SHEMEJI YANGU ANANITAKA KIMAPENZI 💞 Love Story | DONTA TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии •

  • @EdnaMathias-jc8rq
    @EdnaMathias-jc8rq 6 месяцев назад +3

    Mhuuu we love unaonekana we ni mwizi unavyopokea counter bok fast🤣🤣😄

    • @SelemaniAlba
      @SelemaniAlba 6 месяцев назад

      😂😮❤❤❤❤❤

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 7 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂 Pole sana James kimekuramba, loveness nakupendeanga kua na akili❤❤❤❤ Kenya

  • @jacklineminja-fg9ji
    @jacklineminja-fg9ji 7 месяцев назад +13

    Mi napita tu jaman cha msingi tujifunze wametupa somo kuu

  • @veronicawilliam7276
    @veronicawilliam7276 7 месяцев назад +3

    Vicky best yangu umemaliza vibaya 😂😂😂😂😂 ulitakiwa utende wema kwa ubaya usilipize ubaya kwa ubaya

  • @AnnoyedCheese-qg6is
    @AnnoyedCheese-qg6is 7 месяцев назад +6

    Kazi nzuri donta family

  • @Babanafey
    @Babanafey 7 месяцев назад +2

    Aaaaaah love fumua nywele izo tena

  • @AboabdulhakimAlfaleh-in7jo
    @AboabdulhakimAlfaleh-in7jo 7 месяцев назад +2

    Noma sana nimeipenda........siku sote ndoa inatakiwa kuvumilia.

  • @glorymlawa7078
    @glorymlawa7078 7 месяцев назад +3

    Nikijigunduwa Nina shida Kama ya Victoria c thubutu kumkaribisha mdogo wangu nyumban kwangu 😂😂❤ aise! Hi nisawa na mbuzi kufia kwa muuza supuu😂😂 nta pigaa nimkaliee

  • @glorymlawa7078
    @glorymlawa7078 7 месяцев назад +2

    ❤❤😂kiswahili Cha jemes jaman,kuku zangu Bata, zangu ahahaa!😅

  • @irenemueni8837
    @irenemueni8837 7 месяцев назад +7

    Weeeee loveness umekam kuaribia dadako doa kwa nn

  • @Nereahneree
    @Nereahneree 7 месяцев назад +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅Weee nimwacha mumewangu namtafta yule ambae ataweza niandikishia mali yake yote kwangu😅😅😅😅

  • @AlamunyakMakeku
    @AlamunyakMakeku 7 месяцев назад +22

    Shemeji wa jemisi kama unamkubali vikitoria gonga like ata 5 kama unamkubali jemisi na kazi yake

  • @Tdotkido
    @Tdotkido 7 месяцев назад +2

    😂😂😂eti au ukatafute mwanaume😂😂😂😂

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 7 месяцев назад +4

    Kuolewa ni Sheria kuzaa ni majaliwa, Wanaume waache upuuzi

  • @AnnoyedCheese-qg6is
    @AnnoyedCheese-qg6is 7 месяцев назад +11

    Wa kwanza jamooon naombeni like hata 100

  • @MauwaAuwa1991
    @MauwaAuwa1991 7 месяцев назад +5

    Nimewahi leo hongereni

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 7 месяцев назад +5

    Vicky na love munaweza❤

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 7 месяцев назад +2

    Ukimfanyia utafanyiwa,,,,, Na ww Munguu Yupo

  • @Halima-xm6co
    @Halima-xm6co 7 месяцев назад +1

    Nawapenda sana Donta

  • @LADYSTAR033
    @LADYSTAR033 7 месяцев назад +16

    Namba tatu Leo naomba like ata 5 jameni❤❤

  • @davidpeter2398
    @davidpeter2398 7 месяцев назад +2

    Iv kiuharisia na maisha yasasa kunamwanaume mjinga km huyo jems

  • @AgnesMwende-p9w
    @AgnesMwende-p9w 7 месяцев назад

    Victoria hpo sawa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HannaellySlangay
    @HannaellySlangay 7 месяцев назад +2

