Hii nyimbo imeimbwa kwa ajili yangu... my husband was diagnosed with kidney failure, 2021, yaani zile mbio tulipambana, sema kusemwa I rem watu wakisema namroga ili nibakie na nyumba na gari... surely nyumba na gari ingenilelea watoto at this young age, I fought na magoti na maombi, alipata kidney last year he is doing well, n out of the country, sasa wale wabaya wanataka kurudi weeeeeh Mungu wangu sina cha kukwambia... kwa yote bali asante na jina lako lizidi kuinuliwa.... am now ready for my white wedding...
Umenibariki sana , huduma uliyoianza si nyepes sana kuna pepo nyingi zinavuma ila ukikaaa miguuni kwa wazee utafanya vyema zaid ya hapa; ni maombi yangu Mungu asiziache nyanyo zako ;
Who else is keeping this song on repeat mode?? I cannot explain what I feel when listening to this song! I just feel like this song is all about me! Thankyou Jesus your everything to me 🙏🇰🇪
When it's done in spirit and in truth you will always know. I do keep alot of Goodluck's songs on repeat. I pray that God continues to use him for his glory 🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Whoever is reading this Merry Christmas and a prosperous 2022..Let's end this year with gratitude.. God will always be good.. He gave us His son.. Something a man cannot do.. Ata tukose yote ya Dunia, tumepewa YESU.❤️
Kama kawaida representing code +254🇰🇪,Goodluck you have always been a blessing😇 to many and I decree declare that this song is going to minster to people's life & be a true inspiration📢 . #ASANTE to the world🌏💯🌟🎼🔥. (1st Thessalonians 5:18)
Asante Mungu kwa umbali huu...mengi umenivusha...barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri wa kumshukuru Mungu...Mungu akubariki na aibariki huduma yako Amen
Hujawahi kuniangusha, mungu akuinue kwa viwango vya juu sana uwe sababu ya wengi kulijua na kulitumaini jina la kristo🙏nakuona mwimbaji mkubwa sana ajae Africa mashariki na duniani kote.
Mungu juu ya vyote, hakuna anayeweza kupindisha injili, barikiwa sana gozbert kipaji ulicho barikiwa na akili havi nunuliki kwa pesa au mali.Wenye akili wameelewa.
Ubarikiwe sana Gozbert kwa nyimbo safi yenye kusheheni maana ya kushukuru baada ya kupata ahueni fulani ya masumbuko uliyopitia kupitia jina la Yesu. Nimeipenda sana na inazidi kunipa tumaini la kusonga mbele na Yesu wangu. Mungu akubariki sana kwa huduma hii ya uimbaji, uzidi kukua na kukua hadi kimataifa. Thanks brother Gozbert for the God words passage via Gospel Songs.
Mnaujua zaidi tuachieni hii nyimbo iende hadi january mana hamshindwi kuchafua hali hewa kisa tu mnajifanya mnajua sana,much thanks goodluck god bless u for giving us a good song.🙏
Kuna huu wimbo wa Asante na nyakati zinanibariki sana kaka,, Yehova Mungu akupe maarifa zaidi utunge zaidi na zaidi nyimbo zinazobariki kama hizi,,napendezwa na uimbaji wako sana,, daaah nyimbo inanipa hisia hivi
@goodluck gozbert champion nakupenda sana kupitiya muziki huyu tunasema asante mungu nilianza mwaka wa 2021 nikiwa mimi mwenye lakini mungu amenipa ndowa na tayari tu na mtoto binti muzuri kabisa ndiyo maana nasema asante kwa mungu asante kwako piya kutuburudisha mara tena
I just cannot get enough of this song. Indeed God has preserved His own true worshipers worshiping Him in truth and in Spirit. God Bless you Goodluck Gozbert you are a blessing in this Generation. Karibu Kenya

Glory to Jesus
Glory to God.. All is well.. When God say yes no man can say no
Amen
Woow utukufu ni kwa Mungu pekee aliyekutetea we na mimi anitete
Binaadam
Umebarikiwa! Kutusemea sote tulioguswa na wimbo huu wako mpya, as always!
Blessings!
