SIMBA 4-0 SINGIDA UNITED, VPL HIGHLIGHTS (18/01/2018)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 179

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 6 лет назад +1

    Singida wajifunze ku funga goal..wana uwezo kuzidi simba. 4really

  • @frenkkazi926
    @frenkkazi926 7 лет назад +12

    Asante asante kwass na kichuya na mwenye Tim okwiiiiiiiii simba noma sana waleeeeeeeeeefj

  • @husseinmohamed9365
    @husseinmohamed9365 7 лет назад +3

    3-5-2
    mambo nii motto
    fireeee
    well done simba sc
    let's focus forward

  • @jacobmsiganga4121
    @jacobmsiganga4121 6 лет назад +1

    Will miss u Masoud Djuma Ilambona.

  • @abbassalum7298
    @abbassalum7298 7 лет назад +20

    Mwaka wetu huu simba....

  • @mathiaswambua7643
    @mathiaswambua7643 7 лет назад +26

    Daaah Hili Goal La Kichuya ni Hatariii Si La nchi Hii katikati Ya Mabeki Wale wote ila Ufupi wake unamsaidia Sana Huyu kijana.... Well Done Simba.

    • @shekhekhandereizer559
      @shekhekhandereizer559 7 лет назад +1

      Mathias Wambua hahahahaha

    • @jonassilas3159
      @jonassilas3159 7 лет назад +1

      Jaman kwasiiii anatisha

    • @salumually6909
      @salumually6909 7 лет назад +1

      Mathias Wambua asie ipenda simba mnafiki

    • @mathiaswambua7643
      @mathiaswambua7643 7 лет назад

      Salumu Ally kabisaa Ndugu Kwanza Naweza Nkasema Simba Kwa Sasa Tuna Bland kubwa Nchini kuliko Team zote Tz

    • @mathiaswambua7643
      @mathiaswambua7643 7 лет назад

      Jonas silas kale Kajamaa Tangu mbao Goal Lake linaniuma Lile alipokiwa lipuli alivyomhadaa manula Ile faulo😂😂😂

  • @mwambamonde8862
    @mwambamonde8862 6 лет назад +1

    adamu mwamba legend Mimi ni simba sports club mnyama

  • @wiseibrah4656
    @wiseibrah4656 7 лет назад +90

    kama unaamini simba hatari weka like yako hap

  • @robertngele751
    @robertngele751 7 лет назад +1

    big up xana okwi pamoja na wachezaj wote Simba sc

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 7 лет назад +11

    Kichuya goli tamu sana

  • @lazarolazaro5535
    @lazarolazaro5535 7 лет назад +25

    Okwi Ni Fundi Mwisho!

    • @mohamedsaid1804
      @mohamedsaid1804 7 лет назад +1

      Lazaro Lazaro kweli kabisa okwi anafaa. Nidhamu tu ajitahidi kidogo

  • @frankbatista6662
    @frankbatista6662 6 лет назад +2

    Simba ni team mashuri

  • @BontamLee
    @BontamLee 6 лет назад +1

    Hangalia nafasi nyepesi za kufunga,hata kiwete anamalizia,mzungu faraaaa sana.

  • @jacobmsiganga4121
    @jacobmsiganga4121 6 лет назад +1

    This is Simbaa....

  • @josephliborius9819
    @josephliborius9819 7 лет назад +2

    hongera Simba
    hongera masoud jumaa

  • @bakarikisimbo3919
    @bakarikisimbo3919 6 лет назад +2

    Hatari zaidi

  • @jacksonmkome439
    @jacksonmkome439 7 лет назад +27

    hongeren shabiki wote wa simba kaz nzur

  • @saidijuma7324
    @saidijuma7324 7 лет назад +4

    Simba noma aiseee

  • @sarahrajabu9812
    @sarahrajabu9812 5 лет назад +2

    this is simba aaaaaaa

  • @sadickkadege6032
    @sadickkadege6032 7 лет назад +3

    Simba noma

  • @nasorohusein6172
    @nasorohusein6172 7 лет назад +2

    Simba 🔥🔥🔥👍

  • @issamatinge15
    @issamatinge15 7 лет назад +2

    Simba mnanipa raha sana jmn

  • @godfreymbunji1446
    @godfreymbunji1446 6 лет назад +1

    okwiiiiii ni noma kichuya ni nomaaa

  • @innopokella609
    @innopokella609 7 лет назад +2

    kichuya noma sana namkubali atali

  • @cosimaskuyela9123
    @cosimaskuyela9123 7 лет назад +1

    Hatal sana hongela simba

  • @kelvinkawea9306
    @kelvinkawea9306 7 лет назад +3

    Simba rahaaaaa

  • @BontamLee
    @BontamLee 6 лет назад +1

    Masoud yupo vzry kuliko hawa wazungu tunaoletewa,hapa simba.hangalia mpira kama ulaya.

