Jamani hii ngoma ni habari huyo rosa ree mmh sio wa level hizi hongera brother fid kwa kufanya chaguo zuri la kumshirika huyu mdada hii ngoma itaishi ata sisi mtaani tunaka korasi
kweli mi napenda hip hop kuliko ata #ninogesheee nampenda sana rosa ree ivi #rosa_ree akitoa ngoma na #young_killer mbn itatesa saaana em jaribun jmn tuone nawapenda saaaan
Fid enzi hizo za Mwanza, August 13, chagua 1 nilikua shabiki yako. Hapa katikati ukanipoteza.. naon hii FI+RO itanirudisha tena. God Bless to the world 🙏
Kaka umeua tuanataka mambo haya 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Kama upo pamoja na mimi kwamba huyu jamaa kabadilisha vijana wengi kwa HIP HOP yake ya kweli gonga like hapa
Daaah Mimi nilijua wakwanzaaa kumbeeee loooo
Duuh hii ngoma kali kinomaa salut fd q halaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
😍😍😍😍 bonge la ngoma
Fid :nakuita jino bovu, kila mtu anataka akung'oe 🔥 🔥 🔥 🔥
always good bro mmefanya vizuri kitu flan cha tofauti naenjoy good music
Dem ndo Queen wa Hip Hop africa mashariki na katii
Duu dem ana hatariii roza ree kidogo mzee baba amezweee
Nakuita Jino Bovu kila mtu anataka Akung'oe, Unaniita hofu kila mtu anataka Anitoe,👍👍👍👏👏💘
Hili jamaa linasifa sanaa fareed mtu mbaya 🙌🏾
mmmhhh fid bhana mbona kama huyu roza lee kama anakukimbiza sana nyimbo zako zoootee
Mmetshaa sana hiii ngoma sio yakuishiaa hapa bongo inatakiwa ivuke mipaka kabsa ikakutane nawakina nasty sarkodie
Kizazi sanaa... Nakuita jino bovu kila mtu anataka akun'goe*
Ngoshaz noma sana
Fdq wee ni ninomaaaaa sanaaa kudadeki ila naumia ufanyi kolabo na vigongo wenzako wa inje Kama diamond maana wee ni king wa hip hop bongo
Jamani hii ngoma ni habari huyo rosa ree mmh sio wa level hizi hongera brother fid kwa kufanya chaguo zuri la kumshirika huyu mdada hii ngoma itaishi ata sisi mtaani tunaka korasi
Wamekutanaaa hawaaa hiii nomaa yaniii anatembea na bit kudadekiii
Wana mwanza naona wanakimbiza kW creativity yani noma na nusu
Ngosha kijana ninayeskiza nyimbo zake kwenye dhiki zangu na raha za kwetu kama hip hop sio ya kwako basi wacha ikae.......upo kileleni sana bro
Heavy hii kitu inanifanya nizidi kuwapenda fid & Rosa ree 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
"nakuita jino bovu kila mtu anataka akung'oe, unaniita hofu kila mtu anataka anitoe!" legend vs wasasa much respect
Babuueee umeuaaaaa
For hawa wawili najivunia kuwa MTz 👌 bigup
wale wanangu wanaotaka korasi tujuane hapa Fid Q kaniambia niwahesabu😂😂😂
kweli mi napenda hip hop kuliko ata #ninogesheee nampenda sana rosa ree ivi #rosa_ree akitoa ngoma na #young_killer mbn itatesa saaana em jaribun jmn tuone nawapenda saaaan
Anaejua anajua tuu .big up fid ,,
ahaaa kwer mzee ili bonge la ngoma mmetisha sana
Really MC hakimshindi hashindwi Malibu,,,,, kooorasi ngoma kaliii,, anza mwezi nafunga mwaka nangoma kaliii thanks fareed X Rosa reeee
fireeeeee ....bro farid
Nimeangalia mara kama kumi🙌🙌🙌🙌🙌
Goma kaliii kinoma
Ngomaaaaaaaaaa
Bonge moja joint
Sio longo longo ni live. Ya kweli
*Ngoma Kali Sana. Na Fid Q natafuta ile nyimbo yako "Ni Hayo Tu" ft Prof Jay but siioni kwa RUclips sijui umeitoa*
Tunataka kooras 📣📣 king na king wa ma queens 💣💥💥💥
Hii na ni kwereeee
Hii ngoma haisikitishi ila inatoa machozi, kumamae mmetisha sanaa
Fid enzi hizo za Mwanza, August 13, chagua 1 nilikua shabiki yako. Hapa katikati ukanipoteza.. naon hii FI+RO itanirudisha tena. God Bless to the world 🙏
Yaan fid n nomaaa sana my brother coz i need kooorasi
Fid q baas yaishe mzee ntaongea nin tena bro sawa bhana mkali wewe
Kali sana hii fidiiiiiiii. .