Barikiwa sana my brother kwn umefanyika baraka kwangu kupiti nyimbo zako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
God bless you
Umenibariki sana , huduma uliyoianza si nyepes sana kuna pepo nyingi zinavuma ila ukikaaa miguuni kwa wazee utafanya vyema zaid ya hapa; ni maombi yangu Mungu asiziache nyanyo zako ;
Soul touching music 🙏🙏
Pia kazi lako unifuraisha,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kijana etu, tunakupenda sanaa
💯
Mrseed wasemaje
Indeed, Ngoma noma sana. God bless 🙏
Mnh asante hata kwa mabaya maana haukuyaruhusu yaniangamize!! I just love the song! Be blessed brother.
Asante kwa mabaya na wabaya😌🙏
Wimbo wangu wa mwaka. Asante baba mwaka huu nimepitia kwenye mambo magumu sn na mazito lkn ni kwamkono wa Mungu tu nimefika hapa nilipo
Who else is keeping this song on repeat mode?? I cannot explain what I feel when listening to this song! I just feel like this song is all about me! Thankyou Jesus your everything to me 🙏🇰🇪
When it's done in spirit and in truth you will always know. I do keep alot of Goodluck's songs on repeat. I pray that God continues to use him for his glory 🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/syQCeCNTHRo/видео.html
ruclips.net/video/syQCeCNTHRo/видео.html
me too
I keep listening to it over and over😍
Ahsanteeee Mungu najua utatenda zaidi na kwangu soon🙏 unajua ninachokuomb na kukumbusha kila siku😭😭🙏🏾🙏🏾
Whoever is reading this Merry Christmas and a prosperous 2022..Let's end this year with gratitude.. God will always be good.. He gave us His son.. Something a man cannot do.. Ata tukose yote ya Dunia, tumepewa YESU.❤️
Amen merry Christmas to you too
Amen 🙏
Amen 🙏🥰
Kama kawaida representing code +254🇰🇪,Goodluck you have always been a blessing😇 to many and I decree declare that this song is going to minster to people's life & be a true inspiration📢 . #ASANTE to the world🌏💯🌟🎼🔥. (1st Thessalonians 5:18)
Wimbo huu ukamuinue kila mtazamaji
Hii ya kufungia mwaka. GOD BLESS YOU BROTHER
Good song
Umeona Eee
L.
Naona umepata Likes 43 hapa kwa gudlak go go go gozbert...... Ishengoma the great
@@annastaziasanga2642 eee
que Dieu te benisse mon frere au nom de jesus.asante baba mungu ju ya maisha yako.rdc
Asante Mungu kwa umbali huu...mengi umenivusha...barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri wa kumshukuru Mungu...Mungu akubariki na aibariki huduma yako Amen
I thank God for true worshipers atleast kunao mmoja anatuthibitishia kutumainia Mungu ni vyema
Mungua aendelee kukulinda kna kukubari, nyimbo zako zinabariki wengi sana
Sisi ni Nan tusimwambie mungu ASANTE ,kwa yote
Ubarikiwe sana mtumishi na kaka yangu #GoodluckGozbert
Kwa kweli nasema asante Baba. Nikiangalia mahali umenitoa nakosa lakusema. Uko Mungu kweli.
Hujawahi kuniangusha, mungu akuinue kwa viwango vya juu sana uwe sababu ya wengi kulijua na kulitumaini jina la kristo🙏nakuona mwimbaji mkubwa sana ajae Africa mashariki na duniani kote.
Mungu juu ya vyote, hakuna anayeweza kupindisha injili, barikiwa sana gozbert kipaji ulicho barikiwa na akili havi nunuliki kwa pesa au mali.Wenye akili wameelewa.
Eeeh! Hivi mi najua labda nimtandao unazingua...dah..goodluck my brother umeshatuweza
Asante hata kwa wabaya wamenifundisha kuku tumani Asante baba Asante YESU barikiwa kwa uimbaji nzuri nautunzi mzuri
Namshkuru mungu kwa umbali huu aisee! sijui ningekua wapi mimi. Jesus i love you.
Mungu shuka kwa mtumishi wako na ubari kazi yake maradufu kupitia jina ra yesu
Asante Mungu kwa kuzaliwa yesu christ leo nimeokolewa Asante babaa
Asante baba kwa mabaya kwa maana hukuruhusu yaniangamize.Asante kwa wabaya maana walinifunza kukutumainia.Mtetezi,mfariji,kibilio langu.
