jamani tefa arisasi tunamfahamu na kazi hiyo anatumwa kutoka juu. raisi wa TFF ni chimbuko la tatizo.Raisi anaongozwa na ushabiki wake wa usimba . Hata upangaji wa mashindano.hii ni hasara.
...Kwa kweli nahisi TFF wamemweka jamaa huyu kwa kazi maalumu tu kuihujumu Yanga, nilipoona tu marefa wanajingiza timu nikajua Elly sasii atakuwa man of match, nilipomwona akiwa na wenzake Elly sasii aliopewa nao Nishani yaani Yule msaidizi wa refa, Yule kipara na Yule mdada anayevaa hijab, nikajua Elly Sasii ni mchezaji Bora ya siku
Ambokile huyu jamaa namkubali sana. Lakini ukiacha mambo mengine sauti yake nzito inapendeza sana kwenye kipindi chake cha michezo pale EFM. Kingine ni kule kuchombeza maneno ya utani kwenye kipindi hicho
UBAYA UBWELA YA SIMBA NI KWAMBA MAREFA WA MECHI ZA SIMBA NA TIMU KUBWA KAMA AZAM NA YANGA MAREFA LAZIMA WAWE HERI SASI,KYANDO NA MKONO WHY?HAWAHAWA WANATUMIKA KUPANGWA WACHEZESHE MECHI KUBWA DHIDI YA YANGA AU AZAM ILI HIZI TIMU ZIFUNGWE
Sema baba, huyo sasii siyo refa mzuri mi mwenyewe simpendi kabisaaaa ni refa wa ovyo oo sijui cheti chake Cha urefa alimpa ni nani Nina mashaka na cheti chake!!!
Anachezesha kwa kufata maelekezo hyu fala ushabiki imemkataa anachezesha kishabik sana mkwakwani alizngua kwenye ngao na mechi ya ngao ya yanga na simba pia kainyma yanga mabao mawili yasio na chenga na juzi ukafanya vilevle magoli yote ya simba n ofside na la azam kulikuwA la halali kalikataaa
@@hassansalum2572 Mnyakyusa mjinga huyu. Kachezeshe wewe basi. Au tuletee refa wako. Kama Simba walikua wafungwe 4 kwa 1 lkn simba ali nyimwa penalt hv penalt ni goal? Au hilo moja la simba lingefungwa na refa?
Nauliza tu,hivi ile fainali ya mwaka ulee ngao ya jamii simba na yanga pale wakatoka sare kwenye matuta simba akachukua kombe....yanga walinyimwa goli mbili moja Jesus Moloko(offside),refa alikuwa nani vile?
chuma cha mjerumani ww ni mkweli hatujui nani anambeba huyu refa,au anapangwa nani awe anavurunda,waambie ukweli nilivyoona tu sasi yupo kati nikajua simba wako kumi na mbili uwanjani
Mechi anazochezesha zikiiuhusisha simba au kolo huwa anajizima data, anafanya makusudi, kwa nini akichezesha simba 2 anafanya hivyo, huyo elsasii ni kolo na yupo kwa ajili yakuwabeba makolo, ngao ya jamii alikataa magoli na yule mshika kibendera wake mwenye kitambi ndio kabisaa hana ishu.
MWANDISHI WEWE NI MCHONGANISHI SANA TENA USOME HII KOMENTI. SASA KIPA WA SIMBA WEWE ANAKUHUSU NN? UNASEMA WATU WANASEMAWANASEMA NI WATU GANI HAO KM CY NI WEWE MWENYEWE?
hupovizuli sana naunasemaukweli tuupu kamat ya malefu inamaelekezo pia kama tumeletewa camela mbona azitumiki kwanni pia kuuna lefa wa kafu ndo anatakia apewa mechi kamaizi za dabi mwisho tff wapage.malefu wenye uwaledi
Upo vizuri sana kaka kwenye uchambuzi
Arajiga is good kama Tanzania waamuzi ni hivyo bora watoke nje ya nchi kabisa.
