Jamani hizi kwaya zimenitoa mbali sana Mimi Rose muhando, msione ninaimba hivi nimetoka kwenye wingu la Hawa waimbaji wa wakati huo! Machozi yananitoka ninakumbuka safari yangu ya muziki ilivvyokuwa ngumu ,hizi kwaya za Tabora zilinifariji sana na kunifundisha mengi mno
Huu wimbo umenifanya nilie kwa kukumbuka mengi sana, zamani miaka ya 90, marehemu mama alikuwa anaupenda sana huu wimbo,na kwa kweli ulimbariki...unaendelea kunibariki pia.
Nyimbo tamu sana nilikua nasikia kwa radio tu KAZI nzuri
Jamani hizi kwaya zimenitoa mbali sana Mimi Rose muhando, msione ninaimba hivi nimetoka kwenye wingu la Hawa waimbaji wa wakati huo! Machozi yananitoka ninakumbuka safari yangu ya muziki ilivvyokuwa ngumu ,hizi kwaya za Tabora zilinifariji sana na kunifundisha mengi mno
Babaangu ndiyo alikua mwalim wakwaya hii
Yaani napenda hii kwaya kuliko maelezo Babako Alikuwa ANAITWA nani?
Mpe mauwa yake
Mungu n mwingi wa wema
Amen happy to hear that from a contemporary musician
Waliongozua na roho mtakatifum.. Mungu awabariki sana
Jameni tuekee kanda zote za Tazengwa nzega choir nazipenda sana Mungu awabariki
Bolesheni ziwe na sauti akuna nyimbo tamu kama izi
Mimi P. Konakuze nawaombea sana. Uimbaji huu unanivutia sana. Wimbo ni mtamu sana. Mungu atukuzwe sana.
Mtu ameweka kanda hii mungu ambaliki sana ni moyo penda sana
Huu wimbo umenifanya nilie kwa kukumbuka mengi sana, zamani miaka ya 90, marehemu mama alikuwa anaupenda sana huu wimbo,na kwa kweli ulimbariki...unaendelea kunibariki pia.
Siku moja tutamwona Yesu macho kwa macho,nyimbi hii ni baraka sana kwangu.
Nyimbo nzuri sana, kutoka ndani ya bible kabisa
Wow, this song. Nilikuwa naskizia kwa radio station ya Biblia Husema by Pastor Kimuyu.
i like pastor kimuyu so much, he does an amazing job every sunday pale BHB
Been looking for this song for so long, such a blessing...thank you
Nyimbo za zama zilikuwa za upako Na maneno yakweli kutoka kwa kitabu kitakatifu,mstari hadi mwingine,kwel zinabariki
namuona mzeee hakika dady kazi yako njemaa sanaa tunaifata
These are the songs that motivated me to play guitar
Roho wa Mungu aliimba nao, siku hizi pesa zinaimba na watu.
MUNGU awabariki sana.nabarikiwa sana na nyimbo zenu.
Mziki huo unapigwa kimpangilio kiwokovu
Wimbo tamu, Mungu awabariki sana 👍
Great song. Melody za Ukweli
Hongera sana baba mzee john
Nyimbo zina nguvu ya Neno la Mungu mbarikiwe sana Tazengwa Choir
This is so blessing, I miss some of your songs put them here
can i get this song ya "watu wawili" without the extended part, iishie tu apo kwa dakika nne
Such blessings scripture, actually they summarized everything about the restruction of jesus
Reminds me Christmas days 1980s to 1990s
What a blessing a nice song
Asante sana nimebarikiwa na wimbo wa kwanza
Lovely song
Where can I get to see the choir live
A song as per the Bible
I love this song.
The soloist is good.
Amina
Kwaya ya nyumbani tunabarikiwa kupitia mtandao mbarikiwe sana
Endelea kusambaza na kwa wengine
GOD BLESS HIS SOLDIERS nice song
Hi, is this choir still together? Such a blessing!
So blessed
Tunabarickiwa xana
Nice song
Mungu awabariki sana
Amen
Naweza pata hii album wapi jamani tembo huzaa tembo..plz watumishi
Ndio utaipata hapa hapa
@@joelkulwa748 Tembo huzaa Tembo kwel hii Album unayo nahitaji
Mtuwekee na nyimbo za tazengwa band tafadhali
Zipo kwenye mchakato utazipata
Nimekumbuka mbali sana kwetu Tazengwa namkumbuka Philipo Ngamba
Emanuel nyoka kaka alikuwa anaimba sana injili ya kijijini undomo nakumbuka mengi sana,,, Malale pia nimemuona