Vijana wadogo wanamwimbia Mungu wa kweli kwa nguvu, ustadi , furaha na mioyo yao yote. Napenda jinsi drummer anvyopiga kwa moyo wake woooote... Kwa kweli neno linatimia kwamba anawwandikia vijana kwa kuwa wana nguvu. Nawapenda sana Jastin na Imani Eric....Mungu awainue zaidi kwa utukufu wake....Awatumie for your generation. Karama ya Roho mtakatifu juu yenu ni kubwa and very precious. I pray for you from Kenya ❤❤
AM LATE BUT MUNGU AZIDI KUKUONGEZA, NA WATU WOTE WAJIBARIKIE KWA HUDUMA YAKO KAKA BE BLESSED NA BARIKIWA MIMI KWANZA MAANA NAKUPENDA KAKA RESPECT KWA KWELI MUNGU ANA KIFAA
I love the energy ya huyu dada yuko mbele Jastine has God's anointing...and the Team🙌🙌 Tanzania is highly Blessed Bwana Ninayo Furaha kwa Yote uliyonitendea😢😢 Huu umekuwa wimbo wangu wa imani mara zote...hata kama mambo hayajakaa sawa when i sing this song...napata nguvu ya kuendelea mbele💪💪..and i have come here to testify 🙌🙌
Ninasema asante Bwana ❤❤😢umenilinda na magonjwa umeilinda family yangu nakushukulu Kwa mengi sana oooh halleluya asnte asante Bwana anlsnte Bwana❤Mungu akubariki mtumishi wa Mungu nimejikuta mpaka 😢😢 nimejikuta nimwenye fraha ya ajabu mnoo baada ya kusikia huu wimbo thanks my dear God
Hallelujah. Nina ushuhuda. Hakika ninayo furaha Bwana ya kusema ahsante. Nilikuwa nikifanya kazi bila mkataba na posho lilikuwa too small nikamuomba Mungu anisaidie nipate mkabata niweze kupata salary nzuri. Huyu Mungu kanijibu kwa namna ya tofauti sana, yaani kuna mahali nimeitwa kufanya kazi with full contract with a very good salary pamoja na full scholarship ya kusoma bachelor degree mwezi November. Muda mwingine unaeza ukawa unaomba ukahisi maombi hayajibiwi ila God anakuhifadhia maombi yako akupe kitu kikubwa. Imagine i asked God for a contract and nimepata na scholarship ya kusoma bachelor degree Bwana ninayo furah ya kusema ahsante kwa yote uliyonitendea🙏🙏
Plz Brother Asifiwe, My prayer for u is dont change and never vanish. Please fly fly fly fly fly higher to the dimensions of Gid and deep unto him daily, hourly, monthly, yearly I mean the rest of your remaining days.
Very Powerful song for JESUS
Glory to God Powerful Man of God
@@jastinasifiwe4877 Powerful
Hongera sana ndugu yangu kwa hatua hii kubwa sana. Mungu Azidi kukuinua kaka. Huduma yako ni kubwa sana.
My brother asaante saana
Ubarikiwe sana Minister Mruma ku- appreciate utumishi wa wengine.
@@jastinasifiwe4877Karibu sana kanisa la PHM Mkwawa-Iringa
Nawakubari sana hapa Ufufuo na uzima
God bless you
@@faithchuwa9693😊
Vijana wadogo wanamwimbia Mungu wa kweli kwa nguvu, ustadi , furaha na mioyo yao yote. Napenda jinsi drummer anvyopiga kwa moyo wake woooote... Kwa kweli neno linatimia kwamba anawwandikia vijana kwa kuwa wana nguvu. Nawapenda sana Jastin na Imani Eric....Mungu awainue zaidi kwa utukufu wake....Awatumie for your generation. Karama ya Roho mtakatifu juu yenu ni kubwa and very precious. I pray for you from Kenya ❤❤
Ninasema ASANTE BWANA 😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Mungu akuweke MOG
Bloody
MUNGU azidi kukutunza na kukupa neema na kibari mbele za uso wake 🙏
Umenirejeshea DAMU MPYA ASANTE YESU
Mungu akuinue zaidi mtumishi
God bless you Jastin🙌Wewe ni baraka kwa kizazi hiki...Mungu akuongeze
Hongera sana justin kwa hatua hii hakika ni maombi yangu kwa Mungu ya kwamba aendelee kukuinua viwango hata viwango Amina
NAUPENDA SANA HUU WIMBO
MUNGU NI MWEMA SANA
YESU MIMI NINA KUPENDA KAMA MUNGU WAIONA HII SMS NI MANENO TOKA NDANI YA MOYO WANGU ❤
Bwana ninayo furaha kwa yote uliyonitendea ninasema Asante.. Nabarikiwa sana.. mbarikiwe pia
Ee BWANA mbariki mtumishi wako, Jastine Asifiwe, Amina
Aiii broo uinuliwe mnoo umekuwa baraka kwangu all the time it's ma prayer MUNGU akuweke mnoo ilikuabisha ulimwengu wa giza
Amen amen
Hongera Mungu akuongezee mafuta yake ya kiungu upaeeee juu sana
AM LATE BUT MUNGU AZIDI KUKUONGEZA, NA WATU WOTE WAJIBARIKIE KWA HUDUMA YAKO KAKA BE BLESSED NA BARIKIWA MIMI KWANZA MAANA NAKUPENDA KAKA RESPECT KWA KWELI MUNGU ANA KIFAA
Unalitendea Vyema kusudi lako hapa duniani Mungu akutunze pastor Jastin ,na wana wa asafu pia Ni Njema sana !