Asante kaka, kweli kabisa huyu muamuzi sio mtu mzuri anaroho mbaya hatendi haki
Ww chawa tu wa GSM . Shida ya wachambuzi wa kibongo njaa sana wanaenda na upepo
Umeambiwa toa hoja
YANGA BINGWA TENA 🇹🇿
Labda Mo atoke kwenye kile cheoo
Kwani alivyo chukua ubingwa Mo alienda wapi
@@hassansalum2572 mulipokula 5 MO wenu na mangungu waliokuwa hawapo kwani Safari hii tunakufungeni si chini ya GOLI 3. YANGA BINGWA TENA
Ana ushabiki na Simba sasi
jamani tefa arisasi tunamfahamu na kazi hiyo anatumwa kutoka juu. raisi wa TFF ni chimbuko la tatizo.Raisi anaongozwa na ushabiki wake wa usimba . Hata upangaji wa mashindano.hii ni hasara.
Kama ni simpo ivo kachezeshe ili uibebe tim yako inawauma sana utafikili mmefungwa yanga
@@ChingaPambakaliitulia kolo wewe mlibebwa jana waziwazi
Hv hyo rais wa tff hawezi kutolewa jmn nachoka mm
Elisasii Ni shabiki wa yanga kuanzia mawanzo mpaka Leo Ni damu damu
Elisasii ni Simba damu, nadhani Kuna mkakati WA kuibeba Simba toka juu Kwa TFF, mbona hawachukui hatua Kwa refees kama hawa?
...Kwa kweli nahisi TFF wamemweka jamaa huyu kwa kazi maalumu tu kuihujumu Yanga, nilipoona tu marefa wanajingiza timu nikajua Elly sasii atakuwa man of match, nilipomwona akiwa na wenzake Elly sasii aliopewa nao Nishani yaani Yule msaidizi wa refa, Yule kipara na Yule mdada anayevaa hijab, nikajua Elly Sasii ni mchezaji Bora ya siku
Herisasi ni mshabiki wa cmba huyo mechi nyingi akichezesha lzma alaumiwe cjui anatatizo gn huyo refa
Mwaka jana waĺibebwa sana na Tatu marogo ndio alikua msada wao baada ya kumshtukiawakapoteana
IFIKIE WAKATI YANGA WAWE WNAWAKATAA HAWA WAAMUZI WANAZI WA PANYA ROAD FC...
Ambokile uchambuzi wako safi kabisa Hersi Sasii ni donda ndugu Hilo.
Sasii msenge sana
Uyu refa anatumika na Tff kupangia matokeo mandundu au kuinyima Yanga matokeo misimu yote na afanywi kitu, Tff ndio chanzo cha kualibu ⚽ wetu
BIG UP CHUMA CHA MJERUMANI. UNAJUA MPIRA HUNA KONA KONA.
Chuma Cha mjerumani salut kwk
Anaweza saana❤❤❤apewe maua yake😊😊
Asichezeshe Wakicheza Yanga Au Azam Na Simba Achezeshe Refa Mwingine Hy Anahongwa Na Simba Mjinga Sn Tff Wamrudishe Akachezeshe Ligi Daraja La4
Kweli kabisa
Kweli Huyu refa hajui kazi yake
Hamjafungwa yanga nyie mbona unaimia ki vp
Lengo lenu simba afungwe mseme mbovu wasenge nyie waliofungwa wamekaa kimya na mechi yenu nasisi tunamtaka lefa uyuuyu ubaya ubwela
@@kassidpandu866magoli yote yasiyo halali kwenu yakawe laana kwa yote mnayoyahitaji
Yes, Yanga ni Bingwa
Kongole kwa uchambuzi wako🎉🎉🎉
Kweli kaka umeongea ukweli elisasiii ana usimba mwingi maana ngao ya jamii alialibu mpila sana
Refa wasimba sio waTff
Aise ni kweli kabisaaaa
Ata mimi nashangaa alikataa goli la Azizi k alikataa na kukubali goli la Ateba refa fala sana uyo.
Eric sasii hajawahi kua mwamuzi mzuri akichezesha kolo na timu nyingine, anawabeba sana simba
Huyu refa huwa anaharibu sana mechi niwakumundoa
Huyo refa ni miongoni mwa waamuzi wa soka Tz waliopenyezwa kupata ngazi ya FIFA!! Wapo na wadada kwa sababu maalum !!
