Hakuna siku utamu wake utaisha ...old is gold....akaja dada rukia na ndooee mkononi chura ukajing'atua ukajitosa pembeni....huu ndio mstari nilikuwa naupenda sana
Mimi nakumbuka nilikuwa na miaka kama 4 au 5 hivi dah mpasasa nina miaka 34 sijuiwezangu tuliokuwa tunasikiliza huu mziki wako wapi ewe mora na walike kama waki bado hai dunianianian ameni !@
Nakumbuka nikiisikiza Voice of Kenya kwa radio yetu ambayo ilikuwa ndogo ya National ambaya ilikuwa haitolewi pale ilikuwa imefunikwa na kitamba mika ya early 1980Ss. Ilikuwa inavuma sana hii taarab
Chura ni nyerere .Wakati wa awamu ya pili ya mzee rukhsa nyerere alimdhalilisha sana kwenye vikao vya ccm dodoma na alitengeneza kikundi chake ndani ya ccm kumkashifu Mzee mwinyi
Duh hii maktaba HATARI SANA kundi hili pamoja la bendi la mapipa aka steel band ni mali ya JKT na makazi yao ni Mgulani JKT mimi nilikuwa nawabeba kwenda kuburudisha ktk kumbi za starehe kwa gari STG 6108 SCANIA 82M
mmmhhh utamu ulioje taarab hii ya chura me nadhani hapo chura ni mwanaume na kisima ni mwanamke maana wakikutana mvua hunyesha na chura anatamani kuingia kisimani
Chura nakuulizia unipe jibu makini, kwa kila inyapo mvua wakimbilia bwawani Huna nguo za kufua na wala huna sabuni, nijibu yapate tua maji utayafanyani Chorus Chura punguza vituko na wako uhayawani, umezua sokomoko watu hawaeleni Ukivunjika mgongo, dawa atakupa nani? 2. Mwenzenu nilikisia ni mlinzi kisimani, mtu utamzuia maji akiyatamani Akaja dada Rukia na ndooye mkononi, chura ukajing`atua ukajitosa pembeni 3. Maji wanajipatia, tena bila ya idhini, Wengine hujimwagia maji ovyo ardhini. Chura unaangalia huwafokei kwa nini, Tena unachekelea yatendwayo kisimani 4. Chura bora kuamua wende kulima shambani, mazao kujipatia wende kuuza sokoni Nguo kujinunulia isitiri maungoni, au ukitaka ndoa nenda kaoe nyumbani.
Hizi ndizo taarabu. Wenzangu mpooooo? Likes za 2020 tafadhali
Tupooooooò
Niliupenda huu wimbo sana, zilipendwa!!! thank you for posting.
Heard it more than 40years ago and I still love it, amazing!!
Ulikuwa wimbo wa Utangulizi wa ile tamthiliya ya Kimombasa ya Mzee Mombasa Mwambao na Zowa
Vituko
Exactly
Umenikumbusha mbali sana miaka ile enzi za KBC wakina Zowa na mzee mombasa.
This song used to be a signature tune for Vituko drama on KBC TV in the 90s.Casts included,Mzee Mombasa,Zoa,Mgongo mture...n others.
Thanks for the reminder, the song takes me back
This songs make us realise how far we've come, ohh boy,
This reminds me back in 1990s at our family homes in Eldoret and Nandi hills.....memories ❤️ 😍
nilitafuta huu wimbo miaka mitatu jamani. thank you so much for posting!
Nakumbuka mama akituandalia chapat za kula shule asubuh dah
Kipindi ilikua inaitwa Vituko. Enzi Zile za V.O.K na KBC
inanikumbusha mwaka 1987 nilikuwa kwenye basi"KAUDO"nikiwa natoka Kisese sauna"kwenda morogoro likizo"hongera sana patricia Hilary"bado upo.
Haaaaaaa!!! Mimi nilikuwa Ditsoma wakati huo
Tamuuu enzi hizoo tu baada ya Habari umejikalia tayari kungoja Vituko.
old is gold kaka hizi ndizo taarab
Havichakai hivi vitu!
