Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Experts in song composition and performance.Congratulations to you and praise and glory be to God
Ujumbe mzuri sana! hakuna jambo ambalo ni gumu mbele za mungu bali kwake yoote yanawezekana. Haijalishi lina ugumu kiasi gani na zito kiasi gani mbele za MUNGU linawezekana mbarikiwe watumishi wa MUNGU kwa ujumbe mzuri!
Nimependa uimbaji wao, nimebarikiwa sana na uimbaji huu.
Kweli nyinyi ni wataalamu wa nyimbo
Nabarikwa nikiwa Nakuru kwa ujumbe was wimbo wenu
Hakika upako unatembea
Mmeimba vizur
Amen wimbo huu unanijenga sana, barikiweni choir nzima
Wimbo ni kweli kabisa!!
wow🎉🎉🎉🎉
Such a touching song, may Almighty God bless you
I love nkinga choir since childhood...I have never tired listening to their songs...over 40years ago.
Shalom wapendwa. Ujumbe mzito huu.
Nimefurahi kuwaona ndugu zangu
Yote yanawezekana kwa MUNGU wetu🙌💪
Evanjelok nkinga
Amina wimbo mzuri
ubarikiwe sana
Asanten sana mbarikiwe
Asanteni sana
Hivi nyinyi ndio mlikuwa mnaimba Sauri!? Mbona sasa mnaimba kipagani hivi!?
Wacha mchezo wewe Mungu adhiakiwi
acha wivu
Mbarikiwe saaana watumishi naupenda wimbo huo saaana.
Hizi song ziko sawa
Zimeshinda rose muhando
Shida yako nini?