Nyie Vibaka wakubwa!!,....Lema nikua nakukubali sana Bro!! Lakini kwa sasa Umebugi Bro! Mmemkata au Kumuengua KUYAR!! ...Hamtaki Mmasai aongoze Ngorongoro! Tumewashtukia mnadili na Mwarabu!! ... Vibaka wakubwa,!! KUYAR ni tegemeo la Wamasai!!! ...Mafala tu ndio wangefanya hivyo!!!
LEMA KANDA YA KASKAZINI BAKI NAYO INAKUFAA I FEEL MAN,WENGI NI WANA CCM SAFARI HII WANATASK FORCE YA PESA NA MANENO , ACHANA NA WAPIGA POROJO TUNAFAHAM TOKEA ENZI ZA H.E LATE NDESSAMBURO ARUSHA ILIKUWA BACK UP NZURI SANA MPAKA DAVIS MOSHA AKAKIMBIA.
Mhe. Lema unasema kweli. Nilisikitika sana wakati mpendwa Deogratius Shirima akilia kwa uchungu wa kutekwa bila msaada wa wananchi. Pembeni mwa tukio, kuna watu ( wanawake na watoto wa shule) ambao walishindwa hata kupiga ukunga ambao ungeharakisha watekaji kukimbia.
Lema ni mloho wa madaraka sana na ninawaambia hamutachukua nchi kabisa kwa loho yenu iyo je mkichukua nchi mbona mtaangamiza watu sana Bora muwe mnapigana wenyewe
Leadership = uongozi. Frontline = mstari wa mbele. Beyond repair = kupitiliza kiasi (si rahisi kutengezeka tena). Under infuence = wanaendeshwa na kitu, mfano ulevi. Regester = kuweka alama ama kanuni.
Kwani hao CCM hawagombani mbona wagombana isipokuwa hawaonenani anye kuku tu akinya bata kahara hata kwenye majumba kwani hautokei ungovi halafu wakapatana musilete ufisadi kwa wenzenu
Hapo kwenye video imetumika akili kubwa sana! Sasa angepiga kelele na zisifanikiwe nani angejua kama kamanda kapambana? Walaumuni watu kutokujitokeza bila kupiga kelele au kuhoji anapelekwa wapi! Aliyerecodi ndiye amefanya mjue Kwa hali hiyo.
Haya ni mahuni flan TU Wala c viongozi hawa😂😂
Kule kongwa jamaa alipigwa na rungu kichwani akazimia, Bado akaaminiwa na wanainji
Wote wamenuna kwenye ukumbi mmeharibu😂
Huyo ndo kaharibu kabisaa
Wewe ndo Muhuni, usie jitambua Weweee ila siku ukijitambua Muda Utakua umeishaa ujinga weee
Ukiishia la saba huwezi kuwaelewa Chadema coz una akiri finyu..yaani we ni matako,unafikiri kupitia matako
Hahhahahahahahahaha kama wapo ajinga wa Chadema Lema ni number one.
Na mamako pia mjinga
@@JoshuaSalumu-o9h Mamangu mjinga number one kama na Lema...
Chadema ndio kwisha mwaka huu 2024
@@peterjohnson167shindwa pepo
Kama mamaako
CHADEMA....CHADEMA....MSIKUBALI 'HUJUMA'....MMEINGILIWA NA MAMLUKI....NA LAZIMA WANG'OLEWE....CHADEMA NI CHAMA MBADALA NCHINI MWETU.
KILA NIKIINGIA JAMBO TV NI HABARI MBAYA "LEMA HAGOMBEI KANDA AU UNYEKITI WA CHAMA " HII MBAYA SANA
Nyie Vibaka wakubwa!!,....Lema nikua nakukubali sana Bro!! Lakini kwa sasa Umebugi Bro! Mmemkata au Kumuengua KUYAR!! ...Hamtaki Mmasai aongoze Ngorongoro! Tumewashtukia mnadili na Mwarabu!! ... Vibaka wakubwa,!! KUYAR ni tegemeo la Wamasai!!! ...Mafala tu ndio wangefanya hivyo!!!
Hahahahaha kweli kabisa Chadema kumbe sioooooooooooooooooooooo hahahaha.
Chadema ndio kwisha 2024.
LEMA KANDA YA KASKAZINI BAKI NAYO INAKUFAA I FEEL MAN,WENGI NI WANA CCM SAFARI HII WANATASK FORCE YA PESA NA MANENO , ACHANA NA WAPIGA POROJO TUNAFAHAM TOKEA ENZI ZA H.E LATE NDESSAMBURO ARUSHA ILIKUWA BACK UP NZURI SANA MPAKA DAVIS MOSHA AKAKIMBIA.
Mhe. Lema unasema kweli. Nilisikitika sana wakati mpendwa Deogratius Shirima akilia kwa uchungu wa kutekwa bila msaada wa wananchi. Pembeni mwa tukio, kuna watu ( wanawake na watoto wa shule) ambao walishindwa hata kupiga ukunga ambao ungeharakisha watekaji kukimbia.
Mapepo vp Leo, mbona walikutukana sana,na ndio wanachama wako,itakuaje hili pepo
Lema ni mloho wa madaraka sana na ninawaambia hamutachukua nchi kabisa kwa loho yenu iyo je mkichukua nchi mbona mtaangamiza watu sana Bora muwe mnapigana wenyewe
Kiswahili kinakushinda
Acha CHADEMA wachukue nchi wasaidie elimu angalau wasaidie hata wanao wajifunze kuandika kiswahili kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi.
Wanachukua nchi kupeleka wapi ?