    Jmn loveness mjanja

  • @RaskazoneZoo-kg9qh
    @RaskazoneZoo-kg9qh 7 месяцев назад +2

    Ety tamaa mwizi yule 😁😁😁😁😁

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 7 месяцев назад +5

    Vick nikama johari njia panda uko vizur dad

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn 7 месяцев назад +1

    😂😂😂et misumari ipo kitandan😂😂loveness bhana😂😂

  • @Doshwacaptain
    @Doshwacaptain 7 месяцев назад +1

    Usiview bila kulike jamani ❤

  • @linetnyakundi3586
    @linetnyakundi3586 6 месяцев назад

    Huyo n mm saii 😭 nimekaaa kw ndoa miaka tano na cjawaisikia hata harufu ya kitunguu😭😭😭

  • @kokenye9003
    @kokenye9003 7 месяцев назад +1

    Nice job wapendwa ❤❤❤

  • @DaudWest
    @DaudWest 7 месяцев назад +2

    Nani kaona James kadinda ...aliovoshikwa na lovenes 😂

  • @EsterSaidi
    @EsterSaidi 7 месяцев назад +1

    This is fire 🔥🔥🔥🔥

  • @valentineonyoni9065
    @valentineonyoni9065 7 месяцев назад +2

    Congrats guys 😘

  • @Daestoto
    @Daestoto 7 месяцев назад +2

    Mafunzo mazuri sana

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 7 месяцев назад +1

    Kenya Watching, twapenda

  • @EdnaMathias-jc8rq
    @EdnaMathias-jc8rq 6 месяцев назад

    Ila Jem's mi nakulaum kitu kimoja una tamaaa wangesema wasiozaa warudi kwao wangerudi wengi japo ni movies pole Santa Victoria😩😩😩

  • @YvonneWanyonyi-gh4pw
    @YvonneWanyonyi-gh4pw 7 месяцев назад +1

    Mimi wamwisho naomba like 5❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 7 месяцев назад

    Lovenesi umeamuwa kumpinduwa dada yako 😢pole sana Vicky wetu😢

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 7 месяцев назад +1

    James weww mjinga

  • @Janeregina-t4m
    @Janeregina-t4m 7 месяцев назад +5

    Loveness jamaani mbona roho mbaya

  • @SmartMC-bp9yg
    @SmartMC-bp9yg 7 месяцев назад +1

    Wapi tina jamani I...you so much

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 7 месяцев назад

    Shemeji ni mbogaaa💋😋

  • @DominicMusyoki-s9f
    @DominicMusyoki-s9f 7 месяцев назад +2

    Nice move nipeeni likes zenu please from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @IhaveMy-d6h
    @IhaveMy-d6h 3 месяца назад

    Mbona amshuti 😅iyo Dada wakazi na mtoto wa Boss

  • @Nanah-go4lj
    @Nanah-go4lj 7 месяцев назад +7

    kwani mnaoombaga like mbn hakuna mnachopost ili mpewe hizo like

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 7 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mpe ajue kama mpo hai

    • @KennethMAMBA
      @KennethMAMBA 6 месяцев назад

      kweli wanakela

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 6 месяцев назад

    Kazi nzuri san

  • @MussaMwalim-w5m
    @MussaMwalim-w5m 7 месяцев назад +1

    Hii loveness we mh ubaya uwo

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza 29 дней назад

    Ni funzo kweli lonvress kwa wanaume wengine kweli donta muna mafundisho eti mtoto

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 7 месяцев назад +3

    Simpemdi kunambi Kila series kujifanya mbabe na sauti yake

    • @MartinaAgustino-fp5eo
      @MartinaAgustino-fp5eo 7 месяцев назад

      Yaan uko kama mimi uyu jamaa hajui ku act

    • @Clarenes
      @Clarenes 7 месяцев назад +1

      Acheni wivu!
      Nyinyi mko movie gani?

