Ninachompendea huyu binti anajitambua sana!!! Mtoto mdogo lakin akili nyingi!! Amewazidi ad kina Joyce kiria!! Nakumbuka hata mara ya kwanza ulikuwa mstarabu. Sana. Mungu aendelee kukupa hekima mtoto mzuri. Lv u mama mozar!
I love the way she answered all the questions, she is very beautiful and brave young girl ever in dat country called Tanzania. Mama moze Mungu akulinde Ww na kizazi chako, give you all respect 💎💎💎
MASHA Allah we ni mrembo sana mum Moza umesema ukweli nmependezewa sana na majibu yko,ckujui hunijui lkn nmekupenda sana Aslay plz muoe Tessy yy ni mke bora.Watu hukosana na kupatana Bp hpa nikiwa Dubz
Tess mdogoangu nakupendaga sana sana unaakili sana!!ila naamini usemi watu wasemao wanaume walio wengiwaoo hawapendagi mke Bora.wanapenda bora mke.umetulia sana Tess
Safi sana tessi majibu mazuri c kama wanawake wengine wanoongea mambo ya ndani kweli umefunzwa mama aslay hakukosea kukuchagua na atakula hasara akikuacha ukenda kwa dalili tu unaonekana ni aina ya mwanamke ambae kila mwanamme anamuhitaji. big up mu my
eeeeh Queens eeeh..kumbe wako wengiii?..khatar wallahi..ata wewe jiulize ya nini kumtupia mavi mumoe muliokaa na mapenzi na hata mukazaaa..ya niniii..aah munakaa mabeste ama kama ndugu..manake mushazaa sasa mumekua nduguuuh.USIMUANIKE MWENZIOOOOOO.
kwa ndani sasa ndoo huwezi kujuwa Mke mwema anatoka kwa Mungu!unapo hangaliya nje kwa ndani kuna kitu ! sema tu Mungu akuongoze sio kujiongoza eti unahangaliya mtu anavyo ongea !Hakili zenu duh eti unatambuwa mtu akiongeya ! kila kinaco ngaa sio Gold !!!!
Nakupenda sana kwa hekima ulionayo dada ...kweli usipende kuweka siri zako kwa mitandao n mwanaume kweli hakuna mwenye bb moja .. may Lord grant u many yrs to see ur grand children.+971 gonga lik kwa maongez ya huyu mrembo
Ma moza mungu akujaarie una majibu ya kibusara sn sikujuwa km utaji u vizuri hivo ongera umewashinda watu na majina yao ongera kwa famly yako my wamekurea vizuri
Una akili nyingi sanaaa.. ushauri wa bure yaaan usio privacy olewa na aslay nimegundua kuna kitu katka hizo privacy privacy! Mnapendana inshallah mkae mumlee mtoto
Mtoto mzur hivo unataka nin tena aslay doh wengine hatujawah kabisa kua na bebez km hzo kwanin ucoe tu mzee baba mbona km anaakil huyu anaongea kstarabu had rah doh wengne tumezaa na machiz tunasumbuliwa tuu yan mtu anataka hela2 mtoto anakunyima🔥
Mama Moza, ALLAH ndie Hakeem nakuombea kila la kheir na Allah akusameh kwa madhambi yote uliotenda. Unahitaji kuwa na ma UKHTI ambao wanafata Uislam unavotuamrisha ili uondoke huko na uwe katika njia ilionyooka. Majibu yako yanaonyesha kuwa ULIJIKWA lakini hukugeuka na kuangalia kilicho sababisha kujikwaa kwako. Unaonyesha kabisa huko uliko unaweza kutoka na kuwa mke bora kwa Atakae pata BAHATI ya kuwa Mumeo. In sha Allah. ALLAH atakuongoza ikiwa utaombaTAWBA
Dah Ashley umemuacha huyu mwanamke mbona ni kichwa na ni mtu anayejielewa sana Mimi nadhani kama ungeendrlea kuwa naye mngefika mbali kimaisha, kaa chini mjitafakari wote angalieni wapi mmekosea Kila mmoja wenu ayaone mapungufu ya mwenziwe ndiyo changamoto ya mapenzi yenu, lakini pia muache ubinafsi wa kujifikilia nyinyi wenye we mpenzi furaha mtoto wenu, hakuna malezi ya mtoto kama wazazi hampo pamoja, NAWAKILISHA
Mim najiuliza mpaka nalia hivi huyu aslay au wanaume tu wowote wale kwani K zinatofautiana nin duuu hata akipata ngoma mtu wa hivi siwezi lia hata kidogo
wasanii bwana yaani kama wamerogwa au sijui ushamba sasa ona aslay anaacha mwanamke huyu anahangaika na vinyigu hata havieleweki kazi kuonyesha michupi yao mtandaoni tu.hizi laana nyingine mnazitafutaga wenyewe.
