Nimesafiri sana DIAMOND, naipenda sana Tanzania na sasa najifunza kiswahili: ISABELAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 июн 2024
  • #Isabella #Diamond #mletemzungu
    Tazama wimbo wa Isabelaa MLETE MZUNGU kupitia link hii
    • Isabell - Mlete mzungu...
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 160

  • @sylviashyaka7289
    @sylviashyaka7289 4 месяца назад +19

    I really love this girl together with her Ray! And that she even speaks Kiswahili!!!!! You are very welcome to Africa dear! We love you in Uganda too🇺🇬

  • @TamikaShipman
    @TamikaShipman 5 месяцев назад +18

    I'm in the US....Philadelphia. Huge fan of Isabella and Ray.

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 Год назад +61

    I like her already... So friendly 🤝

  • @salehsalim6052
    @salehsalim6052 Год назад +49

    She’s good in Kiswahili I like her vibes 🫶👍

  • @thomasmalega3375
    @thomasmalega3375 Год назад +18

    Karibu Sana Isabella,, napenda kazi yako..mulete Mzungu iko sawa umefanya Vizuri Sana keep going ✌️

  • @jeffreywright6122
    @jeffreywright6122 7 месяцев назад +13

    She has such a beautiful smile

  • @WayatheWolf222
    @WayatheWolf222 10 месяцев назад +11

    Yasd i saw you on the Song Isabella banger🔥🔥🔥i cant wait to come home to Africa and see everyones beautiful faces. Africa lights the world 🌍❤❤❤❤

  • @johng5295
    @johng5295 10 месяцев назад +12

    Thanks in a million. Great content. Awesome. Very well explained. Grade: A++💥

  • @nicolasrodrigues5536
    @nicolasrodrigues5536 6 месяцев назад +10

    Amo vc menina sou grazielle do Brasil amo ver eles dois dançando

  • @thomsy_black4809
    @thomsy_black4809 Год назад +4

    Napenda snaa hiyi interview yakwanza kuona ndani ya Sns love it 🤗🤗

  • @bebebyrd8595
    @bebebyrd8595 7 месяцев назад +8

    I was born in S.A.- raised in Mexico until we moved to USA -Leadville at 15. I want to learn Swahilee! I yurn to find my cultures, I do not get this USA culture!😮! So impressed by language ability of these two ❤- I am huge fan of Isabella and watch her and Ray on TicToc! I think they are married.

    • @Josuemuller46
      @Josuemuller46 5 месяцев назад

      😂😂😂Hello Isabelle beautiful love and your ❤❤❤❤❤❤bravo félicitations vous êtes une jolly femme interligente 🎉🎉🎉🎉I love you depuis Canada 🇨🇦 Montréal j'espère vous êtes marié a ton copin. 😊😊

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 2 месяца назад

    Isabella keep up with kiswahili kwakweli unajua sana lugha ni nyepesi sana, karibu sana

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 2 месяца назад

    Here of iringa Tanzania we love you so much,keep it up.

  • @user-re3zl1uj2c
    @user-re3zl1uj2c 7 месяцев назад +10

    Very strong young girl, THE GREAT KISWAHILI, WILL ONE DAY BE SPOKEN WORLD WIDE,

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 2 месяца назад

    We Tanzania we love you so much Isabella keep it up with music

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 Год назад +6

    Wow .Tillykke Isabella du klar det godt 😍🥰🇨🇩🇨🇩🇩🇰🇩🇰🇳🇴🇳🇴

  • @megilolimuhamad9081
    @megilolimuhamad9081 Год назад +9

    nampenda mana , ana furaha kila wakati , safi sana isabella

  • @bozbun3994
    @bozbun3994 Год назад +12

    Dah mzeee nampenda sana huyu mdada

  • @sylviashyaka7289
    @sylviashyaka7289 4 месяца назад +1

    Isabella inspires me with her beauty, brains and charm!!

  • @ziggylizz640
    @ziggylizz640 Год назад +11

    Isabella is beautiful♥️😍😘.

  • @normanbilly9635
    @normanbilly9635 Год назад +10

    Safi Isabella ngoma ni kali

  • @munyanajeanette4107
    @munyanajeanette4107 11 месяцев назад +3

    I love you so so much from Rwanda

  • @Sppah697
    @Sppah697 Год назад +7

    Isabea sis don’t worry by December you will swahili fluent don’t worry

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 11 месяцев назад +3

    Anasound vizuri sana kwa kiswahili

  • @stephanieaddison2595
    @stephanieaddison2595 26 дней назад

    Great interview

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 11 месяцев назад +1

    Huwa wanakuwa wakweli ktika maisha yao I like interview

  • @khardiatouba2053
    @khardiatouba2053 10 месяцев назад +2

    👌🥰🥰🥰 Masha Allah we are proud of you

  • @mamanbinwashadrack2257
    @mamanbinwashadrack2257 Год назад +10

    I just love her

  • @dorisjjabbah2516
    @dorisjjabbah2516 Месяц назад

    Good job Isabell!. More love

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 2 месяца назад

    Tanzanian keep loving you in music industry

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 Год назад +9

    Waooo karibu Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ritacoutinho1973
    @ritacoutinho1973 5 месяцев назад +4