Hongera Sana, Kazi ni njema, Nasema asanteee Yesu😊
AMEN. NIMESIKILIZA NIKAJIKUTA NACHEZA HUKU NAOMBA NA KUNENA.. UBARIKIWE SANA
Wimbo mtamu sana, nimeusikiliza tena na tena na tena. Jastin ubarikiwe, kundi lote la wana wa Asafu libarikiwe.
❤❤❤🎉🎉🎉Hongera sana Kenya🇰🇪 Tunabarikiwa
Bwana ninayo furaha Ninasema Asante Bwana 🙏❤
Nabarikiwa na huduma yako Mungu akuinue katika viwango vya juu
Ninani aliye andika wimbo huyo🎉🎉jamani nyimbo hiyo inanibariki sana
Ubarikiwe sana kaka
Wimbo wenye nguvu ya MUNGU. ubarikiwe sana brother Asifiwe kurekodi wimbo huu. Nimekuwa nikiutafuta sana. Uzidi kufanikiwa sana katika utumishi huu.
Amen amen
Kwa Yesu raha sana,,nmebarikiwa sana
Blessed More Kamanda 🤝
Kuna Dada hapo mbele anadance kwa nguvu zaidi. Abarikiwe sana.
Huyu ndiye Jastin wa ndani hakika
Ninabarikiwa na kutiwa nguvu jamani Mungu akutumie zaidi hakika Si wewe Bali Kristo aliyendani yako
Halleluyah Nabarikiwa na wewe jasusi la mbinguni❤❤
Hakika Bwana sina manen mengi zaidi ya kusema Asante Mungu akabariki wa wimbo wa majira
Ninasemaaaaaaaa.......Asante Bwanaaa....
Ninasema Ahsante Bwana
Kaz nzur wana wa Mungu 9c song hatuna budi kumshukuru Bwana kwa yote aliyotutendea
Bwana ninayo furaha Kwa yote ulio nitendea ,,libarikiwe jina la Bwana
Amen
Nimebarikiwa sana na uhu wimbo Jastin Asifiwe Mungu akutumie zaidi katika viwango vya juu zaid
Bwana ninayofuraha sanaaaaaa
Mungu azidi kukutumia mwanangu endelea kumtumikia Mungu kwa nguvu nakwa ujasili.
Bwana ninayo furaha
Majeshi majeshii
YESU akubariki mtumishi wa MUNGU Jastin wimbo mzuri mnooooo
Bwana Bwana Bwanaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Iko vizur nimependezwa
Ninasema Asante Bwana Kwa yote uliyonitendea!! Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu Kwa huduma nzuri, Mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaidi!!
Huu sio wimbo tu Bali ni nguvu za mungu ,may God of heaven bless you good people I love you
Ubarikiwe sana Jastine , ninayo furaha najua muujiza wangu unakuja
Hongera sana Jastin, nakuona mbali sana kwenye tansia ya uimbaji, hongera mno, karibu nchi ya ahadi Tabora
Baraka tele ....sifa zote kwa Bwana Yesu 🎉
Ninayo furaha kwa kulinda nchi yetu Ya Tanzania na kulibda viongozi wetu wa nchi.
Hallelujah hakika ninayofura Kwa yote uliyonitendea
Ufufuo Nyegezi -Mwanza Tunasema Asante tunakupenda@J Asifiwe, mtoto wa Baba Yetu.
