Bongo Star Search 2019 | Ep 2 Mwanza Full Show

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 757

  • @puchyjos8168
    @puchyjos8168 5 лет назад +35

    Walichopatia BSS season hii, Ni kumweka IDRIS kuwa HOST. Creative, Funny and Smart man. .BIG UP IDRIS👍👍👍👍

  • @zuwenahussein3986
    @zuwenahussein3986 5 лет назад +18

    Wana rangi nzuri....soo natural wanavutia😍viuno sasa juu kama nyigu chini kontena 😲😲😲

  • @dullahmandullahman3587
    @dullahmandullahman3587 5 лет назад +405

    Kwani salama jabiri yuko wapi kama wewe ni shabik ya salama jabiri gonga like hapa

  • @khadigappi3618
    @khadigappi3618 5 лет назад +3

    Jamani kama kuna uwezekano salama jabil aludishwe bongo starsearche imepooza 😚😙

  • @thobiaskayange9302
    @thobiaskayange9302 5 лет назад +77

    Brother K alie muona gonga like

  • @rdjmussa5984
    @rdjmussa5984 5 лет назад +7

    Aliyesikia bongo status gonga like za kutosha

  • @gabrielkabuka4712
    @gabrielkabuka4712 5 лет назад +83

    Walio mmiss salama kama Mimi tujuane

  • @simonyoung6548
    @simonyoung6548 5 лет назад +44

    Jamani sijawahi kupata like 20 😊 gonga like hapa nami nifurahi

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 5 лет назад +18

    Kiukweli salama jabir ndiyo anachangamsha sana bongo star search. Imepooza sanaa

  • @yohnamarry6722
    @yohnamarry6722 5 лет назад +5

    Uwiii bongo status km umesikia uiii na management naomb like

  • @wincharsmadata2724
    @wincharsmadata2724 5 лет назад +26

    Watyuu wamepinda jaman...wimbo wa taifa kwa mluzi😂😂😂

  • @blessedup5786
    @blessedup5786 5 лет назад +10

    dully jaman mwswahiliiiii🤣🤣🤣🤣kiherehere lakin sio.mbaya anachangamsha

  • @dwiny7841
    @dwiny7841 5 лет назад +205

    😂🤣Mimi nimekuja kusoma comments kama tuko pamoja gonga like @bossholland hapa

  • @tricybae6642
    @tricybae6642 5 лет назад +2

    Ha haha haha haha haha hah amezimiaaaa😂😂😂😂😂😂haki hii ni COMEDY START SEARCH

  • @emmanueledward555
    @emmanueledward555 5 лет назад +32

    braza K asante kwa kunitoa machozi

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 5 лет назад +16

    😂😂😂 brother k, umekuja kupoteza muda wa wengine.

  • @hemedibabdallah125
    @hemedibabdallah125 5 лет назад +84

    Aliye sikia bongo status kama mm sehemu ya kulike hapa

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 5 лет назад

      ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html

    • @simonbanyase2528
      @simonbanyase2528 5 лет назад

      Hemedi b abdallah hahahhhahahahahh huyu sister duu bhna et bongo status

  • @hassanjuma7934
    @hassanjuma7934 5 лет назад +8

    Hahahaaa brother K nimekuelewa mwenzio hahahaaaaa

  • @lau_attitude8810
    @lau_attitude8810 5 лет назад +2

    Nimekuja kusoma comments...Kama unaikubali hii show gonga like tukisonga👍

  • @jamilamfumike7445
    @jamilamfumike7445 5 лет назад +35

    Anaemuona lady JD mpole agonge like

  • @jossnick8093
    @jossnick8093 5 лет назад +10

    22:11 yani naimba sana shida management 😂😂😂😂😂😂

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 5 лет назад +14

    Huyo dada mtangazaj mumsaidie jmn anasaut nzur san, mungu atawabarik

  • @mmary70
    @mmary70 5 лет назад

    Walio cheka ambao sio rahisi kucheka hata comedy iweje... twende pamoja 😀😆😀😆😉

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 5 лет назад +9

    Mwanzaaaa loh mnaniua mbavu😂😂😂😂

  • @satinaishibwami
    @satinaishibwami 5 лет назад

    @Lady jay Dee nakupendaka sana tena sana ❤❤❤I started listening to you music when I was 8 years old , I love you ❤ all the way from United State of America ,🇿🇼🇨🇩🇺🇸