    I love both of the couple

  • @jacqueslouisme7909
    @jacqueslouisme7909 10 месяцев назад +6

    You are amazing 🎉

  • @yohanakaini
    @yohanakaini Год назад +8

    i just love the girl and way she z so funny

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 Месяц назад +1

    Ile mvua ilikukuta?

  • @williemsimon2855
    @williemsimon2855 Год назад +7

    Umerudi ukinenepa kabisa hadi mashavu

  • @alhabibnachoaly3018
    @alhabibnachoaly3018 Год назад +2

    😘😘😘😘😘Nimependa isabela

  • @mmungfunnytv.
    @mmungfunnytv. Год назад +3

    Mwambi nampenda huyo dada

  • @monicabagatoli5619
    @monicabagatoli5619 7 месяцев назад +3

    Isabella y su esposo son geniales❤❤

  • @iaraoliveira2222
    @iaraoliveira2222 7 месяцев назад +12

    ISABELLA É UM ENCANTO DE PESSOA! 💝

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Месяц назад

    💚💛💚💛Karibu Yanga Mawana Nchi

  • @simulizi2632
    @simulizi2632 Год назад +5

    Karibu mzungu.. ujue kuwanga tu maana huu mziki wetu bila kuwanga🙋🏾‍♂️😩

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 Год назад +5

    Isabellaaaa😀😀😀😀💪💪❤️

  • @violakabigabwa9240
    @violakabigabwa9240 11 месяцев назад +2

    Beautiful beautiful ❤️😍 sweet lady

  • @taylorv49017
    @taylorv49017 6 месяцев назад +1

    Jmondy! Snatched her up!!! Eeeeeyyyyy ❤❤❤❤

  • @elasnovolante4889
    @elasnovolante4889 11 месяцев назад +2

    Bela, ISABELAAAAA❤❤❤❤❤

  • @bambihargrove6499
    @bambihargrove6499 4 месяца назад +1

    ❤❤❤❤LOVE HER PASSION 😊❤❤❤❤😊

  • @Joy_Tellz
    @Joy_Tellz 3 месяца назад

    HUGE fan of Isabella and Ray ❤

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Год назад +2

    For Urojo, try Zanzibar Aroma, Slipway 😋

  • @judithsano4845
    @judithsano4845 2 месяца назад +1

    Love u and ur partner
    Isabella where's Ray

  • @aleftav12
    @aleftav12 3 месяца назад

    4K followers yeah! So happy! Now in 1 year 4 million!🙏 mind blowing now! Asante Sana!🙏

  • @richzebest2029
    @richzebest2029 9 месяцев назад +1

    Huyu si yule dem wa comedian

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 Год назад +21

    Jomon jomon Isabella karbu bongo ni yetu sote atubagui wageni zetu sie kwakua na sie atupend ubaguzi kabsaaa na atupend kubaguliwa ndomana tunaish kirafiki Tanzania unawza panda gar ukamkuta mtu kalipia siti na akakupisha ukae inaitwa tunajua kujali na kujishusha na kuheshimu basi ndo Siri ytu

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад +2

    Isabella 💞💞💞💞💞

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Год назад +4

    Isabella waoooo du klar rigtig godt 🇩🇰
    Jeg er helt vild med Mlete Mzungu.
    Mtangazaji mpe moyo mgeni wako ajieleze kwa kiswahili usimchangiye changiye Kaka.

    • @kokboo9278
      @kokboo9278 Год назад +1

      Anamsaidia coz huoni kama Dada haelewi kiswahili na nadhani ndio maana anamchanganyia na kinge alewe swali

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Год назад

      @@kokboo9278
      Pamoja sana mku

    • @sashoright8213
      @sashoright8213 Год назад

      @@kokboo9278 nahs uyu ajamsiikiliza alivyosema anaskia Ila sjui vzur kuongea kiswahili kwahyo yko kwnye kujifunza

  • @totobad5391
    @totobad5391 Год назад

    Chido kidd

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 Год назад +3

    Mbona diamond amekula hio tam ya mzungu ,chini ya carpet tu Sana 🔥🔥

    • @khatibumasudi
      @khatibumasudi 5 месяцев назад

      Jamani kwani diamond ndo waona yuwaeza kula kila anae mtaka fungua bongo lako sio kila mtu ni malaya kama huyo boss wako domo kaya platnum