Amen amen 🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳
Ninakuona Mbali minister I'm so proud of you ubarikiwe sana ukawe heri
Barikiwa mnapatikana wap
Barikiwa
Nimebarikiwa kupitia huu wimbo
Bwana Ninayo Furaha............ Ninasema Asante Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli Bwana ametupa furaha,hatuna budi kusema Asante Yesu.❤❤❤
Hongera Sana Mtu wa Mungu,Kerubi
Ndugu Yangu 🙌🙌🙌🙌🔥
Kazi nzuri ❤Mmpendeza pia
BWANA amefanya mambo mengi mazuri na hiyo ndiyo furaha yetu 🎉
Oooh Halleluuuyah God bless you Man of God
BWANA ninayo furaha
Napenda uduma Yako kaka mungu akupee neema zaidi more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Glory to God glory to God
Bwana Bwana Bwanaaa ...❤❤ barikiwq Justin
Kazi yako ni njema Mungu akytumie zaidi
Furaha ninayo kwakwer
🔥🔥 Mwalimu Justine Asifiwe, Mungu azidi kukuinua
Mbarikiwe saana ❤❤❤
I love the energy ya huyu dada yuko mbele
Jastine has God's anointing...and the Team🙌🙌
Tanzania is highly Blessed
Bwana Ninayo Furaha kwa Yote uliyonitendea😢😢
Huu umekuwa wimbo wangu wa imani mara zote...hata kama mambo hayajakaa sawa when i sing this song...napata nguvu ya kuendelea mbele💪💪..and i have come here to testify 🙌🙌
Ameen Jina la Bwana litukuzwe
Napenda sana
Umeniongezea imani sana
BWANA Ninayo furaha kwa yote uliyonitendea, nasema asante. Past Jastine and his team 🔥🔥😊😊
Ninayo fraha kwa yote uliyonitendea Bwana 😢🙏
Gloire à Jésus pour ce cantique 🇨🇩
Ubarikiwe sana,, mtumishi na Mungu akakuinue zaidi!!
Be blessed kijnaa
Bwana Ninayofuraha kwa yote Umenitendea Bwanaa ...Ninasema Asante 🎉
Bwana Mimi ninayo furaha sanaaaa🙌🙌🙌🙌🔥🔥
Haleuya
Wimbo uko na nguvu kubwa ya Mungu na Nafurahi kuiona ibada ndani ya wimbo huu...
Bwana ninayo furaaa kwayote uliyo ñtendea🙌🙌🙌🙌🙌🙌😭🙌🙌
Barikiwa Sana mtumishi kwa wimbo mzuriii Mungu azidi kukuinua
🔥🔥🙏🙏🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Ninasema Asante Baba
Ninasema Asante Baba,
🔥 🔥 🔥
Hongera Sana Pastor Jastin Asifiwe
Am of the best songs in Tanzania
Yesu akutunze na kukuinua Mtu wa Mungu
Am waiting... from powerful man of GOD
Hongereni sana
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Ninasema asante Bwana ❤❤😢umenilinda na magonjwa umeilinda family yangu nakushukulu Kwa mengi sana oooh halleluya asnte asante Bwana anlsnte Bwana❤Mungu akubariki mtumishi wa Mungu nimejikuta mpaka 😢😢 nimejikuta nimwenye fraha ya ajabu mnoo baada ya kusikia huu wimbo thanks my dear God
Hallelujah.
Nina ushuhuda. Hakika ninayo furaha Bwana ya kusema ahsante. Nilikuwa nikifanya kazi bila mkataba na posho lilikuwa too small nikamuomba Mungu anisaidie nipate mkabata niweze kupata salary nzuri. Huyu Mungu kanijibu kwa namna ya tofauti sana, yaani kuna mahali nimeitwa kufanya kazi with full contract with a very good salary pamoja na full scholarship ya kusoma bachelor degree mwezi November.
Muda mwingine unaeza ukawa unaomba ukahisi maombi hayajibiwi ila God anakuhifadhia maombi yako akupe kitu kikubwa. Imagine i asked God for a contract and nimepata na scholarship ya kusoma bachelor degree
Bwana ninayo furah ya kusema ahsante kwa yote uliyonitendea🙏🙏
Oooooh Glory to God
Bwana ninayo furaha kwa yote...you have done for me,I am truly grateful ❤
Notification on
Bwana ninayo furaha ninasema Asante Bwana..🙏🙏🙏👏
Tuko live.. waiting!
Plz Brother Asifiwe, My prayer for u is dont change and never vanish. Please fly fly fly fly fly higher to the dimensions of Gid and deep unto him daily, hourly, monthly, yearly I mean the rest of your remaining days.
Amen amen 🙌🙏
🎉🎉
Wimbo mzuri sana 🔥
Minister @ImaniEricShoo amenisurprise,kumbe sio muimbaji tu, pia ni mchezaji mzuri sana wa keys. Ubarikiwe MD na Team yako!
Bwaaana ninasema
Ninayo furaha kwa kunipa uhai
Hongera bro iko vizur❤