  • @stivennghindi851
    @stivennghindi851 5 лет назад +16

    Dada yule anaye igiza UTANGAZAJI
    Aise nimempenda Sana
    MUSIMUACHE

  • @Thesorceresrblx
    @Thesorceresrblx 5 лет назад +14

    Kuja na hisia ukasahau sauti nyumbani😂😂😂

  • @amosmwita4111
    @amosmwita4111 5 лет назад

    Huyooo bintii prezentaaaa yuko sawaa kabisaa tatizooo duly mushambaa Sana'a na maguoo ykee yaaa kishambaa yulee Dada plezentaaaaa munamubaniaa tyuu

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 5 лет назад +81

    NATAKA LIKES 1K HAPA kwa wanaoamini SALAMA JABIR arudishwe maana Bila Salama No BSS. GONGA LIKE

  • @glorykiware1087
    @glorykiware1087 5 лет назад

    Tatizo letu huwa hatupendi kuelezwa ukwel.....big up kwa majudge mko makin

  • @sophiasophia9713
    @sophiasophia9713 5 лет назад +5

    Asanteni washiriki mmeniongezea muda wa kuishi, mecheka😄😄😄

  • @godluckpunte4719
    @godluckpunte4719 5 лет назад +6

    Waaooh brother k kanichekeshaaa

  • @SamuelCharles-111
    @SamuelCharles-111 5 лет назад +33

    Huyu mshiliki aliyeingia wa pili kanifurahisha Sana coz kaja na mbwembwe mnoo afu kazingua🤣🤣

  • @kusagaonlinetv3983
    @kusagaonlinetv3983 5 лет назад +7

    Mbona hawa wat wa mwanza kiswahili chao kama cha kenya

  • @fisadikiwembe9787
    @fisadikiwembe9787 5 лет назад +2

    😂😂😂huwezi ipata mana bongo status hamnaaa😂😂😂😂😂😂

  • @veredianamagesa2953
    @veredianamagesa2953 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂. Brother k kanifurahisha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kwa 2020

  • @jumadema7646
    @jumadema7646 5 лет назад +1

    Poleni sana majaji mnakutana na vituko ningekuwa mm washiriki wengine ningewachapa fimbo kwa kuwapotezea muda.

  • @jbboydragonmaster6653
    @jbboydragonmaster6653 5 лет назад +6

    Idrisa umezingua brother 🤣🤣🤣mshikaji ni mlemavu wa macho yaani kipofu alafu unamuuliza unalionaje game🤣🤣🤣🤣daah umeyumba brother 😂😂😂

  • @angelmwoleka7892
    @angelmwoleka7892 5 лет назад +10

    Jide anauwezo wa kuona kipaji cha mtu! Much love to u Anakonda jidee

    • @gisellebusime6578
      @gisellebusime6578 5 лет назад +1

      Angel Mwoleka namimi namupenda sana Jide iko naona mbali sana

  • @SamuelCharles-111
    @SamuelCharles-111 5 лет назад +5

    Eti dakika ya 17:50 "umekuja na hisia ukasahau sauti nyumbani...!!!" Idrisi fala Sana🤣🤣

  • @muniraahmed2832
    @muniraahmed2832 5 лет назад +6

    Plz judges punguzeniii kuwakataaa watu kwa kejeliii .....mkatae kwa namna yakumpaaa motishaaa na sio akitokaaa hapo ajioneee hafai kufanyaaa kitu

