa,barikiwa pia ndugu
Asante kwa kunijenga na hio wimbo
Barikiweni Sanaa
Barikiwe sana mtumishi wa mu gu
bwana asifiwe tangu nisikie nyimbo zako hakika mungu amekua mwema kwangu najua IPO siku atanifuta machozi kupitia nyimbo zako
May God bless you kazi nzuri my brother it's so nice kwa moyo wangu❤
Wow, very nice worship mungu akumbariki xana🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi nasikiliza nyimbo zako nimelala naumwa sana
Quick recovery in the mighty name
Asante kwa nyimbo zako nime barikiwa sana amen 🙏 ❤
Vile huwa naguzwa na hizi nyimbo zako brother wacha Mungu azidi kukuinua na kukubariki milele 🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen
Akika nilikua mtowaji,muombaji saii mm sijielewi pali nyimbo zako zinanikusa moyo wangu❤❤
Ndio baba ukiniach nitaend wap m❤❤❤❤
Mungu hakuzidishie hio neema mtumishi nyimbo zako zimenibadilisha He is the Almighty God zidikumuishia
Amen amen amen
9@@danielsifuna7377
Blessing songs with much encouragement, God bless you.
Ameen from dubai
Touching songs mungu akuinue kiwango ufikie mataifa....
Ubarikiwe nimefanyiwa opereshen nimelala
Nice worship,it connects God's spirit,,,I like to join you🙏🙏 to praise God grace,, I like worship than others "man of God,,be blessed wherever go, you do and I pray that may your songs heal,bless and also help to know God than anything else 🙏🙏🙏 be blessed all.
Amen amen amen❤❤❤
May God bless you 🙏
May God protect me in gulf 🙏🙏🙏
I'm very blessed this morning I glorify God for this worship songs be blessed Man of God.
Nice worship ukisikiza worship zake unaona kaa malaika wanakuzuguka
Amen amen amen
Niombe aky royangu ina reject wasichana sana😢 natamani kupenda kabisa but najikuta roo isa reject 😢😂😂
Prayers make a difference
Mungu akubariki zaidi unapoendelea kutybariki na nyimbo nzuri
Nabarikiwa saana na uimbaji wako God bless you
Hallelujah' natiwa moyo kwa utunzi huu, May God keep uplifting you mtumishi
May the Lord continue lifting you. Your songs always bless me alot
Mm nipo katika maisha mangumu sana kwa watoto wangu pamoja na doa yng imejawa na matatizo sana I need prayer for me plz
Naona nikibarikiwa kupitia nyimbo zako
Hallelujah glory to God 🙏 ever since i came across this worship indeed am blessed sincerely speaking my spiritual life has been lifted even though here in Saudi Arabia there's no church but i have found my church here be blessed min, DANIEL SIFUNA all day with you in you tube with my earphones ❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Wow wow wow amen amen amen
Ni kweli baba umenitoa mbali
Amen Amen from Saudi Arabia Riyadh 🙏🙏🙏
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu,am Soo much blessed by this worship...Niko milimani Taita Taveta County
Nice worship,inakupeleka TU mbaka kwa yesu,,,more blessing,
Amen amen amen
Be blessed alot man of God 🙏🙏 ippreciate yr worship
Thank you God
Wow wow wow how amazing is it, so powerful and all is my fevered, thanks so much for nice songs may u be blessed
When I'm down, l sing these songs they really strengthen me n all goes well, Glory to God 🙏💗🙌
Amen amen orio muno yaya🙏🙏🙏❤❤❤
I feel my doors wide open when i worship my lord with songs....blessings
Amen 🙏🙏🙌
Amen Amen when I listen to these songs all stress in my heart are relieved 💕🙏
Simple worshiping songs but very touching ...when i listen to them i get healed may God bless you pastor
aky nyimbo zako inanitia nguvu sana God bless you
Amen amen
Very touching worship God bless yuo brother
Naomba uniombee nipate ndoa am lonly kwa miaka mingi
Thank you brother and God bless you so much,,, you don't what you have done to me😭😭😭😭🙏🙏🙏
Mungu niongoze kupitia hizi nyimbo unifundishe kunyamaza pekee yangu siwezi 😢😢
Ameen ameen ameen christiene from saudia
Blessings blessings man of God, keep on 🙏🙏🙏
God bless u bro
We bless the Lord,man of God this worship s on another level 🙏..
