Simpson cartoon ishasema president wa US ni Trump...Kamala ni next round😂...save this comment and date of today then tuje tuone prediction Yao imekaaje
Democrats ni wazuri sana kwa International relations, wanapenda wageni ktk nchi hii, pia wanatetea sana watu kutoka nje nyingi. Mr. President Putin amesema ukweli kabisa kuhusu vikwazo vitapungua kwa nchi nyingi kama media za nje ya nchi zisemavyo.
Trump ni kinyago cha putin,na putin anam Kamala Haris ,ni mtata mwenye msimamo asiye,nunulika kama Trump. Putin ni dictator na kamala atampinga na kubaki na msimamo wa sasa . Kuisaidia Ukraine,na si ajabu Kamala ataidhinisha kutumia makombora ya masafa marefu,ndani ya urusi. Kitu putin anahofia sana
Tatizo watu hawaelew system ya dunia inaongozwa na vyama vya kishetan underground hao viongoz wote agenda yao ni moja kupunguza idadi ya watu duniani (mass depopulation)
Tafuta vitabu vya David Icke * The great secret * And the Truth shall set you free * Robot rebellion * I am me I am free etc Ana vitabu vingi sana vinavyo fundisha hayo mamboekwa ushahidi@@janesuma-is4wc
Kama una rais anaye furahiwa na Putin basi utakuwa ni kichaaa. Kama wala vichaa wanaofurahi kuwepo kwa Ugaidi wa Gaza wa kuua mareka wasiio na hatia. Netanyahu anaua Makamanda wanao fadhili ugaidi kokote waliko! Lakini Magaidi waua mateka wasio na hatia au raia
Kaongea hivyo ili Marekani iongozwe na mwanamke ili awacheke😅😊😅
Putin always support Trump hapo ameongea kwa akili kubwa sana
Nami nahisi hivyo
Ndivyo ilivyo, km huna D mbili huwezi kumuelewa Putin...
Tuliosoma Cuba tumeshazipata Code
😂
Hiyo inaitwa mind gameee,.......time will tell us
Wewe umeongea ukweli🤝
Fact
Mzee asiye na mambo mengi wakati mnatoa jasho ye anatoa tumeno anapigana kama hapigani huyu mwamba ni malaika 😊😊😊😊tunakuhitaji baba huku Africa
Putin anapenda kuendelea kuwanyanyasa na sio kuwa marafiki
Kabisaa ..nimemuelewa hivyo ..yaan anataka awapasue kabisaaa .
Hahhahahaha pole maana hujaelewa hapo
Wale walio soma Cuba tushaelewa
Hio ni kama Kinyata alivyo mpenda Ruto ashinde ila akajifanya kumuunga mkono Odinga 😂😂😂
Nani kakudanganya?
Kama vle cuf na chadema inavyopenda ccm hiishe😂
@@Sarah-e1o9k
Mambo ya kulamba asali 😅😂
Kwa maslahi ya marekani Trump atawafaa zaizi ila kwa waamiaji kamara atawafaa kama mm ningekuwa mmarekan ningempa Trump
Izo nisiasa za Putin anataka uyo Dem apite ili Amandamize vizuuuli kisiasa mana potuin anaona uyodem kichwa chake mterezo kama sabuni Yama gadi
Weeee hujui Hilo!!!! Wa American wanahitaji mtu wa huruma ndio Africa tupate nafuu!! Kamala ndio mpango mzima!!!!
amesema hivo ili kwenye udukuzi asionekane kuhusika
Hiyo ni akili kubwa, unadhani Putin anamaanisha hivo?
Hata mm siamini, Putin na Trump ni washirika
Tulio soma Cuba tushaelewa
Hakikaa 😂😂 akili kubwaaaa za kuambiwa changanya na zakoo😅😅
@@MursalLusinde kweli aise
@@kassimbayuu hahahahahaa unaonaee
Mwenyew namtak stup
Putin mastermind
Hatariiiiii
Maneno yakisiyasa ayo.mimi ata putin ana mpendekeza Trump dona.
