Hata kama ni Mimi gamond ningemfukuza mapema Kikosi alicho nacho Yanga si Cha kushindwa kufunga goli zaidi ya Moja Na vile walianza kucheza kama watu wanao dai madeni
Wapo nafasi ya 16 (wa mwsho) kwenye ligi ya south Africa... Hata hvo aina ya kikosi cha Tx galaxy sio sawa na kikosi cha yanga.... kocha anaweza kufanya vzr ama akaharibu.... kikubwa muda ndo utaongea!
Hujafatilia vizuri.Hakuna kocha mzuri kama kocha ambae anatokea kwenye kalia ya ugolikeeper.ni mtu pekee ambae uwanjani huwa anaona matukio yote ya uwanjani na goalkeeper ni mtu pekee ambae huwa anasaidiana na kocha kugundua weakness za wachezaji uwanjani.Ndo maana sifa ya Golikeeper bora ni uwezo wa kupanga wachezaji wake.Yaani Safu ya ulinzi na centerhold ya team yake.so,kusema awe back or forward eti ndo huwa wazuri ni uongo jamaa yangu.labda kwa mafikilio yako
Uko vizuri sana brother, tunahitaji watu makini kama ww
Hata kama ni Mimi gamond ningemfukuza mapema
Kikosi alicho nacho Yanga si Cha kushindwa kufunga goli zaidi ya Moja
Na vile walianza kucheza kama watu wanao dai madeni
😅😅 lol
Nakuelewa unajua kuchambua brother
Bro mm nakukubali Sana ww
Hawawezi kujitoa wakati umri umeshaenda kwa wachezaji wengi kuwa na umri makubwa.
TX Galaxy..kweny ligi yao ipo nafasi ya ngapi?
Wapo nafasi ya 16 (wa mwsho) kwenye ligi ya south Africa... Hata hvo aina ya kikosi cha Tx galaxy sio sawa na kikosi cha yanga.... kocha anaweza kufanya vzr ama akaharibu.... kikubwa muda ndo utaongea!
Fadlu aliishusha daraja gani vile?? 😂
Viwanja wajenge Kila time umiliki uwanja wake
Unawapa sana faraja utopolo. Endelea hivyohivyo tuwapooze ndugu zetu wana wakat mgumu sana msimu huu
Umetufunga mara ngapi
Makolo tulien dawa imebadilishwa kaja p didy my kolo
@@SalhaSewando nyuki wa tabora au?
Jamaa anaongea ukweli ngoja tuone muelekeo wa yanga. 🙏
Hongera sanaa kk wangu upo sahh?
Hamna kocha hapo urafiki umetembea ligi yao mechi 6 ushindi sifuri
Kolo chakavu unaumia nn my wetu
Huo ndio ukweli simba wanajitutumua sana kutafuta matokeo bado huo ndio ukweli
Ameinua vipataji vya watoto je yanga Kuna watoto,,,,
Huyu kocha yanga walimuandaa kweli wakajiridhisha kama ni kocha sahihi au wamekurupuka jamani?
Machawa mshaanza
Kinachofata ni kuiacha Timu Engeneer sasa
Salamba ni mnafiki
Wewe unataka akufariji yeye anaongea ukweli
Aende tu
Hakuna kocha hapo. Makocha hodari huwa ni wale wanaicheza mbele au Nyuma.Girikipa hakuna kitu.
We mpira ujui..golikipa kwani sio mchezaji.., mourino ajawahi kucheza mpira lkn kachukua champion ulaya na Chelsea
Siyo lazima kocha kuwa mchezaji mpira hapo awali! Thiery ukocha ulimshinda, Nevile pia, hivyo hicho si kigezo!!
Morinyo aliwai kucheza mpira?