MCHUNGAJI AFICHUA MAZITO KUHUSU AGREY, ALIYEKUWA SHOGA NA KUAMUA KUOKOKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 26

  • @AminaMugorozi
    @AminaMugorozi День назад +1

    Mungu aliye muokowa ata mupa nguvu zaku songa mbele nakuachana na hao marafiki wabaya

  • @oficialcandidoBNT
    @oficialcandidoBNT 7 дней назад +3

    Ele tem que modar amigos🎉❤ e vida dele vai passar bem!

  • @fredyleonardmaths2546
    @fredyleonardmaths2546 5 дней назад +3

    Huo ndo ukweli,sema mara nyingi binadamu hawapendi kuambiwa ukweli

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 7 дней назад +5

    Tusiite mapenzi ya jinsia moja,bali hiyo ni ngono ya jinsia moja. Kukutana ki mwili na mtu wa jinsia ile ile siyo mapenzi. Lugha sahihi ni "chukizo na makufuru". Ushoga siyo deal

  • @TeresiaSagga
    @TeresiaSagga 7 дней назад +1

    Kweliiiiiiiiiiiii Mungu mpiganie agrey jamani kaka naomba usisikilize watu,kwenye makanisa kuna watu wakurudisha nyuma.nakuombaaa plzzz mwisho wako uwe mwema nakupenda kaka nimefurahi.

  • @farajayona6631
    @farajayona6631 5 дней назад +1

    Tunachoangalia ni mwisho mwem kwa kweli,Utashangaa yule unayemuhukumu mwisho wa siku utamkuta kwenye kiti cha enzi

  • @greydonalds4286
    @greydonalds4286 7 дней назад +2

    😂😂Eti 'Mapenzi ya Jinsia Moja'. Mapenzi ya jinsia moja ni kama wewe na babako au na kakako, dada na dada au na mama, au na shangazi, n.k. Alichokuwa anafanya Aggrey ni "NGONO YA JINSIA MOJA!"

  • @greydonalds4286
    @greydonalds4286 7 дней назад +2

    Namwona 'mungu' anaendelea kuwahukumu wanadamu. Huyu jamaa anajifanya Mungu-mtu, bingwa wq kuwahukumu na kuwashutumu wenzie. Anajiona yeye ndio mweeema. Halafu anajiita mchungaji😂😂

    • @juliuselifasi8858
      @juliuselifasi8858 4 дня назад +1

      Hakuna alie mwema ila ni Mungu peke yake sasa kwa sababu wanadamu tuna tabia yakutokukubal kuambiwa ukweli tunawaona wale wanaojaribu kuusema ule ukweli kuwa wao wamekamilia au wao ni Mungu,ila kama unayajua madhaifu yake yaseme tuyajue

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 3 дня назад

      Sasa hapo kamuhukumu au kampa ushauri.

  • @mariamramadhani8012
    @mariamramadhani8012 6 дней назад +2

    Mpe mtu moyo sio kuendelea kumuita majina y ajabu

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 3 дня назад +1

    Natamani Mc pilipili aione hii interview, ni Wachache wanaoweza kukuambia ukweli

  • @mariamramadhani8012
    @mariamramadhani8012 6 дней назад +1

    We mchungaji punguza maneno makal eti mwambien uyo shoga khaa

  • @HellenMendard
    @HellenMendard 3 дня назад +1

    Mbona kama umepata chakuongea 😂wewe siyo mchungaji kanisa, huwezi kutrend kwakuongelea watu vibaya bwege wewe

  • @flm1530
    @flm1530 7 дней назад +2

    Ila nawaswas na hilo kanisa aliloenda

  • @HellenMendard
    @HellenMendard 3 дня назад

    Sasa unamwongelea pilipili au agrey,fyuuuuuu

  • @annalehani5903
    @annalehani5903 7 дней назад +4

    Hate this interview with every bone in me. Fake muchungaji na ushauri wa kinafiki usiokuwa na hekima ya Mungu. All that you just want to trend. God has called Aggrey and not he will fall back in Jesus name! Get off the media fake pastor and ask God for wisdom!

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 7 дней назад

    Uchekeshaji ni dhambi. Biblia inatuambia kuwa "jiepusheni na watu wenye mzaha" Mithali 19:29

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 6 дней назад

    Apo unamutisha sasa mtumishi wewe nenda umushauri inbox wala uzungumze naye mahari asante

  • @HellenMendard
    @HellenMendard 3 дня назад +2

    Mshenzi wewe,siajabu ata wewe ulishampitia, kwanini hutaki kuamini kwamba ameokoka

  • @HappnecPaullo
    @HappnecPaullo 7 дней назад

    Punguza hasira .. asidhani kuokoka ndio kamaliza kila kitu kuokoka ni gharama

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 7 дней назад

    KAZI YA TRUMP KABLA YA URAIS WATAKAZANA WOTE KINA JUMA LOKOLE

  • @oficialcandidoBNT
    @oficialcandidoBNT 7 дней назад +1

    🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 7 дней назад +2

    kwa minajili hiyohiyo uliyomtahadharisha juu ya kukatishwa tamaa na kanisa umejichukulia nafasi ya kwanza kabisa katika kumuita " huyo shoga" wakati amegeuka.