  • @salmamaryam8416
    @salmamaryam8416 5 лет назад +1

    Who realised that once dully got the word characteristics hakuiwacha tena 😁😁😁😂😂😂😂😂

    • @mysteriousazou7979
      @mysteriousazou7979 5 лет назад

      😂😂😂 je ni mimi tu nilienotice kuwa hio characteristics yenyew anaikosa kos kwnye matamshi

  • @mwarabujr2301
    @mwarabujr2301 5 лет назад +13

    Madam N jide Best Judge
    Dully chenga tu

  • @m-jay2840
    @m-jay2840 5 лет назад +7

    Characteristics device is not English and dosnt exit in any dictionary but 😂 🤣🤣🤣🤣

  • @jacksonmezza3721
    @jacksonmezza3721 5 лет назад +9

    Dully Kakaa Kimalaya Tu Apo 😂😂

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 5 лет назад +8

    Huyo wa mluzi kaniacha hoii😂😂😂😂

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 5 лет назад +1

    Star bongo ni baba lao mond

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 лет назад +4

    Km umesikia dully kasema wew mbona km umejirudia gonga meza kwa like

  • @nisilesanga3602
    @nisilesanga3602 5 лет назад +40

    Haaaaaa yani nimemiss sana SALAMA🙌

  • @preciousbenedict5142
    @preciousbenedict5142 5 лет назад +7

    Madame Ritha amemwangalia ile mbaya Dully 😂🗣 ,afanye kilicho mpeleka kila mwanamke anamshobokea

    • @simonbanyase2528
      @simonbanyase2528 5 лет назад

      Precious Benedict hahahha jilo jicho angeliona basi angetulia kbx mbwembwe zingeksha

    • @mysteriousazou7979
      @mysteriousazou7979 5 лет назад

      😂😂😂😂😂 kumbe umemwona eeh

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 5 лет назад +24

    1.Characteristic device😂😂😂
    2. Bongo status 😂😂😂
    3.Milion Naini 😂😂😂
    Naomba muongozo wa haya maneno

  • @peacemakombo8309
    @peacemakombo8309 5 лет назад

    😀😀😀😀daaaaa brother k kauwa kinomaa😂😂😂😂

  • @judywabintitish9205
    @judywabintitish9205 5 лет назад +1

    Kitete sio kitu kizuri achana na kitete 😂😂bongo sihami hat hali iwe ngumu vip

  • @zamamuuhamisi6654
    @zamamuuhamisi6654 5 лет назад +2

    Yaan majaji mnafaidi vituko hm ndani hahahaaa mbavu zang jmn!!!

  • @mehmedsalim9359
    @mehmedsalim9359 5 лет назад +2

    I like the one with nation song 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mussakituku4190
    @mussakituku4190 5 лет назад +4

    Kama umeona majaji wengine hucheka kwa kukatisha tamaa gonga like twende sawa

  • @jillianlovie4084
    @jillianlovie4084 5 лет назад +24

    Huyo dada wa kwanza Diana ameimba vizurii

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 5 лет назад +1

    😂😂😂😂😂😂 I'm soli baby 😂😂😂😂

  • @wamburaogunya2251
    @wamburaogunya2251 5 лет назад +25

    Kama umesikia mtu amekula vitumbua 60 Like twende sawa

    • @lizzenock9123
      @lizzenock9123 5 лет назад

      So vtumbua 60 tu waga anakula na wali kilo mbili ata chapata 50 anakulaga

  • @janeyphersuma112
    @janeyphersuma112 5 лет назад +7

    nakupenda bure idrisa kaka angu ur the best bro

  • @karimallymrisho1565
    @karimallymrisho1565 5 лет назад +3

    Wengi halafu wote hewa/Chuga itabaki kuwa juu kama unaamini gonga like

  • @psalm2346
    @psalm2346 5 лет назад +2

    Wasukuma bhn ati muwimbo wa udhuni🤣

  • @creativelyrics8711
    @creativelyrics8711 5 лет назад +7

    Dully sykes kama mkali wenu kama umegundua gonga like😆😆

  • @janethwilson9012
    @janethwilson9012 5 лет назад +2

    Wa tanzania 🇹🇿 munachekesha sana tena sana munapo wacheka hao ambao hawawezi kuimba ndoo kuwatia moyo?lekebisheni uwepo wenu ili wajisikiye kufika mbali kbs