  • @baryinyonzatalksports2309
    @baryinyonzatalksports2309 7 лет назад +5

    kocha ni masudi , tunamutaka afanye kazi mu timu yetu

  • @ahmedisiwa1313
    @ahmedisiwa1313 4 года назад

    Gonga like kama bado unaangalia hii mechi

  • @thomassanga5268
    @thomassanga5268 6 лет назад +2

    simba iyoooo

  • @happinessjosephat6674
    @happinessjosephat6674 6 лет назад +2

    Ni shida simba ya mwaka huu

  • @mudiarosto9023
    @mudiarosto9023 7 лет назад +3

    sanaaaaaaaaaaah!!!

  • @fredypaul4154
    @fredypaul4154 6 лет назад +1

    Simba hatare

  • @carolgasper2121
    @carolgasper2121 7 лет назад +3

    Sawa Azam mna watangazaji wengi wazuri kama barack mpenja na kabombe lkn NURDINI SULEIMAN ni kiboko namkubali xna jinsi anavotangaza hasa kwa kutaja majina matatu ya wachezaji naomba kwenye mech hasa za simba Nurdin atangaze mechi hzo

  • @emmanuelmashishanga5057
    @emmanuelmashishanga5057 3 года назад

    Kocha kijana na kipenzi cha wanasimba

  • @edwinjoseph6379
    @edwinjoseph6379 7 лет назад +1

    Karibu Kagera ila mkija kwa sifa mnachukua hizo 4, jipange mnajua uwanja wa kaitaba bahati yenu ni ndogo sana

  • @amosmsafi3528
    @amosmsafi3528 7 лет назад +8

    This is Simbaaa

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 4 года назад

    Okwinhooooo ni htr

  • @baryinyonzatalksports2309
    @baryinyonzatalksports2309 7 лет назад

    Gyz, aca niyambiye wafana wote wa timu ya simba. muace coacha masudi afanye kazi yake kidogo kidogo , am sure he will give us a success in our team of simba sport club. thx

  • @roziantony2850
    @roziantony2850 5 лет назад +2

    Ndemla tunakupenda

  • @musanjama2211
    @musanjama2211 7 лет назад +1

    Jaman simba masoud Djumaa awepo kocha msaidizi plz

  • @salvatorymogesi8781
    @salvatorymogesi8781 7 лет назад +1

    Ni kweli Simba imeshinda lakini wamefanya makosa mengi kwenye defence ambayo yakiwakuta washambuliaji makini watawaadhibu sana tu.
    Bado defence haiko sawa inapaswa kuimarishwa

  • @simionkitui7844
    @simionkitui7844 7 лет назад +3

    hii ni simba brother

  • @christianluvanga2673
    @christianluvanga2673 7 лет назад +1

    THIS IS SIMBAAA......

  • @noelgeorge2071
    @noelgeorge2071 7 лет назад +2

    great team work done by simba

    • @noelgeorge2071
      @noelgeorge2071 7 лет назад

      S.Ndemla endelea kuwa na macho mengi uwanjani big up!

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 года назад

    Wale tunaoangalia 2020 tukisubiri ligi iaze tujuane

  • @ezekielmangare6413
    @ezekielmangare6413 7 лет назад +4

    okwi hatar sana

  • @manasebakunda9648
    @manasebakunda9648 6 лет назад +2

    Simba ni hatari

  • @zephaniakatemi6550
    @zephaniakatemi6550 7 лет назад +4

    This is simba brother

  • @alexedo81
    @alexedo81 6 лет назад +1

    Singida
    Mines

  • @mohamedsaid1804
    @mohamedsaid1804 7 лет назад +9

    Niko na hofu mzungu kutuharibia pace. Afadhali ata angeanza msimu mpya. Kwa sasa tukaendelea tu na Masoud.