Heri Issa hapo kweli nazipenda sana
Saiz taarabu hawafati miondoko ya Zaman ndiomaana zinapotea
Hakuna siku utamu wake utaisha ...old is gold....akaja dada rukia na ndooee mkononi chura ukajing'atua ukajitosa pembeni....huu ndio mstari nilikuwa naupenda sana
Mimi nakumbuka nilikuwa na miaka kama 4 au 5 hivi dah mpasasa nina miaka 34 sijuiwezangu tuliokuwa tunasikiliza huu mziki wako wapi ewe mora na walike kama waki bado hai dunianianian ameni !@
inanikumbusha. kipindi cha kina zoa. kwenye K. B. C. ..TV
Nyimbo nzuri zaidi
Vituko
Fedheha
@@stevensteve8194
Swadakta mzee Mombasa 😀😀
Vilkua vichekesho si ndio
Nakumbuka nikiisikiza Voice of Kenya kwa radio yetu ambayo ilikuwa ndogo ya National ambaya ilikuwa haitolewi pale ilikuwa imefunikwa na kitamba mika ya early 1980Ss. Ilikuwa inavuma sana hii taarab
Nakumbuka Sanyo juu Sanyo tops kbc
"I remember the day's when J K T from TZ used to entertain us on Radio Tanzania Dar es Salaam & VOK" 1980- 1989. Niko Kambe/Pangani Kilifi County.
Chura njoo uku kuna ujumbe wako 2020
Hiz taarabu zilikuwa na nidhamu sana nimekumbuka mbali sana mama alikuwa anazipenda sna
Chura
My mum's best songs hata nami nazipenda mpaka mwisho
Dah mola akupe maisha marefu bw eddie UDONGO UDONGO ndugu zangu wanikumbusha waliotangulia dahh eddie eddie mhh sisemi mie
Lijichura nalisikiliza hapa Chasimba, Boko, Dar es Salaam 2024/October
naipenda hii wimbo ya chura nilitafuta miaka kumi sasa
Wakamsuta Mwalimu Kambarange Nyerere kwa kukataa magendo nchini Tz
Nilikuwa na miaka 10)sasa hivi nina 43
hii inanikumbusha miaka 92
Good old old old memories nikiwa mtoto. Ilikuwa inachezwa kwa kipindi kingine kilikuwa na kina Marehemu Mzee Mombasa na akina Zoa.
Vituko
Chura punguza vituko na wako uhayawani, umezua sokomoko watu hawaelewani.....
Chura ni nyerere .Wakati wa awamu ya pili ya mzee rukhsa nyerere alimdhalilisha sana kwenye vikao vya ccm dodoma na alitengeneza kikundi chake ndani ya ccm kumkashifu Mzee mwinyi
BS
Ibrahim Aboker msimkashifu baba wa taifa letu
safi sana
Nakumbukaaa kipindi,cha vituko!!liko beeee
Ki u kweli zilikuwa darasa burudani old is gold
Chura hastahili lawama zote hizo !!!😂
Why? 😂
mashaalah nakumbuka mbali sana
Nakumbuka mbali sana
Huu Wimbo Sijui Umeibwa na watu Wangapi,Chura.
khaaa hivi havichakai mwanao. daah! 'vituko' ,@kbc kina zoa
Na subira na bi kerekani was the bomb🙂
Masono ya msingi kwa darasa la tano enzi hizo nalikumbuka hili sahiri....nkiwa shule ya msingi kwetu embu runyenjes kenya
We are together 2023
there was a program on kbc that started with this song
Taarabu hunibamba tu sana
Haswa chura mambo yote
Wapenzi wa taarabu hongera kwenyu
Vituko
Actor..zoa...mzee mombasa
It' was tausi
Vituko mzee mombasa the late and mama karakani
Hatari sana, Hao ndio waswahili wenyewe ❤❤
Kilikuwa mida ya usiku
2019 bado tuko locked
Inanikumbusha miaka ya 1980's redio Tanzania kipindi cha mziki wa mwambao
Taarabu yanikumbusha kipenzi wa taarabu bibiye Hadija Ali alipokuwa kbc broadcast
Kabisaaaa
Huvutia na kuipa roho yangu burudani
msa ndio mambo yote , chura hadi leo hajulikani
Totally naupenda huu wimbo
Old is gold
2020
Duh hii maktaba HATARI SANA kundi hili pamoja la bendi la mapipa aka steel band ni mali ya JKT na makazi yao ni Mgulani JKT mimi nilikuwa nawabeba kwenda kuburudisha ktk kumbi za starehe kwa gari STG 6108 SCANIA 82M
Unamkumbuka Esnati Bugombo ambaye alikuwa mmoja wapo wa waimbaji wa kundi hilo?