Yani sisi wanaume sometime tunakuwa cjui tuseme na ""Akili Gani ama tumerogwa na nini????"" .Yani mtu unapata mke mzuri kama huyu simaanishi uzuri wa umbo hapana ni uzuri wa tabia, unafanya majanga anakutoka, hatuwezi jua ttz kwsbb ktk maisha ya wawili kunakuwa na mitihani mingi Ila mwanamke mstaarabu kama huyu ni vigumu kumpata kwa jamii yetu ya Tz ukiwa nae unatakikana kuvumilia na kumfunza ili akuzoee na maisha baadae yananyooka. Pole sana Aslay umekosa mtoto muelewa sana wa maisha ya mume na mke. Hakika nimevutiwa sana na majibu yake, kiukweli kamtoa nishai alokuwa akimuhoji alienda pale kutafuta umbea lkn baada ya kupata jibu hili" Ni kawaida kwa wanaume kuwa na wanawake wengi, Si dhani na ww kama uko na mke wako tu"" kaamua kukatisha interview yake . Hahaha, Allah akuongoze dada.
Dah...MashaAllah binti mtaratibu huyu ndio wife material na nazani wengi hawamjuagi. Wasanii bana..mkizaliwa ni scandals msipojaliwa inakuwa lawana kwa mabinti!!! Mungu anawaona🙄🙄🙄
Wanawake wenye akili na wenye kujitambua kama huyu ni wachache sana. Mwengine hapo povu lingemtoka. Nimependa pia the way anavyopenda kuweka mambo yake private
Kiukweli katika master waliopata wanawake ni asley na alikiba haki amungu huyu mdada mzur then anaongea vizur duh mama moza rudianeni bc na baba moza mumlee mtoto wenu nakupenda bure aslay naww muoe tena
Mwanamke mzuri maridadi anajibu vizuri😍😍😍😘😘😘Aslay rudia mkeo nawe
Eyt
Good... watanzania wote wangekua na majibu kama haya...umbea ungepungua...inahusu nn kutaka kujua maisha ya watu kuna faida labda munapata
Aslay , Tessy nimwanake mwenye busara sana how l pray you get back together. Tessy am so proud of you. 254 hapa tunakusalute.
Harriet Mwalagho ĺ
Nipo indiaa kiswahiri skijuwi ira huyu Dada nampenda bure
Ninachompendea huyu binti anajitambua sana!!! Mtoto mdogo lakin akili nyingi!! Amewazidi ad kina Joyce kiria!! Nakumbuka hata mara ya kwanza ulikuwa mstarabu. Sana. Mungu aendelee kukupa hekima mtoto mzuri. Lv u mama mozar!
giovanny gracious inshallah dua yako itamrudishia amani
Tessy ww n msichan wa mfano nakupenda sana pia nakukubali unajua unachoongea!! hukurupuki
giovanny gracious
Whow
Majibu safi kabisa natamani madada wote wangekua hivyo. Asley huyu mke anakifaa
nime mpenda bule anajibu vizuli adi lahaa
Hassina Al Harthi Anakifaa gani 😂😂😂😂😂
WAMALIKO LUMUMBA sorry yani anakufaa . Siyo kifaa nilikosea. Kuandika
Chaden star safi
na ww japo ue hivyo
I love the way she answered all the questions, she is very beautiful and brave young girl ever in dat country called Tanzania. Mama moze Mungu akulinde Ww na kizazi chako, give you all respect 💎💎💎
Demu mzuri alafu anaakili. Mbona mm sipatagi kama huyu.