  • @jamboyouthonlinetv
    @jamboyouthonlinetv Год назад +1

    Mlete mniniiiiii

  • @charlesased
    @charlesased Год назад +2

    19:20 Sogeaaaa sogeaaaa sogeaaa 😍😍❤️❤️

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 Год назад +2

    🥰👌

  • @thetas08
    @thetas08 4 месяца назад

    Mtangazaji usikazie kwenye hiiyo pati ya mahusiano na ushamuelewa kuwa hiyo haitaki kuiweka wazi sana but ur interview is cool na nyie watanzania mjue lugha yenu ni nzuri na inapendwa sana so wabongo mkihojiwa acheni broken zenu English ongeeni kiswahili cuz mpo Tanzania

  • @abrahmanabdallah8479
    @abrahmanabdallah8479 Год назад

    Urojo unapata magomeni karibu na lango la jiji

  • @user-ln4zt3dw6r
    @user-ln4zt3dw6r 10 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤

  • @cyndilu9
    @cyndilu9 6 месяцев назад +1

    Isabella is amazing 💙💛💜🙏🙌❤

  • @yassinuddi
    @yassinuddi Год назад +1

    Ulojo, aende pale Magomeni Kagera

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Год назад +4

    ❤❤❤❤isabella

  • @Roast_chanel
    @Roast_chanel 7 месяцев назад

    Damm ❤❤

  • @minjesha
    @minjesha Год назад +7

    Kama kawaida, hicho kichwa cha habari hakiwezi kua na jina moja tu la diamond, put all our Tanzanian musicians on sport light together..huu ubaguzi hauwezi kuisha sns, msiwachukulie wanamuziki wa kitanzania poa, hapo kamtaja Ali kiba, Harmonize, nandy, mario,ila hawakuandikwa kwenye kichwa cha habari.., mnaboaaa~acheni kuabudu mtu mmoja kilasiku..inachosha

    • @angeldejoice3202
      @angeldejoice3202 Год назад

      Hawa Wana Habari hawajafuzu kuwa Wana Habari ! yaani wakati mwingine naona bora niangalie mambo ya mbele tuu kwanza mastar wako wengi sana, ila hapa tz kazi yao kutuboa kila wakati kwa kumpromoti mtu mmoja tu .

    • @felisterchimtunga9386
      @felisterchimtunga9386 Год назад +1

      Kwasababu mond ni msanii wa kimataifa na nirahisi mataifa mengine wanaofatilia hii interview kumjua msanii gani anayezungumziwa

    • @angeldejoice3202
      @angeldejoice3202 Год назад

      @@felisterchimtunga9386 wangekuwa wanaandika vichwa vya Habari vizuri bila kumtaja msanii yoyote mkubwa ,cause binadamu tumeumbwa kukinai .

    • @minjesha
      @minjesha Год назад

      @@angeldejoice3202 kabisa , unajua inachosha saingine..watuchanganyie habari, majina..na vinginevyo ndo inaleta mantiki..kazi ni kusema ohh wanaigeria wanapenda vyakao, ila ukichunguza media za tanzania zina makosa makubwa, kilasiku kumtangaza mtu mmoja, wawape wote nafasi ya muonekano, wawatangaze bila kubagua huyu nani au nani hata kama ndio team mondi ila wasijisahau maana media zina heshima yake ya kutobagua wanamuziki au watu wengine

    • @minjesha
      @minjesha Год назад

      @@felisterchimtunga9386 bado hujanambia kitu, kwahiyo hao wengine haeastahili kutangazika ni mondi tu, sababu ni team mondi, tunaelewa ila vyombo vya habari havitakiwi ubaguzi, wote watanzania ila wanamng'ang'ania mtu mmoja kilasiku ya mungu huku wanadai wanigeria wanatoboa, kumbe media za nigeria hazibagui watu wake kuwapa habari..bado tutapitwa sanaaa tu..sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ujue😩😩😩

  • @Bosman.cookingforyou
    @Bosman.cookingforyou 10 месяцев назад +4

    Hej Isabella, where in Denmark? I live in Denmark too in Aalborg.
    Hvor er du så sød. Jeg elsker dig højt❤

  • @mtukwaomedia
    @mtukwaomedia 6 месяцев назад

    Siku nyingine ukizungumza na mtu asiejua kiswahili anapata shida kusema kiswahili mpaka unamuambia aseme kizungu ukishajua alichomaanisha muambie nawewe kwa kiswahili ili ajue unakuwa ushamgundisha nawewe ndo maisha

  • @user-ln4zt3dw6r
    @user-ln4zt3dw6r 10 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Год назад +2