There was a program on VOK called VITUKO. This was the montage
Naupenda sana huu wimbo.
Old is gold yani wee wacha tu
Burdaaan...khaswaa..
Mambo yetu
Taarabu mafumbo c mafumbo
Any one with the original version please?
Just love this old hit
Sio chura wa Snura huyu☺☺
Chura wa Snura ni mzigo 😅
Jan 2024😊
Hii inanikumbusha miaka ya 90
Nzuri bt part B hakuna jamani
Nakumbuka kipindi cha RTD nyimbo za Mwambao
Hii ni thahabu kweli.
2020 bado raha
Legends
Yaani hii ndio taarabu haswaaaaa!! Tusaidiane kufungua hilo fimbo. Hapo Chura ndio nani au inawasilisha nini??
Chura ni kisimi
Nahisia kuwa chura ni mwanamume na kisiwa ni mwanamke
Old is gold. Hizi taarab ndo zenyewe!
Memories
I love this song
chura niwimbo wenye maudhii ya kuvutia na wenye fundisho kubwa kama methali ya ukivunjika ugoko dawa nani atakupa .
Ningependa kuelewa maana ya kindani zaidi
mmmhhh utamu ulioje taarab hii ya chura me nadhani hapo chura ni mwanaume na kisima ni mwanamke maana wakikutana mvua hunyesha na chura anatamani kuingia kisimani
Haswaaa!
Hatariiii 2022
Msiki poa.
Kaka edd unanikumbusha mbali
mmh huyu chura ni mwanamke maana watu hugombana kisa mapenzi NASA mwanamke
nyimbo ya mazao bora shambani
mum's best
Ukivunjika ukoko Sawa atakua nani
manshaallah
Vituko
lov taarab sana iko powa
Hawa Yanga hawa 🐸🐸
EkotiYaNzube koma ww😅
weli
جميل جدا جدا
HAMZA On RUclips كذب صح 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Goood
Can i somehow get this lyrics??
Search online, Spotted them somewhere!
Upon failure, just holla!
Chura nakuulizia unipe jibu makini,
kwa kila inyapo mvua wakimbilia bwawani
Huna nguo za kufua na wala huna sabuni,
nijibu yapate tua maji utayafanyani
Chorus
Chura punguza vituko na wako uhayawani,
umezua sokomoko watu hawaeleni
Ukivunjika mgongo, dawa atakupa nani?
2. Mwenzenu nilikisia ni mlinzi kisimani,
mtu utamzuia maji akiyatamani
Akaja dada Rukia na ndooye mkononi,
chura ukajing`atua ukajitosa pembeni
3. Maji wanajipatia, tena bila ya idhini,
Wengine hujimwagia maji ovyo ardhini.
Chura unaangalia huwafokei kwa nini,
Tena unachekelea yatendwayo kisimani
4. Chura bora kuamua wende kulima shambani,
mazao kujipatia wende kuuza sokoni
Nguo kujinunulia isitiri maungoni,
au ukitaka ndoa nenda kaoe nyumbani.
Maana yake ya kindaani ?
maana ya chura ndio nani au nini?
Good
Fasihi
kipendacho roho ni dawa; kikipenda nafsi je?...Muziki ndio huu basi!!!!!
Burudiko tosha
Old is gold
Old is gold
Kwa kweli ilikuwa raha enzi hizo
Nilikuwa naipenda sana taarabu hi,