Wewe unataka wachukue nchi walete kwako ?au
Nawafatilia
Kikoba hicho bana mmejibinafsia na mbowe😂😂😂😂
Alishababu wa Zanzibar mwambie mamayenu kuwa mtanyooka tu
Leadership = uongozi. Frontline = mstari wa mbele. Beyond repair = kupitiliza kiasi (si rahisi kutengezeka tena). Under infuence = wanaendeshwa na kitu, mfano ulevi. Regester = kuweka alama ama kanuni.
Lema wewe hayo majibu Yako kuwatukana nafikiri unaharibu walio yadau hauyajibu badala yake unawatukana
Aisee jibuni hoja chadema binafsi naipenda lkn Sasa mmmmh
Mbowe watu wamekufa katika uwongozi wako kwa sababu ya kuwauza. Kwa hiyo Mbowe must go, waliokufa ni wengi.
Huna lolote We mpenda madaraka 😂😂😂
Chama chenye usubutu wakukosoana ❤❤
Kweriiiiii kabisaaaaaa
Chama Imara??? Wameuawa wengi na wengi kuteswa wewe kukimbilia Canada na hapo unaishi Kwa mashaka mwombeni sana Mwenyezi Mungu
Lema acha zarau wewe ujue wewe sio mwenyeji wa Arusha kaa kando
We ni mbwa Kama mbwa zingine wote walioko arusha ni wenyej au niwazawa? We nimaku
Mguu wake 1 uko Canada na mwingine uko TZ kazi kwenu endeleeni kudanganywa
Atutakiiiiiiii kiki zimekua nyingiii
Kazeni mwendo chadema watanzania wanao taka amani tunawategemea sanaaa
😂😂😂😂😂😂uwiiiiiiiiiiii chadomooooooòoooò hakuna msanii kama Lemaaaaa
Mwenyekiti ana mbinu za kujenga chama???!!! Chawa??
Kwani hao CCM hawagombani mbona wagombana isipokuwa hawaonenani anye kuku tu akinya bata kahara hata kwenye majumba kwani hautokei ungovi halafu wakapatana musilete ufisadi kwa wenzenu
Wapo Machoko tena mbona lugha ngumu kiongozi
Lema wapi kabisaaaa
0
😊😊😊😊😊😊
Hamuwezi kushika dola kamwe matusi yamezidi badala ya kutangaza sera zenu kama mngeshika dola mngewafanyia nini watanzania
Kwann washishike
Kwani nyie mmefanya nini la maana kulingana na natural resources alizotujalia Mungu na uwekezaji katika elimu uliofanyika?
Huna akiri
Hamna kitu hapo walisema jana hawaku sikiliza hapo kwa pingamizi zao...
Chadema inakubalika kwa wananch wrote . Ila tunaibiw kura na wahuni
Mmekula rushwa kubwa sana Jana kwenye uchaguzi wa mkoa
Mbona tofauti ukiwa unakemea mapepo ya CCM mbona kwenye mapepo ya chadema unabwabwajabwaja maneno
Kwani hapo hakemei ?
Hapo kwenye video imetumika akili kubwa sana! Sasa angepiga kelele na zisifanikiwe nani angejua kama kamanda kapambana? Walaumuni watu kutokujitokeza bila kupiga kelele au kuhoji anapelekwa wapi! Aliyerecodi ndiye amefanya mjue Kwa hali hiyo.
Kwani Mbowe yuko wapi chama kinakufa hiki?
Bado hamjasema 😂
Hikichama nichawahuni hakifai kuongoza hilitaifa maana nyinyi kwanyi munagombana hasamunafilia sisi tutawafuta kweli
Nani ako na imani na chama cha wahuni
Yani hata haeleweki anaunga unga tu maneno
Hata waliko ukumbini wanakucheka.
wewe unayezani lema ni mtu wa kawaida shauri yako pia angalia hoja za lema anazoongeaga halafu zipime halafu uone kama ni mtu wakawaida
Kizazi chako ndio kibovu
Kaka unavyosema sema ninyi wenyewe kauli zenu na midomo yenu mbona mnatosnga maneno yakishenzi sana wote niwashezi
Anaonekana ameshapata vitu tayari
Mwamba fisadi, nduma kuwili, kapoteza uadilifu, nk
Kumbe machoko yapo humo.duuuu
Duuuuuu lema huna Sela wewe
CHADEMA SACCOS ya WAMACHAME
Acha kushauri vurugu mjinga wewe enzi zimepita
HUKU CHINI NI HIVYO, JE TUKIFIKA HUKO HUKO ITAKUWAJE
Tena wewe Lema ni mhuni
Aibu hii ndio Chadema Arusha? Mbona kama Chadema ni chama chakavu ao ndio mwisho wa Chadema Arusha?
Duuuh unalipwa bei gan kwa chuki izooo, ukurasa wote umejaaa coment zako za kishamba, uko kwenu mvua hazinyeshi upeleke hasira zako izo.
Mbowe must go.
Huna lolote wewe. Inasadikika wewe ndo unao wafukuza na kuwateka watu mbali mbali. Jana umeagiza watu wapgwe ili uendele Kula pesa za chama
Hahha😂😂
Hii nchi ina mizuzu mpaka inatia hasira..kama huna elimu just be silent
Wametuma na ccm songeni mbele
Marekani, Canada ,Europe mtu akivamiwa watu wana angalia tu ila cha kufanya ni kupiga sim polisi ndio wanao kuja kuamua...
Wale ni wahuni kweli kalipwa kuaribu huyo
Kweriiiiii kabisaaaaaa