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @user-uz6bh4yd5n
    @user-uz6bh4yd5n 11 месяцев назад

    ❤🎉

  • @mikko5194
    @mikko5194 Год назад +3

    Muzungu sura ngumu kwakweli

  • @puritynyokabi79
    @puritynyokabi79 Месяц назад

    Sigma❤ girl❤

  • @daimavlog
    @daimavlog 9 месяцев назад +1

    Jaymondy kalamba kadada hadi raha

  • @shebtarish4979
    @shebtarish4979 Год назад +2

    Kaka mpeleke Kariakoo au Magomen urojo unaupata tena kirahis

  • @judithsano4845
    @judithsano4845 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @superstarlife2572
    @superstarlife2572 Год назад

    Zanzibar sio mkoa

  • @officialhanipha935
    @officialhanipha935 Год назад +4

    Amesema anakaa miko cheni mwambie niko tayali kumfundisha tena bule bila kunilipa chochote

    • @nasrasaad9229
      @nasrasaad9229 Год назад +1

      Mwenyewe hujui kiswahili
      Nikon tayali ndo nini tofautisha L na R

  • @anyta6139
    @anyta6139 7 месяцев назад

    🤔😏👌

  • @curelontaylor5070
    @curelontaylor5070 11 месяцев назад +1

    🖤😊😊😊🌌❤️👌🏿👌🏿👌🏿You do very well time by time will came soon everything 🌌❤️💞🖤✌🏿✌🏿✌🏿keep close together 🖤💞❤️in all the life

  • @desilvabebe1391
    @desilvabebe1391 9 месяцев назад

    Awesome London United Kingdom

  • @nicolasrodrigues5536
    @nicolasrodrigues5536 6 месяцев назад +1

    Y Love me

  • @user-sc3qy1wv3u
    @user-sc3qy1wv3u 3 месяца назад

    😢
    Zebibey

  • @angeldejoice3202
    @angeldejoice3202 Год назад +1

    Sasa huyu jamaa hajui wapi unauzwa ulojo in dar es salaam!!!

  • @dajudanerys9866
    @dajudanerys9866 5 месяцев назад +1

    Ela é namorado daquele rapaz que ela dança?

  • @nicolasrodrigues5536
    @nicolasrodrigues5536 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-yj7pc2is9j
    @user-yj7pc2is9j 11 месяцев назад

    Jaymond

  • @danielikonyeeki254
    @danielikonyeeki254 Год назад +3

    Na huyo Ni mmarekani kweli ama mjerumani.Hicho kiingereza sikiamini

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 Год назад +4

    Sa ulikua dubai ndo utangaze

  • @nelsonneeson620
    @nelsonneeson620 Год назад

    Jaymond huyo

  • @felisterchimtunga9386
    @felisterchimtunga9386 Год назад +1

    Urojo aende tandika kwenye magari ya mbezi frem za msikitini

  • @lindakaka1754
    @lindakaka1754 3 месяца назад

    This white lady has no jock with the world. Travel baby the wirld was given to us by God. ... enjoy and travel wherever you want....

  • @rashidngwele3935
    @rashidngwele3935 Год назад

    Kinokid

  • @hatibuabdulla1039
    @hatibuabdulla1039 Год назад

    Anaongea kingeleza kizuli

  • @ngumbosanga5359
    @ngumbosanga5359 Год назад

    Hawa wanakuwaga wapelelezi unaweza ukamfulahiya kumbe yupo kikazi Kuna mambo ana ya dukuwa

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 Год назад

      Ukiwa na hayo mawazo utashindwa kufanikiwa, Kwa sbb hata cc wa Tanzania tunawatu nje Tena wadukuaji wazuri tu

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Год назад

      Mawazo duni.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION Год назад +2

    Haya nimekubali

    • @raymondclaud6026
      @raymondclaud6026 Год назад

      acha uoga wewe miaka hii bado mmekalia mambo hayo, fanya kazi jenga taifa

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION Год назад

      @@raymondclaud6026
      Unapo Jenga taifa hakikisha taifa lipo salama.

    • @angeldejoice3202
      @angeldejoice3202 Год назад +1

      @@raymondclaud6026 sio uoga yote yanawezekana ,kwao kuna wabongo kibao Wana talent mbona Hawawi maarufu kama wao!!!

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 Год назад

      Pakiii naujinga wako usiambukizee watu

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION Год назад

      😀😀😀😀

  • @baefeelings8131
    @baefeelings8131 Год назад +2

    Okoa Mb Content ya Mwanetu Mond ipo hapa 8:42

  • @electro_statyk9794
    @electro_statyk9794 3 месяца назад

    We know who her boyfriend is lol😂