Putin hataki donald trump maana atamaliza vita na itaonekana bila trump putin angeshindwa sasa yeye anataka kuionesha dunia kuwa anaweza
Kabisa yaan
Mm naona yeyoyet tu coz wote kwangu hawana maslahi nawaona sawa tu
Putin na Trump ni marafiki sana, kuna fumbo kubwa juu ya maneno ya Putin, time will tell
Uchaguzi tata sana wote wanaushawishi mkubwa kidiplomasia ila harris atashinda
Anajua democrat ndio wanamfanya azidi kupaa juu duniani
Hiyo ni Siyasa kaka yng
Mda umeisha duniani
Mind game.
Huyu Ni Putin bana anaakili mingi kma Mimi anacheza na hao Trump Ni rafiki yake kbc
Mimi naweza kusema ni mind game
Mr standard seven
Ila huyu bibi mzuri kweli. Tabasam lake m5asahau kila.kitu na italeta amani
Putting anaonesha ubabe kua haogopi kitu ndio maana ya kusema anamtaka hars lakin kiuhalisia tramp ndio mtu sahihi kwa urus
Putin ana jeuri sana yani uyo wanaemtaka wao nayeye pia anampenda😂😂
Nimekuelewa
Akili zaidi ya akili weeeee baba Putin❤
Maneno maneno tu
Hawamu ya kwaanza trump alixhindana na mwanamke akapita nahii ya 3 atapita big up mzee wa comedian kurudi kwenye kiti cha urais tumemic comedy zake😂😂😂
Dingiii alikuwa whisky 🥃😂
Anamuona Kamala kama mchumba😅
Lazima tudukue na wasijue😆
Trump ✨
Putin
Putin
Putin
Nimekuita mara 3 dingiii✨💯🙏
Mimi sipendi yeyote marekani
😂😂😂 Ila putin nyie 🙌
Putin akili nyingi anampenda Trump
Akumwilikaye na tochi mchana usiku atakuchoma marekani inaitaji raisi mwanaume mkitaka kupoteza marekani ashinde kamara
Amenituma nikamposee
Poutin mjanja sana😂Trump anapigiwa debe et ameweka vikwazo vingi kwa urusi kuliko raisi wowote wamarekani ili wawone trump njo anafaa
Putin ni mtu na nusu😂 ila uki muelewa
Dongo la kisaikolojia ilo kw C.I.A
Hahahaha
Ina maana Putin anamuogopa Trump 😅😅
Kicheko cha kuambukiza😂😂😂
Bora aoe Kabsaa!!
Hata Mimi nimevutiwa na tabasamu lake.
Na wew unapenda nani awe Rais?narudisha swali kwako
Stahili ya kisiasa hiyo tageti ni Trump
Simpson cartoon ishasema president wa US ni Trump...Kamala ni next round😂...save this comment and date of today then tuje tuone prediction Yao imekaaje
Mind game😅
😮😮😮❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Labda mjomba Putin anataka kuoa mwaka huu e😂😂😂😂😂
Kwa kweli ana tabasam tamu sana
Mwamb putini ana malengo yake .....ngoja tuone
Anajua harris yupo kama biden caward
Bideni hajaondelewa. kajiondoa mwenyewe
Tayari kachajua kwamba Trump awezi kushinda
Putin ni Mjanja haelewi Yeyote na Tramp Wanaelewana na Putin Sema Putin Hataki kuweka Wazi Hilo.
Anaitwa Putin genius.
Bora ashinde uyu dada jmn.nampenda pia mm
Ana maanaayake kunga mkono chama cha Biden haungi mkono kwa kupenda
Putin anacheza na akili za marekani apo anataka trump ashinde
Ana maanaayake kunga mkono chama cha Biden
putin anaheshimu Marekani saana
😅😅😅😅Au sio
Putin mastaplan mzuri Hapa Kuna game analicheza
Umalaya tuh kuoga aaah
Yaani ukiwa muafrica afu ukawa mweusi huonekani, kweli ata kuonekana kwa shda
Mtego huo 😂😂
Democrats ni wazuri sana kwa International relations, wanapenda wageni ktk nchi hii, pia wanatetea sana watu kutoka nje nyingi. Mr. President Putin amesema ukweli kabisa kuhusu vikwazo vitapungua kwa nchi nyingi kama media za nje ya nchi zisemavyo.
Puting ni mtu ambae anauwezo mkubwa wa akili na anajua anacho kufanya ngoja wamchague hyo mama wataona
Sikweli😅😅.Putin,Trump,Kim jong wa Korea kusini ni Pete na kidole.Trump akishinda hata vita ya Ukraine itaisha Tena Kwa amani.
