SIMBA SC 5-0 MBAO FC; VPL, FULL HIGHLIGHTS (26/02/2018)
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Timu ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza, imekutana na kipigo kizito cha mabao 5-0, kutoka wa Wekundu wa Msimabazi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam.
Magoli yote a Simba katika mchezo wa leo, haya hapa, wafungaji wakiwa ni Shiza Kichuya dakika ya 38, Emmanuel Okwi mabao mawili, dakika ya 40 na 70, Nicholas Gyan dakika ya 86 na Erasto Nyoni dakika ya 82
Ipo siku tutakuwa wanasimba Kama tulivyo kuwa mwanzo nakupenda Simba nguvu moja
simba nguvu moja!! mungu tunaomba uzidī kutusimamia inshallah
zigimale zigimaleanton simba na mbao Leo morogoro jamhuri
Hongera Simba ,Mungu awape ubingwa vpl
S
Simba hii CIO ya mchezo mchezo......big up my team!!!
Mariam Mjela thanteeeh..
Vedastina Vedasto wa
daah masudi alikua kocha mwenye kuchangamshaa wachezaj na mashabiki sanaaa masud di juma kokote uliko mungu akutangulie ulejee tena simbaa
Wapi fire mbao zaunguaaaaa
Yusuph Amani lm
Simba ni simba tu ata awe simba Mbarara ni simba
safi sana chama langu
Pamoja Xaaaana Azam TV
Safi sana azam mmeskia kilio chetu sio mnaweka dakika 10 wakati bando ni letu asanteni
Simbaaaaaaaaaaa
tupo pamoja simba
❤
Huyu Kichuya sio mtu wa mchezo mchezo.. Aiseeeeeeeeeeeeeeee..!
Exl
Kinachoendereasimba
Kwan simba hawamuoni sangijaa sangijaa hawamuoni simbaaa
Hii simba inaitwa chinja chinja sio kwa kipigo hiki alichopewa mbao kutoka 4G mpaka 5G ndio ujue simba sio timu ya mchezo mchezo bado zamu yenu nyny washangilia droo
😅😅😅😅😅😅 ety washangilia droo, ila Yanga bhn
Kumbe walianza zamani kushangilia droo hahaha
Yes Nimekosa Kuiangalia Hii Mechi ila2 Nimekua Wakwanza Kuitazama Kwenye #RUclips Hongereni Sana Kwahili #AZAM_for_Life!!
ahxnt azam tv
Salam kwa timu ambazo bado hazijakutana na mnyamani
Okwi siurundi tu simba jamani
Barcelona&juventus
hamsa hamsa
adamu mwamba legend simba sports club
Hii simba sasa nomba mpaka sasa ligi za duniani wasiyo fungwa simba na barcelona..tu kwaiyo tuwaheshimu simba na barcelona
Hashim Cheppa ximba kazeni buti yanga wametuzid point
Nani kama smba
hii simba waipe tu kombe
Soomala mwana mziki wa bongo fleva
ok
Hiv hakuna 5G
Nimemiss kusikia majina ya hawa watu
happy dede mambo VP mpenwa
duhh
simba raha kweli
Chezea simbaa wwe hahaaa
apo sawaa AZAM siyo munatupa dakika 6 mara 5 ndo nini apo mawapa bigap saana na asanteni
ABDUL SHABAN oil
Pamoja
Wanaume haooo wakuja yanga jiandaen
wilfred kambona hiyo ndo simba haichagui sehemu popote kambi simba mbele kama tai hahahaha
Tunasubi yanga Tuwape dozi _5
DAWA NDO IYO
Herry Danda razima apigwe
hahaha mme wa yanga katulizwa kimasomaso
shizo be classic
kama kipa wa mbao ndo huyo hawana
azam tv big up
kama kawa simba ya 4g imeamia kwenye 5g duuuu mnyama unanikoxha mm
Simba ninoma baada ya 4G hadi 5G safi Sana simba
Rachel Tugende hapo sawa
hadi ww umeona bahsi kw kipa hwn
njombe mji fc v simba
Joshua Kilumile
Savp
neyma
Dickson Simba kiboko
You
naipenda simba
Ipo siku tutakuwa wanasimba Kama tulivyo kuwa mwanzo nakupenda Simba nguvu moja
Simbaaaaaa
Savp