    • @shekhekhandereizer559
      @shekhekhandereizer559 7 лет назад

      Mohamed Said Hahahahahah licha ya kutolewa kwenye mashindano mengine asee masoud bado nifundi asee watuachie kwanza mzungu akae ale upepo

    • @mohamedsaid1804
      @mohamedsaid1804 7 лет назад

      Brother Masoud japo Sio fundi kihivyo lakini mhamasishaji mzuri kwa kweli

    • @shekhekhandereizer559
      @shekhekhandereizer559 7 лет назад

      sana anacheza na siklojia ya wachezaji sana nakujua apa uyu ayupo kwenye fomu au laaaha ww angalia mwinyi kazimoto alivifanyiwa sabu kuingia fabrigas wa bongo ndemla mchezo umekuwa moto assist zimetolewa na magoli yamepatikana kwailo Big up masoud ase tunamuitaji sana tena sana

    • @traviselias9238
      @traviselias9238 7 лет назад

      Mohamed Said umenena vyema kaka.
      Maana simba ya siku hz kama arsenal.
      Hata akiongoza point 10,
      Napo mashaka.
      Mpaka ligi iishe ndo uhakika

    • @dorashimbi7043
      @dorashimbi7043 6 лет назад

      Asateee k

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 7 лет назад +1

    Washeza whotewa simba kazimzuli

  • @muuhboy7499
    @muuhboy7499 6 лет назад +1

    Djuma inn

  • @michaeljoseph6939
    @michaeljoseph6939 7 лет назад +6

    simba noumaaa.....

  • @jumakika3997
    @jumakika3997 7 лет назад +8

    okwi ni shinda

  • @felixsamson6856
    @felixsamson6856 7 лет назад +2

    Saana chama lang,ubingwa wetu

  • @khalfanmkumba5009
    @khalfanmkumba5009 7 лет назад +2

    This is SIMBA bhna+974

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 7 лет назад +3

    kichuya hii assist ulio toa kwa okwiii goli la tatu daaa eban nitamu ulivo uchopu mpira nae mwenye simba akakapoza mguuni hahha kumbe okwi mkali kushinda morata 😈

  • @hamzaamrani1800
    @hamzaamrani1800 7 лет назад +2

    Nguvu moja tuwape sapoti makocha wote

  • @kilianchale3047
    @kilianchale3047 7 лет назад +2

    Baba mwenye nyumba karudi anamaliza matatizo yote yaliyo kuwepo

  • @nichorausntajunja3144
    @nichorausntajunja3144 7 лет назад +2

    okwiiii

  • @reyjosee9390
    @reyjosee9390 6 лет назад

    huyu kichuya anazidi kuwatesa singida

  • @denisjoseph9081
    @denisjoseph9081 6 лет назад +1

    simba yanga

  • @eonardexavel
    @eonardexavel 7 лет назад +3

    Hii ndio simba bana

  • @fredrickbudeba9479
    @fredrickbudeba9479 7 лет назад +13

    Ndemla nuksi aise

  • @msafirisupana3482
    @msafirisupana3482 7 лет назад +2

    okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 7 лет назад +2

    HUYO NDIOOOOOOOOOOOO MNYAMAAAASSSSS MKALUIIIIIIIIII

  • @haridymohamedy226
    @haridymohamedy226 7 лет назад +1

    OKWIIII hatari jumla wachezaj wote wamecheza hivi ndo 2navotaka Mashabiki wachezaj. mnakaza mwanzo mwisho

  • @gabrielgabyboy4411
    @gabrielgabyboy4411 7 лет назад +2

    kichuyaaaaaaaaaaa!!!!!

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 3 года назад

    Kichuya kwenye ubora wake Kama Luis miqueson

  • @danimsigwa468
    @danimsigwa468 7 лет назад +6

    hii simba ni shida mwaka huu tumejipigia wauza mafuta ya alizeti

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 7 лет назад +2

    yaaani majilan mmeshindwa kula chamchana Etti mnawai uwanja wataifa mapema kwenda kushuudia mnyama akichunwa ngozi haa mmeshinda njaa na mmeongezewa njaa ingine tena this is simbaaaaaaaa msitake tufanane nyie pambaneni na hali zenu

  • @mwambamonde8862
    @mwambamonde8862 6 лет назад +1

    okwiiiiiii nizaidi ya lukaku

  • @bkrhassanbkrbkr1375
    @bkrhassanbkrbkr1375 7 лет назад +2

    MASSUD DJUMA ANASTAHIKI KUBAK KAMA KOCHA MKUU WA SIMBA NA MZUNGU YEYE NI SIFA PEKE.KAMA ALIFANYA VIZURI NIIZO ZAMA SIO KWA LEO.MASSUD NI KOCHA PEKE ANA CHEZA MPIRA NA WA CHEZAJI WAK NA KUWAPA TECHNIC NYINGI SANA

