FUNGU LA KUMI, KIKUMI. (ZAKA) NA MAFANYIKIO YA KIUCHUMI, MWOMBEZI PASTOR GODWIN NDELWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 12

  • @MaryVick210
    @MaryVick210 2 года назад +1

    Waaaw Waaw b blessed alot new message oih Lord help me nikupede nikutangulishe kwa kila kambo

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 2 года назад +1

    Amen and hallelujah Hallelujah Hallelujah in jesus name amen 🙏

  • @ncaleb43
    @ncaleb43 2 года назад

    Barikiwa mtumishi kwa neno jema la kufufua mioyo iliyopote amen

  • @isayanyingi6622
    @isayanyingi6622 2 года назад

    Amina mtumishi be blessed pastor

  • @joswamjosiabagenda4979
    @joswamjosiabagenda4979 2 года назад

    Hakika

  • @devidamasian5477
    @devidamasian5477 2 года назад

    That's true, PR x o;1

  • @FadhiliMaganga
    @FadhiliMaganga 5 месяцев назад

    Jeeh! Pesa ya mkopo mfano Boom kwa wanafunzi au pesa ya mkopo benki kwa ajili Ya kwenda kufungua biashara ina tolewa fungu la kumi?

  • @georgemwasyeba1891
    @georgemwasyeba1891 2 года назад

    Ibrahim baada ya kutoa sehemu ya KUMI ya Nyara alizoteka Vitani JE zoezi lile lilikua endelevu? Sawali la
    Pili hiyo sehemu ya Kumi ilikua ZAKA?

  • @georgemwasyeba1891
    @georgemwasyeba1891 2 года назад

    Katika Kanisa lako unalo Chunga wale ambao hawatoagi fungu la KUMI WAMELAANIWA KWA LAANA YA LAANA?

    • @joswamjosiabagenda4979
      @joswamjosiabagenda4979 2 года назад

      Hili sio tamko lake ni la Mungu, hata Yesu hakulitengua Bali ansema msiache ukishamwamini Yesu ZAKA ni AMRI si ombi, soma Malaki 3:9-10 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
      Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Soma pia mathayo 23:23 "Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache.

  • @georgemwasyeba1891
    @georgemwasyeba1891 2 года назад

    Wakati Mungu anaongea na Wana wa Israel kuhusu ZAKA ambayo ilikua MAZAO NA MIFUGO je wakati huo hazikuweko FEDHA? Kama zilikuepo Kwa nini Mungu anazungumzia MAZAO TU?

    • @joswamjosiabagenda4979
      @joswamjosiabagenda4979 2 года назад

      Tofautisha fedha na pesa, agano la kale linataja sana fedha kama madini sio pesa, pesa ni kitu kilichoandaliwa na wanadam na kuoewa uthamani ili kitumike kubadilishana na bidhaa nyinginezo, Kuhusu ZAKA walawi 27:32 "Tena zaka yote ya ng'ombe, au ya kondoo, kila apitaye chini ya fimbo; sehemu ya kumi watakuwa ni watakatifu kwa Bwana." ZAKA ni sehem ya kumi ya kipato chochote mpendwa