Ndani ya Private ya Diamond na timu yake wakielekea Abidjan Ivory Coast Wikiendi hii

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 71

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 4 дня назад +11

    Kazi baadabya kazi huyu mwamba anapumzika ndani ya jet😂😂😂😂

  • @vanny387
    @vanny387 4 дня назад +3

    Mi nampenda salama sk

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 4 дня назад +14

    BORA NIACHAKUMUSHABIKIA HARMONIZE NA KUMSHABIKIA #DIAMOND_PLATINIM MPAMBANAJI🤣🤣🇹🇿🇹🇿

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 дня назад +5

    Mwombeni mungu mfike salama

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 3 дня назад

    I Salute you DIAMOND PLATNUMZ.HARD WORK PAYS,other artists so busy with small small online media talking too much.May ALLAH protect and guide you always.

  • @AbelKitole
    @AbelKitole 4 дня назад +3

    Hatariiii

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 4 дня назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @KamalHassan-j5l
    @KamalHassan-j5l 4 дня назад +20

    Camera man ya diamond platinum ndio ana panda private jet kama taxi 😂 mki ni support walai nitafika huku😂

    • @johnmatiko1108
      @johnmatiko1108 4 дня назад

      Andika vizuri kiswahili

    • @KamalHassan-j5l
      @KamalHassan-j5l 4 дня назад +2

      @johnmatiko1108 nitaandika 2025

    • @JanetAhmad-v3h
      @JanetAhmad-v3h 4 дня назад +4

      lukamba sijui kaishia wapi😅😅😅😅

    • @svt3
      @svt3 4 дня назад +1

      ​@@JanetAhmad-v3h yaani Lukamba hata hasikiki tena ni kama music ilimkataa kabisa kama wanawake walivyo mkataa

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 2 дня назад

      Video shooter kashutiwa yy

  • @pinielefraem4159
    @pinielefraem4159 4 дня назад +5

    Huyu jamaa anapunzikaga kweli😅😅😅

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 4 дня назад

      😂😂😂

    • @svt3
      @svt3 4 дня назад +1

      Wavivu ndio wanapimzika wapambanaji kupumzika ni mpaka kaburini

    • @pinielefraem4159
      @pinielefraem4159 4 дня назад

      @svt3 hakika🤣

  • @clementrobert-s5s
    @clementrobert-s5s 4 дня назад +2

    Simba🙌🙌🙌

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 4 дня назад +8

    Mafaninikio huja na vitu vingi mno yaaan.

  • @EvaPeter-u1i
    @EvaPeter-u1i 4 дня назад +2

    🔥 fire

  • @jakayajuma9867
    @jakayajuma9867 4 дня назад +1

    Fire

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 4 дня назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @JamesWisdomtz
    @JamesWisdomtz 3 дня назад

    Mimi sijaelewa hiyo private ndo ya mond 😅

  • @LilGida-d3j
    @LilGida-d3j 4 дня назад +2

    WCB

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 4 дня назад +1

    Jet yanani sns wamekuwa machawa wa wcb Siku hizi hâta wakijamba tayari wameshachapisha kwenye kurasa zao

    • @rashidchimwenda
      @rashidchimwenda 4 дня назад +3

      Wanapata views na hela. ........wewe Sasa kama utakuwa stori.
      😂😂😂

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 4 дня назад +1

    Watu hutoa wapi usingizi😂

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 4 дня назад +1

    Aaachaa wanyweee mapombe makaliii ma acid alafu baadae waje kuwa jose chameleone wa uganda waunywe makongosho pancreatic walielie hapo serikali iwapeleke india au marekani kama jose chameleone na ki ndege chao kidogo

  • @richardkonzo5717
    @richardkonzo5717 4 дня назад

    PRIVATE ni nini?

  • @allenkwaya8594
    @allenkwaya8594 4 дня назад

    Wanazunguka dar Tu hapo wamekodi,alafu wanadanganya wanaenda ivory coast 😂😂😂 watabaki kwenye maghorofa ya watu nyie acheni

    • @VITUSPROTUS-wh4mn
      @VITUSPROTUS-wh4mn 4 дня назад +1

      Nawewe si ukodi uzunguke dar tukuone kama ni rahisi mwenye wivu chuki na husda wewe

    • @IsayaFidelys
      @IsayaFidelys 3 дня назад

      Utakufa na chuki zako.fanya kaz

    • @allenkwaya8594
      @allenkwaya8594 3 дня назад

      @IsayaFidelys unaonekana wewe upo ki KAZI hapo au siyo

    • @matiasnestor
      @matiasnestor 2 дня назад +1

      umri umeenda get off the internet

  • @mclee493
    @mclee493 4 дня назад

    Haupit urus huko mawimbi yanaingilian na drone mtadunguliwa

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 4 дня назад

      Kwani Kwenda Ivory Coast kakwambia nani kwamba unapitia urusi??😂

    • @mclee493
      @mclee493 4 дня назад

      @AllyNzisabira hii bro hata sijui mitaa mm na tz tu ..hahah

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 4 дня назад

      @@mclee493 😂😂😂😂

    • @mclee493
      @mclee493 4 дня назад

      @@AllyNzisabira kwel hata silew ndege ndan ipo je na inapit wap kwel serikal ituone itupandsh hata waturudsh sina uhakika kama nitapand ndege maishan

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 4 дня назад

    SNS nightmare

  • @JENNIFER-q4k4r
    @JENNIFER-q4k4r 4 дня назад +1

    Amna kitu apo fake News .Fake life .SNS your pappet...

    • @Temelagosi-zv9jw
      @Temelagosi-zv9jw 4 дня назад

      Sorry bro😂

    • @JENNIFER-q4k4r
      @JENNIFER-q4k4r 4 дня назад

      @Temelagosi-zv9jw Sorry Sister 😞

    • @JENNIFER-q4k4r
      @JENNIFER-q4k4r 4 дня назад +1

      @Temelagosi-zv9jw Most of these News are not true..

    • @ActiveMedia-j9y
      @ActiveMedia-j9y 4 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MASIKINI MNAKUNJA SANA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 POOR GELO

    • @Temelagosi-zv9jw
      @Temelagosi-zv9jw 4 дня назад

      @@JENNIFER-q4k4r I see that's some green screen product😅