Tafuta hela utawaona, wapo wengi sana sema hela huna
Deus nyumba omba mungu bro..mueke mbele ya safari yako
mmmh shida kweli cc wabaya tutoke mjini
Ashmina Abdullah hahahaha
Deus nyumba kuwa msanii
hata ww cdhani uko na mkeo pekeyake hahahaaa mahojiano yameisha
Nani mwengine alie penda awa majama walivyo towa kile kitanganzo chao?? 😀😀😀👉💥😀😀
Juma jux star 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mimi pia nimefurahi
Oooh sijui kazi yangu ni utangazaji, mpk tunakariri bana
msijali wanawaandalia kengine karefu zaidi😀
😂😂😂😂😂mm pia
Juma jux star angalau hawajaweka mana silipendi kila sehem tangazo lile lile
This girl looks so smart and wise to be a wife
Dada una majibu mazuri na ya wazi saana. . Hakuna mashauzi yeyote! Dada zetu igeni kwa huyu dada!
hakika mungu akujalie Dada nimevutiwa nawe mdomo wako uko vzr ubarikiwe tena
.... 'Ata wewe! sidhani kama uko na mke wako peke ake'😀 philosophical answer!
mzuri jamani basi tu kheri iwe mrudiane na unaheshima mwenyewe
Zaudat Makula kama wewe
kazuri,kanaheshima,kanajielewa aslay umekosa nin kwa huyu binti
Mashaallah yaan ka kipua km msumari
Zaudat Makula nakwambi kametulia sana adi raha
MASHA Allah we ni mrembo sana mum Moza umesema ukweli nmependezewa sana na majibu yko,ckujui hunijui lkn nmekupenda sana Aslay plz muoe Tessy yy ni mke bora.Watu hukosana na kupatana Bp hpa nikiwa Dubz
Yaani siku tukikutana lazima unywe soda yangu Tessy! Uko vzr sana zaidi ya sana!🥰🥰🥰🥰🥰
Kiukwel nmempenda huyo dada ana confidence yakutosha big up kwake anajua kujieleza
Dada uko sawa....unajibu vizuri... wanadada tuige huu mfano nakupenda bure. Aslay huyu ndo anakufaa
Tess mdogoangu nakupendaga sana sana unaakili sana!!ila naamini usemi watu wasemao wanaume walio wengiwaoo hawapendagi mke Bora.wanapenda bora mke.umetulia sana Tess
Safi sana tessi majibu mazuri c kama wanawake wengine wanoongea mambo ya ndani kweli umefunzwa mama aslay hakukosea kukuchagua na atakula hasara akikuacha ukenda kwa dalili tu unaonekana ni aina ya mwanamke ambae kila mwanamme anamuhitaji. big up mu my
yani uyu mwanamke katulia sana inaelekea aslay ndio mwenye matatizo
wise woman.....congrats lady si poa kujianika kwenye umati keep it up dear
Millard Hongera na Asante kwa kutusikiliza watazamaji wako kwa kuondoa lile tangazo
Ety hata ww sidhan kama una mwanamke mmoja, vido akaamua tu akatishe Interviews😂😂😂 duuh!! Hii ni 🔥🔥
Zacharia Mishai 😀😀😀Ameamua kuepusha shari
Graphix Master 😂😂
Zacharia Mishai 😀😀
Zacharia Mishai ha ha ha ha Umeonaee mwanamke anajitambua
Mwanajuma Mahundumla 😂😂 ni 🔥
eeeeh Queens eeeh..kumbe wako wengiii?..khatar wallahi..ata wewe jiulize ya nini kumtupia mavi mumoe muliokaa na mapenzi na hata mukazaaa..ya niniii..aah munakaa mabeste ama kama ndugu..manake mushazaa sasa mumekua nduguuuh.USIMUANIKE MWENZIOOOOOO.
kwa ndani sasa ndoo huwezi kujuwa Mke mwema anatoka kwa Mungu!unapo hangaliya nje kwa ndani kuna kitu ! sema tu Mungu akuongoze sio kujiongoza eti unahangaliya mtu anavyo ongea !Hakili zenu duh eti unatambuwa mtu akiongeya ! kila kinaco ngaa sio Gold !!!!