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 7 месяцев назад +1

    James Sio Vizuri et baby pampas za mtt zimeisha Ila sio Vizuri

  • @zenaTz
    @zenaTz 5 месяцев назад

    Love umempinduwa dada yko daaa

  • @RukiaMbarak-s2k
    @RukiaMbarak-s2k 7 месяцев назад +1

    Jemsi kimekuramba mno 🤣🤣🤣

  • @BlezeMunbere
    @BlezeMunbere 7 месяцев назад +5

    Hâta liké mbili

  • @LovenessMwaipaja
    @LovenessMwaipaja 7 месяцев назад +1

    Brown simpendi Mimi jmn😏😏😏

  • @SarahNafula-st9xc
    @SarahNafula-st9xc 7 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂ulitaka aya Baba

  • @RebeccaBoniphasi
    @RebeccaBoniphasi 7 месяцев назад +1

    Jamani jemuss na vikitoria kimeuma gonga like ❤️❤️❤️

  • @Leilah2
    @Leilah2 7 месяцев назад +1

    Lavuu leo umetimbua😅😅😅😅

  • @JanetiMwacha
    @JanetiMwacha 7 месяцев назад +3

    Daah jaman loveness umetisha😥🫣🫣

  • @murugamioledavid7928
    @murugamioledavid7928 7 месяцев назад +3

    Fan kutoka Kenya Nakuru

  • @JoyceNeema-wu8lu
    @JoyceNeema-wu8lu 7 месяцев назад +1

    Waaaaahhhh

  • @VumiliaMwaiswelo
    @VumiliaMwaiswelo 7 месяцев назад +1

    Hee funzo Kwa watu kama hao

  • @davidpeter2398
    @davidpeter2398 7 месяцев назад +1

    Et nacheza namijusi 😂

  • @Kinyua-ye8kk
    @Kinyua-ye8kk 7 месяцев назад

    Loveness Sio vzri kbsa ulivyofanya ipo siku utashikwa ujue

  • @mahirmahir2407
    @mahirmahir2407 7 месяцев назад +3

    Ila kunambi umenichekesha eti angebaki na mashangaz 😂😂😂😂😂😂 nipen like zangu

  • @MussaMwalim-w5m
    @MussaMwalim-w5m 7 месяцев назад +1

    Kesho yang jamn inatoka lin

  • @RUKIAOmar-f9i
    @RUKIAOmar-f9i 7 месяцев назад +1

    Vicky na loveless mrembo

  • @BuheroKozi-ds6zd
    @BuheroKozi-ds6zd 7 месяцев назад +1

    Victoria badilisha bhac surual jaman mweh

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 6 месяцев назад

    Paka Kuku na mabata washaandika😂

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 7 месяцев назад +1

    😂😂hadi majivu

  • @melaulepotot
    @melaulepotot 7 месяцев назад +1

    Jemis na ugovi kila wakati jmn!!!

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 7 месяцев назад

      Ila Allah Yupo na wanao subiri na Uvumilivu ni ngao ya Mafanikio,,, Ya Mtu Alio vumilia,,

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 7 месяцев назад +1

    Shemeji ulialibia dadako lakini James ana akili

  • @AnnoyedCheese-qg6is
    @AnnoyedCheese-qg6is 7 месяцев назад +4

    Lakini mbona kama jina la movie haliendani na kilichomo ndani jamani jaribuni kubuni vizuri jina la movie

    • @SifaSanchging
      @SifaSanchging 7 месяцев назад +1

      😅😅

    • @Dontaplus
      @Dontaplus  7 месяцев назад +3

      Jamani watu 😁😁 kwani unaangalia jina au movie??

    • @AlamunyakMakeku
      @AlamunyakMakeku 7 месяцев назад +1

      Movie ​@@Dontaplus

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 7 месяцев назад +1

      iko sawa bhna shemejii ananitaka ss shemejii si huyo kajaa au Jina gani unataka

  • @ReginaDunia
    @ReginaDunia 7 месяцев назад +1

    Wakwaanza na mimi jamani

  • @MohamediSalumu-fr7hw
    @MohamediSalumu-fr7hw 5 месяцев назад

    Inaumasana wadau

  • @MishiMwambaji
    @MishiMwambaji 7 месяцев назад

    James umelikwa ujue dunia ni mduara

  • @Janeregina-t4m
    @Janeregina-t4m 7 месяцев назад +2

    ❤❤❤

  • @MohamediSalumu-fr7hw
    @MohamediSalumu-fr7hw 5 месяцев назад

    Nimafunzo2 kikubwa kwenda kupma

  • @MonikaKibona
    @MonikaKibona 7 месяцев назад +3

    No 8

  • @MohamediSalumu-fr7hw
    @MohamediSalumu-fr7hw 5 месяцев назад

    Shemeji kazinguwa

  • @YOHANAVENACE-js2qb
    @YOHANAVENACE-js2qb 7 месяцев назад +1

    Jamani hivi ile movie ya kesho yangu inaishia epsod ya ngapi?