Anajuwa atamtongoza kamara alafu atatoa siri za marekani Game inakuwa over.
Hapana, hawezi kusema Trump ila hapo anaomba dua Trump awe rahis
Kamala ana faa kuwa Rais wa Marekani
Hatoboi 😂😂😂😂
Ee mzee hy anacheza na akili za viongozi hao
Shambulio lakisiasa
Mastermind puttin
Mashabiki wa Russia mjuwe Marekani bado ni dollar ya dunia na SNS ijuwe hilo .
Sns hapa ni nyumbani hambiya watu kwa Marekani bado ipo kieleleni.
Sawa upo sahihi kwani kila mtu ana maono yake binafsi kwa mawazo yako na utashi wako hakuna sababu ya kukubishia.
Trump ni kinyago cha putin,na putin anam Kamala Haris ,ni mtata mwenye msimamo asiye,nunulika kama
Trump.
Putin ni dictator na kamala atampinga na kubaki na msimamo wa sasa . Kuisaidia Ukraine,na si ajabu Kamala ataidhinisha kutumia makombora ya masafa marefu,ndani ya urusi.
Kitu putin anahofia sana
Tatizo watu hawaelew system ya dunia inaongozwa na vyama vya kishetan underground hao viongoz wote agenda yao ni moja kupunguza idadi ya watu duniani (mass depopulation)
Tupe ushaidi
Tafuta vitabu vya David Icke
* The great secret
* And the Truth shall set you free
* Robot rebellion
* I am me I am free etc
Ana vitabu vingi sana vinavyo fundisha hayo mamboekwa ushahidi@@janesuma-is4wc
putin ni mtu makini sana anawatia ujinga tu 😀😂😂
Hatahivyo wamarekani hawawezi kuruhusu mwanamke aongoze nchi.vita vya ukraine vimewagarim sana watampitisha trump aende kumaliza vita
Wanafaidika sana na ndio sababu hawapendi vita Ukraine visikwishe.
Hakuna dollar ya mi marekani inadondokea bure.
😂
Kamala ni laini kama UTE wa yai kwa Putin
atachukua trump kwa marapili then kamala ndo atakua rahisi wa kwanza mwanamkeee kwa historia ya marekani ilishatabiliwa hio aka the Simpsons
Hii inaitwa danganya toto, Putin na Trump hawajawahi kuwa maaduwi, hiyo ni kampeni wamarekani wamuone Kamala km mtu wa Putin kumbe ni kinyume chake
😂😂😂😂
Hii ni dhihaka kwa wamarekani et anapenda kicheko fek hahaha
Putin mjanja anajua akimunga mkono trump atapigwa vita na magharib wote so ametengeneza njia kwa trump
Anataka a dumb person to win ili aendelee kupush agenda zake...
Wenye IQ kubwa wameeelewa...
Anamjua Trump ni bangi akiwa rais anawez kumkata mkangali
Jamaa linamtaman Kamala hahahahahaha
Putin mwanaume , bunduki ,inasimama,lazima hisia kama , mwanaume ,ziwepo, sio km mashoga hawana nguvu ,za kiume
Putn nje ya nykilia hana kitu mbela ya mataifa ya ulaya
Wew Ni pimbi hujui yanayowapt huko kursk
Trump!
putin anawatega tu hao
Putin anawakebei wakina Biden
Mjanja sana 😂😂😂😂
Ndiyo mzuri uyo wampe uraisi mwanamke mwenziwao kama cc uku tumekuwa ashura watupu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Putin anataka futa😂😂😂
Kama una rais anaye furahiwa na Putin basi utakuwa ni kichaaa. Kama wala vichaa wanaofurahi kuwepo kwa Ugaidi wa Gaza wa kuua mareka wasiio na hatia. Netanyahu anaua Makamanda wanao fadhili ugaidi kokote waliko! Lakini Magaidi waua mateka wasio na hatia au raia
Umesemaje???
We nd'o kabisa hopeless shoga la kiyahudi na netanyahu wako uelewi chochote
Zuga tuu
😂😂😂😂😂 Putin
Putin Ana tu chaganya Sasa Mara uku mara kule
Kwaniwewemrusi
@@MwanahamisHussein-dp2if😂😂😂😂😂
Akili mtu wangu... putin anacheza karata hapo😅
Vladimir Putin 😂😂😂😂😂 uraaaa