Ameeen wimbo mzuri kweli Asante baba God for all you've done to me 🙌🏾🤝🏾🎸🎸🎺❤️
Daah! Aisee! Goodluck Gozbert ubarikiwe sana, MUNGU aendelee kukutumia kwa viwango vya juu sana
Asante Baba
Wewe ni mwema Sina kukupa lakini Asante haziwezi tosha
Be blessed Man of God
Talented Mziki wangu Kila time
ruclips.net/video/_NS38h-8qsk/видео.html.
Mungu akuzishie neema na Baráka maana umetukumbusha neno Asante maishan mwetu"god bless you"
Asante Baba Kwa ha yote umenitendeya . Wendell wivu wamejaribu kuniharbia Nyumba yangu . Lakini umesimama na mimi Kwa Imani
Wouw my priority msani
Una nipa tumaini yakusonga mbele na Imani, tunzwa na Mungu
Wimbo mzuri sana Goodluck. Wimbo huu lazima utakuwa umezaliwa kwenye maombi
Ahsante sana mtu wa Mungu kwa wimbo wenye upako wa kufungia mwaka Mungu aendelee kubariki huduma yako, ubarikiwe mpk ushangae
Asante kwa wimbo umeniguza watching from kenya barikiwa sana kaka mungu akupe kibalizaidi
Asante brother kwa zawadi ya kristmas na mwaka mpya GOD BLESS YOU
Nyimbo ya kufungia mwaka hii☺🤗barikiwa sana❤
Umeupiga mwingi Kaka,hakika mungu hatokuacha,, wimbo huu umenibariki sana
Ninakila sababu zakumrudishia shukrani Baba yangu hakika, Asante Bwana wangu. Barikiwa sana Mt
I am a muslim lakini hii nyimbo😭😭mungu kaniokoa kwa mengi,ningekua nisha sahaulika😭na mengine yataisha,mungu kafanya mengi😭😭
Thanks, lord coz we finish the year, nimekuona kote katika this year, I am so grateful for this song🙏🙏
Amina hakika bwana nimwema nimefurahi Sana wimbo nauludia ludia siuchoki 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kukutunza, najikuta narudia mala tatu tatu kuusikiliza huu wimbo.
That's the world song congratulation good luck
Asanteh hata kwa mabaya&wabaya walinifundisha kukutumaini MUNGU 🙌🙌🙌 #myBrother..Goodluck this is Powerful,🙏🙏🙏Barikiwa sanah
Huu ni wimbo wangu. Asante Baba Mungu kwa yote. Minakosa maneno.
Daah!! Nabarikiwa San kaka na uimbaji wako Mungu akuzidish baraka kwako
Ubarikiwe sana Gozbert kwa nyimbo safi yenye kusheheni maana ya kushukuru baada ya kupata ahueni fulani ya masumbuko uliyopitia kupitia jina la Yesu. Nimeipenda sana na inazidi kunipa tumaini la kusonga mbele na Yesu wangu. Mungu akubariki sana kwa huduma hii ya uimbaji, uzidi kukua na kukua hadi kimataifa. Thanks brother Gozbert for the God words passage via Gospel Songs.
Na Mungu anapokupa sauti ya kweli, inakua sauti ya kubariki kweli. Mungu akulinde kaka
Thanks lote Jesus is the first in our life nyimbo nzuli inanikumbusha matatizo napitia bakuyavuka salama asante baba wambinguni
Ahsante baba wimbo mnzr ,mungu ahsante kwa nipigania uja nipungukia katika maisha yangu afya umenipa katika biashara naona mkono wako , Asante
Wimbo Mzuri Sana Unagusa Ubarikiwe Sana
Amen kwa hakika sisi Si bora kuliko wale ambao wametanguli.Hatuna budi ila kushukuku Mungu
Kazi nzuri sanaa my brodah... Asante Yesu umelinda.. Asante Babaa oooo...
Awww thank you God.u deserve all the glory and honou lord🙏🙏🙏much love from uganda to u mr gozbert🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Barikiwa sana uzidi kutuhubiri kupitia nyimbo zako tunabarikiwa sana!
Asante Mungu Baba.Asante Goodluck kwa wimbo huu., barikiwa sana.
