Dah haya mambo yananikumbusha miaka 28 iliyopita. huko mburahati tulikuwa na madrasat Zam Zam chini ya Jemedari mzee Ramia (sina uhakika kama angali hai) jirani tulikuwa na madrasat Itidaiya chini ya marehemu mwalim Idi ambapo baada ya kufa ikabaki chini ya sheikh Hamza akishirikiana na Mwinyi. Hizi madrasat mbili za Zam Zam na Itidaiya zilikuwa zikikutana ni moto wa kuotea mbali ni zaidi ya upinzani wa CCM na Chadema kwa sasa. Yani ilikuwa raha tupu. Kulikuwa na madrasat Hijaz maeneo ya mabibo, madrasat Jaazira magomeni makanya na madrasa nyingine nyingi jijini Dar es salaam ambazo nimeshazisahau. Na hizo zote nilizozitaja hapo juu mimi nilizisoma. Kwa sasa mimi ninaishi South Africa, na ni mtu mzima, nina familia yangu. Nikiona hivi nakumbuka mbali na natamani nirudie utotoni japo ndo haiwezekani kamwe.
Masha allah mkovizur kwa kasdatu ongeren
Mashallah kazi nzuri
usisahau ku sub kwa sapot zaid
Mpiga besi anazingua 😁 dufu haisikiki
Wapo vizuri
Islaah Ndio Maana Miaka yote Anaota Kuwa Gjqzal😂😂😂 kila Alipokutana Nae Alipigwa..Vibomotwa
Dah haya mambo yananikumbusha miaka 28 iliyopita. huko mburahati tulikuwa na madrasat Zam Zam chini ya Jemedari mzee Ramia (sina uhakika kama angali hai) jirani tulikuwa na madrasat Itidaiya chini ya marehemu mwalim Idi ambapo baada ya kufa ikabaki chini ya sheikh Hamza akishirikiana na Mwinyi.
Hizi madrasat mbili za Zam Zam na Itidaiya zilikuwa zikikutana ni moto wa kuotea mbali ni zaidi ya upinzani wa CCM na Chadema kwa sasa. Yani ilikuwa raha tupu.
Kulikuwa na madrasat Hijaz maeneo ya mabibo, madrasat Jaazira magomeni makanya na madrasa nyingine nyingi jijini Dar es salaam ambazo nimeshazisahau. Na hizo zote nilizozitaja hapo juu mimi nilizisoma.
Kwa sasa mimi ninaishi South Africa, na ni mtu mzima, nina familia yangu. Nikiona hivi nakumbuka mbali na natamani nirudie utotoni japo ndo haiwezekani kamwe.
Leteee KHAZALI ZANZIBAR TUTOE MAFUAA WAPO KHAZALI WENZAO ,MOTO HATARIIIIII
Team dunia
Good
So nice
salut bba chama la wana
Dufu zuri
😂
Huyo mpemba noma nije ukooo
Jamaa ana hatari 😀😀 ety nije ukoo
Ghazal baba lao from mwamboni tanga ally tego mtoto Wa mwanyamala manjunju
Usisahau ku subscribe na ku share
Jamvi kali sana
Muendelezo 🙏
Dufu tam
Ghazal nyoko sana na huo mkaswida wa arobaini yao
Za mwizi ni 40
UTOPOROOOOOOOOOOOOOOOOO GAHZAL ALIKAMATWAA HAPOO😃😃😃 KAMA UMEONA GHAZALI ANAPIGA MZIKI BARID TUPIA LIKE YAKO HAPOO CHIN 😀😀
Acha uxhamb ww
Oya mona Sana namkumbukamkali kilupi
Tuma na zingine mwamba
Zipo nyingi zinakuja muhimu ku share
Maana ya dufu ni kusimangana Nani wanalia na Kwa nn ndio mtume anaswaliwa ama kweli hatari
Wanaolia ni makafir baada ya mtume kuleta kiza walipotaka kuletewa mwez,
Khatwari kweli kweli 🙈
Lakin swalamaa
Tuma na hao wanaojiita islaah zakwao tuone wanaingio huo moto
sw mkuu nuondelezo wake utakuja
Ghazali mko juu zenji tunawakubali islah utopoolo
Sàf xan