  • @mwakanyikijosephy1512
    @mwakanyikijosephy1512 5 лет назад +2

    Jamani wanaomtaka salama jabili Kama Mimi aludi kwenye nafasi yake nipeni like

  • @zakariamigeto3543
    @zakariamigeto3543 5 лет назад +1

    has anyone seen madam lita the way z looking at dully at 30:52 ?hahahah

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 5 лет назад +14

    Madamme najua unapitia comments zetu Mrudishe ben pol ktk majaji anaujua music

  • @angelholsey2484
    @angelholsey2484 5 лет назад +4

    🤣🤣🤣 nmecheka saanaa et bongo statasi 🤣🤣

  • @Monalisa_gio
    @Monalisa_gio 5 лет назад +4

    Hata kama Mtu hajui kuimba ma judge ACHENI KUCHEKA CHEKA NA MANENO MACHAFU KUMKATISHA MTU unaweza kuta anajua kuimba mnaongea ongea mnamcheka Cheka tabia mbaya sana na majibu ya kashfa si jambo zuri igeni kwa wenzenu hata East African got talent

  • @feiyxsal642
    @feiyxsal642 5 лет назад +6

    Ukiwa unataka arudi Salama Jabir weka like
    👇🏾

  • @thedmomo6350
    @thedmomo6350 3 года назад

    Jamani Dully na kifarasa chake jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @emmamathew8850
    @emmamathew8850 5 лет назад +7

    yan dully simpendi ana kiherehere

  • @sophianguve7585
    @sophianguve7585 5 лет назад +3

    Mwanza ni washamba jmn 🤣🤣🤣😂😆😆😆😆 mnakwama wapi lakin

    • @ayoubchacha9090
      @ayoubchacha9090 5 лет назад

      Sophie Nguve mamako ww

    • @sophianguve7585
      @sophianguve7585 5 лет назад

      Ayoub Chacha mwenyew 😂😂😂 pole kama unakaa mwanza 😆😆😆😆😆😆😆

  • @hajikishua1410
    @hajikishua1410 5 лет назад +3

    Gonga like Kama unaamini harmonize alikuwa sahihi kusema kinaw2 walimpinga kuwa Hana kipaji

    • @mysteriousazou7979
      @mysteriousazou7979 5 лет назад

      By that time aliimba vibya kwel 😂😂 ttzo hua ni saut yko tu unvyoifnyia kz

  • @aminasubira6591
    @aminasubira6591 5 лет назад +2

    Mie Napita Tyuuu😂😂😂Maana Kugumu Hapa😁😅

  • @chrisg1683
    @chrisg1683 5 лет назад +2

    Madam Rita nakupenda buree

  • @munirasalim6173
    @munirasalim6173 5 лет назад

    😂😂😂idris si kwa kchokonoa huko dully... Toka arusha mpaka mwanza mpumzishe mwenzio😂😂

  • @willardderick6781
    @willardderick6781 5 лет назад +3

    Dully kihelehele mpaka anataka kutukana,kama umesikia tusi la dully kwa mshiriki anaeitwa Agness james namba 457 gonga like hapa

  • @DAVMOVIEAVITV
    @DAVMOVIEAVITV 5 лет назад +8

    Kuna wadada humu wanatakiwa wakikosa muziki niwa tangazaji wazuri sana wana jiamini yaani presenters ko wapambanie gepu wakiweza wanitafute Chanel kibao niwaoneshe njia npo kanda ya ziwa mimi

  • @saidmakumlo8930
    @saidmakumlo8930 5 лет назад +4

    Daaaah 😂😂😂😂.....Master J wewe ni noma kila Demu anaimbia puani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marym8659
    @marym8659 5 лет назад +2