Hahahahaha nimeipenda iyo ni kawaida kwa wanaume wote, ingawa imenivunja moyo kwa kweli
Mashaallah bint kwanza hongera kwa mzszi wako unaheshima sana pili giga moyo konde murudiane hakuna mkamilifu msamehe Aslay mumlee moza wenu
Ukishagundua kuwa hakuna mwanaume mwenye mwanamke m1, no man will give u a piece of headache!!
Mercy Ernest sure
Mercy Ernest nakataa kusema wanna mwanamme hana mke mmoja ni tabia ya mtu na jinsi anavyotumia mda wake kuhakikisha hanausaliti kwa mwenzake
Mtinda Mtinangi Mke ni m1 cku zote, ila michepuko haikoc!!
Mercy Ernest sio wote mfano mimi huwanapenda kupenda na kujali mtu kwaupande wangu penzi lakweli hainahaja yamichepuko
Mtinda Mtinangi Mko wachache sasa wa aina yako, maybe 10% kama ww
good Dada akeee n vizuri sana kwa kweli nimependa c lazima maisha yako ukayaweka public
duh! Tessy nouma eti hata wewe sidhani kama unamke mmoja😂😂😂😂👌🏃🏃
Nakupenda sana kwa hekima ulionayo dada ...kweli usipende kuweka siri zako kwa mitandao n mwanaume kweli hakuna mwenye bb moja .. may Lord grant u many yrs to see ur grand children.+971 gonga lik kwa maongez ya huyu mrembo
Hahaha..."hata wewe, sidhani kama upo ma mke wako pekeyake"
bora mama moza unajibu kistaraab mashallah ila angekua shoga etu gigy kasharopoka yote!!!
Aissee!, mbona hamjatukaribisha wrn church leo? 😍
Ila mama moza yuko smart. Kabinti kanajielewa.
She's so beautiful👌
asley muoe Mzazi mwenziyo mambo yakuanza kuangaika nje yanini
Aslay Oa huyu Shemeji haraka iwezekanavyo.
Mwanamke anajitambua,anaheshima,ana lugha ya Staha nk.
Aslay Aslay Aslay (Nimekuita Mara 3)
Mwanadada yuko smart sana....she knws what suppose to do...she is a woman
"Hata wewe, sidhani kaa uko na mkeo peke yake."😂😂😂👏👏 . Huyu mdada ako vizuri tu. Si kwa majibu 🔉😂😂
We mkali dada ake mm
Aaah Dada umetisha eti ata ww ndugu mwandishi sizani kama upo na .msichana mmoja duuu
intelligent sana mumy uko Pw sana una hekima kupitiliza n'a unajua kujb maswal
dah ur so blessed Mama umelelewa katika maadili safi unajua kujibu i don't know ur education qualifications but big up
Ma moza mungu akujaarie una majibu ya kibusara sn sikujuwa km utaji u vizuri hivo ongera umewashinda watu na majina yao ongera kwa famly yako my wamekurea vizuri
Una akili nyingi sanaaa.. ushauri wa bure yaaan usio privacy olewa na aslay nimegundua kuna kitu katka hizo privacy privacy! Mnapendana inshallah mkae mumlee mtoto
Ha ha ha ha ha ha ha huyu dada kamalizia vizuriiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtoto mzur hivo unataka nin tena aslay doh wengine hatujawah kabisa kua na bebez km hzo kwanin ucoe tu mzee baba mbona km anaakil huyu anaongea kstarabu had rah doh wengne tumezaa na machiz tunasumbuliwa tuu yan mtu anataka hela2 mtoto anakunyima🔥
Tnf tz hahahahaaaaa pole saana
Tnf tz we jamaa fala sana eti wengine tumezaa na machizi..I'm dead 😂😂😂😂😂😂😂
Tnf tz hahaaa umeona eh
Tnf tz 😂😂😂😂👌
Tnf tz hahaha polee
Kwa kweli wanaume ss hatuna shukrani mungu akupenn aslay dd mstarabu sana Hongera sana mm mose
Kiukweli unajibu vizuri sana afu uko peace.
Nakupenda dada majibu mazuri haki umelewa maezi bora sana
Aslay ana bahati ya mabinty wazuri.ukilinganisha Tecy na Sonia wote wako fine.but nashindwa wapi anakosea dogo Aslay.2018 Tecy/2020 Sonia
Sikia anavyoongea....loh....yaani hawa,wanawake unawapata wapi jamani...japo kamoja ka hv ...
