Kiswahili Cha Kenya VS Kiswahili cha Tanzania

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2023
  • Nilikutana na rafiki mwalimu mwenzangu kutoka Tanzania. Jina lake pia ni Abdulkarim. (Advanced Swahili conversation)

Комментарии • 49

  • @godwinchiutsi9183
    @godwinchiutsi9183 7 месяцев назад +4

    Ninapenda your lessons mwalimu.

  • @louisetunbridge7761
    @louisetunbridge7761 Год назад +1

    Ni mazungumzo ya kivutia Asante ‘Abdulkarims’! Ingawa Sauti si wazi sana.

  • @SwahiliKingdom
    @SwahiliKingdom Год назад +2

    Mazungumzo mazuri!!! Abdulkarim wawili 😊

  • @mariamjuma4136
    @mariamjuma4136 Год назад +1

    Tanzania tuna dagaa wa aina nyingi sana mwalimu
    Nimefurahi sana mwalimu kuitembelia Tanzania 🇹🇿 kalibu tena

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Год назад +1

    Vizuri sana kuwapo pamoja ndugu wawili

  • @saharerhy8866
    @saharerhy8866 Год назад +2

    You are amazing and help alot in learning Swahili. Can you please add subtitles? it will help more. Thanks in advance 💕

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  Год назад

      I will try to add subtitles... though am still learning how to add subtitles.. because it takes a lot of time

    • @godwinchiutsi9183
      @godwinchiutsi9183 7 месяцев назад

      Subtitles will go a long way in teaching us this language. Please do your best. All the way from Zimbabwe.

  • @ewm4266
    @ewm4266 11 месяцев назад +1

    Pia sisi Kenya tunaita ba na bi mdogo au mkubwa....

  • @ahmedali1p
    @ahmedali1p Год назад +1

    Mimi najua lafudhi lkni sijawahi sikia rafudhi ambaye mwalimu makare anatumia 👍asanteni

  • @wenqiuchen6234
    @wenqiuchen6234 Год назад +1

    zaidi sawa

  • @natnathan9656
    @natnathan9656 Год назад +2

    Is it possible to put the subtitles in swahili please? It will help a lot. I understand the main topic but not some details.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Год назад +2

    Kaka wa mama si baba mdogo ni mjomba hapo umekosea kidongo baba mdogo ni mdogo wake na baba

  • @-xm6qj
    @-xm6qj 11 месяцев назад

    Huyo anaongea ki-mrima

  • @steffisafisafi3365
    @steffisafisafi3365 Год назад +4

    Tofauti baina ya kiswahili cha Kenya na Kiswahili cha Tanzania ni mada ya kuvutia sana. Kuna tofauti nyingi.
    Nilipokaa Arusha, kama nilitaka kitu, ningesema "naomba" kila wakati. Naomba maji, naomba saladi, naomba juisi etc. Wakenya hawasemi naomba.
    Pia, wakenya, hata watu kutoka coast, huchanganya Kiingereza na Kiswahili mara nyingi. Kwa mfano, jana nilisikia "nitacome" badala ya "nitakuja", na "kuorder" badala ya "kuagiza", kucelebrate" badala ya "kusherehekea"

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  Год назад

      Kweli kabisa.. tutazungumzia mada hii tena katika siku zijazo...kwa kweli watu wengi kutoka Kenya huchanganya Kiswahili na Lugha ya Kiingereza au pia lugha ya mama..
      Vile vile watu wengi hapa Kenya hutumia “lugha ya amri" ilhali watu wengi Tanzania hutumia “lugha bembelezi" kama ilivyosema huko watu mara nyingi husema ninaomba... Ilhali hapa watu husema ninataka..

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 Год назад +1

      @@KiswahiliWithAbdulkarim Watanzania wakarimu sana na wanyenyekivu

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  Год назад

      @@mariamjuma4136 ndiyo

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 8 месяцев назад +1

      Hapo umedangaya kweupe wa coast wanaongea kiswahili said n lamu waongea kama wa zanziber lafudhi yao alafu chimbuko la kiswahili Lamu ndio chimbuko kikaenda msa mpaka unguja na kila sehemu

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 8 месяцев назад

      Hao wanasema hivo ni wabara hakuna mcoast yuwaongea hivo

  • @agabusmilimu6048
    @agabusmilimu6048 6 месяцев назад +1

    Mwalimu Murungu hiyo lahaja yako ni kama ni Kimvita au nimekosea?

  • @martymcfly9232
    @martymcfly9232 Год назад +1

    Ugali tena 🤣

  • @dennismacdenniton7877
    @dennismacdenniton7877 Год назад +3

    Lakin hata kama wazinzibari wanavuruta kiswahili ...wamombasani wanavuruta zaidi

  • @-xm6qj
    @-xm6qj 11 месяцев назад +1

    Sasa kama nyote ni walimu wa kiswahili basi mnaongea kiswahili kimoja... Sanifu=kiunguja