STEVE NA CLAM MADOMO ZEGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2023
  • #stevemweusi #clamvevo
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 644

  • @Harmsso
    @Harmsso Год назад +102

    Wakwanza kukomenti from Kenya naomba likes zangu

  • @KENYANRAYSHOW
    @KENYANRAYSHOW Год назад +18

    Kama ulikuwa una watch pekee na ukacheka naomba likes😂😂

  • @zlatanlee
    @zlatanlee Год назад +126

    Mazezeta wamekutana 🤸🤸🤸ila 😭🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @frowinmgimba8513
    @frowinmgimba8513 Год назад +35

    Dogo umeisha dogo angekaa mbali asije akakopi na kupesti steve bhana🤣🤣🤣 wote nawafatiliaga kinoma leo mmekutana makopo wote 🔥🔥🔥🔥

  • @NoorDavid-wl5xk
    @NoorDavid-wl5xk 7 месяцев назад +6

    😂😂😂😂😂😂 combo kali😂😂❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +34

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ety braza hii njia Inatoka inatokaa hiyo. Nimefurahi kuona hii combination 🔥🔥 Nawakubali Sana 🙌🏼🙌🏼

  • @sheddymusiq7811
    @sheddymusiq7811 Год назад +20

    Wow wow.... finally what have been waiting for imekuja kutumia...ety Steve na Clam nawapenda sna hawa jamaa from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪much love guyz

  • @DgElasmoTz
    @DgElasmoTz Год назад +2

    Eti Chapati na Mahalage 🤜🤛 mbwa Mahalage pumbavu zake

  • @FlorenceWabiwa
    @FlorenceWabiwa 2 месяца назад +1

    Clam wewe, nakukubali sana❤❤❤❤

  • @ericmukabwa4563
    @ericmukabwa4563 Год назад +28

    Compaination Kali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪clam ndani ya Steve

  • @jn_mustonez7842
    @jn_mustonez7842 Год назад +4

    Oyaaaaa , clam naongea na eee naongea na huyuuuuuu

  • @user-mm9gx9xn9r
    @user-mm9gx9xn9r Месяц назад

    From congo 🇨🇩yaa ni stivu wewe ni mkali sana 😂😂😂😂😂😂

  • @Thebritaincrescent
    @Thebritaincrescent Год назад +17

    Steve you will not kill me with laughter before my time🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 gaiii hizo mistari zote umepeana kifo ikakuja karibu ujikojo.... 😂😂

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 Год назад +3

    Clam mbon unatakunihangusha ongea pwent🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯🇹🇿🇹🇿🙏

  • @dericko10
    @dericko10 Год назад +2

    Wow colloabo yenye tumekuwa tukingoja

  • @eastermbiku2763
    @eastermbiku2763 Год назад +5

    Hajra Umetisha mamaangu umejua kwandanao mazuzu sawa🤣🤣🤣🤣🤣❤️

  • @tomsonsalita6329
    @tomsonsalita6329 Год назад +4

    Les deux vigoureux, courage me très chers, mimi nipo hapo kongo, nawa penda nyote

  • @shuaibkaahiye6411
    @shuaibkaahiye6411 Год назад +20

    The comedy with clam and Steve 😅😂😂iko very funny..congratulations to you all

  • @shuaibkaahiye6411
    @shuaibkaahiye6411 Год назад

    Basi mumewe mwenye hasira mingi amekuja kwisha I like hiyo comedy ya huyo mwenye anashika bunduki ako serious na hasira ya haraka

  • @Chidyboy77
    @Chidyboy77 Год назад +8

    Nakubali xana mmekutan mafundi wawili hatariiii 💪🏾💪🏾✌🏾✌🏾

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 Год назад +2

    Matchizi wakutana APO ni unyamwezi juuuu,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️

  • @WillyvannyOfficial
    @WillyvannyOfficial Год назад +5

    Hadi raha Steve umeupiga mwingi shukurani zangu kwa clam

  • @kamandafadhili7309
    @kamandafadhili7309 Год назад +1

    Clam Vevo 💥💥💥🤣🤣 naongeya na ww naongeya uyu alikuwa naimba ngojela

  • @Arrowacterscinemax
    @Arrowacterscinemax Год назад +1

    Clam hatari saana lakin steve mweusi ameuwa vibes.

