Swiffat Nnabawiat (Dar)- Kasida, Nausia Nafsi!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 46

  • @abhaaly
    @abhaaly  11 месяцев назад +1

    USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KUKOMENT VIDEO ZETU ILI TUPATE VIZURI ZAIDI NYENGINE KWA WAKATI SAHIHI. TUCHUNGE SANA MAANDISHI YETU YAWE YA STAHA.
    SHUKRAN SANA. 🤝

  • @ShibaTaaluma
    @ShibaTaaluma 3 дня назад

    🎉 nawakubali sana team swifa

  • @KINGOFLOVE-lc2nb
    @KINGOFLOVE-lc2nb 7 месяцев назад +3

    Mashaallah Allah subuhan llah atujaalie shufaufaa na tumsifu mtume Muhammad

  • @TimaBunu-g5x
    @TimaBunu-g5x 2 месяца назад +1

    Hatuna tofauti na wa Kristo siku hizi dance na muziki Kali Sana ndani na nje za msikiti Allah atuongoze

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 2 месяца назад +2

    Aisee ila huu mpigo ni hatarii❤

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 11 месяцев назад +2

    Daaaah huu mziki mtamu kuliko kandi kandindi Tinga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 4 месяца назад +1

    Nakubali sana hii swifat vs jabal ni noma sana

  • @WwyywtwYwuwtw7wt
    @WwyywtwYwuwtw7wt 3 месяца назад +1

    Wanajuwa,mashaallah

  • @JeroBuku
    @JeroBuku 4 месяца назад +1

    Masha Allah

  • @AminaSaumu
    @AminaSaumu 10 месяцев назад +2

    MASHALLAH JAZAKALLAH KHAIRA

    • @abhaaly
      @abhaaly  10 месяцев назад

      Afuan

  • @SydRaphy
    @SydRaphy 11 месяцев назад +3

    ❤❤❤❤

  • @aldarusmsomal6679
    @aldarusmsomal6679 21 день назад

    Chama la wana

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 9 месяцев назад +3

    Huuuuwiiiiiiiii vibe lakibaeeeeeee ............

  • @SumaBamamu
    @SumaBamamu 5 месяцев назад +1

    Daaah kitaaambo xanaa maaalim bonge la kazi

  • @allykessy1893
    @allykessy1893 9 дней назад

    hakika hizi ni kaswida bora katika duffu kubwa @allykessy zanzibar🤩😘😘

  • @SaidSaid-rb3jw
    @SaidSaid-rb3jw 8 месяцев назад +2

    Kazi Kali sana

  • @KhalifaOmari-d4n
    @KhalifaOmari-d4n Месяц назад

  • @MwajumaAlly-s4q
    @MwajumaAlly-s4q 2 месяца назад +1

    Asalam alaykum samahan na namuomba muhusika mwenye hii madrasa

  • @RamadhanKais
    @RamadhanKais Месяц назад

    Ttz hatujui tunawapate maan mnajua mpk noma

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 Месяц назад

    Hawajmaa nawakubali sana tukikaa jamvi inapigwa ngozi mpaka inaeleweka jabal hiraa wete pemba vs swifat nnabawiya

  • @Abdulkipeto
    @Abdulkipeto 7 месяцев назад +3

    😂❤❤

  • @SelemanMketo
    @SelemanMketo 6 месяцев назад +2

    Wanajua atar sana

  • @HamadJongo
    @HamadJongo 3 месяца назад +2

    Hkuna kelelee

  • @RamadhaniJanga
    @RamadhaniJanga 6 месяцев назад +2

    Madrasat tardiyah 2023

  • @HamadJongo
    @HamadJongo 3 месяца назад +2

    Nd twini yasikuhiz taratibu lkn unacheza

  • @zuu114
    @zuu114 3 месяца назад +1

    Atari atari swifa ni moja tu tanzania mzima mziki mnao

  • @AhmedZahor-z8e
    @AhmedZahor-z8e 2 месяца назад +2

    Mmetulia tunaburudika na mziki mwepesi

  • @TimaBunu-g5x
    @TimaBunu-g5x 2 месяца назад

    Ndio tumsifuni nabia lkn kama mafunzo ya dining tusiyasahau watoto wakike wapo katikati msiba huu

  • @BakariRamadhan-u4l
    @BakariRamadhan-u4l Месяц назад

    Wallah vitu vinagonga nyoyo....

  • @bigpope5025
    @bigpope5025 4 месяца назад +3

    Jamaa wako juu mno hamna fujo ufundi mtupu

  • @HamadiKassim-i3v
    @HamadiKassim-i3v 6 месяцев назад +3

    Hawa jamaa wanajuwa mpaka wanakera

  • @HassanShoka-no6xp
    @HassanShoka-no6xp 9 месяцев назад +3

    Munaweza

  • @bilalihussein
    @bilalihussein 10 месяцев назад +3

    Dufu mahesabu

  • @SaidSaid-rb3jw
    @SaidSaid-rb3jw 6 месяцев назад +3

    Madrasa km hii hakuna nyie ndo mabingwa wa muda wote

  • @suleymaniadinani9080
    @suleymaniadinani9080 5 месяцев назад

    Hiki chuo sijawahi kukielewa kabisa na mipigo yao baridi

    • @bigpope5025
      @bigpope5025 4 месяца назад +1

      Hawa jamaa noma sana kaka itakuwa ww ni moja kati ya madrasa mliokandwa na hawa jamaa😂😂 ndomaaana unasema hvyo maana washawakanda wengi sana huwa nafuatilia sana majamvi mengi 😂😂

    • @RamadhanMasoud-jv5pk
      @RamadhanMasoud-jv5pk 4 месяца назад

      Kama huwaeliwi hawa jamaa basi wewe dufu hujui

    • @ahmedcantona4580
      @ahmedcantona4580 3 месяца назад

      kaa nao ipo siku wakikunyoosha ndio utajua wazee dawa

    • @AhmedZahor-z8e
      @AhmedZahor-z8e 2 месяца назад

      Mbona dufu ik p sana ata haina fujo mziki unauskia hasa mpaka ndani ya moyo

    • @AllyMohammed-f5v
      @AllyMohammed-f5v 2 месяца назад

      @@ahmedcantona4580😂😂😂

  • @mussamwita6251
    @mussamwita6251 5 месяцев назад

    Doh balaa zittoj