    • @frejascompany6094
      @frejascompany6094 7 лет назад

      bkrhassanbkr bkr kweli kabisa.... Yaani angebaki djuma

  • @georgejoseph9731
    @georgejoseph9731 6 лет назад +1

    Tanzania

  • @masukamarco1659
    @masukamarco1659 7 лет назад +6

    Jamn AZAM tv mnawaumbua mno marefa wetu ambao wengi wao ni mburura . pia jaribuni kurudia kila tukio kwa taratibu na kwa picha mnato make baadhi ya matukio hamyaoneshi vzr ,mfano ktk mechi ya simba vs singida manyika alionekana km amedakia nje lkn hamkurudia kuonesha hilo tukio , n.k

  • @filbetsamson192
    @filbetsamson192 7 лет назад +8

    kichuyaaa

  • @chandeomary2269
    @chandeomary2269 7 лет назад +2

    kichuyaaaaaaaaa

  • @chescomnyangali8601
    @chescomnyangali8601 7 лет назад +1

    Simba nguvu moja

  • @amocsamwel7546
    @amocsamwel7546 7 лет назад +2

    hiii ximba wakaxome

  • @masalulufunga2804
    @masalulufunga2804 7 лет назад +1

    mpira wa leo azam vs yanga

  • @ramadhanimussa882
    @ramadhanimussa882 7 лет назад

    Simba 4 Singida 0

  • @jumaangosha7917
    @jumaangosha7917 6 лет назад +1

    Simba vs mbeya cit

  • @msafirisupana3482
    @msafirisupana3482 7 лет назад +3

    kichuya so wa kisport sport

  • @leonardchoma1836
    @leonardchoma1836 7 лет назад +1

    Bado watu wengi wanaichukulia simba poa poa wakifikiri ni ile ya mwaka jana.

    • @daudkasuka6125
      @daudkasuka6125 6 лет назад

      Daud kasuka kweli simba c yamchezo mchezo

  • @deograsluoga1142
    @deograsluoga1142 7 лет назад

    Simba wamejitahidi

  • @mipawatambu7146
    @mipawatambu7146 7 лет назад

    nice simbaa

  • @petrocyprian9834
    @petrocyprian9834 7 лет назад +2

    Safi mzimbaz

  • @mwambamonde8862
    @mwambamonde8862 6 лет назад +1

    adamu mwamba

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 7 лет назад +9

    Masoud djuma anatosha kua kocha mkuu 7bu anajua sana mshkaji?

    • @abrahamkibona7038
      @abrahamkibona7038 7 лет назад

      Ali Abdalla Said ,vigeugeu

    • @shekhekhandereizer559
      @shekhekhandereizer559 7 лет назад

      Ali Abdalla Said masoud nikocha licha ya kutolewa mashindano mengine bado tunaamuamini natutaendelea kumuamini asanteni kwakuja singida

    • @imanimlyapatali4359
      @imanimlyapatali4359 7 лет назад

      Ali Abdalla Said kwl aisee

  • @twaahirbagessi1968
    @twaahirbagessi1968 7 лет назад +1

    Mbwa kumng'ata tajiri wake labda awe na kichaa.Nani akubali kumwaga ugali na mboga yake.

  • @hamismabula2307
    @hamismabula2307 7 лет назад +1

    hii mechi watu weengii walikuwa na matokeo ya mapinduzi Zanzibar hivyo waliipatia nafasi singida zaidi lkn watu watambue kuwa kundi gumu nfiyo liliweza kumtoa bingwa na mshindi Wa pili. hivyo singida hakuwa mzuti kivileee kwani mchezo aliouonyesha walipocheza na yanga hakikuwa kipimo

  • @javiernaoda3850
    @javiernaoda3850 7 лет назад

    Simba raha xana

  • @saknamtaki8168
    @saknamtaki8168 7 лет назад +1

    wamebahatisha tu, hao
    FIFA

  • @beatisibaritromeo6638
    @beatisibaritromeo6638 2 года назад

    Comed

  • @kerikakileukupamba4788
    @kerikakileukupamba4788 4 года назад

    Jamila pete

  • @djmsolopa9149
    @djmsolopa9149 7 лет назад +1

    mszo shoo

  • @fettywakuache8744
    @fettywakuache8744 7 лет назад +2

    ruclips.net/video/mjYgRjxLpro/видео.html gusa hii link uone maajabu

  • @yusuphmatumla7434
    @yusuphmatumla7434 6 лет назад +1

    Ř

  • @prayzoodmaraboy796
    @prayzoodmaraboy796 7 лет назад +1

    Ansate