    😂😂😂 aisee kuna watu wanachekesha duuh 😂😂😂

  • @saidihabibfundi6492
    @saidihabibfundi6492 5 лет назад +1

    Kabeba watu watano alafu anatuimbia taarabu apa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @kingdazzostarboy1431
    @kingdazzostarboy1431 5 лет назад +1

    Dulysykes okoa jahazi broo mn we ndo Legend jaribu kumpinga master J

  • @thresherjordan2000
    @thresherjordan2000 5 лет назад

    Kitete tu mungu akuwezeshe broo kaza utafika mbali

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 5 лет назад +5

    Daaah washiriki wengine are so funny!

  • @elizadaniel8923
    @elizadaniel8923 5 лет назад +3

    Big up madam ritha, kingereza kisiwasumbue

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 5 лет назад +47

    Yaan dully sykes amekaaa kitamaa tamaa ya wanawake huko kambini sijui itakuaje ni kama fisi kakabiziwa bucha

  • @ahmedameir2500
    @ahmedameir2500 5 лет назад +28

    Kama na wewe unafikiria characteristic device nini ngonga like

  • @adamduma5436
    @adamduma5436 5 лет назад +5

    bila dully Sykes, hii kitu haichekeshi,dully safi sana

  • @locksonewton2555
    @locksonewton2555 5 лет назад +1

    Dully kifaransa nakupa non 😂 nimependa sana big up bro 🙌🏾

  • @gwaltugwaltu7933
    @gwaltugwaltu7933 5 лет назад +8

    Dully acha kiherehere acha majaji wenzako nafasi ya kujaji Bora mgempa Benpol hiyo nafasi

  • @amosmwita4111
    @amosmwita4111 5 лет назад

    Nyiee naoo ni kumaaa tyuuu master jey na wenzakooo

  • @uswahilinitvwithtk1340
    @uswahilinitvwithtk1340 5 лет назад

    Kama unasapoti Dully afunzwe kiingereza na Jay D. besic of it twende na like..

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 5 лет назад +15

    Watu wa mwanza mnakwama wapi 😂😄😄

    • @musaqatari9105
      @musaqatari9105 5 лет назад

      Huuu

    • @DAVMOVIEAVITV
      @DAVMOVIEAVITV 5 лет назад

      Mm nko kanda ya ziwa nai rudia sana hii show watu was mwanza na kanda ya ziwa tuna matatizo kama haya
      Uzungu mwingi kwa madada
      Hatuko makini na tunacho Fanya
      Wakurupukaji
      Hatuna ushirikiano ambapo tunakosa MTU wa kutuambia yaan kutu panga tunapo kuwa hatuko sawa
      Yako mengi ila Nina movement kanda ya ziwa nitasema na vijana wa huku home

    • @magaumasiaga3120
      @magaumasiaga3120 5 лет назад

      Twambie ww tunakwama wapi m🙉🙉🙉

    • @benjaminiemmanuelj3486
      @benjaminiemmanuelj3486 5 лет назад

      Mwanz ndipo mxhnd alpotoka mxm ulioixha

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 5 лет назад +1

    Wimbo wa taifa unapigwa mnacomment😳🤨😳😁😁😁

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 5 лет назад +2

    Sasa jaji hajui kingerez jaji Wa wapi huyo, huyu misifa hajaacha kwan dully na ww jide usimuige dully misifa😂😂madam rita hanag makuu

  • @charlotteb.chance7058
    @charlotteb.chance7058 5 лет назад +2

    I'm solly baby 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hekaluningusi4257
    @hekaluningusi4257 5 лет назад +12

    Nilichogundua watu wanaukataa uafrika wao

  • @lizzjahsolja1240
    @lizzjahsolja1240 5 лет назад

    Bongo status🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 you guys are funny

  • @subiramomburi9148
    @subiramomburi9148 5 лет назад

    Idrisa nakuelewa sanaa