Je makubaliano ya Korea Kusini na Afrika yana manufaa gani kwa Afrika?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 июн 2024
  • Mwandishi wa BBC @roncliffeodit ameongea na Rais wa Kenya William Ruto ambaye yuko Korea Kusini katika kongamano ambalo limefanyika katika mji wa Seoul.
    Taifa la Korea Kusini limeahidi dola bilioni $24 kama msaada na uwekezaji katika mataifa ya Afrika, makubaliano 47 yametiwa saini kati ya Korea Kusini na mataifa 23 ya Afrika yanahusu kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, nishati, madini muhimu na viwanda.
    #bbcswahili #kenya #koreakusini
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Комментарии •