Dada anajibu vizuri huyo hadi nimempenda sana
huyu dada kiboko majibu yake siyo ya nchi hii nimempenda sana😅😅😅
The questions Nd the way she’s answering she’s one of a kind
ebu njoo uwe wifi yangu.. una busara sana..
Asanteeeee my teseeey kwa maelezo yako umenifurahishaaaas💋
Dada mzuri jmn hafu ana akili sana anajielewa Bahati km hizo wengn hatupati .Interview unaweza very skilled woman sio km mapatua wengn wa uswahilini
Mama Moza, ALLAH ndie Hakeem nakuombea kila la kheir na Allah akusameh kwa madhambi yote uliotenda. Unahitaji kuwa na ma UKHTI ambao wanafata Uislam unavotuamrisha ili uondoke huko na uwe katika njia ilionyooka. Majibu yako yanaonyesha kuwa ULIJIKWA lakini hukugeuka na kuangalia kilicho sababisha kujikwaa kwako. Unaonyesha kabisa huko uliko unaweza kutoka na kuwa mke bora kwa Atakae pata BAHATI ya kuwa Mumeo. In sha Allah. ALLAH atakuongoza ikiwa utaombaTAWBA
msameeane,mfunge ndoa,mumlee Moza wenu
Hatar sana Tessy umempatia sudi ndio safi sana hata yey hakos dem mwingine
Huyu mwanamke nimempenda sana kwa hekima aliyonayo😘✋
Dah Ashley umemuacha huyu mwanamke mbona ni kichwa na ni mtu anayejielewa sana Mimi nadhani kama ungeendrlea kuwa naye mngefika mbali kimaisha, kaa chini mjitafakari wote angalieni wapi mmekosea Kila mmoja wenu ayaone mapungufu ya mwenziwe ndiyo changamoto ya mapenzi yenu, lakini pia muache ubinafsi wa kujifikilia nyinyi wenye we mpenzi furaha mtoto wenu, hakuna malezi ya mtoto kama wazazi hampo pamoja, NAWAKILISHA
Ahsante xna dada ke majbu yko watz wte wangekuw kma uyu umbea ungekomeshwa
Huyu msichana ana busara,nimempenda tu bure
Christine Kalama itapendeza naww pia km uko hvyo
Godlove George asante
Kana sura nzuriii mnooo .............. Bahati mbaya wanawake wazuriii hawapati wanaume wanaowapenda kwa dhati
mzuri mstarabu lakin ukweli uko pale pale kila kizuri hakikosi kasoro
Fauz Ishmael
Nakupenda sana na umeongea pont hongera sana
mashallah she is beautiful
Uyu mdada amekaa kipole sn, majibu ya busara na ana hekima duuuh. Aslay rudisha uyu mke 😢😢😢😢😢😢
Urembo, hekima na busara kwa mtazamo wa Haraka ni mtu mwema 👍
Waaaaaaaoooooo shemeji yangu ludi Kwa brother aslay bado anakupenda
Mwanamke mstaarabu hana mapepe nampenda😙😙
duuuh your so beautiful mamyy then unaongeea kistaarab alaah akuongozeee akupeume mume bora na si bora mume love u!!!!
Big up my daughter kwa unavyojibu maswali
Aslay angalia utatupa dhahabu shimoni,chukua hatua mapema hao hawako wengi duniani acha kutangatanga.binti mzr anayejitambua
Huyu ndo mke nyumbani.kaka asly...tafadhali usimwache huyu akuhepe bwana.....mwanao asije kalelewa na mzazi mmjo,tatueni zogo mlonao.
Wanaume bwana hua Hawapendi Kabisa kutulia na wanawake wanaojitambua kutwa kurukaruka nampenda sana huyu dada Aslay Rudi njia kuu unapotea
Tessy... she is cute and wise
MashaAllah uyu bint ni mstarabu wallah
Maskin huyu mdada nimempenda Sana Tena mstarabu wanaume shidah jaman kher nizeeke kwetu😔😔
hahahaaaa utakaa kwenu adi lini mamy na mijanaume kwer haijatulia
Mim najiuliza mpaka nalia hivi huyu aslay au wanaume tu wowote wale kwani K zinatofautiana nin duuu hata akipata ngoma mtu wa hivi siwezi lia hata kidogo
Hahahaha....umejua knichekesha ftma t.
aslay so Pouwa Mtoto Yuko vizuri chalii yangu....
why lakn......?
