Mwenyeezimu awape maisha marefu na Allah awatunzie vipaji vyenu muendelee kuwa bora zaidi,tangu nianze kuwa fahamu hamjawahi kuchuja yaani kiujumla hamnaga show mbovu nyinyi ndio wafalme hamna mpinzani mpewe mauwa yenu ngozi unakiti chako cha ufalme❤❤❤❤❤❤
Nimependa Jinsi Mimbar Mnachukuwa Picha Lakini kwa Ushauri tu muongeze Camera kwa Ajili ya kuipa ubora Kazi yenu..Kwasababu Kuna Muda Audio inakosa Ubora kwasababu Camera inahama so mngeongeza Camera Moja ama Audio recoder hii itawafanya muwe na Kazi zenye Ubora Zaidi....EL GHAZAL Amefanya Jambo As if yeye ndio Mwenye Shughuli Safi Sana

El ghazal for life..❤
Nakubali kaka🎉🎉
Mashaallah enjoy dufuufy
❤❤timu nidia amna baya
Kazi nzur kutoka team dunia ❤
MaashaAllah
Nakubal
El ghazar mafundi sana awa watu mashallah
🔥🔥🔥
Alhamdulillah wana SWIFTI NNABIWIYA WAME ENJOY wana TANDIKA WAMEBURUDIKA ❤ The world team ya woteeee
Chama langu❤
Dhikra
❤❤❤❤penda sana
Kazi umetuliya cn too ngoz in mby
Ngoz hana mpinzani tanzania mzm
Team 🌍 hawan mpinzan hap tz
Ngozi anajua sana chungu nae kwenye mziki hana mpinzani
Nimependa Jinsi Mimbar Mnachukuwa Picha Lakini kwa Ushauri tu muongeze Camera kwa Ajili ya kuipa ubora Kazi yenu..Kwasababu Kuna Muda Audio inakosa Ubora kwasababu Camera inahama so mngeongeza Camera Moja ama Audio recoder hii itawafanya muwe na Kazi zenye Ubora Zaidi....EL GHAZAL Amefanya Jambo As if yeye ndio Mwenye Shughuli Safi Sana
Sawa tumepokea ushauri wako
Mimi mwenyewe napenda niangalie el ghazal lakin Kuna Mayuri hua hawaonyeshwi ipasavyo Wana zingwa ni magroup ya watu
Tiba yamoyo 🫀❤
Mmepiga atomic
GHAZALI BABA LAO TZ
NGOZI VUNJA DARASA DUFU BASI..WATOTO TU WASOME..NYINYI NDO WAFALME WA DUFU TANZANIA NZIMA NA ZANZIBAR..HATARIIII UWANJA WA SWIFA UMEUNGUA.
Mimi pia namkubal Ngoz kutokana na style yake haibadiliki ya usomaji lkn sifikirii kama anamuingia Swifa huy japokuwa si shabiki wa Swifa.
MIMI SHABIKI WA SWIFA LKN WAPEMBA NAWA USIA MAPEMAAAAA MSIJE MKA UTAMANI MOTO WA GHAZALI MTA TUTIA AIBU.
Ahahahahaha
GHAZALI MMEACHIA NYUKLIA..VILIO VIMETAWALA UACHANI.