Huu wimbo unanitia machozi, Asante baba yote ni Kwa wema
So blessefull Asante mungu from January to December 🙏🙏🙏
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Imela papa we thankful for the year...🙏🙏gift of life and Health 💕👏
Mnaujua zaidi tuachieni hii nyimbo iende hadi january mana hamshindwi kuchafua hali hewa kisa tu mnajifanya mnajua sana,much thanks goodluck god bless u for giving us a good song.🙏
Wengine waliweza kuwaeleza watu ukuu wa Mungu na wengine kuwarudisha kwa Mungu na wengine kuwatia moyo watu na kurudi kw Mungu
Always repeating this song, what a blessing I get when listening to it, stay blessed. I don't know what to tell God for his grace to me
Asante mungu nashukulu Kwa huu wimbo mana umegusa moyo wangu,Asante hata Kwa mabaya niliopitia.
Asante 🙏 Sana Mungu amefanya mengi hapa nilipo Ni kwa uwezo wake .
🙏🙏🙏🙏🙏, asante baba kila siku mpya kwangu ni neema,.. 🙏🙏🙏🙏🙏
Asante Yesu kwa kila Jambo😩🙌🏾
Kwa kweri mungu ashukuriwe,,,,, asante babaaaaa!!!!!
Kuna huu wimbo wa Asante na nyakati zinanibariki sana kaka,, Yehova Mungu akupe maarifa zaidi utunge zaidi na zaidi nyimbo zinazobariki kama hizi,,napendezwa na uimbaji wako sana,, daaah nyimbo inanipa hisia hivi
@goodluck gozbert champion nakupenda sana kupitiya muziki huyu tunasema asante mungu nilianza mwaka wa 2021 nikiwa mimi mwenye lakini mungu amenipa ndowa na tayari tu na mtoto binti muzuri kabisa ndiyo maana nasema asante kwa mungu asante kwako piya kutuburudisha mara tena
Asante ni neno zuri sana lenye kumpendeza Mungu
Wow fonce encore mon frère
Gozbert nyimbo zk zinanibariki Sana, mungu azidi kukuongoza
Daaaaaah😭😭 huyu ni Mimi kabisaaa
Barikiwa sana sana
Mwimbo mzuri sana @GoodluckGozbert. Siku hizi nautumia kama mwimbo wa shukrani
Sina kya ku kulipa baba, Ila tu na sema ahsante🙏🏽
It's more than a song.... it's thanks giving prayers. Mungu akutunze akubariki sanaaa.
Hujawai kukosea Hakika Mungu ninayemtumikia hatakuacha wala hatakusahau Maisha yako yote.
This ma Goodluck sings from the spirit...Blessings
Gudluck yuo still high..ktk uwepo wa Mungu ....endelea kumtukuza aliye tuumba..na kutupa uhai...
Tunaisubili mtumishi achiaaaaaaaaa
Be blessed mtumishi
Amen!!!How the Lord has carried all of us through life is a miracle!
ruclips.net/video/syQCeCNTHRo/видео.html
wimbo mzuli sana brother🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nakupenda sana wajina natamani sikumoja nikutane na wewe coz even mm naimbaa nahitaji sapory yako
Asante kwa shuklani hiyo
penda sana wewe Gozbert kipaji hiki sichakawaida . bt ni cha furaha pia blessings . God azidi kukuinua mbele ya wa tesi wako
Barikiwaaa sana kwa wimbo mzurii
hakika haujawahii niangushaa🔥🔥🔥🔥🔥
Barikiwa Sana mtumishi 🎶🙏
oh my God! i love the song ,,its all about my testimony, may our good lord keep on blessing you, you've got such an inspiration songs.
God bless Goodluck, what a heavy song,amen.
Nauludia tangu siku niujue unapiga asubuhi mchana jioni Mungu akubariki
Huu Ujumbe Good... Umenifanya nipate Furaha Moyoni mwangu.
Iyi nyimbo Nay penda sana tana sana ,kila Mara Nay sikiliza
Hata katika magumu haya Mungu nashukuru sababu yananisogeza karibu zaidi naww Mungu wangu na kukaa karibu nawewe ndio kitu napenda zaidi
I hear this song it's like you are telling my story but who is God alisimama kunitetea na kubadilisha mambo.Amina
I just cannot get enough of this song. Indeed God has preserved His own true worshipers worshiping Him in truth and in Spirit. God Bless you Goodluck Gozbert you are a blessing in this Generation. Karibu Kenya
🙏🙏🙏🏼
ruclips.net/video/syQCeCNTHRo/видео.html
Wow! Uneguza maisha yangu baba. Asante