Here worshiping God thank You Bwana wa mabwana... mtumishi barikiwa sana your songs always bless us
God bless you
God bless you pastor
Powerful worship songs to the glory of God Almighty.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Hallelujah
Very nice worship songs that bless my heart. God bless you Mtumishi.
Mungu tupiganie kupitia hi wimbo
The songs are consoling, giving hope and future by uplifting one spirit.my helps comes from the Lord JESUS CHRIST.so much blessed by these worshiping songs.be blessed for touching many souls
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kupitia kwa nyimbo zako napata kufunguliwa na roho hutulia
Mtumishi Dan, kweli Nuru ya Bwana inakuangazia kwa uinjilisti.
Ubarikiwe na uzidishwe.
The far you have brought me Never abandon me for my enemies are many. Under the shadow of your wings l seek refugee.
Listening to this worships daily 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙌
Hallelujah. Glory to God Almighty.
Very inspiring songs indeed... they nourish me spiritually
MUNGU akubariki mtumishi wa mwenyesi MUNGU, we are blessed
Amen🙏❤❤
Amen pastor,naomba uniweke kwa maombi pamoja na watoto wangu,Niko Dubai ,hata mipango ninayo panga iendelee na watoto wasome katika jina la yesu mkombozi wetu Amen🙏🙏
Blessed blessed my brother ..nyimbo ni nzuri..endelea hivyo mungu akupe nguvu
Amen 🙌
Emen hakuna jia ingne ndungu ila kujazwa na roho ya maobi
Blessings
The songs are consoling, giving hope in future by uplifting one spirit
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana,nyimbo zako mzuri sana,nlikua nmegive up na maisha yangu karibu njitoa uhai lkn kupitia hizi nyimbo zako,nko sawa, Amen 🙏🙏🙏
Hallelujah God bless you brother
Amen❤❤❤
Very touching woship 🙏🙏🙏
Amen🙏🙏❤❤
Amen mungu akubariki mtumish wa mungu am blessed kupitia hii worship
Hongera sana Mtumishi Wa Mungu kwa nyimbo hizo Nzuri za maabudio...
Zimeguza Moyo wangu hadi nahisi vizuri
Powerful touching my ❤
Amen amen mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nyimbo zako zinani gusa naona nikiomba nikisikiliza hizi worship
Amen🙏🙏❤❤
Thank you God can give you power and strength true your songs
unaimba poa sana nimesikia nikaona kaa mungu atashuka
I Love the song very much God blesses you man of God 🙏🙏🙏
❤❤❤your songs sinaniweka roho yangu karibu na mungu sana be blessed
Amen amen mtumishi tubarikiwe sana nafunguliwa kwa nyimbo zako zakuabudu naomba mungu azidi kufungua maisha yangu
Keep going brother 🙏🏼💪🏼 Amen Amen
Amen amen lovely siz 🙏🙏❤
Ameeen
Amen 🙏🙏🙏 be blessed my brother ❤
Ni mara ya Kwanza kusikia worship songs,,,nilikua nimepoteza matumaini tangu niskie this songs am getting blessed day by day thanks mtumishi was mungu,munguakujaze baraka uzidi kuubiria watu wenye walipoteza matumaini am really blessed the ma of God
Amen,barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu, nyimbo zako zaniguza roho yangu hadi najihisi nipo Mahali pazuri, katika nyumba ya Baba yangu!
Powerful songs,thank you for the songs they have encouraged me and I feel am blessed 🙏.may God grant you with favour and bless
Be blessed the man of God ❤❤.