Kenya tumeshaipata
ngoma kali mkuu sema kafupi ila katamu.
Fid Q Dah Na hiko kidada Nikimeua Ila Kama unakubaliana Na mm kua Fid Q Hana mpizani wakufanana nae Naomba like yako
Daaaah hawa watu mmmmmmmmmmmmmmmmmh to much ebu like hapa Kama umeelewa Kama mim
Mimi wa kwanza ngosha ni mkaliii wapi like zenu wwee3eeee
D THE MASHINE 411 toeni maoni ya maana, sio tu kuomba likes
@@lumierembilizi966 mzee kaa pembeni
Tunataka koorasi. 😆 #imeweza
Farrid qubanda Ngoma kali sanaaaaa keep it up
U
Fid Q respect nakukbali San bro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka Fd Wewe nibalaaaaaaaaa ziiiiito
NGOSHA TUNATAKA KOORASI 🙌🙌🙌🙌 ROCK CITY LIKE TUJUANE
Badoo niko nayo 2024
Ngosha de fire🔥
Rosa Ree Nikiminaj wa Tz
Nakukubali sana wemkali
Umeuwa Fid Q
Aminia sana kwenu ngosh nakutambua sana huku kenya
Kali sana
Tunataka korasi ngosha 🙌🙌
Big up Fid na Rosa
Nzur sana
Tishaaa bro big up
duh hatari sana hii kitu
Nimekubali goma Kali mno kama mnamtazamo kama wangu gonga like
Fid noma wainue vijana mwangu
Aha! ngoma Kali
Nomaaaaaaaaaaaa mmeua sana rosa ree fid q
Home ni kupiga 7 kama anapiga deki/alivyodata anatoa utam kavu...kama unamkubari Rosa ree ganga like
mpeni FOBY au G-Nako hiyo koorasi mwone atakavoiuwa. ngoma kali mpaka inaboa jamani
G nako ndo ataua zaid au Belle 9
#Tunae yakumuwezaa!
Ngosha umemaliza kila kitu
Hii ni ngoma na nusu
Ngoma kali ...reppin +254
Swagger the don spiting venom. Ree doing her thing. The baddest combo
Leo nimekuwa na. 7 duu wachu hamlali? Nakuelewa sana mzee mbuzi
Hatari sana wapi likes za hiki kichupa
😂😂😂😂 maaamae, nakuja nayo korasi
fid hujawahi niangusha na hii niyamoto San
Ngoshaaa ngoshaaaaa
Ety nn nishasikilz mara100. Etyi jino bovu kila mtu anatak kufakecheeee umetisha ngosh nommmm
Hakunaga "GANG STAR" anayekojoa huku amechuchumaa duniani!! Tunadanganyana tu!!
nakubali brother
kazi nzuri kwa wabishi
kaz mzur nakubar fid q mkal wa hip hop bongo
Mwamba gonga like down kama unamkubal Rosa Reee
U
Dicha Skye thanks
Goooood mbaba
Hii mashine asee🔥🔥🔥
Tunataka videoo viideoo
💣💣💣
Tunataka Koowiseee
Real Bonnie nd Clyde
Fid Q huwaga Hafelishiii🔥🔥🔥
Qalii on🔥🔥🔥🔥🔥
Ngosha✔✔✔
Bonge ya ngomaaaa
Booooge la msara mtaani hili
Ngosha umeuaaaaa
Hapo hamna aliyemkalisha mwenzie
Goma kali kinoma dizain mtu unataka lisiiishe aani
style bomba kinoma
Hujawai niangusha maze🤜🏾🤜🏾
Y
Nlivoiskia tu koras nmecheka kama chizi 😀😀😀😀
Hiphop star of all time