Nikweli Mungu atembei nawatu wepesi wepesi hili somo limebeba maswali tunao jiuliza wa Kristo wengi kwamba kuomba tumeomba sana lakini hatuoni matokeo ya Mungu kumbe bado hatujamtafuta
Hili somo nikubwa sana sema watu hatujatambua ingewezekana lingeenda kwenye television nimeelewa kunakitu kwetu kama kanisa hutu mtumishi analenga maswali yawatu kwa maana nyingine tunatakiwa tuombe nakutoa sana ili Mungu ajidhihirishe kwetu.
Woooooow
Barikiwa sana mtumishi!
Amina Baba nimebarikiwa
Amina mtumishi hakika uso wa Bwana utaenda pamoja nami!
Nikweli Mungu atembei nawatu wepesi wepesi hili somo limebeba maswali tunao jiuliza wa Kristo wengi kwamba kuomba tumeomba sana lakini hatuoni matokeo ya Mungu kumbe bado hatujamtafuta
Very powerful
Amen