  • @Melinajohn330
    @Melinajohn330 Год назад +4

    Naongea na wewe nangea na uyu ongera clam 😂😂😂🥰😂❤️❤️

  • @user-xb7ru9kv8p
    @user-xb7ru9kv8p 7 месяцев назад

    Tokoos Tokoos unajuwa brother steve weeh mukali

  • @DgElasmoTz
    @DgElasmoTz Год назад +2

    Vichaa mastaa wamekutana💜🤜💜🤛💜 😁😁😁💛💜💜💛💜💛💜💛💛💛💜💜💜💚💚💚💚💚

  • @zlatanlee
    @zlatanlee Год назад +3

    Kudadeki 🤸🤸kumbe Steve linajua kutongoza 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wizzyroker
    @wizzyroker Год назад +2

    Hapo sasa naongea na wewe naongea na huyu daaah🔥🔥

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 Год назад +51

    Best combination 😂😂🔥🔥

  • @GASPAMUSA
    @GASPAMUSA 10 месяцев назад +1

    😂😅mmekutana vichaa wawili😅😅😅❤❤

  • @sattoshibu1494
    @sattoshibu1494 9 месяцев назад

    Hii njia inatoka😂😂😂 nataka kwenda nyumbani😂😂😂✌️

  • @dariuskasitu4083
    @dariuskasitu4083 Год назад +13

    Daaha hii colabo nilikua naisubiria toka mda 🤣🤣🤣

  • @jamesgahiga4660
    @jamesgahiga4660 Год назад +1

    Mkikutana mnatengeneza kitu kikal kwasbabu nyote mko good

  • @nkairforce5819
    @nkairforce5819 Год назад +2

    Iman yangu wewe yako mimi😂😂😂😂

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 Год назад +1

    Duuu bwana machozi kumbe umo mashallah imenoga balaa

  • @kishkiozil2156
    @kishkiozil2156 Год назад +12

    wewe Steve bwana ila big up mwana apa kutoka Belgium nakufatilia sana kbs

  • @teddykaneza5042
    @teddykaneza5042 Год назад +2

    Best Comedian ninawapenda sana

  • @chafimmadjazamadjaza6371
    @chafimmadjazamadjaza6371 Год назад

    Itakua vizur sana 2 kiwawona kwa mara nyingine

  • @jeanettemsaamba4767
    @jeanettemsaamba4767 Год назад +9

    😂😂😂Jamani steve😂😂😂❤️❤️❤️I like 👍

  • @sarahomary3615
    @sarahomary3615 Год назад +9

    😂😂😂😂😂Dah mmenichekesha jamani 🤣🤣🤣🤣clam na Steve mpo juu kwakweli yani

  • @jovithatibatekeleza6598
    @jovithatibatekeleza6598 Год назад

    Steven n Clam mnapaswa kufanya kazi pamoja nakwambia watu watuvunja mbavu😆😆😆

  • @Aki10Frankly
    @Aki10Frankly Год назад

    Naongea naweye naongea na uyu😅😅😅😅naweye nakuuliza😂😂naongea naweye naongea na uyu 😅😅😅😂

  • @chrisdasilva9799
    @chrisdasilva9799 Год назад +1

    Naongea n ww naongea na uyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Год назад

    Hahaha JAMANI kweli leo kumenoga MASAKUU na MLIWASA. Wamekutana sijui nani atashinda

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад

    Ameuwena mchele huyo ulivyopanda bei kilo elf 3🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰

  • @felywilysway8008
    @felywilysway8008 Год назад +1

    Ila Clam anajua sana bwana Steve akaze

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Год назад +7

    From congo love 💖💖💖💖

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo 5 месяцев назад

    Mnafanya kazi nzuri Clam na Steve 🎉🎉🎉❤❤❤much love from Kenya ❤️💕

  • @machasofficialsite6221
    @machasofficialsite6221 Год назад

    😅😅😅😅 et naongea naww naongea na huyu khaaaa nyie jamaa noma

  • @Justinomelodie
    @Justinomelodie Год назад +9

    Ina furahisha sana kama JUMA NA ASUMAN 🙌🧘🙌

  • @faithwachira6688
    @faithwachira6688 Год назад

    😂😂😂😂 njia inatoka, naongea nawe ama naongea na huyu 😀😀😀

  • @user-pj1eu1yw4c
    @user-pj1eu1yw4c 10 месяцев назад +1

    Good. Ili hyo ajira Nina of a yake

  • @isha_king12pro
    @isha_king12pro 8 месяцев назад

    Wote mazezete kweli nawapenda Bure vijana wangu...
    By_Director_isha_king B
    mtoto wa mama kandu

  • @AustinKonde
    @AustinKonde Год назад

    Kaxi safi Steve, Naomba subscribers @CHAKILA TV ❤

  • @winnymwathi3098
    @winnymwathi3098 9 месяцев назад +1

    😄 🤣 😂 from Kenya 🇰🇪 Nice movie

  • @Official-Bee
    @Official-Bee 7 месяцев назад +1

    Sasa awa wamepatana wapi, mnitafutie daktari wa kukuchua mbavu jamani, maana hapa ahahaa😂😂😂😂😂

  • @charleskayuni9911
    @charleskayuni9911 Год назад

    Nimeipenda Stive hajra bylum clam swafii jamen

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 Год назад

    Clam safiii yaani umeanza na naijua hiyo, ukaja na hii naongea na we naongea na huyu 😂🤣yaani Nimecheka hatari

  • @joelfotunatus856
    @joelfotunatus856 Год назад

    Noma sana kijana mnaupiga mwingu😂😂😂😂😂

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 Год назад

    Naenda nyumbani wee njoo apa.😀😂😂😂

  • @veronikapanga7455
    @veronikapanga7455 Год назад

    Clam mungu anakuona yaani nacheka mbele ya boss unataka Nikose kazi au🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mashafestusmramba7577
    @mashafestusmramba7577 Год назад +2

    Kkkkkkkkkk!! 😘😘😂😘😂 !! Stave ajifanya yeye ndo yuko sawa. Buree kabisa

  • @GINGERTHEDEEJAY
    @GINGERTHEDEEJAY 5 месяцев назад

    Eeh banah hii kali machizi wawili kukutanna..nipeni likes zangu kutoka kenya

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 Год назад +1

    Iyo collabo ni kalisana waze Big up 🎉🎉

  • @moursopher
    @moursopher Год назад

    Mwili wa binaadamu una matundu saba na wa ng'ombe una mangapi😁😁😁

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla Год назад +2

    Sema clam bonge moja ya comedian uko real sana big up mzee kipind unaaanza watu walikua wakikwambia haufiki mbali and here you are.

    • @hmanyinja
      @hmanyinja Год назад

      Unajua kaanza lini!??

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Год назад

      @@hmanyinja 2017

    • @hmanyinja
      @hmanyinja Год назад

      Mili nilimuona 2014 alipoibiwa sbauni yake

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 Год назад

    Hzi vichwa zmemeet Leo😁😁

  • @officiallibeson5332
    @officiallibeson5332 Год назад

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄nawasikiliz nikiw Malawi❤️❤️stiv

  • @AmisseBuraimoCanamo
    @AmisseBuraimoCanamo 8 месяцев назад

    Uzuri uzuri uzuri uzuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Moçambique

  • @MosesBarasa-ks8eb
    @MosesBarasa-ks8eb 7 месяцев назад

    Mimi ni moses barasa nikiwa Nairobi kenya nawapenda sana clam na steve

  • @mohammedathman5816
    @mohammedathman5816 Год назад +16

    Well done 👊👊 kazi nzuri blessed 👊🔥 much love from Kenya 😂😂

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Год назад +10

    Nafurahi kumuona bhailam humu ndani🥰

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 Год назад +1

    Nimezipenda sana steve na clam kucheza comedy ni mm kutoka dubai

  • @husseindjumida6568
    @husseindjumida6568 Год назад +2

    Nimependa sana njinsi mmeshirikiyana guys..a very good idea.

