ZANZIBAR ANAYOITAKA DR MWINYI, ATUMIA ZAIDI YA DAKIKA 10 KUANIKA MIPANGO HADHARANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 День назад

    ❤❤

  • @SalumMohammed-r8n
    @SalumMohammed-r8n 22 часа назад

    Safi sana Dr mwinyi

  • @Hamil-ud7yw
    @Hamil-ud7yw День назад +1

    Mh hogera lkn na Pemba uache alma flyover unguja lkn Barbara mkoan pata cku upite haki tujitahdi Kila sehemu Pemba twaisahau na sisi twataka tuseme Pemba hogeraa

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 День назад

    Muheshmiwa hongera lakini wapinzani ulipokuwa unajenga shule za ghorofa wao wanasema si washamba wa ghorofa sasa kwasababu Zanzibar ghorofa zipo umesema kutakuwa na interchange sijui watasema Zanzibar si washamba wa interchange,maegesho ya kisasa sijui watasema si washamba wa maegesho bora, flyover sijui watasema si washamba wa flyover lakini baada ya kukosa hoja wanasema hatuna haja nayo yote hayo tunataka mamlaka kamili😅😅

    • @aminattai2676
      @aminattai2676 День назад

      Wapinzani watafute pa kuegesha magari yao,wapinzani isiwe upinzani wa maneno tu wagomee vitu vyote vinavoletwa na utawala,wasubiri jusa na uyo amooo wao aje awaletee maendeleo wanayoyataka wao ndio waje watumie haya Hussein mwinyi waendelee kuyagomea ndio kazi ya UPINZANI ilivyo

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 6 часов назад

    Mnasema mapinduzi matukufu ni mapinduzi ya Uidlamu, mapinduzi yalikuwa ni kuuwa watu wasiokuwa na HATIA ni Udhalimu Mkubwa umbao mnauendeleza kila ikifika wakati wa Uchaguzi.

  • @Hamil-ud7yw
    @Hamil-ud7yw День назад +1

    Pembaaaaaa pembaaaa

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e День назад

    Zanziba tuitakayo yenye mamlaka kamili dola kamili acha kujipumbaza

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 День назад

    Muheshimiwa soko la samaki liondoe hapa marikiti kati kati ya mji mkongwe,usafi hatuuwezi soko lipeleke pale pembeni mwa bahari pale kwenye msikiti maisara karibu yanapofanyika maulidi,harufu mjini itapangua na kule ata usafi utaimarishwa,hapa marikiti watalii wakipita wanaziba pua.