Natamani nipate bibi mrembo kama huyu mwenye ukarimu 😢😢😢
Binadamu Hachekwi Insha Allah
Acha hiyo story mwanangu ukarim sawa upo sikatai lakin zaid anafaamu aslay
+Swabrina Masoud amiin
Binadamu Hachekwi karibu ukarimu hapa ndiyo umefika 😉
+Asha Ally ishaallah nitatembea Tanzania siku moja.
Siyo sahihi kusema ni kawaida ya wanaume wote kutangatanga na wanawake!!!
Wachache Bongo... Wengi manenoooo... Anaakili sana majibuyakistaarabu
Jamani me hata sijui kwanini tess usimfanyie hivyo huyo ni ndege wako tu huon Ata mnavo endena please mfikilie aslay
Very clever woman like your girl.
She's so brave
hongera dad una ustarabu mnzuri,
Good interview 👍👍👍👍👍 "Hata wewe" 😭😭😭😭😭
Duuuuh good...nimependa kila ulichojibu aiseeee
wasanii bwana yaani kama wamerogwa au sijui ushamba sasa ona aslay anaacha mwanamke huyu anahangaika na vinyigu hata havieleweki kazi kuonyesha michupi yao mtandaoni tu.hizi laana nyingine mnazitafutaga wenyewe.
Huyu mwanamke ana akili sana aslay shaur zako kumwacha huyo dada ni ujinga ata anavojieleza tu unajua kuwa ni good girl
Nikipata mwanamke kama huyu siku hiyo hiyo nafanya harusi .
Huyu mdada maishaallah kama angekuwa nyumba basi ni kizingiti kizuriii ambacho mume anatakiwa akitunze.mwenyezimungu akustiri
Yani sisi wanaume sometime tunakuwa cjui tuseme na ""Akili Gani ama tumerogwa na nini????"" .Yani mtu unapata mke mzuri kama huyu simaanishi uzuri wa umbo hapana ni uzuri wa tabia, unafanya majanga anakutoka, hatuwezi jua ttz kwsbb ktk maisha ya wawili kunakuwa na mitihani mingi Ila mwanamke mstaarabu kama huyu ni vigumu kumpata kwa jamii yetu ya Tz ukiwa nae unatakikana kuvumilia na kumfunza ili akuzoee na maisha baadae yananyooka. Pole sana Aslay umekosa mtoto muelewa sana wa maisha ya mume na mke.
Hakika nimevutiwa sana na majibu yake, kiukweli kamtoa nishai alokuwa akimuhoji alienda pale kutafuta umbea lkn baada ya kupata jibu hili" Ni kawaida kwa wanaume kuwa na wanawake wengi, Si dhani na ww kama uko na mke wako tu"" kaamua kukatisha interview yake . Hahaha, Allah akuongoze dada.
Dah...MashaAllah binti mtaratibu huyu ndio wife material na nazani wengi hawamjuagi. Wasanii bana..mkizaliwa ni scandals msipojaliwa inakuwa lawana kwa mabinti!!! Mungu anawaona🙄🙄🙄
mamaeee 😂😂😂kuulizwa kwani ww unade mmoja kaktisha😂😂😂intview wandshwa kibongo buana😂😂😂😂
Hahaha jaman tess hapa ulikuaga mshambaa kisha mpole lakin sasa mhhh aslei kakupa umaarufu nilazima umthamin sana
Wanawake wenye akili na wenye kujitambua kama huyu ni wachache sana. Mwengine hapo povu lingemtoka. Nimependa pia the way anavyopenda kuweka mambo yake private
Dada mzur,mpole na anajua kuongea.wadada kama huyu kwa karne hii ni adim sana
Kiukweli katika master waliopata wanawake ni asley na alikiba haki amungu huyu mdada mzur then anaongea vizur duh mama moza rudianeni bc na baba moza mumlee mtoto wenu nakupenda bure aslay naww muoe tena
Uyu dada anaakili sana engekuwa vizur angekuowa
she is very good