  • @shedrackhyera1844
    @shedrackhyera1844 Год назад

    Clam unajua sana kaka!

  • @heisharmo_tz
    @heisharmo_tz Год назад +11

    🤣🤣 love from tz 🤞🤞

  • @RuhuneKabose
    @RuhuneKabose Месяц назад +1

    Stvemweusi
    Unajuwakunzidiya
    Cramuvevo
    Wenyeniwakwanza

  • @mtikamtika8013
    @mtikamtika8013 9 месяцев назад

    Oh🎉🎉😮😅😅🎉❤❤❤❤🎉😂😮😮 klam Steve. Mna chekesha sana

  • @dastanmpiluka7494
    @dastanmpiluka7494 Год назад +3

    Pia na mfuniko wake 😂😂😂😂😂😂😂😂😅

  • @anordeliah5075
    @anordeliah5075 Год назад

    Hapo vzr sana ,, Steve na clam

  • @daudifanweli2439
    @daudifanweli2439 Год назад

    Napenda comed sao hawa steve.clam

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Год назад +5

    Alipo Clam na mm nipo
    🔥🔥🔥😃😃😃

  • @ndayisengaamissi6102
    @ndayisengaamissi6102 Год назад +1

    Steve bwana eti:"DADA ONGERA SANA UMEPATA MME"😀😀😁😀😁😀😁😁😀🤣

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 Год назад +1

    Stive mbon unahasila mwace clam awongee pwenti🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤣🤣🤣🤣🤣💯💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏

  • @slemanisaid3712
    @slemanisaid3712 Год назад

    nimeipenda San hio kaz yen klam na stev

  • @abdullwasafi836
    @abdullwasafi836 Год назад

    Clam humu ndani umemfunika hyo steve

  • @hamadclaude9085
    @hamadclaude9085 Год назад

    Weusi kakutana na Bella 😃😃😃😃😃apo kwa matundu 7 za Binadamu

  • @kabeyaselemani5908
    @kabeyaselemani5908 Год назад

    Daaha Clam. Kweri chizi

  • @sugarboydancera.k.ababad1040
    @sugarboydancera.k.ababad1040 Год назад

    Iko fresh Hii 😁😁😁

  • @juliuskimanimolleli4088
    @juliuskimanimolleli4088 Год назад

    Kweli kabis Steve umewesa nimependa san mungu akusadie

  • @likahigo2632
    @likahigo2632 Год назад +5

    From zambia 🇿🇲 Lusaka

  • @katembomuhiwa9956
    @katembomuhiwa9956 Год назад

    Kkkkkkkkkkkkkk jamani muta nimaliza nakucheka nyinyi ni hatari jamani

  • @masterkajembe652
    @masterkajembe652 Год назад

    I wish you guys mungekua mnapiga kolabo sana

  • @JackJack-jq6sb
    @JackJack-jq6sb Год назад +1

    Ivi umeona mchele ulivyo panda bei😅😅

  • @sarokipma3782
    @sarokipma3782 Год назад +1

    Comineshen kali kinoma Steve na clam 😂😂😂

  • @migoboy569
    @migoboy569 Год назад

    Mnauwa sana clam mkiwa na Steve mweusi

  • @dancunnabiye2483
    @dancunnabiye2483 Год назад

    Daah kutoka magharibi mwa Kenya hii imewezaa😅🙏🇰🇪💯

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 Год назад

    Mi Clam unanikera unavyojilegeza hivyo, ovyo kabisa, nyoa ndevu basi kisha ndo ujilegeze

  • @shabani_Osee_Ngena
    @shabani_Osee_Ngena Год назад +1

    Nguvu moja twende sawa💪 👍😂