Katika watu wa hovyoo huyu no 1
Mchome mapofu yupo sahihi kabisa ahsante juma cha mjeremani
Yanga bingwa
Kiukweli tanzania waamuzi ni changamoto sana
Sote tutakufa lakini uyu refa sasii chake kitakuwa tofauti sana ngoja tuone
Wambie mzee
Ila kosa sio kwa refa wa kati tatizo ni marefa wa pembeni hasa huyu komba anaipendelea sana simba mkiwa makini na move zake
Ambokile huyu jamaa namkubali sana. Lakini ukiacha mambo mengine sauti yake nzito inapendeza sana kwenye kipindi chake cha michezo pale EFM. Kingine ni kule kuchombeza maneno ya utani kwenye kipindi hicho
🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️ yanga bingwa 2025🇹🇿
Kiukweli huyu jamaa anasema kweli kabisa
Kwani bila heri sasii soka letu litaathirika nini au ndiyo litakuwa heri.
Heri sasii mshezi Sanaa killasiku yeye hivi hajiuliI Kuna sijui arakuja kipigwa pakaazimie
Kweli kabisa
UBAYA UBWELA YA SIMBA NI KWAMBA MAREFA WA MECHI ZA SIMBA NA TIMU KUBWA KAMA AZAM NA YANGA MAREFA LAZIMA WAWE HERI SASI,KYANDO NA MKONO WHY?HAWAHAWA WANATUMIKA KUPANGWA WACHEZESHE MECHI KUBWA DHIDI YA YANGA AU AZAM ILI HIZI TIMU ZIFUNGWE
Huyu refa waondoke na karia wake sisi Azam fc hatumtaki tena kwenye mechi zetu
Sema baba, huyo sasii siyo refa mzuri mi mwenyewe simpendi kabisaaaa ni refa wa ovyo oo sijui cheti chake Cha urefa alimpa ni nani Nina mashaka na cheti chake!!!
Anachezesha kwa kufata maelekezo hyu fala ushabiki imemkataa anachezesha kishabik sana mkwakwani alizngua kwenye ngao na mechi ya ngao ya yanga na simba pia kainyma yanga mabao mawili yasio na chenga na juzi ukafanya vilevle magoli yote ya simba n ofside na la azam kulikuwA la halali kalikataaa
Huyu jamaa atakuja kuyakana maneno yake subirini siku hiyo inakuja, na inawezekana ikawa tarehe 19
huyu sasii ni chawa wa Simba
Wambie kaka
Upovizili hakika huyumuamuzi pamoja na washika vibendela wake wote
Halafu inashangaza Sana huku Tanzania refa kuhuska na offside
@Adolphine-ifMwelekeze asipige kelele kumbe hajui lolote
Bora kapatikana wa kusema ukweli yule mwamuzi anashida.
Wanaotukana hawajui mpira na ndio hao wanaoitwa maandazi. Unaongea kweli kabisaa
Uyo refa sisii hututaki acheshe tena mechi zetu za maana kila siku tuki mfunga kolo utaskia ofsai hutamtak
Huyo refa anafanya kitoto arudi shule asiharibu ligi yetu
Waamuzi wantumwa
Yanga wambie TFF muchezeshe nyinyi mechi zote kama munavyozamini vilabu sitakwenye ligi.
Karia anatia aibuuuuuuuuuu kwa kumkumbatia huyu refa mshenzi! Waziri ndumbaro muondoe karia TFF kila diku anampa maagizo erisasi ahakikishe timu yake pendwa inapewa ushindi haramu. Karia hafaiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaa
Ila elisasii Ni shabiki wa yanga damu damu
msimu ulio pita ilikuwa ni tatu malogo watu walivo mshitukia wakapoteana hadi nafasi ya tu xaxa xafar hii wameanza mapema
Karia anawatuma yeye haiwezekani mtu mmoja huyo huyo anafanya mambo ya ovyo Kila siku alafu anaendelea kupewa nafasi
Na ww sio umli ni umri umejifunza wapi kazi wew
Tff inamjua ndio maana anapewa game nyingi za simba
hivi uchaguz bado maan huyu kalia hamna kitu kabsa
Hiki kweli chuma cha mjeruman
Huyu mbona sijawahi kumuona akiisifu simba
@@hassansalum2572 Mnyakyusa mjinga huyu. Kachezeshe wewe basi. Au tuletee refa wako. Kama Simba walikua wafungwe 4 kwa 1 lkn simba ali nyimwa penalt hv penalt ni goal? Au hilo moja la simba lingefungwa na refa?
@@hassansalum2572Inapofanya vizuri huwa anasema mbona!au unataka asifie na pasiposifika kana jana alivyowabeba makolo
Huna lolo wewe unapayuka tu ili kulazimisha hoja, mchambuzi mahiri ni wawilil tu, Salam back na mkalaboko tu.