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 7 месяцев назад +1

    Wana ume ni kama roboti kweli😂😂😂😂

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 7 месяцев назад

      Hawachomokagii Mbele ya wadada😂😂😂😂😂😂😂

    • @delvinejeruto
      @delvinejeruto 7 месяцев назад

      Wanaume nikama ubwa tu

  • @SteveEzekiel-q8x
    @SteveEzekiel-q8x 7 месяцев назад +1

    Nawkbal San donta tv

  • @PhilisNabalayo98
    @PhilisNabalayo98 7 месяцев назад +1

    Hi😢😢😢😢

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 3 месяца назад

    Uchizi ila mwanasheria mwana sana

  • @AnastaziaLouis-rs6cy
    @AnastaziaLouis-rs6cy 7 месяцев назад +1

    Vicky kwnnn ahusuki?

  • @BuheroKozi-ds6zd
    @BuheroKozi-ds6zd 7 месяцев назад +1

    Jitahidini kufananisha jinah la mv na kilichomo ndani ya mv

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 7 месяцев назад

      iko sawa Bhna shemejii si huyo kajaa ana mtaka shemej yake au hamuoni

  • @annamnyazi8206
    @annamnyazi8206 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @MwajumaShabani-b6v
    @MwajumaShabani-b6v 3 месяца назад

    Huyu viki kafunga vibaya mimba lake kwa nyuma

  • @EmmanuelMaduhu-h3h
    @EmmanuelMaduhu-h3h 2 месяца назад

    James mwanang naq kubal knom hahah 🫡

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MohamediSalumu-fr7hw
    @MohamediSalumu-fr7hw 5 месяцев назад

    Nifunzo kwa wanaumeote ndo2kome

  • @yahyaleila6890
    @yahyaleila6890 7 месяцев назад +1

    Jaman tubadilishiyeni n'a mazingira hayo hayo tumeyacoka

  • @MariaJackson-p2n
    @MariaJackson-p2n 7 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @MohamediSalumu-fr7hw
    @MohamediSalumu-fr7hw 5 месяцев назад

    Imeishahy

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 7 месяцев назад +1

    Walai huyu love ana miguu kama shokapu za pkpk

    • @rukiahassan7001
      @rukiahassan7001 7 месяцев назад

      Acheni kukosoa watu miguu imeenda sawa na mwili wake..sasa yeye ni mwembamba ulikuwa unataka aekwe na miguu ya ndovu..minene kushinda mwili wake

    • @Amina-i4r
      @Amina-i4r 7 месяцев назад

      Ampe miguu yake bc 😂😂😂😂😂

  • @MohamediSalumu-fr7hw
    @MohamediSalumu-fr7hw 5 месяцев назад

    Kwer ukimmreta mdogowako namuoa ww nakutema

  • @MulendaOmari
    @MulendaOmari 6 месяцев назад +1

    Kwanini mume fanya tu mafunzo ya mapenzi ?

  • @MohamediSalumu-fr7hw
    @MohamediSalumu-fr7hw 5 месяцев назад

    Oy mnaisomahy

  • @elisbegaelias163
    @elisbegaelias163 7 месяцев назад +3

    Huyu Alex nimjinga nini

  • @elisbegaelias163
    @elisbegaelias163 7 месяцев назад +2

    Ila jemuc

  • @EglayAyuma
    @EglayAyuma 2 месяца назад

    Wanaume pia wajinga unajukuaje mali zote kwa bibi yako ujaakikisha km ujauzito ni wakwako 😅😅