Na wew umejisahau kaka
heri sasi . vs .tatu malugo+simba.
Nauliza tu,hivi ile fainali ya mwaka ulee ngao ya jamii simba na yanga pale wakatoka sare kwenye matuta simba akachukua kombe....yanga walinyimwa goli mbili moja Jesus Moloko(offside),refa alikuwa nani vile?
Ilikuwa Tanga pale
Sasii anapangwa maksudi ktk mechi hizi ili awabebe Simba.
Mtasema sana na bado kwenye mechi yenu nasis refa ndo uyo uyo
YANGA NI BINGWA MTAKE MSITAKE !!!!
Labda bingwa kwa kuloga na kusajili wazee wastafu
@@ChingaPambakaliiEndeleeni kujitafuta yanga bingwa
ukiona mtu anatukana hajui kujenga hoja, basi jua maswali ya essay huyu mtu aliyakwepa sana....
😂😂uyu msambaa
Baasha ndio tatizo awa waamuzi wetu.
Inawezekana halipwi ni mapenzi yake tu kwa simba.
Chuma chamjelumani ataukisema wamuzi ao wanapewa maelekezo siobule kalia ndio shida usimbaukodam
chuma cha mjerumani ww ni mkweli hatujui nani anambeba huyu refa,au anapangwa nani awe anavurunda,waambie ukweli nilivyoona tu sasi yupo kati nikajua simba wako kumi na mbili uwanjani
Mechi anazochezesha zikiiuhusisha simba au kolo huwa anajizima data, anafanya makusudi, kwa nini akichezesha simba 2 anafanya hivyo, huyo elsasii ni kolo na yupo kwa ajili yakuwabeba makolo, ngao ya jamii alikataa magoli na yule mshika kibendera wake mwenye kitambi ndio kabisaa hana ishu.
Mtoto wa Karia huyo! Dawa ni kuifunga TFF
Kwani akikataliwa mwamuzi timu itafanywa nini na hao tf
Alikuwa kala na ganja kuondoa nishai😅😅😂
Huyu fara tu ajui hata mpira wanatafuta ugali tu
Simba mbereko fc,tutajua tu soon
KAMA UNABISHA MECHI YA YANGA NA AZAM,AU MECHI YA YANGA NA SINGIDA UTAWAKUTA HAWA KWA NIA MBAYA?
MWANDISHI WEWE NI MCHONGANISHI SANA TENA USOME HII KOMENTI. SASA KIPA WA SIMBA WEWE ANAKUHUSU NN? UNASEMA WATU WANASEMAWANASEMA NI WATU GANI HAO KM CY NI WEWE MWENYEWE?
Kwani kazi ya refarii ni kugawa magoli?
Akikosea kufanya maamuzi ndio anasababisha magoli yawe mengi au yawe machache,ni kama mwalimu ukikosea kumsimamia mwanafunzi anafeli.
HUYO ELSASII HAJI KUCHESHESHA MPIRA YY ANSKUJA KUWABEBA MAKOLO 2, NDIO ANACHOKIFANYA PAMOJA NA SAFU YA WASAIDIZI WAKE.
Katafute basha wewe ulitaka Simba wafungwe auu
@@hassansalum2572kavuruga sana mechi yule mwamuzi anashida,hata ukitukana haisaidii.
hupovizuli sana naunasemaukweli tuupu kamat ya malefu inamaelekezo pia kama tumeletewa camela mbona azitumiki kwanni pia kuuna lefa wa kafu ndo anatakia apewa mechi kamaizi za dabi mwisho tff wapage.malefu wenye uwaledi
Raushwa haitaisha kamwe, kwasababu tuna Marefa wapenda rushwa na viongozi ni mashabìki wa timu. Hatutafika kokote kwa mwendo huo.
huyu dogo arudi shule prononciation yake ngumu
Pumbafu zako mech ya yanga na smba mech ya ngap huyu huyu aliinyima smba penat ya kijr dk za mwsho
Nyie mngepewa penat na ss tukapewa magol yetu na ndio mana akasema mech ingemalizika kwa nne moja kenge ww
Nyoo
@@AngelAbbah-wc5unKolo hajui huyo achana naye
Simba na konokono mi ni shabiki wa konokono
Yanga bingwa